Kwenye fomu zetu kuna sehemu ya kuweka tiki ikiwa unataka gawio lako kila mwezi au kila baada ya miezi 6 kwa mfuko wa Bond, kwenye App utaona gawio hilo ikiwa limekuza mtaji au kutolewa tu. na Gawio ikiwa litatoka litaingia katika benki akaunti yako uliyotujazia kwenye fomu.
Nitajuaje nimekamikisha usajili kwa usahihi?? Kwanini mtu akijaza form na nyie mkishaipokea na kuhakiki kwanini msimtumie sms kua amekamilisha usajili ili mtu awe na uhakika

Amin, Amin nawaambia; Hizi ndo habari za kusikiliza for the better 2morrow. "Mshirika hakika ktk uwekezaji"
Karibu UTT AMIS.
mm naomba kufaham ikiwa nitawekeza milioni kumi nitapatiwa gawio la Tsh ngapi kwa mwezi
Kuna kitu kinaitwa " vipande" hii imekaaje maana nashindwa kuelewa vizuri.
Nina app natoaje gawio
Kwenye fomu zetu kuna sehemu ya kuweka tiki ikiwa unataka gawio lako kila mwezi au kila baada ya miezi 6 kwa mfuko wa Bond, kwenye App utaona gawio hilo ikiwa limekuza mtaji au kutolewa tu. na Gawio ikiwa litatoka litaingia katika benki akaunti yako uliyotujazia kwenye fomu.
Nitajuaje nimekamikisha usajili kwa usahihi?? Kwanini mtu akijaza form na nyie mkishaipokea na kuhakiki kwanini msimtumie sms kua amekamilisha usajili ili mtu awe na uhakika
Unachukuaje gawio lako
Kwenye fomu zetu kuna sehemu ya kuweka tiki ikiwa unataka gawio lako kila mwezi au kila baada ya miezi 6 kwa mfuko wa Bond, kwenye App utaona gawio hilo ikiwa limekuza mtaji au kutolewa tu. na Gawio ikiwa litatoka litaingia katika benki akaunti yako uliyotujazia kwenye fomu.
@@uttamiss nilijaza kupata gawio kila mwezi ila na naona imeongezea łąki 2 lakini hakuna kitu kimeingia kwenye account yangu