AJALI YA BODABODA KIGOMA: WAWLI WAFARIKI PAPO HAPO ''DOGO TULIWAAMBIA AACHE MWENDOKASI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @catherinemuhagama7338
    @catherinemuhagama7338 ปีที่แล้ว +6

    Mbal na Speed je mnakumbuka kuvaa kofia ngum kchwan????kwa ajal hyo sidhan kama hata kofia ngum walvaa

  • @Rehema-h6t
    @Rehema-h6t ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana ndugu zangu wafiwa kila nafsi itaonja umauti tuwaombee duwa Anllah awapokee 😭😭🤲🤲

  • @ramadhaniathumanibatumnwa1842
    @ramadhaniathumanibatumnwa1842 ปีที่แล้ว +2

    Inalilah wainailah lajiun poleni sana jaman Duh....

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH awalaze mahali pema peponi

  • @julianashani9408
    @julianashani9408 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana hakka, hz pkpk waendeshaji wawe na mafunzo halsi ya kuendesha, vjana tumefunga shule usafr wetu n pkpk kla kona, Inaumiza sana

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 ปีที่แล้ว +3

    Inallh wainaillh rajiwuna 😭😭😭 Bado wadogo daa😭😭😭

  • @sein.208
    @sein.208 ปีที่แล้ว +1

    INNAH LILLAH WAINNAH ILEY RAJIOON
    POLE SANA KWA WANAFAMILIA HAKIKA NI WAKATI MGUMU KWAO VIJANA BADO WADOGO SANA

  • @enalnkegwaofficial7935
    @enalnkegwaofficial7935 ปีที่แล้ว +1

    Huyo dereva mstaafu kaoengea points kabisa

  • @eddysimba6829
    @eddysimba6829 ปีที่แล้ว +4

    Ndugu zangu pikipiki inashetani sana. Mimi nikiendesha gari na nikiendesha pikipiki mtu tofauti. Siku hizi hata pikipiki siendeshi nna familia.

  • @shancyskitchen3044
    @shancyskitchen3044 ปีที่แล้ว +1

    Bodaboda ukionywa Kuhusu Spidi Ujue kifo kimekaribia ukionywa acha Mara Moja

  • @bethjohn928
    @bethjohn928 ปีที่แล้ว +6

    Wengi wao wakiwa wanaendesha boda hakili zao zinawaka moto sijajuaga wanawazag kweli km ikitokea ajali watajizuia vp haya Apumzike

    • @eddysimba6829
      @eddysimba6829 ปีที่แล้ว +4

      Ndugu yangu pikipiki inashetani sana. Mimi nikiendesha gari ni nikiendesha pikipiki mtu tofauti. Mungu awaweke mahali pema.

    • @Rehema-h6t
      @Rehema-h6t ปีที่แล้ว

      Nisheitwani ndie anaekuwepo mda mwingine anataka damu kwa hiyo kama huna mungu ndio wakati wako unafikiya kikomo innalinlah wainna linlah ranjuni Anllah awalehemu malehemu wote awape kauli thabiti 😥😥😥

  • @ayubumbembati8658
    @ayubumbembati8658 ปีที่แล้ว +1

    Inauma sana kwani vijana wachapa kazi wanazidi kupotea, kinachoshangaza ni kutojifunza kwa hawa vijana kwani matukio haya yanatokea kila Leo. Poleni sana wanandugu kwa kupoteza ndg zenu!

    • @tumainyohana5785
      @tumainyohana5785 ปีที่แล้ว

      Polen sana

    • @syloojohn8769
      @syloojohn8769 ปีที่แล้ว

      Wanavoendesha kwa kasii utafikri hawajapewa elimu me naona Boda Boda hawana elimu kinachotakiwa nikuzidi kuwachulia hatua tu maana hakuna msaada mwingine unakuta Boda Boda anaendasha kwa kasii sehemu ambayo Haiitaji speed yeye anaspeed

  • @SafiyaJ-yw2vt
    @SafiyaJ-yw2vt ปีที่แล้ว +1

    Wengine kupenda sifa kuendesha speed anyway RIP

  • @jonathanmwisho2649
    @jonathanmwisho2649 ปีที่แล้ว

    R.I.p

  • @deusdedit789
    @deusdedit789 ปีที่แล้ว +6

    Kaka Millard naomba tusaidie kupaza sauti juu ya barabara ya Dar-Tunduma...gari zinakimbia sana sana imagine mpaka mlima kitonga mabasi yanashindana overtake.

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

    Rest in peace 😭😭😭 yupo pia Simba kushind akaanz kuendesh bodbd kwa speed tulichosikia ni kichwa paa kweny mtaro

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢😢😢😢

  • @eddimwamba4208
    @eddimwamba4208 ปีที่แล้ว

    Rip😭😭😭🙏

  • @jihelyagwilasa1920
    @jihelyagwilasa1920 ปีที่แล้ว +3

    Kifo nikifo si mwendo mkali niajali 2

    • @idanysedrc1200
      @idanysedrc1200 ปีที่แล้ว +5

      Acha bana speed Kali ni chanzo cha ajari ni ngum kukontrol chombo kikiwa na speed kali

    • @edinakyaruzi9226
      @edinakyaruzi9226 ปีที่แล้ว +1

      Nyingine ni uzembe tu jamani japo kifo ni fumbo

    • @kulwapaul2379
      @kulwapaul2379 ปีที่แล้ว +1

      Wewe

    • @muzdatsuleiman3186
      @muzdatsuleiman3186 ปีที่แล้ว +1

      Na mwendo mkali nawo wachangya

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    💔

  • @kulwapaul2379
    @kulwapaul2379 ปีที่แล้ว +2

    Dah tatzo watu hatujuitu inatakiwa pkpki ziheshimike