Wema popote ulipo, tazama tena wimbo huu,rudia tena kutizama Mara tatu, kisha tafakari, na uchukuwe hatua, utakuwa ushuhuda mkubwa sana , na watu wengi utawaleta kwa Yesu
Wema mrudie Mungu km maisha umekula, Bata umekula Hadi kuku wameona wivu, kilichobaki rudisha uhusiano wako na Mungu atakubariki na kukupa mtoto, hakuna usichokijua kuhusu dunia hiii
Wema nakuomba mama yangu achana na mambo ya dunia inayo waya waya, njoo umtumikie Mungu hakika utakuwa baraka mnoo katika nyumba ya Mungu ,njoo wema njoo , niwakati wako wa kumtumikia Mungu aliye hai
Mbona Wema ana sauti nzuri ya kumuimbia Mungu kweri Yesu asifiweeee milele na milele Amina na amurudishe kanisani kwani kwa Yesu kuna Amani ata musamaha atapewa na wtoto stawapata kweri
Good luck for you I like the song you made it is so good to me I wish you a good luck I will what to meet you I love your song it is good so good I can play it over and over again
Wema sweetheart mungu akukumbuke usife moyo jeribu umuimbie mungu tena nautaona matendo yake and he will give you what you ask him every day in Jesus name Amen
This song was very interesting,so she can sing very well like this?mungu akubariki sana wema,wimbo wako umeniguza sana na unanipa matumaini barikiwa by dia friend,mungu akufungulie njia zote zilizofungwa mbele yko amen.
Hata kma ilikuwa movie bt wema amependezwa na Christian na mbali ba hvyo angemrudia mungu na kutubu dhambi na kila kitu kitakuwa sawa katika maisha yke
God does wonders,he changes everything ,,she was Dina kwa movie en I remember married to a family believing in witchcraft,en the same day they received Jesus as their personal savior.i liked the song& I sang it in our church.how I pray for her.. she can
Wema popote ulipo, tazama tena wimbo huu,rudia tena kutizama Mara tatu, kisha tafakari, na uchukuwe hatua, utakuwa ushuhuda mkubwa sana , na watu wengi utawaleta kwa Yesu
Pray for her, iligarimu watu/ mtu kukuombea uokoke.
Sauti nzuri dada keep up muyamba pia namwona natamani sana kujua sehemu alipo
😢😢😢 Wow nice song ,,sauti kwanza ,,.Keep it up.
Wema mrudie Mungu km maisha umekula, Bata umekula Hadi kuku wameona wivu, kilichobaki rudisha uhusiano wako na Mungu atakubariki na kukupa mtoto, hakuna usichokijua kuhusu dunia hiii
Mashallah wema umeimba vzuri mnooo Hongera dada
👌👌👌👌👌
Hi ilikuwa filamu nishaiona miaka ya nyuma
Wema mludie mungu wako atatenda makuu katika kizazi chako Na mtoto utapata
Mrudie muumba wako
Nyimbo nzuli sana.Ubalikiwe sana Wema Sepetu.warundi wote wanakupenda sana sana tena sana!
Wema nakuomba mama yangu achana na mambo ya dunia inayo waya waya, njoo umtumikie Mungu hakika utakuwa baraka mnoo katika nyumba ya Mungu ,njoo wema njoo , niwakati wako wa kumtumikia Mungu aliye hai
Huyu akifanya madiriko akaamua kumrudia muumba. Hata watoto atapata. Typle Amina kama waamini
Aaamen
Miraji Mrj hyo n movie bana ilikuwa miv n kama kipand tyu
Ipo siku mugu atatenda miujiza yake ubalikiwe
Nakuombea wema kwani wewe. Nimtumishi Wa Mungu sauti unayo ya kumsifu na kumuimbia Mungu wetu
Kweli anahitaji kumrudia Muumba wake
Yesu wangu mkumbuke wema😍
Amina
Ameni
Amina
Jesus deliver her for what she needs
Mbona Wema ana sauti nzuri ya kumuimbia Mungu kweri Yesu asifiweeee milele na milele Amina na amurudishe kanisani kwani kwa Yesu kuna Amani ata musamaha atapewa na wtoto stawapata kweri
2021 nani yuko nami huku bado
Good luck for you I like the song you made it is so good to me I wish you a good luck I will what to meet you I love your song it is good so good I can play it over and over again
Wema sweetheart mungu akukumbuke usife moyo jeribu umuimbie mungu tena nautaona matendo yake and he will give you what you ask him every day in Jesus name Amen
Waoooooo i miss you kanumba ulikuwa mtengenezaji wa move za kuvutia za upako
Aliimba vzur
Nakwambia na fulahi
Mungu akupe hitaji la moyo wako barikiwa dada mrembo
Waaaau!!!So, amezing hakika wimbo huu sitosheki.❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yesu anakupenda sana njoo achana na ya dunia utapata mme mchamungu uwe na familia nzuri achana na mashetani hayo.
I like pastor myamba,the way he was dancing, very vibrant
Sauti nzuri sana kipenzi chetu! Mungu akupe hitaji la moyo wako
Janat from Kenya tafadhali Rudi kwa Mungu sauti nzurisana
Hiki kilikuwa ni kipande kati ya Move Sena nimeisahau jina lake ila inapebdeza km angeyaishi maisha haya😍😍😍😘😘😘🙏🙏🙏🙏
A point of no return inaitwa
Kwn what happened kwke
Wema wangu wapi hiyo?,umeiimba vizuri kweli,Mungu akukumbuke hata katika hilo tu ulilofanya ,kila pumzi itamsifu Mungu,
Aamen
@@MasaiLONGTV W
Dada Mungu atakupa mapacha 8 kwa mkupuo nimekupenda
Amen
Hiyo Ni move aliigizaga kitambo sana
She Could Be a Good Musician, n She is real a Good Actor, Hakuwa na good focus, she still got God's Grace on her Side
Watumishi wa Mungu, mbarikiwe sana. Naomba mje mtutie moyo huku pugu kajiungeni,
Sauti nzuri ya kuleta watu kwa Christo Yesu mwana wa Mungu kabisa.
Amina
Unaweza dada hongera.
Ameen🙏🙏jamani Wema okoka ili Mungu akufungulie milango utazaa jamani
🙆😭
🙏🙏😭👩👦
Love this side of her, wished hii ndio ingekuwa ndio uhalisia wa maisha yake, her innocence made me love the movie a point of no return
Uhimidiwe Yesu , haleluya
Wonderful song,so encouranging may God uplift ur dreams.
Love u wema,,,
Sichoki kuusikiliza huu wimbo jamani hizi hisia ubarikiwe kipenzi
Jaman Dada wema mungu akujibu maombi yako endelea kumuomba mungu unachokitaka utakipata achawakuseme ila mungu ndo anajua jisigan unauchungu kwake
Wema una sauti nzuri sana ❤
This song was very interesting,so she can sing very well like this?mungu akubariki sana wema,wimbo wako umeniguza sana na unanipa matumaini barikiwa by dia friend,mungu akufungulie njia zote zilizofungwa mbele yko amen.
I never get enough of this song u sang soo well sister wema God bless you love fŕom kenya😍❤
Wish angeimba nyimbo za sifa kwa mungu like your voice
Hata kma ilikuwa movie bt wema amependezwa na Christian na mbali ba hvyo angemrudia mungu na kutubu dhambi na kila kitu kitakuwa sawa katika maisha yke
Dada yangu. Mungu akupe watoto 🤴🤴🤴🤴🤴🤴🙏🙏🙏🙏💖💖💖 Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
She will namuombea pia
Naomba Mungu afanye jia kwajili yauyu dada
Uhimidiwe yesu uhimidiwe aleluya. YESU kristo abarikiwe sana
Amekuwa my best muigizaji tangu utoto na maombi yako yajibiwe
Our God is a God of second chance. mrudie tu an atakukubali. Jesus loves you Wema.
This is my best movie,rip kanumba.good job wema.God be with you dada
Wau gal go open up you talent I love this so much God bless you
Mbona wema alikuwa mwembamba toka bb akiimba huu wimbo iweje leo karudia umbo lake mnamshangaa Nini mwacheni wema wangu
NAMSHAURI WEMA AMRUDIE YESU AACHANE NA YADUNIS
Huku ndio sehemu yako huko kwingine unapoteza muda tu mpendwa wema njooooo kwa YESU
Hey beautiful song I Love it
Ni meta sama hiii video maraa3 kwa. Maana sia mini kwamba ni wema sepeto Ana imba leo nyimbo nzuriiii hivi ya kumutukusa beans uba rikiwe
Enzi hizo hope ulikuaa ujazaliwa
Mungu akubariki Wema upate na mtoto
Yesu siakuokoe Wema uolewe na mchungaj na uanze kumtumikia Mungu
Kweli wema unaimba kwa.hisia.mungu akupe watoto
Nice song
Wema sauti yako nzuri ya kutuza Mungu wa mbinguni
Mungu akukumbuke dear Ila naomba uanze kuimba Gospel
Yesu usimsahau Wema alikuimbia ingawa kwenye movie lkn amenigusa, anajua sana, ameimba kwa hisia
Jamani nimeangalia hii kitu nkakumbuka mbali Sana aise Kama mtu Aki amua kubadilika na Mungu anampokea vema na kumbadisha zaidi jamani daa🥰🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Mungu akufanye chombo cha amani yake chombo kiteule
Love sepeto Sandi Sana muru die mungu wko ata kuba riki upate watoto na tamani Sana dada yngu na wewe upate watoto
Nenda kwa mwamposa ukaombewe upate mtoto hakuna kisichowezekana kwa Mungu hiyosauti yako inapendeza madhabahuni
Uliitendea kazi hii pati na ujumbe umefika hongera na hongereni wote mlio shiliki kwenye movie hii Kanumba tutakukumbuka daima
Wooo
God does wonders,he changes everything ,,she was Dina kwa movie en I remember married to a family believing in witchcraft,en the same day they received Jesus as their personal savior.i liked the song& I sang it in our church.how I pray for her.. she can
This was part of the move with marehemu kanumba I like the way she stand with God's in the move and I love you gal God bless you
Mh
kanumba upo kwenye history ya maisha yangu
mary angela haifunguk
hio movie inaitwaje nishaisaau
@@shakajuma6606 point of no return
Wema sepetoooo hongela sana burundi tunakupenda sana
Ameeen! Mungu akubariki sana dada wema ❤
Namuona pastor Emmanuel miamba
Nakupenda sana ❤❤❤ mwema
Hiyo ni movi barikiwa dada
Ubariki sana dada mungu anafuguwa palipo fugwa 🍎🍎🍎🍎
Ameeeeeeen nimebarikiwa Amen asate mungu wabiguni apewesifa
Mrudie Mungu mama ,achana na Ya dunia , Mungu ni Huruma bado anakupenda
Wow 😳😳 niajabu umurudiriye mungu a Hana Mambo yadunia
Dada ubarikiwe na uimbaji
Binani fulaisha sana kweli wema sepetu anakuja gutumikia Yesu bu islam ana heba
Ni 2022 lakini sichoki kuangalia
Woow in touchable😍
I loved this song it was one made me knw wema sepetu....the movie was something else cjawai pata ingne ya kulinganisha
Pamoja
Wow kaimba vizur ila ni move ya kitambo sana
2020 mnipe like zangu
2021
Wema Sepetu...nakuombea Upate Wokovu na dunia ikuhache Wewe Mtu wa Mungu.....
She can sing, si aanze kuimba.🤗
Wema una sauti nzuri
Yesu anakuita njoo tumtumikie mungu
Wow Nice song keeps going up
Hongela sana mungu akubaliki
Mungu aguse tumbo la uzao wako upate hitaji lako
So proud of you wema god bless you amen 🙏💖💖💯💯👉❤️❤️😐💕👌
Right
Kabisa...hii ni muvi sawa na hata km alitoaga mimba lkn akimwamini Yesu atamsamehe yote atampa mume mwema na atampa watoto hakuna gumu kwake.
Niceee momy nabarikiwa xnaa
Im blessed,,with the song❤
Mungu akupe hitaji la moyo wako mkumbushe mungu maana anasema njoon tusemezane so kwa sehemu ulimsifu mungu aliye juu
Aliimba vizuri sana utazani ni mchristu
Wema jaman nilikupenda sana
Mashalaah nimefulahia sana
Vizuri sana wema wimbo wenyewe ni wa matendo
Hongera ulikuwa vizuri ulikwama wap
Wema kumbe unapendeza saana ukimtumikia YESU katika uimbaji.
Ubarikwa my sister
I watch the movie of this song,it was really nice,,,hakika matendo yake ya ajabu yanatosha,uhimidiwe yesu
Ubalikiwe sana