Asagwile - Subira (Official Audio)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2020
  • Asagwile - Subira
    Producer: Walter Chilambo
    Studio: lovemusicbrand
    LYRICS
    Aiyayayayaya Yayaya yaya
    Yeye yeye
    Moyo wangu kuwa na subira ×2
    Kuwa na subira aiyayaya kuwa na subira
    Kuwa na subiraa
    Habari habari za saizi moyo
    Minakusalimia Rafiki moyo
    Umeshindaje ooh moyo
    Najua unamengi ya kusema na mie eeeh
    Okay okay
    Umeumizwa lakini umetulia moyoo
    Umetendwa lakini wavumilia moyoo
    Kweli we niwaajabu sana Rafiki moyoo
    Wakikuudhi hupaswi gombana we heee moyoo
    Wakati unakuja subiri
    Mungu ataleta tumaini
    Na wala usiogope Amani yako IPO mikononi
    Mwa bwanaaa moyo moyo moyo ooh
    Eeh
    Chorus
    Moyo wangu (moyo)kuwa na subira
    Moyo moyo wangu
    Moyo wangu kuwa subira
    Subira kuwa na subira ooh moyo aiyayaya
    Yayayaa na subira
    moyooooh kuwa naaa kuwa na subira
    Moyo oh oh oh uh
    Ninacho (ninacho) kupendea moyo
    Hekima uliyo nayo lakini tulia tulia moyooo
    Acha roho mtakatifu atengeneze aaah
    Palipo na mabonde hasawazishe oooh
    Fahamu zako na Akiri zako ataziongoza yeye
    Umeumizwa lakini umetulia moyo
    Umetendwa lakini wavumilia moyo
    Kweli we niwaajabu sana Rafiki moyo
    Wakikuudhi hupaswi gombana weee moyo
    Chorus
    Moyo wangu kuwa na subira
    moyo wangu kuwa na subira
    Moyo wangu kuwa na subira
    ipo siku mungu atakuona
    Weeee moyo aiyayaya
    Yaaaaa kuwa na subira
    aah ipo siku yako moyooo kuwa na subira
    Nyenyekea mungu Anasikia maombi yako
    Utafanikiwa moyo
    utakuja kushinda moyo ×3
  • เพลง

ความคิดเห็น • 56