MAMA AIBIWA LAKI SABA KWENYE MSONGAMANO WA DARAJANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 41

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 5 ปีที่แล้ว +2

    Na wewe unaejiita rahim abdull
    Inshallah Mungu akusamehe dhambi zako bado hujajijua Mche Mola wako ,huko bara kuna wapemba na waunguja wanajimwaga kuliko hao wabara wanavyojimwaga hapa na wengine wameoa hao unaowaita washenzi wabara washakua mama zako na shemeji zako ,tembea mpaka sumbawanga ukajionee sasa hao wajomba zako watakao zaliwa waombeee Mungu wasije wakawa wezi inshallah

  • @2pacshakur912
    @2pacshakur912 5 ปีที่แล้ว +6

    Hali ngumu ya maisha kisha unamuibia mwenzako dah hatar kwa kweli😂😂😂

  • @hamidabdalla1814
    @hamidabdalla1814 5 ปีที่แล้ว +3

    Kuna sauti ilinichekesha sannaa eti "Mubakishiane nauli"😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sahimalbatawy3372
    @sahimalbatawy3372 5 ปีที่แล้ว +1

    mshakuwa mnatak kutukera sasa mulikuwa wazuriiii lkn saiv duhhhh tutawakimbia tuhamie kisiwani Tv

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 5 ปีที่แล้ว

    Hee pole sana mom

  • @aliy3303
    @aliy3303 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah hamna waenda uchi

  • @harunamohamed3870
    @harunamohamed3870 5 ปีที่แล้ว

    subhana Allah

  • @rahimabdull3677
    @rahimabdull3677 5 ปีที่แล้ว +4

    Nchi watanganyika wana jimwaga tuu watu wasiibiwe na wengine wengi wao wezi

  • @albahryonlinetv9319
    @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว

    Ww watanganyika wamejaa tl Zanzibar wajmwaga Kama kwao wastuibie, mitwana haina kwao, kiukwel mm jumbo hili inaniuma Sana kwa hawa watanganyika walioko Zanzibar, wasiubiwe na ww kichogo

  • @zoizanzibar5923
    @zoizanzibar5923 5 ปีที่แล้ว +2

    KTV jitahidini kuboresha taharifa zenu kichwa na Content haviendani kabisa taharifa ya kuibiwa na ni sehemu ndogo ya content yenu"kama jana kuna mama aliibiwa kama laki saba"

  • @utaani1
    @utaani1 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni moja kati ya Faida ya muungano kwa hiyo hatushangai

  • @binbarwan7401
    @binbarwan7401 5 ปีที่แล้ว +2

    mmezingua apa asa uyo mama aloibiwa yukowp

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว

      Kizani🤣

  • @amoural-harthy7312
    @amoural-harthy7312 5 ปีที่แล้ว +6

    Wezi si wa tanganyika tu
    Ni watu mchanganyiko

  • @nureyna629
    @nureyna629 5 ปีที่แล้ว

    Subhaanallah

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 5 ปีที่แล้ว +5

    "CHANGAMOTO" hichi KISWAHILI mumekipata wapi?
    Au ndio mabadiliko ya katiba (kiswahili)
    MDADA mkaka mmama mshangazi mbaba mdugu nk

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu yangu mezea tu!

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 5 ปีที่แล้ว +1

      @@oopsm3574
      Ndugu yangu mazoea haya hatukua nayo
      Kama tunavyojua kitovu cha kiswahili ni znz.
      Sasa kule tanganyika ndio kwenye chuo kikuu cha lugha ya kiswahili alafu na sisi tunafunzwa malugha yasiokuwa ktk mafundisho ya wazee wetu TUNAIGA YA TANGANYIKA NA MILA ZA KITANGANYIKA.
      SASA UKISEMA MAZOEA NDIO TAMADUNI ZA KIZNZ ZINAONDOKA NA KUZOEA TAMADUNI ZA KITANGANYIKA
      NDIO MABAA YAKAJAA TELE. MAJAMBAZI DADAPOA HAYA YOTE TUTAYAIGA NA KUWA MAZOEA PIA

    • @bindawood978
      @bindawood978 5 ปีที่แล้ว

      Inakera kiswahili cha asili kimepotea na kinazidi kupotea,maneno ya.kiajabuajabu,ukarabati,utandawazi nahii changamoto ndio imetawala.

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว

    Siku zote huwa nasema wazanzibari hatuna uwezo nzuri wa kuongea c unaona hapo hao ndugu zetu wa kizanzibari wanaongea kama upepo wamemaliza but unamuona jamaa warufiji huyo anavyopasua mayai hadi raha, wazanzibari tumebarikiwa imani, uchache wa maneno na nidhamu ya uoga na kusengenya basi, ila sehemu ikiwa rasmi kdg hata watu waingia chocho hawawezi kuongea ama kwa porojo la maskani kuhusu mapira na siasa tunaongoza dunia mzima

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว

    mtihani imani hakuna ila pia wanawake wanashangwe hatakama mtu amepata pesa mapema anasubiri sikuza shangwe halafu hawanduguzetu hapa znz wamekua hatarisana wanawashinda hata wageni kwa wizi

  • @mohdjumaa4798
    @mohdjumaa4798 2 ปีที่แล้ว

    Bb acha wenzako wapate

  • @mwainehaji5722
    @mwainehaji5722 5 ปีที่แล้ว

    mm lk saba sichukuw kwacku moja darajn

  • @abdillahkhalfan8186
    @abdillahkhalfan8186 5 ปีที่แล้ว +2

    Munaanza kuzngua

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed6687 5 ปีที่แล้ว

    Jamani waizi hawaogopi mwezi waramadhani dah

  • @hassankihonde1275
    @hassankihonde1275 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kichwa cha habari na mahojiano munayofanya ni vitu 2 tofauti, vp ndugu waandishi?

  • @ahmadsayyeed1400
    @ahmadsayyeed1400 5 ปีที่แล้ว

    We mama unahangaishwa na roho mbaya una duka ulipatie wapi

  • @hamnakituumupumbatupumohd8505
    @hamnakituumupumbatupumohd8505 5 ปีที่แล้ว

    Sasa muungano umefanya nn hapa daah kuna mijitu comment zao mpk kero wao Siasa tu ndo wameweka mbele

  • @utaani1
    @utaani1 5 ปีที่แล้ว +2

    Bora serikali iendelee kuzuia watu kujenga unguja ili watu wasiweze kujenga unguja wapunguwe watu maana hii hatari sasa

    • @salazarsmile1030
      @salazarsmile1030 5 ปีที่แล้ว

      utaani1 nope watu sio tatizo stone town ndo tatzo nafasi ndogo na watu wote wanataka kuja hapo hapo

  • @abubakarmohd1650
    @abubakarmohd1650 5 ปีที่แล้ว +3

    Topic nyengine video inasema mengine

  • @fatmajumaa1069
    @fatmajumaa1069 5 ปีที่แล้ว

    Kwa kumshauri tu aliye ibiwa aendelee kufunga

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 5 ปีที่แล้ว

    Hasa huyo mam nae pesa yote hio kwa nin atembee nayo

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed1099 5 ปีที่แล้ว +1

    duuh

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 5 ปีที่แล้ว

    Sasa hapo ndio Hua najiuliza swali hivi mbona watu wa madukani mnauza bei ya juu ilhali wa barabarani bei ni mpwito mpwito

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 5 ปีที่แล้ว

    Laki 7 hhhhhhhhhhhh duh

  • @tuluanaula841
    @tuluanaula841 5 ปีที่แล้ว +2

    Hata na wewe uliepost umetuibia MB zetu

    • @hakikamuhammad8887
      @hakikamuhammad8887 5 ปีที่แล้ว

      Kila anaeitukana jamii fulani ipo siku ataulizwa alichukuwa juhudi gani kuirekebisha mpaka akathubutu kuitusi jamii hiyo
      Allah ktk hukmu haangalii umemtukana nani ila ataangalia kwa nini ulimtukana?
      Na kumtilia mtu saini pasipo ushahidi ni dhima nzito

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 ปีที่แล้ว

      Wala usiseme🤣🤣