Ahsante kaka yangu. Hakika tangu nimeanza kukufuatilia, ninapata uwepesi ktk kichwa changu. Na kwakweli, wewe umekuwa ni muongozo mzuri kwangu. Nakuelewa sana kiukweli. Mungu akubariki kwa kazi yako.
asante sana kaka somo nzuri sana Mimi ni shawahi kuwa na vita na mdogo ju alitaka kuuza shamba ni kamkanya asiuze shamba ikawa chuki na vita Kali sana uyo kaka akatangaza hali ya hatari lazima ataniua ju namzuia kuuza shamba nilikachini ni kaafikiria ikiwa nitakufa ju ya shamba ni wanangu wataumia ju uyo kaka hawezi saidia nilifanya maamuzi ya kuacha na mambo ya shamba kabisa nikapata job Saudi Arabia niko na amani na iyo shamba ikauzwa sikuhusika hata kidogo napenda sana channels zako na watch nikiwa Saudi Arabia lakini Mimi ni mkenya napenda channels za Tanzania zote ubarikiwe sana bro
thanks mwalimu,hakika umeongeza mafuta katika kupuuzia baadhi ya vita. binafsi nakumbana na vita nyingi mno katika maisha na hazina tija nimejifunza zaidi kunyamaza na hii ni dawa tosha kabisa.
nime kutana na vita kubwa na vitahiyo ningeamua kuipambana kabisa ningeshinda lakini ataningeshi baada yahapo ningekua mtu masikini saana kabisa na ingekua vigumu kufikia malengo yangu sasa moyowangu unasema eti pambana na iyi vita akilizangu zinanambia ukipigana iyi vita na ukashinda unaenda pabaya sasa nika tizama iyi video njo ikanichochea vizuri nikaacha ku pigana iyi vita Asante J Nanauka Mwenyezimungu akupe mwisho mwema
Hizi vita zote kwa kweli tunapatana nazo kila kukicha. jambo la maana ni vile umeweza kufafanua na namna ya kuzipigana. asante sana MWALIMUNANAUKA Maneno ya kinywa chako yanaridhisha mno.
Vita ya Kwanza ilinikumba Sana maeneo ya kzn kwangu mpaka nilitamani kuacha kazi , Ila nilipokuja kugundua sio kila vita nishike bunduki zingine nikupotezea Tu, mpaka sasaiv namshukuru MUNGU mpaka sasaiv sina stress nazidi kusonga mbele , nakushukuru Sana teacher Joel Allah bless you 🙏
Yani kaka yangu kuna watu wamekamatwa ufahamu hapa napo ishi ni shida Kila iitwapo leo wananioiga vita hatari, mwisho napoteza mda, pesa, thamani, kupitia wewe cwezi fanya makosa tena nashukuru much respect brooo
Asanteee sana kaka naomba kuuliza..mimi mtu nkishamuona kabisa hanifai kwenye maisha yangu huwa naamua kuachana nae completely ikiwa amenitenda vibaya huwa siwezi hata kumuuliza kwa nini alifanya hivyo zaid namtoa kabisa katika mfumo wa maisha yangu..hivi hii ni tabia njema kweli???
Ukweli sana hakuja sababu yakupigana vita yakipuuzi Mfano kunamtu anakufuata nakuanza kusema mwingine vibaya hapo ukichangia tu anakwenda kwayule mtu nakusema kwamba wewe ndio umemsema vibaya. Ahsante sana Bro
Yaani hili somo la leo karibia vita vyote vinanipitia yaani ili tuu mtu akuone mbaya kisha akuone huna maendeleo na wakikuona unamaendeleo wanakufanyia vita bila kujua ila muhimu kukalibiana navyo Ahsante sana brother somo zuri nimejifunza vitu vingi hapa👏👏barikiwa sana brother
provokers nimekutana nayo few weeks ago. the place where i have been working. i decided to quit a job istead of lose my energy there. thank you for sharing
Nilivyotoka kwenye Vita ya kwanza nikakutana na vita ya pili Daaahh!!! Af mbaya zaidi mm wananiletea vita ndugu ,wanaanzisha kitu af ukijibu wakiona sijafika kwenye jibu walilotaka wanasambaza Wanachua jibu langu wanalikuza vibaya af wanalisambaza familia zote 😁😁😁😁Hadi kwa MAMA,wanasahau yule hawezi kunisaliti coz ananijua vyema zaidi yao. Maisha bhana
Nishakutana na Vita ya Kwanza,ilinipotezea miezi 5 bureee ila kwa upande wa hela ilikua inatakiwa nitumie sana pesa na walioianzisha wananichochea nitumie Pesa kuimaliza nikagoma kutoa Pesa zaidi.Na walijua lazima nitumie Pesa nyingi mpk nimalize ,Niliposhtuka lengo lao ,niliiacha ile vita kwa sababu kila nilipoiangalia ile Vita haina mwisho naweza kutumia pesa zote na nisiipatie muafaka,nikashukuru Mungu imetokea huenda ilipangwa itokee basi nikaiacha japo bado inaniumiza akili Miaka 6 sasa . Mpaka leo tumechuniana japo ni ndugu na naendelea kuua undugu kama walivyoanza wao.
Reasonable bro, sema kuna watu wengine wanakuja n'a mashambulizi ambayo yanaonyesha négative impacts moja kwa moja , Sasa watu Kama hao utaaachaje kuanzisha vita nao???
Kweli bisa teacher nimeekuelewa vita vya kupigana ni vita vya maendekeo yakimaisha sio vita vya kupigana na watu vita vina rudisha watu wengi nyuma kimaisha kimaendeleo
Aaante sana nilisha pitia hiyo vita na hadi sasa napigana namtu wa aina 4 ila kupitiya hi video ninayo inaona kwa sasa inanibadirishia maamuzi nilikuwa nimeshika kwa sababu ya kazi mtu ninae tumikanae yani hizo 4 ulizo zitaja ndivyo alivyo ila kesho nazani nita badiri mtazamo
Watu wanaotaka kukupotezea rasilimali ulizonazo...hii vita kwa upande wangu ndio inayonisumbua...imefika pahala najikuta..nashindwa kupiga hatua..sabb ya wao...plz nishaur...niweze...kuondokana nalo hili...
brother kunakitu nataka unisaidie watu wengi weminishika akili kwamba kila ninachotaka kufanya wanatambua hususa eneo langu lakazi mawazo mengi yanajitokeza yakwangu ntawezaje kujua saikolojia yamtu ilimridi mawazo yangu yasionekane....
Asante sana brother kama unamkubaligi mkaka uyu gonga likes.......
Ahsante kaka yangu. Hakika tangu nimeanza kukufuatilia, ninapata uwepesi ktk kichwa changu. Na kwakweli, wewe umekuwa ni muongozo mzuri kwangu. Nakuelewa sana kiukweli. Mungu akubariki kwa kazi yako.
asante sana kaka somo nzuri sana Mimi ni shawahi kuwa na vita na mdogo ju alitaka kuuza shamba ni kamkanya asiuze shamba ikawa chuki na vita Kali sana uyo kaka akatangaza hali ya hatari lazima ataniua ju namzuia kuuza shamba nilikachini ni kaafikiria ikiwa nitakufa ju ya shamba ni wanangu wataumia ju uyo kaka hawezi saidia nilifanya maamuzi ya kuacha na mambo ya shamba kabisa nikapata job Saudi Arabia niko na amani na iyo shamba ikauzwa sikuhusika hata kidogo napenda sana channels zako na watch nikiwa Saudi Arabia lakini Mimi ni mkenya napenda channels za Tanzania zote ubarikiwe sana bro
thanks mwalimu,hakika umeongeza mafuta katika kupuuzia baadhi ya vita. binafsi nakumbana na vita nyingi mno katika maisha na hazina tija nimejifunza zaidi kunyamaza na hii ni dawa tosha kabisa.
Ahsante sana kaka Joel hakika mungu amekubariki ,tangu nianze kufatilia vipindi vyako najiona nabadilika napata elimu kwa kweli .honhera
nime kutana na vita kubwa na vitahiyo ningeamua kuipambana kabisa ningeshinda lakini ataningeshi baada yahapo ningekua mtu masikini saana kabisa na ingekua vigumu kufikia malengo yangu sasa moyowangu unasema eti pambana na iyi vita akilizangu zinanambia ukipigana iyi vita na ukashinda unaenda pabaya sasa nika tizama iyi video njo ikanichochea vizuri nikaacha ku pigana iyi vita Asante J Nanauka Mwenyezimungu akupe mwisho mwema
Hizi vita zote kwa kweli tunapatana nazo kila kukicha. jambo la maana ni vile umeweza kufafanua na namna ya kuzipigana. asante sana MWALIMUNANAUKA Maneno ya kinywa chako yanaridhisha mno.
Vita ya Kwanza ilinikumba Sana maeneo ya kzn kwangu mpaka nilitamani kuacha kazi , Ila nilipokuja kugundua sio kila vita nishike bunduki zingine nikupotezea Tu, mpaka sasaiv namshukuru MUNGU mpaka sasaiv sina stress nazidi kusonga mbele , nakushukuru Sana teacher Joel Allah bless you 🙏
dahh bro kiukweli napenda kupigana vita zote kwa hili nimejifunza vingi bless up 🙏
Yani kaka yangu kuna watu wamekamatwa ufahamu hapa napo ishi ni shida Kila iitwapo leo wananioiga vita hatari, mwisho napoteza mda, pesa, thamani, kupitia wewe cwezi fanya makosa tena nashukuru much respect brooo
safi sana Nanauka J namshukuru MUNGU kwa ajili yako Joel, pia nimejua kuwa vita ni ya BWANA MUNGU
Daah asnt sana broo
Asanteee sana kaka naomba kuuliza..mimi mtu nkishamuona kabisa hanifai kwenye maisha yangu huwa naamua kuachana nae completely ikiwa amenitenda vibaya huwa siwezi hata kumuuliza kwa nini alifanya hivyo zaid namtoa kabisa katika mfumo wa maisha yangu..hivi hii ni tabia njema kweli???
Si kila vita n yakupigana ....naona unasema mm moja kwa moja Mwenyez mungu akubariki sn
Barikiwa,sana mtunisha kufundisha jamii.
Yaani asante, , nimejifunza kitu
Ukweli sana hakuja sababu yakupigana vita yakipuuzi Mfano kunamtu anakufuata nakuanza kusema mwingine vibaya hapo ukichangia tu anakwenda kwayule mtu nakusema kwamba wewe ndio umemsema vibaya. Ahsante sana Bro
Yaani hili somo la leo karibia vita vyote vinanipitia yaani ili tuu mtu akuone mbaya kisha akuone huna maendeleo na wakikuona unamaendeleo wanakufanyia vita bila kujua ila muhimu kukalibiana navyo Ahsante sana brother somo zuri nimejifunza vitu vingi hapa👏👏barikiwa sana brother
Kweli kabisa watu wasio na faida bora kuwa epuka
Elimu nzuri Sana ktika jamii yetu ukiususha mazingira na maisha yetu kiujumla. God bless u
Big up wew no moja coach menter Wang mm nipo Zanzibar nakufuatilia sana kupitia TH-cam only naitaji niongee naww
Nimetokea kukuelewa sana
Siku hizi sauti inakuwa chini sana
Nimekuelewa sana ßrother #NANAUKA🤙🤙
god bless u bro
Thank you brother umenisusa sana
Asante kaka Kwa ujumbe mzuri
Tupo Pamoja Asante SANA
Thanx broo unanipa mwanga
This is so inspired bro Joel, much love from +254.
Rwanda tunakufwatilia sana Big up N
Am proud of you bro.... Kila siku najifunza kitu kipya kwako.... Vita ya kwanza ndio ambayo napigana nayo zaidi ktk maisha yangu.
Ameee🙏🏻🙏🏻
Aisee so motivated
Hakuna barabara iliyonyooka kwenye maisha.Tupigane vita yenye manufaa kwetu.Thank you for inspiration
Daaah! Its Veeeerrrrryyyy Fantastic Points...Respect broo...
provokers nimekutana nayo few weeks ago. the place where i have been working. i decided to quit a job istead of lose my energy there. thank you for sharing
Awo ni mahasidi tu, 2020
Safi sana
shukran mkuu
Nilivyotoka kwenye Vita ya kwanza nikakutana na vita ya pili Daaahh!!! Af mbaya zaidi mm wananiletea vita ndugu ,wanaanzisha kitu af ukijibu wakiona sijafika kwenye jibu walilotaka wanasambaza Wanachua jibu langu wanalikuza vibaya af wanalisambaza familia zote 😁😁😁😁Hadi kwa MAMA,wanasahau yule hawezi kunisaliti coz ananijua vyema zaidi yao.
Maisha bhana
Nishakutana na Vita ya Kwanza,ilinipotezea miezi 5 bureee ila kwa upande wa hela ilikua inatakiwa nitumie sana pesa na walioianzisha wananichochea nitumie Pesa kuimaliza nikagoma kutoa Pesa zaidi.Na walijua lazima nitumie Pesa nyingi mpk nimalize ,Niliposhtuka lengo lao ,niliiacha ile vita kwa sababu kila nilipoiangalia ile Vita haina mwisho naweza kutumia pesa zote na nisiipatie muafaka,nikashukuru Mungu imetokea huenda ilipangwa itokee basi nikaiacha japo bado inaniumiza akili Miaka 6 sasa .
Mpaka leo tumechuniana japo ni ndugu na naendelea kuua undugu kama walivyoanza wao.
LIVE LONG BROTHER NANAUKA JOEL.
Naam, Sawasa👊
Mm nimekutan nazo zote ijapokuwa tena ni ndugu wa karibu na kuzaliwa nao
Asante sana DR. JOEL 💯
Barikiwa kaka Joel.
Me nimekutana nao live daaah kwann sikuuona hii video mapema
JoelNanauka mungu akuzidishie brz, thanks kwa time yko kutukumbush v2 mhm..
Safi sanaa, nimeipenda.
Nimeputia maguu nakufwatilia nimejifunza mengi hadi wanaona aibu wanikutata vilevile
Umenibadilisha sana kama unakitabu nijulishe
kweli kabisa anakusemesha neno la kejeli ili tu wanajamii wakudharau,nimekuelewa mwalimu
pole sana kaka lakini hiyo vita mbeleni haina umuhimu kwako utapoteza muda kaka
Shukran kwa kutuelemisha brother nakubaliyana nawe yote uliyosema yapo
Asante sana broo mungu akubariki nimepata njia ya kuepuka vitayoyote itakayoo kuja ya mikakati
Umenipa kitu kipyakabisa japo nimewahi pambana bila kujua
Asant sana mwalimu Joel Nanauka
Amen baba ubarikiwe nikweli basisa unacho kiongea
Imeniumiza moyo hii video yaani Joel ni Kama unanidadavulia mapito yangu ddah! Yaani imenisisimua hasira ile mbaya
Pole ndg
tnks be blesed
tnks be blesed
morning Nanauka.
Sina Neno Zaidi ya Ahsante Brother🤝
Sina budi kusema Asante kwa upload hii, ni muhimu sana kwa yeyote yule anayetaka kujua jinsi ya kujitegemea tena kutimiza malengo yake👏👍
Nashukuru sanaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Asante sana MUNGU akubaliki
Reasonable bro,
sema kuna watu wengine wanakuja n'a mashambulizi ambayo yanaonyesha négative impacts moja kwa moja , Sasa watu Kama hao utaaachaje kuanzisha vita nao???
Asante sana Sir. This is my personal growth
Asante sana kaka
Yaani ulichofundisha.kimenipamwanga.vita hiyo hasa Vita ya majeruhi imeniweka Mahali pabaya mno
Thanks so much Sir,Iyo nikweli kabisa katika maisha ya mwanadamu inatokea sana zaidi
Kweli bisa teacher nimeekuelewa vita vya kupigana ni vita vya maendekeo yakimaisha sio vita vya kupigana na watu vita vina rudisha watu wengi nyuma kimaisha kimaendeleo
Asante kakangu nimejifuza
imekaa vizur Sana
Sounds good
kabisa ayo yamenikuta lakini sikupigana
Somo zuri ahsante
Aaante sana nilisha pitia hiyo vita na hadi sasa napigana namtu wa aina 4 ila kupitiya hi video ninayo inaona kwa sasa inanibadirishia maamuzi nilikuwa nimeshika kwa sababu ya kazi mtu ninae tumikanae yani hizo 4 ulizo zitaja ndivyo alivyo ila kesho nazani nita badiri mtazamo
Exostives ni wengi,asante kwa kunfanya nwatambue zaid,
Two points in blue are very strong
Great.
Asante sana
Good
Well said...kaka Joel now you may start to produce DVDs series from these topics
Ahsante sana kwa ushauri🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Watu wanaotaka kukupotezea rasilimali ulizonazo...hii vita kwa upande wangu ndio inayonisumbua...imefika pahala najikuta..nashindwa kupiga hatua..sabb ya wao...plz nishaur...niweze...kuondokana nalo hili...
Blessed
Asante!!
Moj ya vita nayoendelea kukabiliana nayo n vita kati yangu na wezi wa rasimali muda ambapo kwa sas hatuwez kuonan bila miadi ya apointment
kaka kwann Ayo mambo usiandike kitabu
asante
Nice life coach.
Huwa ninakuelewa saana.
Karibu sanaaaa🙏🏻🙏🏻
nikweli ndugu ulivyoongea umenigusa sana
❤
Nitakupata vipi kwa whatsapp
Shukran
Thankx kwa kututia nguvuu....
Kaka Joel vitabu navipataje simu napiga hazipokelewi
Bro unasema kwel kabsaa,unatujenga sana
🙏🙏🙏🙏
brother kunakitu nataka unisaidie watu wengi weminishika akili kwamba kila ninachotaka kufanya wanatambua hususa eneo langu lakazi mawazo mengi yanajitokeza yakwangu ntawezaje kujua saikolojia yamtu ilimridi mawazo yangu yasionekane....
😘
Mfano umetengenezewa kesi unafanyaje?
Asante sana