#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @MunezeroSada-wk7vr
    @MunezeroSada-wk7vr 5 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah, shukran shekh

  • @shimafuad6868
    @shimafuad6868 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakati nasikiliza huku usoni natambaliwa na kitu Kama Uzi wa bui nikipangusa sioni kitu na begani kwangu upande wa kushoto kila siku nahisi kitu kinatembea mpaka nishachoka na nimeifanya hii Hali ya kuizoea maana nishajitibu mpaka nishapiga mikono chini. Asaakheri wacha nikautafute huu mti nimuombe Allah aniondoshee na iwe ni tiba jazakallah khayr sheikh

    • @athumanayubu3826
      @athumanayubu3826 3 ปีที่แล้ว

      Tiba ya vitu kutembea mwilini dawa ninayo au Uzi usoni nitafute hiyo nimizimu 06832323238

    • @athumanayubu3826
      @athumanayubu3826 3 ปีที่แล้ว

      iposiku utahisi nyuma ukiwa unatembea pekeyako

    • @careenmumy192
      @careenmumy192 3 ปีที่แล้ว

      samahani, unatumia siku ya kwanza unavyoingia kwenye ada mbaka siku ya mwisho au siku ya kwanza tu

    • @watuhuru6128
      @watuhuru6128 3 ปีที่แล้ว

      Mie nsujua huu mti huki kwetu ngobanya kimbiji kigamboni dsm upo mwingi tunauita mla ndege ila wapemba huita haungngwa na miti mingine

    • @mariamkhamis6155
      @mariamkhamis6155 ปีที่แล้ว

      Tumia na mafuta ya zaituni,somu,ndimu,miski,mnyonyo,haltiti ikesha jipake kidogo kidogo usoni na mwilini siku 7 au 14 mara 2 au 3 utapoa inshaallah asilimia 90 utafanikiwa

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 3 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah Swaahibu Al-Ashjar outstanding as always BarakAllah feek Sheikh, Watamaman, Zinjibar tv and all staff ameen yarab

  • @ArafaSuleiman-db9pw
    @ArafaSuleiman-db9pw 5 หลายเดือนก่อน

    Shukran shekh, soma quran kitbu cha haki ili dua zfike kw ALLAH SWT Ahsantum jazakah Allah kherain shekh

  • @evacekasaija3912
    @evacekasaija3912 2 ปีที่แล้ว

    Akasekera uganda mashalllah sheik asante

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah.. Allah bless you

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 ปีที่แล้ว

    Waalaykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @zubedatatu7852
    @zubedatatu7852 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah t

  • @jamelaega2779
    @jamelaega2779 3 ปีที่แล้ว

    Amiiin

    • @ngilentemgozi6551
      @ngilentemgozi6551 ปีที่แล้ว

      KKE OK OK I kikKKkKKkIikK OK KLM KKWENYE kwenye OK K ko k K K K K k Kik KWENYE kuna ⅞kwenye kwenye K

  • @user-fx7wz8vq2t
    @user-fx7wz8vq2t 5 หลายเดือนก่อน

    Asalam alaikum shekhe hiyo juice yke unakunywa mara ngapi kwa siku

  • @rachelmdoe8331
    @rachelmdoe8331 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwa nn wachungaji Hawajui hizi dawa lakini mashehe na maustadhi wanazijua

  • @athumanayubu3826
    @athumanayubu3826 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe asalam alaykum nimerizika nasomo nahitaji SoMo la busha au mshipa was kushuka

  • @shamsabakari6190
    @shamsabakari6190 3 ปีที่แล้ว +1

    8

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum sheikh naomba no zako

  • @rahmajuma1430
    @rahmajuma1430 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekhe mm nna pid vip nweza kupon

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 ปีที่แล้ว

    Shekh ni siku gani mnakuwaga live?

  • @merymahu4500
    @merymahu4500 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa wakristo tunasoma kitabu gani?

  • @nurudinjafferji
    @nurudinjafferji 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah t

  • @shamsabakari6190
    @shamsabakari6190 3 ปีที่แล้ว

    8