Reminds me of how we used to sing this in the morning parade before classes started in the 80s. Golden memories back in the village, God is great when you consider how poor my family was then and how God has been faithful and provided for us until now. Beautiful song. Take me back to my spiritual roots.
Jamani Nabarikiwa na Kwaya hii Niliotokea Kuipenda hapa Tanzania hasa kipindi yupo Marehemu Asheri Lungwa,jamani wekeni hata Album "Nchi nzuri", " Kukonda Kwangu","Asali Kidogo" jamani Album hizo Ninazihitaji mno zinanibariki na Kuninyanyua hatua nyingine ya Kumuona Mungu
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 Nashukuru basi kwa hiyo Kaseti ya Baba Yetu ,Ninaomba uzibadili zote hizo ,sijui unapatikana wapi maana,Ninaweza Nikatafuta hizo Kaseti ili Nipate msaada wako kwa urahisi.
@danielmaniche9015 Naam na patikana nambari tunashukuru Mungu kwa siku hizi teknolojia ipo vizuri sana aijalishi upo mbali vipi kaseti izo zitafika salama kabisa ni badili na ziwe sawasawa na Mda itakuwa jambo la busara sana ndugu
Naam kaka ulizotaja ni za kwaya hii au kwaya nyingine.ndipo nipate urahisi wa upatikanaji wa hizo nyimbo maana kuna kwaya nyingi zenye mistari kama ulio andika... nakuomba hukumbuke jina la wimbo na kwaya halisi nami nakuwekea hapo hapo
Thank you Sir! Just in time - the Christmas is around the corner. A very touching song. You made my upcoming holiday even more enjoyable. Barikiwa sana Bwan Emmanuel.
Kwakweli Sijui unapatikana wapi na hata kama Ninazo Kaseti za nyimbo za Kwaya ya Uinjilisti Uvuke hapo zamani Dodoma kwaya Nakupataje ili Nikupatie,Mimi Niko Dodoma Ninapoishi,wewe Mwenzangu unaishi wapi?.

Amen 🙌 glory be to God
50 years later from the 1970s, you still inspire my heart. Songs birthed from scriptures. God bless you ...
Glory be to God subscribe to be updated stay tuned for More
Bibilia Husema Studios, Kijabe by Pastor Christopher Mutai 1980s. That was great here in Kenya
Mungu awabariki popote mlipo wanakwaya ni nyimbo nzuri inafundisha sana inatupa raha ndani ya mioyo yetu
Wow safi sana.....ndio huu umuhimu wa kuwa na hizi nyimbo maktabani maana they have the fresh memory of many years ago. God bless you.
Amen thank you..be blessed
Hakika mtumishi Emmanuel Peter Ume hifadhi dhaabu halisi
Reminds me when Christmas was real.
Good memories ❤
Love it listen to it
I love your songs combination God bless
Thanks for letting me know that... Stay tuned
Machozi tu ya furaha ya kristo
Asante Sana Kwa wimbo mtamu huo unaweza kutuwekea wimbo uko na tune kama hiyo lakini unaitwa ufunuo was yoana ubalikiwe sana
Best Choir
Thank you once again for downloading this song. These are my all time songs!
I just love and like these songs.
Jamani Nabarikiwa na Kwaya hii Niliotokea Kuipenda hapa Tanzania hasa kipindi yupo Marehemu Asheri Lungwa,jamani wekeni hata Album "Nchi nzuri", " Kukonda Kwangu","Asali Kidogo" jamani Album hizo Ninazihitaji mno zinanibariki na Kuninyanyua hatua nyingine ya Kumuona Mungu
Kwa kweli hulizozitaja kwangu sina pengine ukiwa na kaseti izo wasiliana nami ilinizibadili kwa mp3 (converting)
@@emmanuelpetertruegospelcha3331 Nashukuru basi kwa hiyo Kaseti ya Baba Yetu ,Ninaomba uzibadili zote hizo ,sijui unapatikana wapi maana,Ninaweza Nikatafuta hizo Kaseti ili Nipate msaada wako kwa urahisi.
@danielmaniche9015 Naam na patikana nambari tunashukuru Mungu kwa siku hizi teknolojia ipo vizuri sana aijalishi upo mbali vipi kaseti izo zitafika salama kabisa ni badili na ziwe sawasawa na Mda itakuwa jambo la busara sana ndugu
Lyrics tafadhali
Mungu awape heri siku zote
Keep posting , the songs are refreshing
Asanti sana
nyimbo hizi tulizipenda miaka ya 1980, muletee wimbo wa wakati ule Ingieni kwenyemlango mwembamba, mulango ule ni wa uzimani.
Miaka ya zamani tulipenda nyimbo hizi, mutuwekee wimbo usemao ( Badala yeye kuchukizwa na dhambi tulizofanya atuita twende kwake.
Naam kaka ulizotaja ni za kwaya hii au kwaya nyingine.ndipo nipate urahisi wa upatikanaji wa hizo nyimbo maana kuna kwaya nyingi zenye mistari kama ulio andika... nakuomba hukumbuke jina la wimbo na kwaya halisi nami nakuwekea hapo hapo
Thank you Sir! Just in time - the Christmas is around the corner. A very touching song. You made my upcoming holiday even more enjoyable. Barikiwa sana Bwan Emmanuel.
Asante sana zidi kuwa nami kwa zengine njema zaidi
Powerful Gospel songs with powerful massage in Christ Jesus, God bless you Brother Emmanuel.
Kwakweli Sijui unapatikana wapi na hata kama Ninazo Kaseti za nyimbo za Kwaya ya Uinjilisti Uvuke hapo zamani Dodoma kwaya Nakupataje ili Nikupatie,Mimi Niko Dodoma Ninapoishi,wewe Mwenzangu unaishi wapi?.
Kwa sasa Nipo magu mwanza nipe number zako nikupigie pindi nakuja Dodoma
Good
More of Dodoma uinjilisti
Very nice song
Be blessed..stay tuned
how can one get these albums ,or is there a link one can download ?
Visit mdundo.com search *Emmanuel Peter true Gospel channel* you will get all songs have uploaded
I just love and like these songs.