JWTZ WAFAFANUA AJIRA YA VIJANA WALIOPO MTAANI "Hakuna ajira kuna kuandikishwa | hatulipwi mishahara"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @jumachabalaa8506
    @jumachabalaa8506 ปีที่แล้ว +1

    ninae ushahidi wakutosha tunasubiria uchaguzi uanze ili tupate sehemu ya kusemea maana kunawadogozetu wamekalishwa jkt miaka mimnee nahawajapewa ajira wakati watoto wawenye pesa wamepewa.ajira ndio tanzania yetu

  • @ROCKY-mc1ky
    @ROCKY-mc1ky 5 หลายเดือนก่อน

    asalam alaykum je ukitaka kujiunga na jileshi la jkt unaazaje au utumie njia gani ili ujiunge

  • @KehhaGwasma-w9v
    @KehhaGwasma-w9v ปีที่แล้ว +1

    Biashara kubwa kulikozote dunian

  • @SaidiKitange-us2ej
    @SaidiKitange-us2ej ปีที่แล้ว

    Hivi watoto wao wameisha wangeendelea kuenda tu maana hao ndo wanastahili nchi hii wengine hatuna ndugu wanajeshi wa kutupigania ngoja tutulie tusubili kulindwa na familia za wanajeshi.

  • @AmaniSamweliMbwambo
    @AmaniSamweliMbwambo 2 หลายเดือนก่อน

    Waliopitia mafunzo ya jeshi la akiba hawapewi nafasi?

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu ambacho kina Kela kama kitendo Cha vijana wa Jkt kuwalidisha nyumbani na ikifika wakati jwtz inawandakisha kwa Nini wasinge waacha vikosini na umli hapo umezidi hapo sheria hiyo ya ifutwe sio hivyo

  • @jumachabalaa8506
    @jumachabalaa8506 ปีที่แล้ว

    jeshi la zanzania la jwt linachukua watu kwa kufahamiana wakati watoto wa masikini wanavigezo lakini wameachwa ndio hali halisi ya tanzaniaa

  • @SaidiKitange-us2ej
    @SaidiKitange-us2ej ปีที่แล้ว

    JKT kuna OPERATION hapa mngekuwa mnamaana mnge taja OPERATION husika kama OP MERERANI mlio warudisha nyumani baada ya kuwajengea sana afu mkawaajiri watoto wenu chombo cha ajabu sana kimevamiwa na siasa.

    • @mwajemwafula5777
      @mwajemwafula5777 ปีที่แล้ว

      Kaka op zipo nyingi sana tatizo ni sheria ilekebishwe mazala Jkt kuwalidisha nyumbani wanajua Jkt wenyewe ni vema Jkt ipewe mamlaka ya kuajili na kuwandikisha jeshini sio hivyo jwtz aijui vzl umuhimu wa Jkt ndio maana wanaumua kuwalidisha nyumbani

  • @bezckmosam-bh4gu
    @bezckmosam-bh4gu ปีที่แล้ว

    Jeshi la akiba Mgambo halitajwi kuandikishwa kwenye majeshi wakati wa Vita wanahitajika yaani kwenye kazi ngumu wanafaa Ila wakati wa amani hawafai 😂😂😂😂😂

  • @AmaniSamweliMbwambo
    @AmaniSamweliMbwambo 2 หลายเดือนก่อน

    Kama mtu amepitia mafunzo ya jeshi la akiba hapewi nafasi?

  • @stellahlinusi8215
    @stellahlinusi8215 ปีที่แล้ว

    mbona ana nichanya kwamba awa lipwi Wana pewa posho tu hee

  • @Mosses8
    @Mosses8 ปีที่แล้ว

    mimi naitwa mosses sareyo molleli