list ya wachezaji waliosajiliwa Simba 2024/2025
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2024
- list ya wachezaji waliosajiliwa Simba 2024/2025
list ya wachezaji waliotemwa Simba
list ya wachezaji wanaoondoka Simba
usajili wa Simba msimu huu
tetesi za usajili
usajili wa yanga dirisha kubwa
usajili wa Simba dirisha kubwa
#simbasportsclub #usajilimpyawasimba #tetesi
Tazama pia , LIST YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA YANGA: • list ya wachezaji wali... - กีฬา
Tazama pia , LIST YA WACHEZAJI WALIOSAJILIWA YANGA:th-cam.com/video/2yOztaK7qYQ/w-d-xo.html
Simba sajili vizur
Vizuri sana
Asante kwa kutulete vifaa simba
Mo karudi kazini Sasa
Kama nikweli wamesha Saini niwatakie kila lakher kwenye majukumu yenu.
😮izo tetes tu waongo
Tupo pamoja sana
Hakuna kitu hapo tutaamini tukiwaona wachezaji maana mna maneno mengi ya uongo.
Sawa sawa mtawaona tu
viongozi wa simba tunawatakia ushirikiano mwema katika majukumu hayooo , ukiteleza hapa !!!?()
Ee??
Kapumbu +litombo=simba ya moto
Nyie mna uhakika n hizo taarifa au kutumaliza mb zetu
Subscribe hapa, hatuna mbambamba
5:31 ukweli
Kweli
Viongozi wa Simba tunaombeni mtuletee vifaa msimu ujao watu waamini kwamba, Simba ndo babalao
Kabisa
Wewe mtangazaji kwani simba anasajili wangapi
Hao niliokutajia
Mungu atusaidie sisi simba 2025
Amina
4:24 kb
What??
Naona kama zote ni tetesi. Simba hana pesa za kusajili wachezaji wote
Mo kaingia kazini Sasa ..timu mpya inajengwa
Usajili wa Simba nimaneno t
Kwanini
Utopolo arusi isiyoyenu suti za Nini?.kama ni uongo tuache I
Msitudanganye maan mnapoteza uwaminifu kwamashabik
Subscribe hapa sis hatudanganyi
Kweli? maana namwona moja tu hapo wa kost tu
Ndio ni kweli ndo maana wapo kwenye list
tumechoka mbambambazenu
Zipi?
DA tuombe uzim
Kabisa
Je anaitwa Joseph au Joshau Mutale?
Joshua mutale
Fiston mayele ametua Simba au bado
@@SurprisedGraphingCalcula-mz6ff hawezi kusaini Simba huyo ;th-cam.com/video/2Nt-36EdXYY/w-d-xo.html
Huo siyo usajiri nimaneno ya makahaba wasoka,,utaona kama watakuwemo,,
Au sio😁😂🙌
Ww muongo na akili hauna unamaliza bando za watutu
Kwann unasema hivyo
Ni ya kwer haywoo? 4:53
Ndio kweli na uhakika kabisa
Ni ya kwer haywoo?
Ee
Mimi naona hii mitandao Haina ukweli wanapata wapi hiz habar watatufanya tusfungu mitandao
@@DandasiKundi subscribe hapa sis ndo tunatoa taarifa za ukweli na uhakika
Je ni kweli au mwatuchocha?
Kweli
Vizuri sana
Simba sajili vizur
Ee
Vizuri sana