Kura za maoni Reuters: Kamala amzidi Trump, amshambulia kwenye mkutano wake wa kwanza wa kampeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 187

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx หลายเดือนก่อน +31

    Trump huwez kushindana nae lipo kusudi la mungu juu yake si rahisi sniper akakukosa risasi si rahisi ni neema tuu ya mwenyez mungu..

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz หลายเดือนก่อน +3

      Sniper hakukosi Trump alipanga kila ki2 kupata wafuasi wengi zaidi

  • @sulwajackson6906
    @sulwajackson6906 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu mbariki uyu Mama aongoze, wanawake tunaweza

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele หลายเดือนก่อน

      Wewe mnywa gongo yaan mungu ambariki shetan? Yaan watu wanaosapti ushetan huyu mwanamke ndio wale wakufilana

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE หลายเดือนก่อน +1

      jinga lingine

    • @DaimonMwapelele
      @DaimonMwapelele หลายเดือนก่อน

      @@PAULNYANDILE kweli jinga lingine Ila siku utajua ukiwa umechelewa ndipo utatambua watetez wa haki za binadam haki za wanawake haki za watoto nimadhetan sio binadam wenye macho hawaambiwi ona Kama na wewe ni shetan bas shangilia maana utawala wenu umekuja

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

      Unajua kuwa chama Chao ndo kinabariki na jusimama,ndoa za jinsia Moja?, ushoga, usagaji,utoaji mimba etc?
      Au unaangalia tu sbb mwanamke?

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

      ​@@DaimonMwapeleleachana nao wabongo hawajui ht siasa za Marekani
      Hapo anaona kisa mwanamke 😂

  • @bizzoforreal8502
    @bizzoforreal8502 หลายเดือนก่อน +7

    Team Kamala gonga like tujuane

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 หลายเดือนก่อน +7

    Marekani kuongozwa na mwanamke bado sanaaaa.....

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 หลายเดือนก่อน +3

      Kabisa

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx หลายเดือนก่อน +2

      Jinsia sio ishu tena miaka hii, usikariri

  • @jumashedafa
    @jumashedafa หลายเดือนก่อน +10

    Kama ni kwa maneno atashinda ila kiutendaji na kuipeleka marekan mbele ni Trump..Huyu akiwa Rais hawez kuwa na msimamo binafsi lazima afuate mawazo ya Biden na Wafuasi wake

    • @joshuayasolo4199
      @joshuayasolo4199 หลายเดือนก่อน +4

      Trump time alikuwa Prezzo alifanya nini zaidi ya ubaguzi dhidi ya Black America???

    • @jumashedafa
      @jumashedafa หลายเดือนก่อน +1

      @@joshuayasolo4199 kwa mtazamo wako na huyo kamala naye

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 หลายเดือนก่อน +1

      Amerika haingozwi kwa misimamo na matamshi ya mtu mmoja kaka!

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 หลายเดือนก่อน +30

    Trump atashinda . Hizo ni mbwembwe tu. 🇨🇩 🇺🇸

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 หลายเดือนก่อน +5

    Nadhani kuna mpango wa Mungu duniani kwa sasa. Kuna something hidden before us. God help the World

    • @wewa7329
      @wewa7329 หลายเดือนก่อน

      Mungu yupi

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 หลายเดือนก่อน +3

    I love Kamala Harris but this time vote is for Donald Trump.

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba Mungu kamala apite

  • @ibrahimcongeram.806
    @ibrahimcongeram.806 หลายเดือนก่อน +20

    Tatizo lake Kamala anaunga mkono sana vita viendelee hiyo ndio tatizo

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 หลายเดือนก่อน +4

      ONGEZ NA USHOGA PIA

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi หลายเดือนก่อน +5

      Sio kamala tu, ni sera ya Chama chao pia😂😂😂😂

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 หลายเดือนก่อน +2

      Vita rasmiiii ya NATO na Russian itakuja live live

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 หลายเดือนก่อน +2

      Vita sio sera ya chama wala ya mtu ni sera ya Inchi ya marekani!

  • @gracenizigama695
    @gracenizigama695 หลายเดือนก่อน +17

    I still believe Trump atashida

    • @ibrahimcongeram.806
      @ibrahimcongeram.806 หลายเดือนก่อน

      Whatever trump is or however he don't like Afrika we like his plan to stop the war between Russian and Ukraine

    • @gracenizigama695
      @gracenizigama695 หลายเดือนก่อน

      @@ibrahimcongeram.806 that's not my concern

    • @gracenizigama695
      @gracenizigama695 หลายเดือนก่อน +3

      @@ibrahimcongeram.806 because even Africans we don't like each others

    • @kaittheleast
      @kaittheleast หลายเดือนก่อน

      ​@@ibrahimcongeram.806 however he don't

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 หลายเดือนก่อน

      ​@@ibrahimcongeram.806The in ukrine its not a person mission but USA policy

  • @user-es7jn7cp5d
    @user-es7jn7cp5d หลายเดือนก่อน +6

    Mimi niko nyuma ya mama Kamala Niko na ndoto za kuzamia marekani sasa huyo mbagunzi trump ata haribi ndoto zangu

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE หลายเดือนก่อน +1

      sawa maku

  • @morrismburu
    @morrismburu หลายเดือนก่อน +15

    Hizo polls za uongo brother

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 หลายเดือนก่อน +3

    Let's see hii move hatar

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 หลายเดือนก่อน +8

    As long he is alive...he will win....

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ampe nguvu

  • @harrymwinuka5930
    @harrymwinuka5930 หลายเดือนก่อน +7

    Naona kura za maoni za wanaSNS zinaendelea kumpa ushindi Trump.!!

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  หลายเดือนก่อน +4

      Itabidi tuweke mkeka hapa kwakweli

    • @Josemlowe
      @Josemlowe หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa

    • @Josemlowe
      @Josemlowe หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa

    • @Josemlowe
      @Josemlowe หลายเดือนก่อน

      Nikweli kabisa

  • @officiallugano8991
    @officiallugano8991 หลายเดือนก่อน +2

    As long as he's alive, he'll win

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA หลายเดือนก่อน +1

    Utakuta nyuma ya pazia analiwa na trump😅😅😅

  • @REVOCATUSEVODIUS
    @REVOCATUSEVODIUS หลายเดือนก่อน +1

    Hatari

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +6

    Trump juu

    • @mussaisaac
      @mussaisaac หลายเดือนก่อน

      Juu zaidi

  • @Bumutz-po2df
    @Bumutz-po2df หลายเดือนก่อน +6

    Wamarekani sio wapumbavu ata siku moja hawawezi kumpa Nchi aongoze mwanamke never gonga like apa ✅👍

  • @ntezealoyce7043
    @ntezealoyce7043 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa hapo tramp ndo kampata atakae mpa mshike mshike,,na huyu mama anamjua tramp vizuri,anajiamini sana huyu mama

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 หลายเดือนก่อน +8

    Hiyo Swaga tuuu Trump ndo Rais Ajaye

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid หลายเดือนก่อน +4

    Mm pia naomba uyu sis ashinde wallai

    • @omarymwaluko8653
      @omarymwaluko8653 หลายเดือนก่อน +1

      ili iweje

    • @KassimKhalaid
      @KassimKhalaid หลายเดือนก่อน

      @@omarymwaluko8653 nfo asked recod kama mwanamke wa kwanza kutawala us tena black mwenzetu vp apo

    • @KassimKhalaid
      @KassimKhalaid หลายเดือนก่อน

      @@omarymwaluko8653 akue mwanamke wa kwanza kwa rekod ya us tena black mwenzetu ama

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 หลายเดือนก่อน

      Wabongo wajingaaa

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 หลายเดือนก่อน

      Una sababu zipi za kuomba Kamala ashinde??

  • @anandumishoo6840
    @anandumishoo6840 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyenzi mungu ambariki uyu mama awe Raisi Aamiin.

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi หลายเดือนก่อน +2

    Wanawake ni wengi kuliko wanaume lazima ashinde

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน +1

      Marekani sio km Tanzania
      Namna Yao ya kupiga kura sio km kwetu huku.
      Fuatilia

    • @MajutoElliasi
      @MajutoElliasi หลายเดือนก่อน

      @@christinewomanoffaith5479 kure wanapenda haki sio kwetu huku wanahimba kula

  • @togetherwecansolve
    @togetherwecansolve หลายเดือนก่อน +1

    Im seeing kamala harisi wining over Donald Trump just because of point moja tu Tena nikwasababu ya yeye kuwaunga mkono mkono mashoga na wasagaji zaidi pia wanawake lazi wavutiwe kuongozwa na mwanamuke mwenzao.

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo chama cha Biden kwa uongo wako vizuri . Moja kwao lazima wongeze sifuri iwe kumi😂😂😂

    • @user-jh9yv1zp1l
      @user-jh9yv1zp1l หลายเดือนก่อน +1

      Ach majungu mpumbv ww,nitajie hoja za chama cha trump zeny ukwel,sis tz sjui tunaroh za aina gan ,unamchukia mtu asiekujuw na hana faid naww nyambafu

    • @FrankDavid-en6on
      @FrankDavid-en6on หลายเดือนก่อน

      ​@@user-jh9yv1zp1l acha matusi weka hoja huenda ww ndie nyambafu shoga mkubwa wewe

  • @alphadreammedia
    @alphadreammedia หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaaa tunamuombea Trump ashinde huyu mama anasapoti ushogaaa 😢😢😢

    • @PaulMasega-yy3sz
      @PaulMasega-yy3sz หลายเดือนก่อน

      Kwel afadhali apite Trump kwasabab yy hasapoti, na anafikiria kuhusu Amani. Ila akipita huyu Kamala sijuw Dunia itakuwaje an

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn หลายเดือนก่อน

    Mungu msaidie huyu mama aje ashinde urais wa marekani

  • @lizaeli6732
    @lizaeli6732 หลายเดือนก่อน +5

    Guys tuombe saana Mungu na atusikie Trump ashinde lasivyo vita ya civil war itakuwa kubwa saana

    • @wewa7329
      @wewa7329 หลายเดือนก่อน

      Sasa Mungu akusaidie Trump ashinde kwamba Mungu ampigie kampeni au

  • @StarMerinyo
    @StarMerinyo หลายเดือนก่อน +1

    Alikuwa mwanasheria hivyo anajua Siri zake zote

  • @user-lq4cm4rq6z
    @user-lq4cm4rq6z หลายเดือนก่อน

    Trump mshindi ila hao wanaweza kupinduwa meza wakampa huyu mwanamke

  • @benjaminkilepo8489
    @benjaminkilepo8489 หลายเดือนก่อน +2

    Trump ✅

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele หลายเดือนก่อน

    Hawa ndio wasagaji na chama chao cha wafilaji

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaweza kuwa na Samia mwengine

    • @saidkipalo4427
      @saidkipalo4427 หลายเดือนก่อน

      Haiwezekani Utanikumbuka........

  • @davisnitu890
    @davisnitu890 หลายเดือนก่อน +4

    Biden inasemekana hajaaga mashindano ila kaaga Dunia

  • @yohanamlowe704
    @yohanamlowe704 หลายเดือนก่อน

    Mmmh mbombo ingafu😊

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel หลายเดือนก่อน +5

    Jamani tusipo mchaguwa trump sijuwi hiii nchi itakuwaje . Sasa wewe mama kuliko useme makubwa utafanya muinchi unaanza kuhusu trump ju awonekane vibaya kwa watu tutamu vote mutake msitake. Mungu tusaidiye trump awe rahisi

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 หลายเดือนก่อน

      Chizi wee hata kiswahili hujui kuandika mpumbavu mkubwa

    • @karaniomoit5259
      @karaniomoit5259 หลายเดือนก่อน

      Rudi kwenu Tanzania

    • @RandB_Channel
      @RandB_Channel หลายเดือนก่อน

      @@ashuraomar4935 chizi niweye wemkurura muone kwani nilikuita kwanye comente yangu stupid.si uje unifunze kwa andika. Kiherehere tu .apa kila mtu anauhuru wake wakuandika maoni yake 😏😏

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny หลายเดือนก่อน

    We don’t want her

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA หลายเดือนก่อน

    Tusubiri uchaguzi utasikia mwamke kaanguka kwa sauti moja tu🎉

  • @juliuskitomari3057
    @juliuskitomari3057 หลายเดือนก่อน

    Ila bhana,kuna watu wanaijua siasa

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx หลายเดือนก่อน

    Huyu mama mbona ni kama amekuja kubadili kabisa upepo😅

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo หลายเดือนก่อน

    Trump ndie Rais wee mama ondoka

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali kamala aris

  • @ramadhaninassoro7386
    @ramadhaninassoro7386 หลายเดือนก่อน

    Wamarekani wengiwao walichoshwa na hawa wagombea wazee walikuwa wanatamani sura mpya kwaiyo kuja kwa huyu mama inafanya wamarekani washushe pumzi. Nipo Istanbul Turkey

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน +3

    Uongo huo huyu hawez chaguliwa malaya

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 หลายเดือนก่อน

      Matusi ya nini?

    • @karaniomoit5259
      @karaniomoit5259 หลายเดือนก่อน

      Mama Yako ndo malaya

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 หลายเดือนก่อน

      mamako ndio malaya mbwa wewe

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 หลายเดือนก่อน

      @@karaniomoit5259 Marekani siyo wajinga hawawezi mpa huyo kituko

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน

    Trup baguzi kweli kweli halifaiiii

  • @AliAli-hs8si
    @AliAli-hs8si หลายเดือนก่อน

    Naam tujureee we are happy

  • @mwalizijulius1687
    @mwalizijulius1687 หลายเดือนก่อน

    Dunia nzima uzumbu kuku ni mwingi sana ,,uchawa ndio kabisaa

  • @emanuelmushi9917
    @emanuelmushi9917 หลายเดือนก่อน

    Kamala must go

  • @POLITICS_WAR_DIPLOMACY
    @POLITICS_WAR_DIPLOMACY หลายเดือนก่อน

    Siasa za matusi mpaka Marekani zipo😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

    Harris na chama chao cha kuhamasisha ushoga akafie mbele huko

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 หลายเดือนก่อน

    Bado us hawako tayari kuongozwa na mwanamke.

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd หลายเดือนก่อน +2

    Hawa wote kwa sisi waafrica hawatusaidii ni bora tu america i fall down

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 หลายเดือนก่อน +3

    Deep state nyuma Yake🙄🙄🙄

  • @user-rq8zq1mf7u
    @user-rq8zq1mf7u หลายเดือนก่อน

    Mnaodhan wamarekan wanawaza jinsia mnajidanganya

  • @BMFURAHAKWANZA
    @BMFURAHAKWANZA หลายเดือนก่อน

    Mwanakuma atuongoze kweli haiwezekani

    • @EK-kp2np
      @EK-kp2np หลายเดือนก่อน

      Kafanana na mamio

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 หลายเดือนก่อน

    Wew bundara tunakupenda unajuwa kuchambuwa naunasema ukwer

  • @REVOCATUSEVODIUS
    @REVOCATUSEVODIUS หลายเดือนก่อน +1

    Dangerous

    • @KassimKhalaid
      @KassimKhalaid หลายเดือนก่อน

      @@REVOCATUSEVODIUS ndio

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk หลายเดือนก่อน

    Reuters reports huwa ni fake 😂😂😂

  • @gosbertireneus5558
    @gosbertireneus5558 หลายเดือนก่อน

    mpaka hapo Rais wa marekani ameshajulikana,tukutane mwezi November 2024

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni propaganda tu wakilenga Kamala Harrris aonekane ana nguvu ya kushindana na Trump ili apewe ticket ya kupeperusha bendera ya Democratic.

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM หลายเดือนก่อน

    hakuna raisi mwenye huruma na Africa wote ni wale wale

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน

    Kwani mwanamke kinachomshinda ni nini? Acheni mfumo dume.wewe unayesema mwanamke hawezi kuongoza Marekani hata uwezo wa kuongoza familia huna

  • @SamweliJacob-bm2ij
    @SamweliJacob-bm2ij หลายเดือนก่อน

    mwanamke hawez kuiongoza malekani hato sikumoja kama mi mwongo subilini muone

  • @BrunoDerick-y5d
    @BrunoDerick-y5d หลายเดือนก่อน +3

    Yaani huyu mwanamke ndo awanyoshee vidole kina kim, putin na ayatolla wa iran

    • @franktangeki9342
      @franktangeki9342 หลายเดือนก่อน +2

      ndio.Kwani Samia hawanyooshi humu humu tu tz kwa mfano ? si mnalia tozo kila siku

    • @BrunoDerick-y5d
      @BrunoDerick-y5d หลายเดือนก่อน

      @@franktangeki9342 we huyu hawawezi trump ndo anawaweza

    • @stevenlugojeremia2323
      @stevenlugojeremia2323 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@franktangeki9342sasa wewe nae unafananisha Uwongozi wa Marekani na Tanzania 😅

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 หลายเดือนก่อน +1

      Chizi wee angalia nchi yako achana na America yetu

    • @BrunoDerick-y5d
      @BrunoDerick-y5d หลายเดือนก่อน

      @@ashuraomar4935 acha trump harudishie america heshima yake sikiliza sera zake mbon yuko tu vizuri

  • @michaelkavavila7371
    @michaelkavavila7371 หลายเดือนก่อน

    Mkakati was.kwanza was trup ulikua kuhamisha makao makauu kutoka telvivu kwenda yerusalemu.kafanikiwa bidenb aliletwa kuhakikisha Israel inaingia vitani kwa kuonekana hehe nidhaifu.trup anarudishwa kuhakikisha gaza in aka a chini ya himaya ya israel na marekani.hakuna hesbolah walla ha mass,walla vikundi vitakavyo much kichapo.trip anapita

  • @barakabosco4407
    @barakabosco4407 หลายเดือนก่อน +1

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 หลายเดือนก่อน

    Kamala amuulize vizuri Hillary Clinton.

  • @PaulMasega-yy3sz
    @PaulMasega-yy3sz หลายเดือนก่อน

    Washaanza hujuma Hawa Trump sahz ni Kam Hana mshindani, utashangaa anapita Kamala Haris 😂😂.

  • @Stillrunlikeaball
    @Stillrunlikeaball หลายเดือนก่อน +6

    Raisi ajae wa American ni Kamala Harris eka kumbukumbu ya text hii

    • @MaishanaDavid-ej1ic
      @MaishanaDavid-ej1ic หลายเดือนก่อน +1

      Trump atashinda uraisi namimi comment angu naiweka iwe ukumbusho..

    • @Gersah
      @Gersah หลายเดือนก่อน

      I will back again 🎉🎉🎉

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm หลายเดือนก่อน

    huyu kwasababu black, wamarekan watageza.. weus wa marekan wabaguz

  • @subiramwaka9792
    @subiramwaka9792 หลายเดือนก่อน

    Wacha iendelee kunyesha tutajua panapovuja.

  • @bakundukizetz3880
    @bakundukizetz3880 หลายเดือนก่อน

    Trump atashinda

  • @hikupskikons8914
    @hikupskikons8914 หลายเดือนก่อน

    Akipita kamala haris vita ya tatu inaweza kutokea kabisa

  • @Clever_boy_benett
    @Clever_boy_benett หลายเดือนก่อน

    Uki achana nayote tatizo lake ni kuwa mwanamke lazima watu wamu zarau

    • @paulntalima6998
      @paulntalima6998 หลายเดือนก่อน

      Hii n marekani sio Africa Kamala atashnda

  • @SIMONHERMAN-qv2ln
    @SIMONHERMAN-qv2ln หลายเดือนก่อน

    Kama ana hatia mbona amewashnda kesi?
    Na mbona hamjib nan yupo nyuma ya shambulio la rsas?
    Tunajua mnamuogopa tramp... Na ameshashnda hta kabla ya uchaguz

  • @abubakarsaidi6658
    @abubakarsaidi6658 หลายเดือนก่อน

    Nayakubali maneno ya dj smaa tramp hawez kushinda haijalishi atakua nauwezo wakushinda

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f หลายเดือนก่อน

    Mama jitahidi, utakuja kukutana na kina boss Putin.

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo na Trump hawa wengine ma tapeli tu na ma chetani

  • @BrunoDerick-y5d
    @BrunoDerick-y5d หลายเดือนก่อน +2

    Huyu akiingia marekani itakufa kabisa

    • @shantisam-wo8wj
      @shantisam-wo8wj หลายเดือนก่อน

      Yupi sasa

    • @isihakarajabu2549
      @isihakarajabu2549 หลายเดือนก่อน

      Marekani mfumo ndo unatawala Rais hana power kubwa, kumbuka hata ugomvi kat ya Kim na trump tulifikir vita itakuwepo ila mamlaka ya Rais ni madogo katika kuamua tofaut na urus au Korea

  • @ndigimunaziri3575
    @ndigimunaziri3575 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanamke USA ni Doto kuwa Rais

  • @noelnjementi8511
    @noelnjementi8511 หลายเดือนก่อน

    Ila tunakuomba uondowe awa wachampuzi wako unao waretaga kwenyee hii chaner tukufu atuwatak Hawa wachambuzi wako waplopaganda zakidini uchwara uchwara usiwarete atuwataki

  • @JAPHETJOSEPH-b6e
    @JAPHETJOSEPH-b6e หลายเดือนก่อน

    Sniper kamkosaaaa!!! Hivi Mungu Afanye nini ili mjue kuwa ni MUNGU????? Trump must win bcs God have protect him for Americans

  • @claudiaelianekayinamura2281
    @claudiaelianekayinamura2281 หลายเดือนก่อน +2

    Kamala is up by grace of God

    • @MaishanaDavid-ej1ic
      @MaishanaDavid-ej1ic หลายเดือนก่อน

      Awapi!! Mungu yupo na trump risasi kumkosa kosa is big sign from God th-cam.com/video/2WmE_KmXsCw/w-d-xo.htmlsi=H49fSL9M7TloQ-rk

    • @ellymaz2187
      @ellymaz2187 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mama anayeshabikia ushoga ndiyo Mungu yupo pamoja naye?

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 หลายเดือนก่อน

    Uongo kabisa

  • @fredrickkagwa8853
    @fredrickkagwa8853 หลายเดือนก่อน

    Trump atashinda japo democrasia itakufa na kuanzisha amri za ajabu (Church & State Union). Kilio kinakuja maana Heritage foundation manifest mmmmm😮

  • @PhilipPhanuel
    @PhilipPhanuel หลายเดือนก่อน

    Trump sera yake yakufukuza Wageni ndio itamuangusha.

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 หลายเดือนก่อน

    Trump anashida

  • @espoiraklonda8664
    @espoiraklonda8664 หลายเดือนก่อน

    Hahaha😂😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz หลายเดือนก่อน

    TRUMP KAMWE HAJAWAHI KUSHINDWA NA MWANAMKE😂😂 MNAJITEKENYA TU NAKUJICHEKESHA😂😂 MMAREKANI KATU HATACHAGUA MWANAMKE

  • @RehaniKharidi-st4oe
    @RehaniKharidi-st4oe หลายเดือนก่อน

    Trump mashine nyingine huyu hawzi

  • @InnocentZamkulu
    @InnocentZamkulu หลายเดือนก่อน +4

    Naona wa TZ mna shabikia Trump ukizani atalisaidia Tanzania kwa lolote. Shabikieni inchi yenu.

    • @ashuraomar4935
      @ashuraomar4935 หลายเดือนก่อน

      Safi kabisa

    • @HAMZADADI-y9p
      @HAMZADADI-y9p หลายเดือนก่อน +2

      C kumshabikia Trump,bali ni msimamo wake wa kuweza kusitisha vita baas, huoni vita vinavyoendelea vinakuathiri hata wewe nchini mwako,DUNIA INATAKA VITA IISHE WAKIWEMO NA WATANZANIA PIA NA C KUSHABIKIA MAREKANI AU TRUMP

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo หลายเดือนก่อน

      ​@@HAMZADADI-y9pkweli kabisa

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 หลายเดือนก่อน

    So itabir simpson unaweza kuwa kwel,but not now
    Na utabir wa yule prophet miaka almost 63 iliyopita ndio huu nn?Deep state

  • @goldmansun5859
    @goldmansun5859 หลายเดือนก่อน

    Nimewah kusikia Simpson prediction kuhusu hii ishu,inaweza kuwa sio mwaka huu,also prophet uerbert angel akimnukuu prophet fulan aliish miaka 63 iliyopita,she will raise in power kwa styl hii hii,n bring America to her knees n destruction, plus speed up the coming of antichrist, and here she is ,ngoja tuone ,tuendelee kuchek muvi,kikikosa saiz kitachukua after Trump coz lazima kiuchumi wayumbe then persecution inafuata, great persecution

  • @MaishanaDavid-ej1ic
    @MaishanaDavid-ej1ic หลายเดือนก่อน +1

    Kamala akishinda mnitafute ntagawa kila nlichokuwa nacho th-cam.com/video/2WmE_KmXsCw/w-d-xo.htmlsi=H49fSL9M7TloQ-rk

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 หลายเดือนก่อน

    Kamala up

  • @directortwicep3028
    @directortwicep3028 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama anaweza shinda mmarekani bwanaaa nchi haiongozwi na Rais kunavteam inaendesha Rais marekani ni jina tu ba atakuwa rais Mwanamke