SHEIKH OTHMAN MAALIM NA BOPAR WAWAFUTA MACHOZI WATU WALIOLIA MAISHA MAGUMU PEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @al-mamarial-mamari5457
    @al-mamarial-mamari5457 7 หลายเดือนก่อน +3

    Maneno yako ni kweli brother Bopar. Allah akuzidishie rizki na wale wale na uwezo basi Allah awape imani yakuweza kutoa. Ameen

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp 7 หลายเดือนก่อน

    MASHALLAH TABARAKALLAH ILYK allah izidak fii dunya wa akherah INSHALLAH BRAVO

  • @BimkubwaOthman
    @BimkubwaOthman 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yaa rabbi awajaalie niingie Imani muwakumbuke na wazee wetu WA tibirinzi muwakumbuke nao Allah awajaalie muzidi kuwa na roho y Imani Kwa uwexo wake

  • @RitbayRitbay
    @RitbayRitbay 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah amjaalie nuru ya duniani na akhera amuhifadh kila aina ya maradhi amjaalie sah na afya ya raab

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akuzidishie rizki na akutilie baraka katika mali zako amin 🤲LAKİNI pia usiwasahau watu wa mkowani pia wanahitaji sana.

  • @AliyHemed
    @AliyHemed 7 หลายเดือนก่อน

    Namuomba allah amjalie bopar ampe maisha ya kheri na yey na amuingize katika pepo yak amiin

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 7 หลายเดือนก่อน

    Ma Shaa Allah...Allah akujaalie Pepo ya firdaus

  • @jumaahmadi
    @jumaahmadi 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah nalia kwa furah kubwa kwakua akh umejua ndgu zetu wa hari ngum sana allh akulipe akh matajir wote wa tz na bar unapesa ila wanawasahu ndgu zao

  • @aishamohamed5033
    @aishamohamed5033 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah mashallah. Allah amhifadhi kaka etu bopar na amzidishie alichokitoa alahmdulilah tumshukuru Allah

  • @SaidKassim-e9w
    @SaidKassim-e9w 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awafanyie wepes katika kila hali

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 7 หลายเดือนก่อน +2

    napenda ht hv anavo jituma huyo bopari masha allah honger sana

  • @OmanOman-gu1wy
    @OmanOman-gu1wy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujaz kher baba bopar ndunianii nakher nafurah kwakufik nyumban kuon jamaazet wameonekan

  • @massykgaassfghjkkl5364
    @massykgaassfghjkkl5364 7 หลายเดือนก่อน

    Jazaka'Allahu

  • @mwajumaramadhan4127
    @mwajumaramadhan4127 7 หลายเดือนก่อน

    Ameena yaaraabbi

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 7 หลายเดือนก่อน +2

    hawa wameomba duwa mzur masha allah ameen

  • @talhiyaibrahim1074
    @talhiyaibrahim1074 7 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akufanyie wepesi akupe Tele na Tele uzid kukumbuka waislam wenzako wenge Hali za nchini Allah atakulipa khr dunia na akhera

  • @SleepyChocolateBonbons-ib6hv
    @SleepyChocolateBonbons-ib6hv 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awajalie maisha marefu kikund cha mzee bopar na watu walo mzunguka ka shekh othuman na mtangazaj pia anaitaj pongez popot alipo bopar na yup rashid heshima kwak kk

  • @hamadfakhi3195
    @hamadfakhi3195 7 หลายเดือนก่อน

    Allah awalipe duniani na akhera me naomba Allah ajaalie muende na kaskazini pemba

  • @alexkatana5037
    @alexkatana5037 7 หลายเดือนก่อน

    Allah Azidi Kukupa Afya Na Maisha Marefu

  • @OmaryAlly-mn6cv
    @OmaryAlly-mn6cv 7 หลายเดือนก่อน

    Mwenye kutoa sadaka kwamkono wake anafafhila zaidi kuliko anatosadaka kwamtuma mtu mwengine kumtolea. Allah ampe kheri zaidi Bopar nakila mwenyekutoa.

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaaallah ,lkn na znz kwa babangu mtu mzima jamani mumkumbuke yupo migombani

  • @fahadKorit
    @fahadKorit 7 หลายเดือนก่อน

    Bado hamjatembelea kibit pwani karibuni sana

  • @RuwaidaAli-b3w
    @RuwaidaAli-b3w 7 หลายเดือนก่อน

    I wish governor wamombasa afanyi hivi

  • @HussainAbdallaAli
    @HussainAbdallaAli 7 หลายเดือนก่อน

    Tunaelewa juhudi zenu lakini pia nawaomba km sio mwaka huu basi mwakani lkn tunaomba mufike wambaa kuna watu wanamahitaji makubwa sana wambaa ni kubwa sana lkn wote na kila maaeneo ni wahitaji wa hiyi swadaka

    • @MbaroukMbarouk-gd9yg
      @MbaroukMbarouk-gd9yg 7 หลายเดือนก่อน

      maashaallah

    • @saudmohammed3390
      @saudmohammed3390 7 หลายเดือนก่อน +1

      Maa Shaa Allah
      Allah akubarikieni akuzidishieni mufanikiwe zaidi Yaaaaaarabi Ameeeeeen

  • @abuuhafswa
    @abuuhafswa 7 หลายเดือนก่อน

    tanga ndio wapi uko mkoani

  • @JumaNdago-i5t
    @JumaNdago-i5t 7 หลายเดือนก่อน

    Ukiamuakutoa swadaka siokujitangaza kamahivi kujitoa katika vyombo via habari tukumbuke njiazakutoa swadaka bado niziro

    • @silimakhamis7088
      @silimakhamis7088 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana dini imeturuhusu
      إن الذين يتلون كتاب الله و أفاموا الصلاة و أنفقوا مما رزقناهم *سرا و عالمية*...
      Hili linashawishi na kuwapa Mori wengine
      Allaah amlipe sh saidi bopar

    • @SubiraOmar-ld5bx
      @SubiraOmar-ld5bx 7 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @SubiraOmar-ld5bx
      @SubiraOmar-ld5bx 7 หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa

  • @SalehKhamismohd
    @SalehKhamismohd 7 หลายเดือนก่อน

    Mbon huk wapo