NAFASI ZA KUJIUNGA NA JWTZ 2024 - JESHI LA WANACHI WA TANZANIA LATANGAZA NAFASI ZA KUJIUNGA NA JESHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024
  • Nafasi za JWTZ 2024, Nafasi za kujiunga na JWTZ 2024. Soma hapa, assengaonline....
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

ความคิดเห็น • 19

  • @EligiusAjuaye-y2z
    @EligiusAjuaye-y2z หลายเดือนก่อน +2

    Mimi naomba mnisaidie maana ndo ndoto yangu

  • @alhajishabani2110
    @alhajishabani2110 หลายเดือนก่อน

    Smahani naomba kuuliza majina yanawez tok au ndoo bas tena kimwa kimwa na kam a ni kimwa kimwa mbon walitangaz

  • @SunlightdeWise
    @SunlightdeWise หลายเดือนก่อน

    Naomb nafasi

  • @emmanuellaiton5322
    @emmanuellaiton5322 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo barua ziwasilishwe kwa njia gani posta au moja kwa moja ofisini kwao

    • @habari-24
      @habari-24  2 หลายเดือนก่อน

      Tuma kwa Posta itafika, Tumia anuani iliyotolewa kwenye Tangazo

    • @emmanuellaiton5322
      @emmanuellaiton5322 2 หลายเดือนก่อน

      @@habari-24 P1 sana nmekuelewa

  • @PriscaValentino
    @PriscaValentino 2 หลายเดือนก่อน

    Jamn kwani lazima mpk jkt na zile nafas zinazotokaga mwez wa 8 sijui 9 ni za nini????

  • @IsanHomi
    @IsanHomi 2 หลายเดือนก่อน

    😱😱😱

  • @YesuJesus-id9kw
    @YesuJesus-id9kw 2 หลายเดือนก่อน

    Mkpa upite jkt

  • @SuleimanSaid-j7v
    @SuleimanSaid-j7v 2 หลายเดือนก่อน

    Nilazima upitie jkt au

  • @SeifOthman-d2f
    @SeifOthman-d2f 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini jku hawamo

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa iyo lele adhimio la bunge kuondoa kigezo cha jkt ilikua ni porojo tu?

    • @AlkhajidioufYambo
      @AlkhajidioufYambo 2 หลายเดือนก่อน

      Hapo sasa yaani hii nchi ya kikuda sana,Ni mara mia mzee magu hata afufuke leo aisee

    • @AlkhajidioufYambo
      @AlkhajidioufYambo 2 หลายเดือนก่อน

      Baada ya bunge kuleta lile azimio serekali iliipitisha mpaka Ajira za polisi za mwezi wa tano hawakuweka hicho kigezo na watu wameitwa kwenye usaili,na hawakupita jkt sasa hili la ulinzi ndo wamegoma kukitoa kigezo aisee

    • @YesuJesus-id9kw
      @YesuJesus-id9kw 2 หลายเดือนก่อน

      Kwan jkt ni lazima🫢🫢

    • @AlkhajidioufYambo
      @AlkhajidioufYambo 2 หลายเดือนก่อน

      @@YesuJesus-id9kw Ndiyo ndg

  • @IbrahimMohd-in5jf
    @IbrahimMohd-in5jf 2 หลายเดือนก่อน

    Jku je

  • @seifmohd2088
    @seifmohd2088 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anko kwaiyo sisi ambao tumepitia j.k.u hatuna letu

    • @habari-24
      @habari-24  2 หลายเดือนก่อน

      Tangazo lipo kama nilivosoma