Lady Jay Dee.. you deserve more views than this.. This song is pure music. It on my repeat on Spotify.. Nahisi kama nyimbo nyingine zote hazina ladha zaidi ya hii.. 💖
“Popote po ulipoo pembeni yako nami nipoo sikomii nirudishe utotooni”… Huu mstari nimeupenda sana hapo sababu unanikumbusha mimi navokua natamani kuwa na mpenzi wangu all the time kama mtoto! Zaidi wimbo ume 🔥kinoma unafaa sana kum dedicate mpenzi wako na kufanya siku yake iwe poa.
Huu wimbo ni mzuri sana,melody na mashairi yake you killed it❤️👏Natamani nishinde trip ya Nairobi na Lady jaydee kwasababu 1. Natamani kukuona uso kwa uso nisikie sauti yako, nikushike mkono, unikumbatie, tuzungumze nipate kujifunza kutoka kwako maana sijawahi kupata nafasi ya kukuona uso kwa uso toka nimezaliwa, 2. Sijawahi kufika Nairobi kwahyo itakua dream come true, 3. Mimi ni shabiki ako wa muda wote nazielewa kazi zako, 4. Nakuadmire, Nakupenda sana❤️........ I found love, haya sio mapenzi, this is magic....🎵🎼🎧🎶#IFoundLove❤️
Mstari ninaoupenda zaidi ni "YOUR IN MY HEART, NAKUPENDA ZAIDI, NURU YANGU PEKEE, YOU ARE ALL I WANT TODAY" naupenda kwasababu unaelezea jinsi unavyojisikia kwa mpenzi wako. Pia unaongeza thamani kwa mpenzi wako. Sababu ya kuhitaji kuhudhuria show ya #lovesentence ni kutaka kusikia na kuenjoy mziki mzuri kutoka kwa real talents and legends musicians @lady jaydee
Duuuuuh....popoli popo! Atar Sana mstar niliyo upenda kwakwel n yot maan cjawai kukuona jdee unaimba ivi zaman Sana nakumbuk nyimb iv ulivaa tentemente atar ndo ulichez km umu
Your in my Heart nakupenda zaidi NURU yangu pekee nakupenda zaidi huu mstari c ni definition ya Huba langu so nikishinda hii trip mtaenda na baby wangu coz amekua mfariji wangu tangu nimpoteze Mama yangu mzazi alipewa sumu na watu wa karibu Sana ni ndugu kabisaa so naupenda huu wimbo like mmetuimbia Mimi na Mume wangu💕💕
Ngoma ya 🔥 sana Video ya kali sana tena ya mambele sana Beat ya 🔥 Sana Style Mmecheza Vzr Jidee nakukubali kwa ngoma hii kali shabiki yako npo nakufatilia
Napenda mistari yote ile huu zaidi "KWANZA UKIACHA LOVE SISI NI MARAFIKI" this means alot for lover's ♥️ mkiwa friend afu ni wapenzi inakuwa more than Better. Mstari wa pili naoupenda make kwanza nchekeee 😂😂 "POPO LIPO POPO KALALE NACHO KIDALIPO" Imenikumbusha nikiwa young aiseeee tulikuwa tukiiimba na kucheza na kufurah😂😂. That verse imenikumbusha hata watu ambao tushapoteana 🙌♥️ Nastahili kwenda na Jide na Rama NAIROBI KENYA, Kwanza kabisa me ni shabiki yenu kindakindaki, pili East Africa my dream Country to Visit ni KENYA 😋. Nimekuwa na ndoto ya kukutana na JIDE na ya kwenda outside TANZANIA,. kufika KENYA nikiwa bado sijafika 25. Nikipata trip ya kwenda Kenya na nyie ntakuwa nimetimiza ndoto mbili kukutana na nyie na kwenda Kenya.
I've always kept close tabs on Rama Dee's music as well as Jide's since back in the days. And these two have been consistently dropping classic jams without delivering "PREPOSTEROUS SCANDALS" in order to boost their jams
#kila mstar napenda kweny hii ngoma## ni Kali sanaa #sijui itakuaje sasa tareh 10 February 2023 #lovesentense_loading #i_found_love Kwanza ukiacha love Sisi ni marafiki Nisogezee huo mkono niushike Waziba njia tupishe Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here We ndo umefanya nifike Leka kwaya ya chibite
Jina Beatrice nasitahiri kushindaa zawadi ya VIP ticket kwenye siku ya I found love kwa sababu Lady jay Dee kwangu Mimi ni role modal, icon toka nikiwa mdogo Ni kioo changu cha kua jasiri Kama mtoto wa kike kupitia yeye kua miongoni mwa wànawake waliofanya vizuriiii katika tasinia ya mziki alinifanya nijiamini katika kila nachofanya. Lakini kwa bahati mbaya sijawahi kumuona live natamani kumuona live nitafarijika Sana kumuona hata tu nimuombe picha ya pamoja MTU ambaye anaimpact positive na kubwa kwenye maisha yangu. The best female artist of all time and I think she attracts strong people who want to succeed in life as she did and still winning🙏 namfatilia toka machozi bend mpaka I found love. Nampenda Mungu ampe maisha marefu bado nna mengi ya kujifunza from her.
The message that it carries reflects the true meaning of being in LOVE, added sounds 🎸🎹 the voices encourages a lot to listen to this song , video 📸 quality I give it 💯 . . . And I love that creativity "Po Po poo lipopooo . . . " , This song can be played in Weddings, send offs, occasinal events like Valentine's. . . All in all it's such a beautiful 🌹 song can't stop hitting it on my 🔊 speaker #Jidee & #Ramadee let's go to Nairobi Exposure and business integration is what we all need ✌️ #Fun&Melody : Never whaaaat...!? #NEVERREGULAR
I found love, I found love Haya sio mapenzi, this is magic Nastahili kwakuwa nitakuwa nimetimiza kiu ya moyo wangu Kwa wasanii wawili niliowapenda tangu zamani, lakini pia itanisaidia kuenjoy na kuongeza jambo ktk research yang
Izoo Melody ni hatariii Voice ni hatariii Video ni hatariiiiii Hili kolabo# ni balaaa2023 NA hapaaaa sasaaa ............... Kwanza ukiacha love Sisi ni marafiki Nisogezee huo mkono niushike Waziba njia tupishe Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here We ndo umefanya nifike Leka kwaya ya chibite
Kila napoisikiliza hi ngoma lazima ni comment....mistariii yote imesimama kwakweliii .....itakuaje sasa maraa paap #ladyjayd kasema nami nimoo....#kandoto akatimizaaaa...#foundLove..... Kwanza ukiacha love Sisi ni marafiki Nisogezee huo mkono niushike Waziba njia tupishe Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here We ndo umefanya nifike Leka kwaya ya chibite
"Breakfast in morning "... Unanipa supu matata...... Twende wote jikoni Singing,bread nimepaka.. Mstari wangu pendwa, Nafikiri safari ya Nairobi itanifaa kwa sababu mimi ni shabiki ninaewish kuona performance yako every year
I found love I found love Haya sio mapenzii,this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi,this is magic Hizo I love you,I love you too Tushavuka mipaka Ka kunipenda unanipenda tu NA wala sina mashaka Breakfast in the morning Unanipa supu matata Twende wote jikoni Siagi bread nimepaka.... ..NASTAIRI KABISA KUKAA VIP NIKITAZAMA PERFOMANCE #SAUTI TAMU KUTOKA KWA #komando jide nyimbo bola #waimbaji boraaa👊👊❤️❤️👏🔥🔥🔥🔥
The authenticity Jay Dee has is beyond this world. From the Early 2000s zile enzi ya "wanaume kama ma binti" hadi waleo hajabadilika. She's one of the realest Tz female artists I know. 💯👌🥰💪🏼
Aiseee I deserve this chance Mimi Nina miaka 20 na kwa muda mrefu nimekua nikiwafatilia wewe na bro Nina Playlist ya nyimbo zako jide nazisikiliza sana. Nishawahi kutoa ety tuko wote tunaimba back to back kwa hiyo kwenda wote Nairobi naona kama ndoto yangu itakua imetimia na Imani yangu kubwa ni Kuja kuonana n'a wewe Maan umezaliwa tarehe sawa n'a marehemu mama yangu June 15 Mstari wangu kabambe Humu kwenye song hili ni "Kwanza ukiacha love, Si ni marafiki Nisogezee huo mkono niushike Waziba njia tupishe Huko nyuma nshasahau kwa mikiki mikiki , We ndo umefanya nifike, Leka kwaya ya chiite" GOD BLESS YOU KOMANDO NA MAGICIAN RAMAR DEE
#i_found_love ni wimbo bomba sana ambao kiukweli Mimi napenda verse zote kweny hii nyimbo...na kutrip na jaydee to Kenya ni ndoto zangu pia naamin akuna asiyetaman kuwa karibu n #ladyjayde....... ❤️❤️I found love I found love Haya sio mapenzii,this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi,this is magic Hizo I love you,I love you too Tushavuka mipaka Ka kunipenda unanipenda tu NA wala sina mashaka Breakfast in the morning Unanipa supu matata Twende wote jikoni Siagi bread nimepata
Kiukweli Mimi sio mstariii ...ila naipenda mistariii yotee kweny hi nyimbo narudia..narudia ...yanu ni kurudiaaa tu...❤️❤️tarehe kumi napenda nkacheze hili ngoma live lakini na ngoma zote kaliii kutoka kwa #ladjaydee msimu huu wa #loveSentence #i_found_love I found love I found love Haya sio mapenzii,this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi,this is magic Hizo I love you,I love you too Tushavuka mipaka Ka kunipenda unanipenda tu NA wala sina mashaka Breakfast in the morning Unanipa supu matata Twende wote jikoni Siagi bread nimepata
This is just so amazing. Legend but still doing good music like you just came yesterday. Tanzanians should support Jay Dee to the maximum maze this views aren't adding up to me
Kwanza ukiacha Love si ni marafiki nisogezee huo mkono niushke waziba njia tupishe....This is the Best verse Kwa huu wimbo......I wish kwenda na Ladyjay dee Nairobi kuenjoy the Love I found.....#FoundLove# Goodmusic naVacation.....
Kwanza ukiacha love sisi ni marafikiii Nisogezee huo mkono ni ushikeee,,, Ya nyuma nshasahau kwa mikimikiii we ndo umefanya nifikee Leka kwa yaya chibiteee 😊 Nataman nile bata niwasikie mkiimba live tuu napenda kuimba nyimbo zako (mm sio mwanamuzik wala kipaj sina) ila nazipenda mno esp ule wa faraja daily lazima niusikilize 👌
That's song it's so hot" popote ulipo mimi nipo pembeni yako" natakiwa niende na nyinyi coz napenda muziki mzuri na muziki mzuri upo na nyinyi please I need that trip since kama huwezi kuwa mkweli
NASTAIR KABISA KUKAA #VIP NIKITAZAMA SHOW TAMU KWA SABABU ,KWANZA #ladjaydee NGOMA ZAKO ZOTE NI KALI❤️❤️#my FAVOURATE musician all time I found love I found love Haya sio mapenzii,this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi,this is magic Hizo I love you,I love you too Tushavuka mipaka Ka kunipenda unanipenda tu NA wala sina mashaka Breakfast in the morning Unanipa supu matata Twende wote jikoni Siagi bread nimepaka.... ..NASTAIRI KABISA KUKAA VIP NIKITAZAMA PERFOMANCE #SAUTI TAMU KUTOKA KWA #komando jide nyimbo bola #waimbaji boraaa👊👊❤️❤️👏🔥🔥🔥🔥
Kwenye hii nyimbo napenda mistariii yoteee ..ni ngoma Kali sana #ndoto yangu one day nije nishuhudie performance ya #ladjayde live .....#found love I found love I found love Haya sio mapenzii,this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi,this is magic Hizo I love you,I love you too Tushavuka mipaka Ka kunipenda unanipenda tu NA wala sina mashaka Breakfast in the morning Unanipa supu matata Twende wote jikoni Siagi bread nimepata
I found love,. I found love Haya sio mapenzi, this is magic Napenda huo mstari Sana maana, at my age na kua mimi ni single mother,kwa kweli nilipata mapenzi ya dhati..a magical kind of love. Na kwa kuwa Mimi niko huku tu Nairobi Kenya,naomba tu kurudisha watoto wangu shuleni,ila hela tu zanitatiza..@ladyjaydee..
#huu wimbo jamanii ...kwakwelii napenda mistariii yote iliyomo Ndaniii....#lakini swala la kwenda Nairobi ama kuwa moja kati mashuhuda wa #loveSentenc pale mlimanCity ni ..kwa Mtanzania yeyote yule nadhani anapenda apate hiyo nafasiii.. I found love I found love Haya sio mapenzii,this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi,this is magic Hizo I love you,I love you too Tushavuka mipaka Ka kunipenda unanipenda tu NA wala sina mashaka Breakfast in the morning Unanipa supu matata Twende wote jikoni Siagi bread nimepata
Wimbo mzuri sana, kama umerudia zaidi leo weka LIKE
Noma
Naomba Like kama umeangalia hili Goma Zaid ya mara Moja🔥🔥🔥🎶❤️
waoo
Sorry kwani tuki like comment yako, We zinakusaidia nini..?
❤️
Lady Jay Dee.. you deserve more views than this.. This song is pure music. It on my repeat on Spotify..
Nahisi kama nyimbo nyingine zote hazina ladha zaidi ya hii.. 💖
“Popote po ulipoo pembeni yako nami nipoo sikomii nirudishe utotooni”…
Huu mstari nimeupenda sana hapo sababu unanikumbusha mimi navokua natamani kuwa na mpenzi wangu all the time kama mtoto!
Zaidi wimbo ume 🔥kinoma unafaa sana kum dedicate mpenzi wako na kufanya siku yake iwe poa.
Sistr frani aliekubali kuzeheka ila uzee humtaki anazidi kufana nawakina #Yammi wa Nandy
#Komando_Lady_Jaydee🔥🎶💪
🔥🔥🔥 dada mkuu kwenye ubora wake 🤩🤩🤩 mwanamziki wangu wa kike wa muda wote Tz
Melody 💯
Voice 💯
Video quality 💯
Lady jaydee and ramadee
Anajuwa hadi anakera Sema nn namkubari sana lady Jayde mungu akupe umri mrefu sana haunaga baya wala skendi mbovu mbovu love so much
And the dance too....👌
Nmekaaa pale nawaaangalia ambao wanasem mziki mzuri UMEKUFA......! Jide & Rama 🙌🙌♥️♥️. Naona saiv mmejipanga kutake GRAMMY 😂😂 ILOVE U GUYS
Jide Tanzania ikuandalie sehemu yako ya kipekee nitawaeleza hadi watoto wangu na wajukuu nikibarikiwa kufika huko kuhusu wewe
Kaka ni nomaaa, jide kibokooo
Hatuna deni kwake sisi ndo anatudai kaka
Huu wimbo ni mzuri sana,melody na mashairi yake you killed it❤️👏Natamani nishinde trip ya Nairobi na Lady jaydee kwasababu 1. Natamani kukuona uso kwa uso nisikie sauti yako, nikushike mkono, unikumbatie, tuzungumze nipate kujifunza kutoka kwako maana sijawahi kupata nafasi ya kukuona uso kwa uso toka nimezaliwa, 2. Sijawahi kufika Nairobi kwahyo itakua dream come true, 3. Mimi ni shabiki ako wa muda wote nazielewa kazi zako, 4. Nakuadmire, Nakupenda sana❤️........ I found love, haya sio mapenzi, this is magic....🎵🎼🎧🎶#IFoundLove❤️
Siyo lazima yaimbwe matusi. Maana kamili ya mziki mzuri 🙌💪
Mstari ninaoupenda zaidi ni
"YOUR IN MY HEART, NAKUPENDA ZAIDI, NURU YANGU PEKEE, YOU ARE ALL I WANT TODAY"
naupenda kwasababu unaelezea jinsi unavyojisikia kwa mpenzi wako. Pia unaongeza thamani kwa mpenzi wako.
Sababu ya kuhitaji kuhudhuria show ya #lovesentence ni kutaka kusikia na kuenjoy mziki mzuri kutoka kwa real talents and legends musicians @lady jaydee
Huyu Dada Lady JD, Kanimaliza na kunipambaza roho sana tena sana. PONGEZI❤🎉LJD MOMBASA KENYA
Mamdogo napenda your melody Toka nakuaa mmeuaaaa🙌🙌🙌🔥
Duuuuuh....popoli popo! Atar Sana mstar niliyo upenda kwakwel n yot maan cjawai kukuona jdee unaimba ivi zaman Sana nakumbuk nyimb iv ulivaa tentemente atar ndo ulichez km umu
This is going to be the best song of the year 2023 🔥🔥🔥
Kama umesikia kigogo "Leka kwa yaya chibite" like basi twende sawa mdodoma mwenza
Namkubari sana Rama Dee hajawai kosea ni king of rnb Tanzania
siku atarudi i will comeback to see n wangapi walituombea
Lady J de, yaani una KIPAJI mpaka kimepitiliza. NAKUPENDA SANA.🙏🙏🙏
Jaman Leo silali nakesha 🔥🔥🔥🔥🙌
HERE I CAN SAY WE HAVE MUSIC I REALLY LOVE THE Chemistry. Nakupenda Sana Dada mkuu🇰🇪🇰🇪
Noma sana hawa wakifanya collabo
I found love hata kueleza siwezi this is magic 🎩 🎶🎶🎶🎶🎵....mdundo umependeza kweli
Every morning lazima nisikize hii truck
Napenda sana hyo song beat iko sawa lyrics ni fire ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Weka like tukienda kaboom😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Salute Kwa lady jaydee🇰🇪🇰🇪
I've indeed found love. Once a legend is always one.
Yeah man you guy bringing the good old days when world was so big 💗
Your in my Heart nakupenda zaidi NURU yangu pekee nakupenda zaidi huu mstari c ni definition ya Huba langu so nikishinda hii trip mtaenda na baby wangu coz amekua mfariji wangu tangu nimpoteze Mama yangu mzazi alipewa sumu na watu wa karibu Sana ni ndugu kabisaa so naupenda huu wimbo like mmetuimbia Mimi na Mume wangu💕💕
Ngoma ya 🔥 sana
Video ya kali sana tena ya mambele sana
Beat ya 🔥 Sana
Style Mmecheza Vzr
Jidee nakukubali kwa ngoma hii kali shabiki yako npo nakufatilia
Napenda mistari yote ile huu zaidi "KWANZA UKIACHA LOVE SISI NI MARAFIKI" this means alot for lover's ♥️ mkiwa friend afu ni wapenzi inakuwa more than Better.
Mstari wa pili naoupenda make kwanza nchekeee 😂😂 "POPO LIPO POPO KALALE NACHO KIDALIPO" Imenikumbusha nikiwa young aiseeee tulikuwa tukiiimba na kucheza na kufurah😂😂. That verse imenikumbusha hata watu ambao tushapoteana 🙌♥️
Nastahili kwenda na Jide na Rama NAIROBI KENYA, Kwanza kabisa me ni shabiki yenu kindakindaki, pili East Africa my dream Country to Visit ni KENYA 😋. Nimekuwa na ndoto ya kukutana na JIDE na ya kwenda outside TANZANIA,. kufika KENYA nikiwa bado sijafika 25. Nikipata trip ya kwenda Kenya na nyie ntakuwa nimetimiza ndoto mbili kukutana na nyie na kwenda Kenya.
I'm speechless for THIS...... But FOR what i can say now is that I FOUND LOVE ♥️♥️♥️♥️
this is the definition of music. everything is on point.
This song is a hit...am a tanzanian from SA,much love to Lady jay see,🇹🇿🇿🇦
Dada mkubwa umeuaaaa ,wewe noma,mtafute Dada mkubwa stars Thomas mtoe colable pamoja na Rama dee
I've always kept close tabs on Rama Dee's music as well as Jide's since back in the days. And these two have been consistently dropping classic jams without delivering "PREPOSTEROUS SCANDALS" in order to boost their jams
Sure budaaa
This is kind of music I have been missing
Beautiful Song from Tanzanian...✍️🎤🎧🎵🇹🇿💥💥💥💥💥💥💥💥
Wow 👌 👏 😍 ❤ nyimbo kali sana
#kila mstar napenda kweny hii ngoma## ni Kali sanaa #sijui itakuaje sasa tareh 10 February 2023
#lovesentense_loading
#i_found_love
Kwanza ukiacha love
Sisi ni marafiki
Nisogezee huo mkono niushike
Waziba njia tupishe
Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here
We ndo umefanya nifike
Leka kwaya ya chibite
2 legendary I love this combination
Jina Beatrice nasitahiri kushindaa zawadi ya VIP ticket kwenye siku ya I found love kwa sababu Lady jay Dee kwangu Mimi ni role modal, icon toka nikiwa mdogo Ni kioo changu cha kua jasiri Kama mtoto wa kike kupitia yeye kua miongoni mwa wànawake waliofanya vizuriiii katika tasinia ya mziki alinifanya nijiamini katika kila nachofanya. Lakini kwa bahati mbaya sijawahi kumuona live natamani kumuona live nitafarijika Sana kumuona hata tu nimuombe picha ya pamoja MTU ambaye anaimpact positive na kubwa kwenye maisha yangu. The best female artist of all time and I think she attracts strong people who want to succeed in life as she did and still winning🙏 namfatilia toka machozi bend mpaka I found love. Nampenda Mungu ampe maisha marefu bado nna mengi ya kujifunza from her.
🔥🔥jidejaydee unazidi kuwa msichana yaan,sauti yako,miondoko n.k. Mm kukupenda tuu❤️❤️
Goma la mwaka 🙌👌
The message that it carries reflects the true meaning of being in LOVE, added sounds 🎸🎹 the voices encourages a lot to listen to this song , video 📸 quality I give it 💯 . . . And I love that creativity "Po Po poo lipopooo . . . " , This song can be played in Weddings, send offs, occasinal events like Valentine's. . . All in all it's such a beautiful 🌹 song can't stop hitting it on my 🔊 speaker
#Jidee & #Ramadee let's go to Nairobi
Exposure and business integration is what we all need ✌️ #Fun&Melody
:
Never whaaaat...!?
#NEVERREGULAR
I found love, I found love
Haya sio mapenzi, this is magic
Nastahili kwakuwa nitakuwa nimetimiza kiu ya moyo wangu Kwa wasanii wawili niliowapenda tangu zamani, lakini pia itanisaidia kuenjoy na kuongeza jambo ktk research yang
The real meaning of Good music Rama dee and Komando Jide your the best ever
Nyimbo iko vizuri sana
Izoo Melody ni hatariii
Voice ni hatariii
Video ni hatariiiiii
Hili kolabo# ni balaaa2023
NA hapaaaa sasaaa
...............
Kwanza ukiacha love
Sisi ni marafiki
Nisogezee huo mkono niushike
Waziba njia tupishe
Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here
We ndo umefanya nifike
Leka kwaya ya chibite
Hold me tight Nakupenda zaidi we ni wangu pekee. We need vacations to motivate us 🙌 2023
This man is real music definition
Finally!! Welcome back Queen Lady Jaydee. Your sweet melodic voice makes the world much better, we missed it sooo sooo much!!
Matozo na hii zote nazielewa
your chemistry is nice
Am in love with ur voice Rama dee&big cc😘😍
Muziki umekutana na malejendari na vitamin muziki imetawala masikio💥💥💥
From Daban Always legends never fail big up for good music🔥🔥
Nothing to explain more than much love and respect to Jide.
Nice song.
Kila napoisikiliza hi ngoma lazima ni comment....mistariii yote imesimama kwakweliii .....itakuaje sasa maraa paap #ladyjayd kasema nami nimoo....#kandoto akatimizaaaa...#foundLove.....
Kwanza ukiacha love
Sisi ni marafiki
Nisogezee huo mkono niushike
Waziba njia tupishe
Ya nyuma nishasahau kwa mikiki mikiki here
We ndo umefanya nifike
Leka kwaya ya chibite
Pongezi kwako LedyJD ngoma inafundisha inaburudisha na inajenga kama unakubaliana nami wapi like.
"Breakfast in morning "...
Unanipa supu matata......
Twende wote jikoni
Singing,bread nimepaka..
Mstari wangu pendwa,
Nafikiri safari ya Nairobi itanifaa kwa sababu mimi ni shabiki ninaewish kuona performance yako every year
Siagi,not singing
This woman is dope..heshima anazo bado no dirty videos n vocals ❤ my sis frm tz i appreciate u
I found love
I found love
Haya sio mapenzii,this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi,this is magic
Hizo I love you,I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
NA wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepaka....
..NASTAIRI KABISA KUKAA VIP NIKITAZAMA PERFOMANCE #SAUTI TAMU KUTOKA KWA #komando jide nyimbo bola #waimbaji boraaa👊👊❤️❤️👏🔥🔥🔥🔥
Nyiè nyie nyie ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
The authenticity Jay Dee has is beyond this world. From the Early 2000s zile enzi ya "wanaume kama ma binti" hadi waleo hajabadilika. She's one of the realest Tz female artists I know. 💯👌🥰💪🏼
Wowww..always top jay deee🙌🏿🙌🏿🙌🏿😎
Safar ya Kenya, Zanzibar,. ZIMEISHIA WAP??? Nakupenda ivoivo na kauongo kako ♥️♥️😂😂🙌
Aiseee I deserve this chance Mimi Nina miaka 20 na kwa muda mrefu nimekua nikiwafatilia wewe na bro Nina Playlist ya nyimbo zako jide nazisikiliza sana. Nishawahi kutoa ety tuko wote tunaimba back to back kwa hiyo kwenda wote Nairobi naona kama ndoto yangu itakua imetimia na Imani yangu kubwa ni Kuja kuonana n'a wewe Maan umezaliwa tarehe sawa n'a marehemu mama yangu June 15
Mstari wangu kabambe Humu kwenye song hili ni "Kwanza ukiacha love, Si ni marafiki
Nisogezee huo mkono niushike
Waziba njia tupishe
Huko nyuma nshasahau kwa mikiki mikiki , We ndo umefanya nifike, Leka kwaya ya chiite"
GOD BLESS YOU KOMANDO NA MAGICIAN RAMAR DEE
#i_found_love ni wimbo bomba sana ambao kiukweli Mimi napenda verse zote kweny hii nyimbo...na kutrip na jaydee to Kenya ni ndoto zangu pia naamin akuna asiyetaman kuwa karibu n #ladyjayde.......
❤️❤️I found love
I found love
Haya sio mapenzii,this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi,this is magic
Hizo I love you,I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
NA wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepata
This song is a hit 🔥 I am from northeast India this song is all over the internet 😮I love it 😅
Actually
#Rama_Dee
Never disappoint
#I_found_LOVE🔥🔥🔥🔥
Timeless voice, timeless diva. Umechinja sis
Kiukweli Mimi sio mstariii ...ila naipenda mistariii yotee kweny hi nyimbo narudia..narudia ...yanu ni kurudiaaa tu...❤️❤️tarehe kumi napenda nkacheze hili ngoma live lakini na ngoma zote kaliii kutoka kwa #ladjaydee msimu huu wa #loveSentence
#i_found_love
I found love
I found love
Haya sio mapenzii,this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi,this is magic
Hizo I love you,I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
NA wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepata
This is just so amazing. Legend but still doing good music like you just came yesterday. Tanzanians should support Jay Dee to the maximum maze this views aren't adding up to me
there she's here we Goo Queen 👸 Of FleVa 😍❤️..Rama Dee Never disappointin
Wachawi R&B all the time...Rama Dee Lady J Dee nawaelewa sana nyie watu since day 1.🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Keeping the good music alive ✊
Kwa wasanii wa kike lady jaydee ndio meimbaji Bora Tanzania muda wote
Chuma Kwa chuma mafundi wamekutana Yani ni🔥🔥🔥🔥🔥🙌
This combination is fire🔥🥶
Kwanza ukiacha Love si ni marafiki nisogezee huo mkono niushke waziba njia tupishe....This is the Best verse Kwa huu wimbo......I wish kwenda na Ladyjay dee Nairobi kuenjoy the Love I found.....#FoundLove# Goodmusic naVacation.....
4rever young ma dada 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Love from Kenya 🇰🇪
The Dee's, the two legends
Kwanza ukiacha love sisi ni marafikiii
Nisogezee huo mkono ni ushikeee,,,
Ya nyuma nshasahau kwa mikimikiii we ndo umefanya nifikee
Leka kwa yaya chibiteee 😊
Nataman nile bata niwasikie mkiimba live tuu napenda kuimba nyimbo zako (mm sio mwanamuzik wala kipaj sina) ila nazipenda mno esp ule wa faraja daily lazima niusikilize 👌
Hello jaydee lovely❤😊😊 May God keep you safe and happy always 😊❤❤❤
That's song it's so hot" popote ulipo mimi nipo pembeni yako" natakiwa niende na nyinyi coz napenda muziki mzuri na muziki mzuri upo na nyinyi please I need that trip since kama huwezi kuwa mkweli
Asee napenda sana lady jaydee anavyoingia " if you love me I love you too" Twende Nairobi msiniache sijawahi fikaa😥😥
Nan karudia zaid ya mara moja kuangalia vdeo hii TH-cam na huku kesha download kam mim 😂♥️♥️♥️
NASTAIR KABISA KUKAA #VIP NIKITAZAMA SHOW TAMU KWA SABABU ,KWANZA #ladjaydee NGOMA ZAKO ZOTE NI KALI❤️❤️#my FAVOURATE musician all time
I found love
I found love
Haya sio mapenzii,this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi,this is magic
Hizo I love you,I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
NA wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepaka....
..NASTAIRI KABISA KUKAA VIP NIKITAZAMA PERFOMANCE #SAUTI TAMU KUTOKA KWA #komando jide nyimbo bola #waimbaji boraaa👊👊❤️❤️👏🔥🔥🔥🔥
Hakika Hawa waandishi wamejua kuuvaa uhusika vilivyo🔥🔥🔥👌
Kwenye hii nyimbo napenda mistariii yoteee ..ni ngoma Kali sana #ndoto yangu one day nije nishuhudie performance ya #ladjayde live .....#found love
I found love
I found love
Haya sio mapenzii,this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi,this is magic
Hizo I love you,I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
NA wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepata
Wimbo ni mtamu sana i found love hatari toka asubui sauti iko juuu sana😋😋😋😋
Bonge la wimbo aiseee miss U Sana dada Jdee unajua unajua tu......dada ya yahaya unaishi wapi!!!
Hataliii brooo Ramadii Yani kauwa kama chike wa Nigeria hizo melody hata,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is so beautiful. ❤️❤️ Vibration 🔥
Mwaka huu kuna kazi kweli, wenye bongo flavor wamerudi kama wanaanza dada angu hapa numuona mbichiiiii
beautiful song, cant get enough of it🥰kudos guys
I found love,. I found love
Haya sio mapenzi, this is magic
Napenda huo mstari Sana maana, at my age na kua mimi ni single mother,kwa kweli nilipata mapenzi ya dhati..a magical kind of love.
Na kwa kuwa Mimi niko huku tu Nairobi Kenya,naomba tu kurudisha watoto wangu shuleni,ila hela tu zanitatiza..@ladyjaydee..
#huu wimbo jamanii ...kwakwelii napenda mistariii yote iliyomo Ndaniii....#lakini swala la kwenda Nairobi ama kuwa moja kati mashuhuda wa #loveSentenc pale mlimanCity ni ..kwa Mtanzania yeyote yule nadhani anapenda apate hiyo nafasiii..
I found love
I found love
Haya sio mapenzii,this is magic
I found love
I found love
Hata kueleza siwezi,this is magic
Hizo I love you,I love you too
Tushavuka mipaka
Ka kunipenda unanipenda tu
NA wala sina mashaka
Breakfast in the morning
Unanipa supu matata
Twende wote jikoni
Siagi bread nimepata
youtube advert help me ,kuwa hapa kenya 254 love it
Bwana rama hajawahiii koseaaa noma saaana 🙌🙌🔉🔉🔊
Hii ngoma ni kubwa sana
Hamjawahii toaaa ngoma mbovuuu nyie combination yenu sio poaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉