Jamanii Wimbo unabariki huu Hakika niliusakanya saaana yaani sichoki kuusikiliza Kabisaa Hongeraa Asagwile nilikua shabiki ako toka kipindi cha BSS hakika Mungu akuinue zaidi
Quel puissante mélodie 🎉🎉🎉 l'Afrique est le berceau de la mélancolique Je veux me marier cette fin d'année pour honorer celle qui a partagé les souffrances de ma jeunesse.... Asagwile Official je ne sais si tu es chrétiens mais ta voix sera un plus pour la joie dans le ciel par la conversation des âmes à Jésus-Christ ...
Lol❤ nikiisikiliza hii ngoma Hadi machozi kwa utamu wa ufundi uliotumika humo ndani, producer katulia, voice imeshiba,,anaejua mziki Kuna vitu vimejificha hapa🎉🎉🎉 dah!
My dream is Asagwile and Phina to sing for me in my wedding 💍 day inshallah, will this dream come true? 😌😌😌😌 Like my comment if you wish Asagwile to do me a favor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Na comment wimbo nikiwa Nasubilia Majibu ya vipimo vyangu vya Afya bugando19.7.2024 Wimbo umenitoa kwenye hofu ya majibu vyovyote yatakavyo toka mimi nina Aman ya furaha ya huu wimbo
Huyu broo ni Munomaaaaaaaa me nkajua ni Fally Ipupa ila hata hivyo Ipupa hapa kakalishwa, bro naomba kaa na style yako hiyohiyo usbadilike Mungu kashakuinulia hapo tayari 🙏🙏🙏🙏🙏
Onkoze bubi, I was about to add this song in the list of my wedding songs. But including "Champagne🍾" Just turned me off 😢 Gospel singer you have done me bad
nyimbo kama izi hazipati like wala kutazamwa sana ila yale matapu eti nifinyie kwa ndani unakuta ndio watu wana time nazo aloo ni huzuni😢
😂😂😂🙌🙌🙌 dah kwel kaka
kwenye swala la nyimbo kila kizazi kina nyimbo zake we hapa cha kusema hii nyimbo ni nzuri
I'm going to use this song on my wedding day next month inshallah God Will bless it
Hongera asagwile huu wimbo naupenda sanaa❤❤❤❤❤
namshangaa sana Mungu kutoka BSS mpaka hapa Mungu ni Ebenezer
SO amaizing hii song naipenda sana hunipa furaha wakati wa huzuni big up sana bro kazi njema God bless you👏👏
Jamanii Wimbo unabariki huu Hakika niliusakanya saaana yaani sichoki kuusikiliza Kabisaa Hongeraa Asagwile nilikua shabiki ako toka kipindi cha BSS hakika Mungu akuinue zaidi
❤song inaeza fanya ukampenda mtu gafla jmn kawimbo kazuri haka more love from kenya
Quel puissante mélodie 🎉🎉🎉
l'Afrique est le berceau de la mélancolique
Je veux me marier cette fin d'année pour honorer celle qui a partagé les souffrances de ma jeunesse.... Asagwile Official je ne sais si tu es chrétiens mais ta voix sera un plus pour la joie dans le ciel par la conversation des âmes à Jésus-Christ ...
Lol❤ nikiisikiliza hii ngoma Hadi machozi kwa utamu wa ufundi uliotumika humo ndani, producer katulia, voice imeshiba,,anaejua mziki Kuna vitu vimejificha hapa🎉🎉🎉 dah!
Usikae kimya sana sasa ni ngoma juu ya ngoma na Mungu akusaidie wimbo mkali sana bro
My dream is Asagwile and Phina to sing for me in my wedding 💍 day inshallah, will this dream come true? 😌😌😌😌 Like my comment if you wish Asagwile to do me a favor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
🙏🏾
Mungu akupe tamanio la moyo wako dadangu ❤❤❤❤
@@GracePendo-nc1elkazi nzuri sana
Wooow Mungu anaskia atakusaidia 🙏🙏🙏
Amen🙌🙏
Good music inapenya mpaka moyoni
This song Hits different ukiwa kwenye mahusiano na mtu mnayependana. Wimbo mzuri
Hii nadance na my mpoa to the fullest ❤❤ asagwile kudos❤❤ barikiwa
Nakukubali sana aswagile Ngoma Kali sana mungu azidi kukuza kipaji chako daima
Nyimbo Bora kabisa, Tumepata muziki mpya utakaoishi miaka yote.
Song imeenda shule💯💯
My song.. i PROPHECY in Jesus's mighty name❤
Ikawe kheri kwa kila hatua za upambanaji wako bro ,my role model ♥
Congsss nice one❤️❤️🙏💯💯🙏🙏🙏
Wow this is amazing 😍 Mungu nipeee bwana Sasa I pray and believe Amen 🙌
Ubarikiwe kaka wimbo mzuri sana❤❤❤❤
I wish wimbo huu ungetoka kabla ya harusi yangu. Ningefurahia sana na mke wangu. Asante Malafyale Asagwile, Usajigwege!🙏
Yaani kaka wewe ni mashine ya bwana mungu anajivunia wewe
Namimi pia wimbo huu umenikosha moyo asante sana asagwile merci beaucoup
Jamani wimbo ni pambeee, aki nitapenda tena
Antony nyongesa kutoka Kenya nakukupali bro nyota ing,are Sasa nilikujua wakati wa bss
Asagwile this is a nice song
This will be my wedding song niende kanisan nmpeleke baba yeyooo sasa
Melody,instruments, Tone, Sound ni fire
Wimbo mzuri sana.....
I will sing this song on march 2025, by the grace of God
asagwile na meshamazing naomba mtoe kolabo wana wa BSS
Nimepata wimbo bado kutafuta mwali sasa❤❤
NIKO HAPA😊
Hii comment imetoka kenya😂
Tell me you're Kenyan without saying you're Kenyan😅😅😅
Duuuuh huu wimbo mnikumbushe mwakani 2025 mwezi 8 kwenye harusi yangu na nitaucheza furaha kubwa sana,God bless us
kiss my comment if you came from TiK ToK if you love the song but don't understand the language
Nyimbo bora ya mwaka❤❤❤❤
Nice 🎵 nabarikiwa sana ❤❤❤
This song will be on my playlist on my wedding i I have a good story to tell about this song❤❤❤🎉🎉
Nyimbo nzuri sanaaaaaa kaka🎉🎉🎉🎉
❤😂😂😂 ikon poa sana
Wimbo mzuri sanaaa ❤❤❤
Wimbo mtamuu huu jamani,hongera Asagwile
hatari sana
I pray to God to get a good loyal future hubby 🙏 to sing this to me😊
nacheka kama mazuri vile
Nzuriii mno❤
Ongeza wimbo mwingine kama huu wa harusi broo. Big up
Aaaa kauwa asagwile 😅😅 huu mwaka nioe 2 na ndo Ngoma ya halus mwanzo mwisho
I feel like penzi langu limezaliwa upya oooh nakupenda my man❤️
This will be my wedding song
Nimeusikia kwenye harusi juzi na leo nimeupata huku nausiikiliza hapa
I m from Zimbabwe… can’t understand a thing but this song sounds beautiful …it’s speaking to the heart❤love from Zimbabwe
That's how I felt as well am looking for the meaning of every word
This is a love vibe.
It explains how much the artist loves the love.
can't wait to use this sound some day😍😍
Love this song and even I don’t understand any words but the beat it’s amazing and I love African music ❤❤🙏🙏
wimbo tayari bado ndoa tu ..soon i trust in God 🙏🙏
Wimbo mzuri sana naishiwa maneno kabisa yakusema
Right on time kupendwa raha,ukiwa na anayekupenda feel loved beb❤❤S.K
Asagwile this is a very great song 👏👏👏
Safi sana wa kwetu Humo humo
Nyimbo tamu sanaaa hii
This is soo timing, this must play on my wedding day next month 😊
Very romantic song,nimeulenda kwakweli....❤❤❤❤
ongela xn bro kiukwel Wimb huu ni mnzur xn na mung aendelee kukuinua viwang na viwang
❤❤❤😂😂a good one..only when someone posts you under the sound.
so nice Asagwiree well done to bss Madam Rita and your team for good job
Nitoe maua yangu kaka toka umetoka bongo star search ndio nimeskia kitu kilicho na baraka mwenyezi Mungu akutumie zaidi na zaidi
Tamuu sanaa🎉
Fundi mziki asagwile🎉🎉
Nimeshapata wimbo wangu wakufurahia siku yangu ❤❤
This will be a hit❤
Maneno kapangika.....Asagwile uko juu❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
Sana
@@elizabethissame6973 nyimbo tamu sana
Good song bro much love from kenya❤
Bonge moja la nyimbo
Goma kali mwanangu fanya kichupa
Poa boss
Nyimbo nzur sana harusi yangu mwez wa 10 Naomba uje uniimbie ikimpendeza Mungu ❤❤❤❤❤❤❤
@@NewcovenantMuro 🙏🏾
Saf sana mwamba umeua
Na comment wimbo nikiwa Nasubilia Majibu ya vipimo vyangu vya Afya bugando19.7.2024
Wimbo umenitoa kwenye hofu ya majibu
vyovyote yatakavyo toka mimi nina Aman ya furaha ya huu wimbo
AMEN 🙏🏾
Amazing song for the wedding,May God bless you and your voice..🎉🎉🎉🎉
Good song ❤
Huyu broo ni Munomaaaaaaaa me nkajua ni Fally Ipupa ila hata hivyo Ipupa hapa kakalishwa, bro naomba kaa na style yako hiyohiyo usbadilike Mungu kashakuinulia hapo tayari 🙏🙏🙏🙏🙏
kabisaaaa
Nakupenda wewe ❤
Good music❤❤️❤️🔥🙌
harusi yangu ni next week, nashukuru nimepata my best wedding song. Thank you so much @Asagwile
Welcome
Welcome
Good
Great song for real. Seriously, he sang for me.
hii nyimbo imebeba nyimbo mbili za diamond mbili za alikiba ndo unapata wimbo huu mmoja
kabisa kaka
yaan za mond ni nyimbo 8 za kiba 2
Hii nyimbo lazima iende mjini
Hongera sana
Ubarikiwe brooo🎉❤❤❤
Ayeeeeh❤
Nyimboo tayariii bado wakuniimbia sasa
Nyimbo bora ya Mwaka❤
the song is fire
Wimbo mzuri sana
I will dedicate it on my sister's wedding in Nov...
Wimbo ndio huu,Sasa bado bwana😢😂❤
Mashallah nice song❤🎉🎉
Onkoze bubi,
I was about to add this song in the list of my wedding songs. But including "Champagne🍾" Just turned me off 😢
Gospel singer you have done me bad
Noma sana
Huyu ni Asagwile wa bongo star search mwaka juzi?
Yes
Mwamba kauwaaa
Nyimbo nzuriii sana ❤❤❤