Chama ni taasisi inayo paswa kuwa na misingi imara na demokrasia ya vitendo, Kitakuwa hitaji la watu,kwa mustakabari wa kuleta haki,utu, usawa na dira ya maendeleo ya wananchi. Chama cha siasa lazima kijifunze kujiendesha kama dora.Ishara ya kushindwa ni udhaifu,udhaifu usiotokana na ulemavu wa viungo ukijifunza udhaifu wako utajikuta shujaa,hoja,matusi mwiko.palipo jaa sana chochote hufanyika wasitarabu wanakuwa wengi wachache wafanya watakacho.......
Mnapotaka awe na blet ploof manawamilisha ujumbe gani hata lisu mwenyewe manake mbowe ndio wasiojulikana? Kwanini lisu amemtaja mbowe manake mbowe huwa anateka nakudhuru watu
😂😂 yaani huu uchaguzi tutajionea mengi na vituko, watanzania amkeni wenyewe 2025
Lazima utashinda mr odero
Hamujuwi hamuna demokrasia ndani ya chama chenu mbowe ametawala mudagani hadi Sasa
Lissu namkubali sana
Nimefurshi kuona mwenyekiti wangu 2025
Ndio maana tulisema hakuna wanaharakati au haki zabinadam Tanzania kumbe niwapinzani
Odero utafuata lissu akisha tengeneza upya chama
Kujiamini kwako ndo utakufikisha unapopataka
Umepita
Nikikamilisha kuunda timu yangu ya mpira nitakufanya uwe msemaji wa klabu wa timu
😂😂😂😂😂
Hamna vision toka 2015 hakuna mvuto chdema
Odero tena?? 😂
Chama ni taasisi inayo paswa kuwa na misingi imara na demokrasia ya vitendo,
Kitakuwa hitaji la watu,kwa mustakabari wa kuleta haki,utu, usawa na dira ya maendeleo ya wananchi.
Chama cha siasa lazima kijifunze kujiendesha kama dora.Ishara ya kushindwa ni udhaifu,udhaifu usiotokana na ulemavu wa viungo ukijifunza udhaifu wako utajikuta shujaa,hoja,matusi mwiko.palipo jaa sana chochote hufanyika wasitarabu wanakuwa wengi wachache wafanya watakacho.......
Ushanunua bulletproof wewe. Ushajikinga kwa waganga kiti kigumu ichi maxima afe mtu hapo 😂😂
Mbowe sio rahimi kumtoa eeeh
Mnapotaka awe na blet ploof manawamilisha ujumbe gani hata lisu mwenyewe manake mbowe ndio wasiojulikana? Kwanini lisu amemtaja mbowe manake mbowe huwa anateka nakudhuru watu
😂😂😂😂
Mwisho wa siku hao wengine wakishapigiwa kura watajiuzulu na kumuunga mkono Mh. MBOWE na kura zao zitaenda kwa Mh. Mbowe
Katiba hiyo ya wap au ajielewi wewe coco mbwaa
th-cam.com/video/nEZBd76L9T8/w-d-xo.htmlsi=62qye9bLVUACge1N