Lady Jaydee - Mambo Matano (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.6K

  • @daisynyerere5730
    @daisynyerere5730 10 หลายเดือนก่อน +79

    My favorite song till this 2024
    Kama bado unaendelezea kusikiliza kwa kurudia kama mim tujuane kwa likes

    • @MichaelSikapundwa
      @MichaelSikapundwa 8 หลายเดือนก่อน

      mhhhh.....imekaaa vibaya kwel....nilisikia tu ......

    • @josephanthony70
      @josephanthony70 หลายเดือนก่อน

      mwaaaaaa

  • @jeffintabo90
    @jeffintabo90 ปีที่แล้ว +1210

    natokea Kenya jaydee nimempenda Toka kitambo..naomba likes 500😅

    • @comedy7937
      @comedy7937 ปีที่แล้ว +10

      Dada Safi nilizani umepotea

    • @mugotizaderick
      @mugotizaderick ปีที่แล้ว +4

      Noma sana

    • @DUMA768
      @DUMA768 ปีที่แล้ว +5

      I like your vibe ...na sauti pia ina💥💥💥😘👌

    • @DUMA768
      @DUMA768 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/Uq__Cl7NtcY/w-d-xo.htmlsi=0iSEQ6Kx9_cjGhdA

    • @rukiamuhammed4484
      @rukiamuhammed4484 ปีที่แล้ว +9

      Kenya we know our hand writing😂😂

  • @annefrancis9789
    @annefrancis9789 8 หลายเดือนก่อน +126

    Aliyekuja hapa baada ya msiba wa Ex wa dada gonga like

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 2 หลายเดือนก่อน

      Aiseee

  • @tatuomary1804
    @tatuomary1804 ปีที่แล้ว +36

    Nakupa big up lady jay dee unaweza bwaana nipeni like ata tano wandugu😂😂😂

  • @jadotvtanzania
    @jadotvtanzania ปีที่แล้ว +145

    Mwimbaji bora wa wakati wote.. @ladyjaydee kama unakubali gonga like twende pamoja kuhesabu mambo matano

    • @IkirereMedia
      @IkirereMedia ปีที่แล้ว

      Lady Jay Dee hujanishusha ❤ Love from Ikirere Media 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @angelvictory6169
    @angelvictory6169 ปีที่แล้ว +377

    Sauti ya jaydee ni nzuri jaman 😊❤.naomben likes hata Tano kama mna agree guys😢

    • @twaibutwabibu8809
      @twaibutwabibu8809 ปีที่แล้ว +2

      Like zimezidi Tano 💯

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 ปีที่แล้ว +1

      Lady jaydee she is a true musician....
      ❤️💃🙌👍

  • @DavidMbwilo-qk1bz
    @DavidMbwilo-qk1bz ปีที่แล้ว +43

    Kama ulimmis dada yetu commando jide like yako hapa 👇

  • @ZaynWalad
    @ZaynWalad 4 หลายเดือนก่อน +18

    Forget zuchu tena weka mbaaali, sijui Nandy, woote second class.This women is so above the rest by miles

    • @amanibatenga1468
      @amanibatenga1468 หลายเดือนก่อน

      Usimfananishe jaydee na takataka zingne ni kumkosea heshima

  • @mauricemadilugerson5933
    @mauricemadilugerson5933 ปีที่แล้ว +17

    Leady namkubali sana tangu kwenye HISTOIRIA, Naomba LIKE zangu toka CONGO 🇨🇩

  • @lionelndikuriyo
    @lionelndikuriyo ปีที่แล้ว +251

    Leo usiseme sana ni na mambo matano:
    Moja: Good lyrics
    Mbili: good vocals
    tatu: Good Instrumental
    nne: good dances
    Tano: Nilikuja hapa kucheza
    As a Burundian, all the way from Morocco

    • @joeyseclipse3117
      @joeyseclipse3117 ปีที่แล้ว +4

      And the queens gambit has hit the waters once again❤️❤️❤️

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina ปีที่แล้ว +15

    Wote tulioachwa af waliotuacha wanatukumbuka gonga like apa

  • @twayzo12
    @twayzo12 ปีที่แล้ว +9

    Mmmmh mwana weto umuziki ugweze kwakweli 🔥🔥

  • @nicholasmhina8705
    @nicholasmhina8705 10 หลายเดือนก่อน +17

    Jide huku tunavyomuona hayuko kabisa hebu mhurumie mwenzio!

  • @kabaandrew5351
    @kabaandrew5351 11 หลายเดือนก่อน +23

    People will listen to jaydee a hundred years from now,she is so good.

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 ปีที่แล้ว +43

    My queen 👸 of bongoflava since 2000s ukimkubali jaydee nipeeni likes

  • @machichaally
    @machichaally ปีที่แล้ว +77

    Nyimbo taamu ssta inamambo mengi saana ya kujifunza kwa waimba matusi ur de best of all time
    🎉🎉 Nakupa maua yako mapema kabisa.

    • @josephlyakurwa
      @josephlyakurwa ปีที่แล้ว +2

      Ukisema waimba matusi utakuwa umewaheshimu sana, Sema waimba NGONO

    • @aishafrancis7714
      @aishafrancis7714 ปีที่แล้ว

      ​@@josephlyakurwa😂😂😂😂😂😂

  • @francistunje_0610
    @francistunje_0610 ปีที่แล้ว +273

    She knows the worthy of her music. Almost all her music is timeless. Much love from Kenya 🇰🇪

    • @wi-ka-da
      @wi-ka-da ปีที่แล้ว

      🙌🏾🤴🏾 queen #ladyjaydee

    • @wi-ka-da
      @wi-ka-da ปีที่แล้ว

      💯💯💯💯💯💯💯💯💯

    • @fikiryseleman7191
      @fikiryseleman7191 ปีที่แล้ว

      Safi sana bakukubali sana dada

    • @lucydalusi
      @lucydalusi 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@wi-ka-da🎉 1:45 i 1:45 g

  • @davidmakala4004
    @davidmakala4004 ปีที่แล้ว +11

    Mbona uyu Jamaa anafanana na G Habash ....kama na wewe umeliona ilo nipe like

    • @AshuraMaulid
      @AshuraMaulid 7 หลายเดือนก่อน

      Wamefanana kweli sijui kama hajamuimbia gadna

  • @MM-oe2eo
    @MM-oe2eo ปีที่แล้ว +4

    Hii nyimbo ni balaa, ni kama vile anamsema Gadna! Usicheze na wasanii aisee, anaweza akapiga jiwe gizani ukajikuta huna raha.

  • @briankibaki9630
    @briankibaki9630 ปีที่แล้ว +171

    She's back with the real hit.....more love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @evelyn7648
    @evelyn7648 ปีที่แล้ว +13

    Wimbo mzuri sana, kama umerudia zaidi leo weka LIKE

  • @rachelsummer2327
    @rachelsummer2327 ปีที่แล้ว +47

    Lady jaydee is my best female musician in east Africa tangu utotoni mwangu

  • @radhiamtindi7809
    @radhiamtindi7809 4 หลายเดือนก่อน +6

    kama umeelewa mambo matano weka like

  • @wendywaweru1931
    @wendywaweru1931 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo matano:
    1. Mi huwaga sinaga pressure
    2. Mjini sijaja kucheza
    3. Sifundishwi kupenda
    4. Sirudishi mateka
    ..
    5. Moyo wangu mi ni treasure

  • @godlistensoy4690
    @godlistensoy4690 ปีที่แล้ว +13

    tumemiss vitu classic kama hivi. Kama iko kwenye repeat mode just gonga like hapa.

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 ปีที่แล้ว +16

    Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri ❤️🎧

  • @jacobmurai6447
    @jacobmurai6447 ปีที่แล้ว +57

    Tunaomba Collabo ya Jaydee 🇹🇿 na Sanaipei Tande🇰🇪

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la wimbo walai...hebu jaribu kufanya remix huu wimbo na Ali kiba...pale kwenye kionjo/kiitikio cha mambo matano akiweka sauti yeye uwiiiiii ....😊😊😊

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh ปีที่แล้ว +24

    Kenya tunasema Mambo ni maTatu🤣...Dada mkuu Kaongeza mawili...😍🔥🇰🇪

  • @UrbanCraftTv
    @UrbanCraftTv ปีที่แล้ว +111

    Giants are awake. We are taking East African music to where it belongs.
    Loud and clear in Nairobi, Kenya.

    • @dashruskimz3077
      @dashruskimz3077 ปีที่แล้ว +1

      I was waiting for this comment,the legends are taking the music where it belongs.

    • @UrbanCraftTv
      @UrbanCraftTv ปีที่แล้ว

      @@dashruskimz3077 #FACTS

    • @williamndandika8930
      @williamndandika8930 ปีที่แล้ว +1

      Yah...it's real giant a wakeup

  • @OscarMakoyeMrshacma
    @OscarMakoyeMrshacma ปีที่แล้ว +27

    This is not Bongo Flava Queen, she is EAST AFRICAN QUEEN👑👑This is not Bongo Flava Queen, she is EAST AFRICAN QUEEN👑👑

  • @bloody_kari
    @bloody_kari ปีที่แล้ว +12

    This icon of mine amerudi with a bang the. Queen on Bongo, 👑👸👸👸👸👸👸 ifso naomba 200 likes for lady jaydee

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 ปีที่แล้ว +78

    Finally the bongo flavour queen is back❤❤❤

  • @ndojes711
    @ndojes711 ปีที่แล้ว +13

    Nmejiahid mpk nifikishe mara 100 ndo sitaingia tena Utube..... I LOVE U JIDE ❤❤❤❤

  • @dullahsalum1229
    @dullahsalum1229 ปีที่แล้ว +16

    Dada bado utakuwa komando wetu vile vile upo vizur.🔥🔥

  • @lahyaameer7850
    @lahyaameer7850 ปีที่แล้ว +3

    Moja, mi huwaga Sina presha,
    Pili, mjini sijaja kucheza
    Tatu, sifundishwi kupenda
    Nne, sirudishi matekaa
    Tano moyo wangu .......

  • @mohamedkissima4893
    @mohamedkissima4893 ปีที่แล้ว +6

    Mziki ni mzuri sana hasa ukiwa umeimbwa na mwenye kuujua mziki. Hongera sana Jde kazi nzuri

  • @innocent4malinga
    @innocent4malinga ปีที่แล้ว +48

    I saw this song through TH-cam commercials and I was hooked, I don't understand the language since I'm a South African but the melody and the beat are enough to vibe

    • @chubby3779
      @chubby3779 ปีที่แล้ว +2

      Indeed the melody is dope ❤ actually the songs explains that a girl has moved on from his past relationship and she has no plans to get back with the guy because she's happy and her heart is a treasure, but the guy seems to understand that the girl was the right one a bit late based on the lyrics and video. Hope you to enjoy more 🎉🎉

  • @omarhassan4541
    @omarhassan4541 ปีที่แล้ว +10

    This Lady very special and unique , gonga like tusonge mbele 11111+9999999= 1

  • @SALEHEABDULATIFU-eu4td
    @SALEHEABDULATIFU-eu4td 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo dodoma dada sijawahi kuchukia kazi zako huwaga na enjoy Sana mwaaaaaaaa!❤️❤️❤️❤️❤️ Anajikongoja dozedoze Ila muonee huruma

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 ปีที่แล้ว +5

    Nyimbo naipenda Sana pia iko vzr Kama na we unaipenda like apa

  • @AmisiNtaherezo-ml5sr
    @AmisiNtaherezo-ml5sr ปีที่แล้ว +19

    Nyimbo nzuri,niletu tumezoweya wakina diamond ,uyu dada anaweza sana

  • @ianmbingu6376
    @ianmbingu6376 ปีที่แล้ว +10

    Nipo apa Kiambu Ruaka Kenya listening to the Queen 👑👏🔥🔥🇹🇿💯

  • @officialrockrnb1681
    @officialrockrnb1681 ปีที่แล้ว +4

    Kama unakubari lady jaydee gonga like hap

  • @denisdemshyna3504
    @denisdemshyna3504 ปีที่แล้ว +31

    Lady Jaydee doesnt need to release a song every week. One song every decade because her songs are timeless. This one will appeal to audiences even in yr 2080.

  • @VichaoBabaK
    @VichaoBabaK ปีที่แล้ว +15

    Mambo ni matatu uku kenya. Kumbe kwenu ni matano❤

    • @salamasairo7452
      @salamasairo7452 ปีที่แล้ว

      Nice song

    • @nickalreadyknows
      @nickalreadyknows 9 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅😂 hatari

    • @ancytarimo1103
      @ancytarimo1103 8 หลายเดือนก่อน

      Hebu tuambie hayo ya Kenya ni yapi na yapi best. Plse niambie

  • @jumakatata8479
    @jumakatata8479 ปีที่แล้ว +12

    Haya kama unajua hii nyimbo kalengwa (GADNER) ndondosha likes kama zote..hahahah

  • @Riverbrd
    @Riverbrd ปีที่แล้ว +62

    The real queen is back. Beautifully composed, great vocals, and exquisitely shot. We want more Jaydee! ❤

    • @kakundejackson8666
      @kakundejackson8666 ปีที่แล้ว +2

      Sio wengine wa kuimba chapati na kutafuta views

  • @majotv3405
    @majotv3405 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe alimwimba GARDINER masikini

  • @febronjoseph2499
    @febronjoseph2499 ปีที่แล้ว +28

    Lady Jaydee is one of those artists that when I was younger I didn't understand but now I appreciate and respect her so much because her songs have deep connection with me

  • @makakawillys4133
    @makakawillys4133 ปีที่แล้ว +405

    I was playing this song so loud until my neighbor called the police. When the police arrived, they called the prosecutor, the prosecutor came and he then called the judge, when the judge came, he sentenced my neighbor for trying to kill the vibe😜😜🔥🔥

  • @milasbaibe307
    @milasbaibe307 10 หลายเดือนก่อน +6

    Jide kama jide always at her best big up East African Queen 🙌🙌🙌

  • @EliudiMsalale
    @EliudiMsalale 10 หลายเดือนก่อน +2

    Umeupiga mwing sana jd eliudi msalale

  • @OmaryJahazi
    @OmaryJahazi ปีที่แล้ว +3

    Jyd nakukubalikinooma

  • @cossythechef12
    @cossythechef12 ปีที่แล้ว +16

    How can we one day get a colabo of JayDee ft Sanai,
    These two should get enough respect,

  • @ngonde255
    @ngonde255 ปีที่แล้ว +4

    Mmmh! Dada auna mpinzani yani tangu enzi zileeee za wanaume Kama mabiti Bado unatoa Hit tu jaman raha sana💪💪💪💪

  • @goodluckpius1126
    @goodluckpius1126 ปีที่แล้ว +39

    Her style, her voice…She’s genuine talented 🤎

  • @achukamwalimu1596
    @achukamwalimu1596 ปีที่แล้ว +13

    Kenya tunasema MAMBO MATATU..🇰🇪. Jaydee Mwenyewe❤

  • @ibrahimismail8239
    @ibrahimismail8239 ปีที่แล้ว +5

    Atali..sanaaa..hii..nyimbo..nomaaaaaa❤

  • @deusdeditygeorge4748
    @deusdeditygeorge4748 11 หลายเดือนก่อน +5

    Big up Kenyans for giving out what you feel regarding Jaydee

  • @albertlokoya7937
    @albertlokoya7937 9 หลายเดือนก่อน +8

    Nimekuja kuusililiza huu wimbo baada ya Kifo cha Gardner G. Habash. Master piece song.

    • @JeniferMligo
      @JeniferMligo 8 หลายเดือนก่อน

      Like me😂😂😂😂

  • @MrAbudhari
    @MrAbudhari ปีที่แล้ว +8

    Yani mpk muda huu narudia tu hii ngoma yangu petwa toka mziki uwanze Tanzania ❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @john-ke5838
    @john-ke5838 ปีที่แล้ว +8

    Yahaya amerudi na taste mpya...well composed song🎉🎉🎉good melody...ako sawa🤗🤗🤗🍍🍍🍍🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 ปีที่แล้ว +1

    jide bhana anaweza tumia pesa mingi kwa kitu kidoogo....halafu akaja tumia pesa ndgo kwa jambo dogo sana....haya angalia

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 ปีที่แล้ว +12

    OUR SISTA JIDEEEE unafanya mziki starehe ufanyi mziki KAZI unatuumiza mashabiki..Bonge la ngomaa❤❤🎉🎉 upewe mauwa yako

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว +48

    Vocals safi the real African queen

  • @abdulazizhusein904
    @abdulazizhusein904 ปีที่แล้ว +37

    The true legend...I didn't expect jide can still match today's game... respect

    • @cheleosymon1802
      @cheleosymon1802 ปีที่แล้ว

      Weee... Jaydeee ni 🔥🔥🔥,,, yaani ni habari nyingine kabisa..

  • @TPLYRICS
    @TPLYRICS 11 หลายเดือนก่อน +1

    The Golden voice. Mtu aniletee @nyotaNdogo hapa. Hyo mama ananikasirisha. Mbona haiiimbi jamani😢. Ona mwenzake hapa

  • @FrolaMoses-zk6st
    @FrolaMoses-zk6st ปีที่แล้ว +8

    Huwimbo unamaana kubwa Sana hususani katika maisha ya kilasiku❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎧🎧🎧🎧

  • @videralfred8889
    @videralfred8889 11 หลายเดือนก่อน +2

    Siku hizi hatusemi sana, mambo 5 ya Jide yatosha et ❤

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx ปีที่แล้ว +1

    Instopable Lady Jaydee No One Like You ❤❤❤🎉🎉🎉 Kam Unamkubal Jaydee Wekeni Likes

  • @robbyartsproduction7606
    @robbyartsproduction7606 ปีที่แล้ว +2

    SISTER JUDITH WAMBURA SHIKAMOO# HAPA UMEIMBA SAUTI YA TUMBONI NO KUBANA PUA NEXT LEVEL VOCALIST YAANI NI FULL UFUNDI UMEONESHA CHUKUA SUBSCRIPTION YANGU RASMI.

  • @everlynewanjiku7968
    @everlynewanjiku7968 ปีที่แล้ว +20

    The queen of Tanzania music. Love you jaydee

  • @NeemaDanda-t1q
    @NeemaDanda-t1q ปีที่แล้ว +4

    Nimekuelew my dear nyimbo hainichoshi kusikiliza❤❤❤❤

  • @deecokujory
    @deecokujory 8 หลายเดือนก่อน +6

    Daaaaaah hiii nyimboo 😢😢😢 ndio kaondoka baba wa watuu

    • @JeniferMligo
      @JeniferMligo 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @jomu555
    @jomu555 ปีที่แล้ว +1

    Tupige like kwa ajili ya director

  • @georgiekanja
    @georgiekanja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Lady went hard like she wanted to prove something! Eti "Kunifikia inataka utayari"

  • @jacksonmmauta6115
    @jacksonmmauta6115 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo ndio huu sasa😊

  • @lyricsonly27
    @lyricsonly27 ปีที่แล้ว +34

    The fire in this song can cook rice in a second 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bestbeatstoreacid
    @bestbeatstoreacid ปีที่แล้ว +48

    They killed the beat with this flow!! 🔥🔥🔥🔥🔥🚀

  • @mumenguvuze2093
    @mumenguvuze2093 ปีที่แล้ว +6

    The flow of the story is just amazing ... Tanzanians tell relatable stories in their songs ... Am lucky I know and understand SWAHILI .. Lugha tamu sana ... Shairi with all VINA VYA KATI NA VYA MWISHO .... Kibwagizo etc etc... JUST BRILLIANT DELIVERY

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene ปีที่แล้ว +3

    Class is forever... Asante dada KOMANDO

  • @SEMAYOTE
    @SEMAYOTE ปีที่แล้ว +6

    Kenya imekubali 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @HANDSOMEDIA_bukavu
    @HANDSOMEDIA_bukavu 2 หลายเดือนก่อน

    from Congo DRC Bukavu, nampenda LADY JAYDEE SANA. ( dosez-dosez, leo sisemi sana.)

  • @florencerose859
    @florencerose859 ปีที่แล้ว +4

    Baado wewe ni moto wakuotea mbali🔥🔥nyimbo ni sawa kabisa 🇰🇪

  • @dushimirimanaaugustin5070
    @dushimirimanaaugustin5070 ปีที่แล้ว +3

    Much love from Kigali RWANDA 💙

  • @jameswaweru7695
    @jameswaweru7695 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nanii kama boss wa Ladies

  • @quentinmafwere545
    @quentinmafwere545 ปีที่แล้ว +1

    Daaah Hii ngoma kali mno.. anejua anajua tuu kwakweli

  • @chandamkopa
    @chandamkopa 3 วันที่ผ่านมา

    Ishi sana jide nakupenda Kila siku napiga nyimbo zako

  • @yJe461
    @yJe461 9 หลายเดือนก่อน +2

    Since the first 5hrs of release of this song I wholeheartedly love it:
    1) Sina pressure
    2) Sijanja kucheza
    3) Sifundishwi kupenda
    4) Sirundishwi mateka
    5) Moyo wangu ni treasure ❤ 🇰🇪🇰🇪

  • @SultanDean
    @SultanDean ปีที่แล้ว +5

    Thisis a hiiit. the queen is back to reclaim her throne 🔥. mjini hatujaja kucheza

  • @shukranikasereka716
    @shukranikasereka716 ปีที่แล้ว +9

    I was waiting for this for a long time.
    Merci beaucoup , nalingi yo makasi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👈

  • @ibubandana2228
    @ibubandana2228 ปีที่แล้ว +1

    Appreciate my queen unajua mpka unaboa

  • @nassorseif5633
    @nassorseif5633 ปีที่แล้ว +1

    Malkia wa BONGO flavour

  • @Monica-254
    @Monica-254 ปีที่แล้ว +4

    Kenya approves this is a hit the legend is back

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui ปีที่แล้ว +4

    Dada mkubwa hajawai kosea, kama nawe unakubali gonga like tumpe maua yake kabisa.❤❤❤❤

  • @egidiusjack5591
    @egidiusjack5591 หลายเดือนก่อน +7

    Tunaoyatazama mambo matano ya JD December 2024 gonga like

  • @RaidoRamadhani
    @RaidoRamadhani ปีที่แล้ว +1

    Lady jyde ndio yeye sauti tamu sana jamani

  • @anthonyndonde2970
    @anthonyndonde2970 ปีที่แล้ว +3

    The best of all lady singers!!

  • @iddiharidimohamedi5517
    @iddiharidimohamedi5517 ปีที่แล้ว +4

    My best song for 2023 🎉🎉🎉. Chukua maua yako Jide

    • @josephlyakurwa
      @josephlyakurwa ปีที่แล้ว

      Wimbo mzuri usio na matusi wala ngono