Emmanuel Mgogo - MIMI NAPENDA (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Official Music Video ya "MIMI NAPENDA" by Emmanuel Mgogo
    Sikiliza Emmanuel Mgogo Songs: www.youtube.co....
    Follow Emmanuel Mgogo
    INSTAGRAM: / emmanuelmgogosi. .
    FACEBOOK: / emmanuelmgogosinger
    TIKTOK: / emmanuelmgogo. .
    Song: MIMI NAPENDA
    Artist: Emmanuel Mgogo

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @rhobybrenda5721
    @rhobybrenda5721 4 ปีที่แล้ว +40

    Chunga sana mafuta uliyo nayo kichwani mwako maana ukicheza nayo Mungu atakupanguza na ampake mtu mwingine kumbuka ulivuma kwa ajili ya kumuimbia kwa roho na kweli ndugu yangu tu Nakupenda sana ila chunga usiwe kama wa duniani maana siku zote giza na mwanga havipatani...Tunakupenda sana ndio maana hatutaki upotoshwe na dunia rekebisha kisha umuombe Mungu akusaidie...Sote twajua roho mtakatifu hafurahishwi na densi hizi maana ni za kidunia...jizungumzie kisha umhusishe roho mtakatifu...Stay blessed brother siku ni za mwisho tusipoteze mda kwa kujichanganya

    • @qwirinishao1003
      @qwirinishao1003 ปีที่แล้ว +3

      sasa unataka acheze vipi wanadamu bhana kwani madance wako uchi kumsifu mungu kunahitaji uchangamfu kwa kifupi wamecheza vizuri sanaaaa

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 ปีที่แล้ว +1

      Mi sioni tatizo so long as wamejaa vizuri na wanamchezea Mungu kwa nia njema.

    • @modeemojombo5662
      @modeemojombo5662 ปีที่แล้ว +1

      Wamevaa vizuri.

    • @sarahamri1620
      @sarahamri1620 ปีที่แล้ว +4

      Uko kweli dada

    • @robikachembeho5284
      @robikachembeho5284 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kabisa kwa uchezaji huu haumpi Mungu utukufu hata kidogo lzm tuwe wakweli Ili tupone.

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 4 ปีที่แล้ว +36

    Wakenya🇰🇪 ambao tunapenda kuwa karibu na BWANA gonga🖒hapa ili mwaka uishe tukiwa karibu na uwepo wa MUNGU🇰🇪🇰🇪

  • @mwanduchristina9125
    @mwanduchristina9125 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana

  • @rehemaneema6234
    @rehemaneema6234 4 ปีที่แล้ว +8

    Usipotelee mwishooo kumbuka ni wimbo uliouimba kweli ayo Mavazi na iyo michezo aibariki ata kidogo

  • @mathazyunga839
    @mathazyunga839 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera mgogo nimebarikiwa na mungu azidi kukutumia kama chombo,ngoma tamu sana hii utukufu wa mungu uko hivi ni kumchezea yesu mpaka jasho litoke sio mtu anatoka kanisani hakumbuki alichofanya au kupokea chochote bora akicheza kama daudi Atakumbuka,nimeipenda

  • @mwachulaamon2232
    @mwachulaamon2232 4 ปีที่แล้ว +9

    Mzee umetuangusha sana ktk mavazi nauchezaji wavija wako, wimbo mzuli sana ila uchezaj sijapenda

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuu!! Hivi kwanini watumishi wa Mungu wanaanzia rohoni wanamalizia mwilini? Mgogo (Ufunuo2:5

  • @jacobkassim3642
    @jacobkassim3642 4 ปีที่แล้ว +1

    Unajua hawa waimbaji Wa Yesu .wanapotoka wanapofikiri wakicheza kama wabongofreva watapata wateja. Kaka YANGU mgogo ukialikwa kinondoni naomba usije na hao wana Wa wanadamu .bora uje peke yako

  • @Farahani123
    @Farahani123 4 ปีที่แล้ว +31

    Kama umegungua wanao comments Dancing style ndo wanao angaliaga bongofleva zaid kuliko injili gonga like hapa

  • @eligiuselias4469
    @eligiuselias4469 4 ปีที่แล้ว +10

    Mtumishi uwa nakufatilia saana na uwa unanibariki kwa huduma yako na nyimbo zako,kuna mda uwa nazirudia rudia,hila kwa hii nyimbo hapana mwambie Mungu akurehemu ili upate kibali tena mbele zake,nyimbo nzuri ujumbe mzuri ila uchezaji haumpi Mungu utukufu🙇🙇

    • @manasejoseben6902
      @manasejoseben6902 ปีที่แล้ว +2

      Kaka mgongo piga kazi hakuna ulipo haribu kwani huo uchezaji umefanyaje

    • @rhodaamuramwa619
      @rhodaamuramwa619 ปีที่แล้ว +1

      Usiwe mwepesi wakuhukumu ndugu kazi Iko safi

  • @gracenicolas1065
    @gracenicolas1065 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli wimbo mzuri Ila wachezaji wako hovyo kabisa,HEBU WAIMBAJI JARIBUNI KUVAA NGUO ZA HESHIMA HALAFU NA UCHEZAJI WENU UWE WA KIMUNGU

  • @veslidabulala8118
    @veslidabulala8118 4 ปีที่แล้ว +6

    Umeenda kuchukua madansa wa diamond Kama umechoka kumuimbia mungu siuache tu au ukasajiliwe wasaf. Mkakate mauno vizue

    • @priscaissack9883
      @priscaissack9883 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha uwiiiiii ma danca wa mond kweli umemzalau

    • @user-kh3se5gi4m
      @user-kh3se5gi4m 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @isaacmerengo7293
      @isaacmerengo7293 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza maneno achana na dance au kwani Daudi alicheza vipi unaweza kutupa style,maake yeye mpaka nguo zilidondoka hamkuona aibu au mbona hamjawahi sema kuhusu Daudi!!!!? Acheni watu wamchezee Mungu wawezavyo..

  • @ashamillicent876
    @ashamillicent876 4 ปีที่แล้ว +125

    Wimbo mzuri lakini mwacheza kama watu wa dunia wasiomjua Mungu

    • @eliahmhanzi6357
      @eliahmhanzi6357 4 ปีที่แล้ว +8

      Umesema kweli mtupu Asha Millicent

    • @joelmakeci
      @joelmakeci 4 ปีที่แล้ว +17

      Kwa hiyo michezo ya mbinguni inachezwaje,
      ili wacheze ya mbinguni...

    • @massongatzerick
      @massongatzerick 4 ปีที่แล้ว +20

      Mnapolalamika muwe mnatoa na stail za huko mbinguni hili waige na sio kulaumu tu

    • @ansilasimon3315
      @ansilasimon3315 4 ปีที่แล้ว +17

      Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza!! Daudi alikuwa Mfalme lkn alimchezea Mungu hadi nguo ikamshuka!!! So kumchezea Mungu si dhambi!!!

    • @ansilasimon3315
      @ansilasimon3315 4 ปีที่แล้ว +10

      Tumia viungo vyako kadiri uwezavyo kwaajili ya Bwana!! Mungu huketi katika sifa!!! 😁

  • @eliahmhanzi6357
    @eliahmhanzi6357 4 ปีที่แล้ว +12

    Kwa wimbo huu hapana sijabarikiwa kabisa wanawake wanavaa suruali harafu wanahudumu!!!!!!!!!!!, na uchezaji hapo ni shetani amefurahi ila MUNGU kwa staili hii amegeukia pembeni kabisa mbona nyimbo za nyuma uliimba vizuri sana uimbaji wa kisasa muuache MUNGU hapendi kabisa WIMBO HAUFANANI NA MLICHOKIFANYA

    • @anthonyzambi4415
      @anthonyzambi4415 4 ปีที่แล้ว

      @@gabriellajaneth1968 ww unalijua neno la Mungu au unaropoka ww kama ni mkatoliki mnavaa suruali, mnakunywa mapombe mnaona ni sawa, kwa mlokole hayo mambo hayapo, Eliah Mhanzi analijua neno na analiishi acha kabisa upuuzi wako, na wewe ni mjumbe wa shetani kwelikweli

    • @japhetjoseph8095
      @japhetjoseph8095 4 ปีที่แล้ว

      Daaaaaa!!!mgogo somolako" NJONI KWANGU NINYI NYOTE"Nalikumbuka sana na hata tukienda wote kwa yesu bado nafasi haitaisha,,,,,,,,IGUNGA tutakukumbuka milele ,

    • @nehemiakalindwana2386
      @nehemiakalindwana2386 4 ปีที่แล้ว

      Eliah Mhanzi ndo hapo sasa

    • @eliahmhanzi6357
      @eliahmhanzi6357 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gabriellajaneth1968 Ngoja sisi tuwe wajinga lakini kwa anaye ielewa bible hawezi ku support huu wimbo ni heri kusikiliza AUDIO ila sio VIDEO

    • @monicaurio1667
      @monicaurio1667 4 ปีที่แล้ว

      @@eliahmhanzi6357 Ukweli usemwe tuu,jaman suruali hizo na wanavyocheza sio.hakumpi Mungu utukufu

  • @mitchelnasenya8986
    @mitchelnasenya8986 ปีที่แล้ว +1

    All of you complaining about the dancers,have you ever asked yourself how David used to dance until his clothes tore? I see nothing wrong with the dancers,the song & the dancers are very nice ,🥰🥰🥰🥰🥰

  • @veronicanindi3486
    @veronicanindi3486 4 ปีที่แล้ว +1

    Umeungana na mtumishi wa mungu daudi alivyomchezea bwana hongera kaka emmanueli mungu azidi kukuinua ktk huduma aliyokupa

  • @geoffreyjohn8228
    @geoffreyjohn8228 4 ปีที่แล้ว +22

    Duh sitamani kiimalizia kuimalizia hii nyimbo maana sitamani kuiona 🙅kaka EMA mungu akurudishe kwenye ule wimbo iko wapi njiaa ilikua na maadili ya video safi uko uliko kwa diamond kwa jina La yesu urudi sasa 🙌

    • @tinamayani2234
      @tinamayani2234 4 ปีที่แล้ว

      Emanueli rudi baba unakoenda sio shetan anakuvuta

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 4 ปีที่แล้ว

      Labda mkewe ndio kamshauri acheze

    • @geoffreyjohn8228
      @geoffreyjohn8228 4 ปีที่แล้ว

      Joicy huyu si mgogo tunaye mfahamu mzee wa iko wapi njia

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 4 ปีที่แล้ว

      @@geoffreyjohn8228 kabisa

    • @geoffreyjohn8228
      @geoffreyjohn8228 4 ปีที่แล้ว

      Sasa tunakazi ya kumuombea tu

  • @mathiaskapalali9801
    @mathiaskapalali9801 4 ปีที่แล้ว +82

    Sasa unaanza kuonyesha watanzania walio jamii ya kristo kuwa wewe unapenda sana Bongo fleva haina shida, njia iko wazi,.ulianza vizuri ila uwe makini.

    • @minayoever3657
      @minayoever3657 4 ปีที่แล้ว

      Sasa iyo nini

    • @minayoever3657
      @minayoever3657 4 ปีที่แล้ว +2

      Mbona anapotea hivyo

    • @equippingcommunity147
      @equippingcommunity147 4 ปีที่แล้ว +2

      kwani kosa liko wapi?wadunia ndio wanachukua vyetu

    • @moonlight-tz5985
      @moonlight-tz5985 4 ปีที่แล้ว +2

      @@equippingcommunity147 amina

    • @marygregory7566
      @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว +1

      Kila Jambo asili yake no mbinguni uchezaji huu shetani aliiba kwetu

  • @janethpilla4698
    @janethpilla4698 3 ปีที่แล้ว +4

    Ongra xana hii nyumboo inanbrkii xana mungu akblkii

  • @tinochars5309
    @tinochars5309 2 ปีที่แล้ว

    Wibo huu naupenda sana una maneno mazituri ukiusikiliza vzr unanipa amni ya Moyo ubarikiwesana mtumishi wa Mungu

  • @michaelsiweya4969
    @michaelsiweya4969 2 ปีที่แล้ว +8

    Emmanuel... Wimbo ni mzuri.. ILa wachezaji sasa ndo wameharibu.. Naomba uurudie tena huu wimbo kwa kushirikisha wachezaji wenye kuleta utukufu kutoka mbinguni.. Ili Mungu wetu afurahi

    • @christinephilip5043
      @christinephilip5043 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

    • @YustaKihwele
      @YustaKihwele ปีที่แล้ว

      Cjw kwann anataka kupotea hiv kwann lakini Hawa waimbaji kwann shetani anawaburuza Sana 😢😢😢

    • @user-ug4tf5jy9b
      @user-ug4tf5jy9b 10 หลายเดือนก่อน

      Kwakweli sikutegemea baba ungefikia hiyo umenzilisha uduma ya Mungu pamoja namafuta aliyokupaka umeihalibu huduma kwauchezaki huho

    • @user-ug4tf5jy9b
      @user-ug4tf5jy9b 10 หลายเดือนก่อน

      Ukiona watu tunalalamika ujuwe Mungu kaumiaa sana huho siyo uimbaji wako geuka mbona unakuwa kama gudlk isiige dunia

    • @doriceadastan7902
      @doriceadastan7902 4 หลายเดือนก่อน

      We una juaje Hajafurah 😂😂 wazee wa hukumu

  • @isihakaomary4998
    @isihakaomary4998 4 ปีที่แล้ว +7

    Usipotelee mwisho wimbo huu umeonyesha ulichojazaa ndan yako kwa sasa ukatubu na Mungu akusamehe😭😭😭😭😭

  • @ikupamwaisoba4118
    @ikupamwaisoba4118 4 ปีที่แล้ว +11

    Mgogo sijakuzoea hivi jamani uchezaji huu pls baba usiendelee na Mungu wangu akusaidie kukutumia Roho Mt ili akusemeshe,wimbo mzuri sana lkn hiyo cheza imeondoa kbs uwepo,achana kbs kukariri kuwa Daudi alicheza mpk nguo zilimvuka lkn huyo huyo Daudi alijua sana kumsemesha Mungu maneno mazito ambayo wanadamu wa leo tumeshindwa,pls usiendelee hivi mimi unanibariki sana Mgogo sipendi kbs uje ubadilike

  • @agnessboaz7349
    @agnessboaz7349 4 ปีที่แล้ว +81

    nimebarikiwa na wimbo ila hizo staili hapana !! hemu kuweni kama watu wa mungu mjitofautishe na ya dunia

    • @rosenickey4325
      @rosenickey4325 4 ปีที่แล้ว

      Agness Boaz unajitofautishaje na dunia kama uko Duniani? Use sense of Common cummon 😳

    • @nelsonyandilo3797
      @nelsonyandilo3797 4 ปีที่แล้ว +3

      Waweza kuwa duniani na ukawa tofauti na mitindo ya Maisha ya dunia

    • @rehemachaula8621
      @rehemachaula8621 4 ปีที่แล้ว

      Kaka emanuweli hapana wimbo mzuri shetani anatamani karama yako sijakuozoea uchezaji huu hapana badilika ludi mahali pako siyo halo kwako waachie wadunia gdlac

    • @jacklinemarco5633
      @jacklinemarco5633 4 ปีที่แล้ว

      Yeah hata bible inasema msomeke barua njema kwa mataifa

    • @mathiaswande2976
      @mathiaswande2976 4 ปีที่แล้ว

      Kweli mim mwenyew namkubali sana mgogo ila hzo style hapana

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +4

    Emmanuel Mgogo acha kuiga uchezaji wa dunia hii style unaelekea kupotea Uwe makini toa udunia na uvaaji huo kwa wanawake haufai

    • @lulanjamd3886
      @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +2

      @@severinajames2988 Kuna staili za uchezaji hii ni gospel siyo bongo fleva acha upotoshaji Mungu hazihakiwi.

  • @zanzibatukuyu2428
    @zanzibatukuyu2428 4 ปีที่แล้ว +48

    mgogo nyimbo zako ziko pw sana ila huu uchezaji haufai kabisa na utamkosea Mungu kwa hili

    • @Pawizo
      @Pawizo 4 ปีที่แล้ว +5

      Sema anaweza kutukosea sisi kulingana na mazoea tulivyomzoea kuona kwenye nyimbo zake akiimba na uchezajii wake ila kwenye kumkosea Mungu Sina iman saana!!

    • @digoalivi7345
      @digoalivi7345 4 ปีที่แล้ว

      Emmanuel mgogo

    • @santinamakuya7450
      @santinamakuya7450 3 ปีที่แล้ว

      Nitahidi

    • @linahstino2016
      @linahstino2016 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani Kama Daudi alimchezea mpaka nguo zikamdondoka mbona yeye aonekane Kama amekosea,kwa upande wangu uchezaji uko sawa kabisa acheni kuhukumu

  • @stellahzacharia8743
    @stellahzacharia8743 3 ปีที่แล้ว

    umbaji wako uko vizuri Sana muonekano wa waimbaji wako umepunguza kitu na uchezaji wao Ni dance ya duniani Rudi kwa waimbaji wako wa zamani baba walikuwa na muonekano nzuri wanacheza kwa nidhamu vizuri

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 4 วันที่ผ่านมา

    I'm Muslim but I like this song.

  • @deboramunuo9780
    @deboramunuo9780 4 ปีที่แล้ว +12

    Mlianza kwa roho mbona mwamaliza kwa mwili .@@sheria ya bwana yesu na kanuni: unapoteza mwelekeo mtumishi

  • @samwelimadaraka4358
    @samwelimadaraka4358 4 ปีที่แล้ว +4

    tatizo Mungu akiwainua nanyie mnajiinua kidunia zaidi lakini niwambie2 Mungu hajaribiwi YESU siyo wamasihara adhabu yenu ipo Yesu fanya kazi yako kwajina lako lenye nguvu wajue kweli wewe hujaribiwi kwa JINA LA YESU naiweee

  • @emmanuelashery1321
    @emmanuelashery1321 4 ปีที่แล้ว +1

    mtumishi jitahidi kuludi kwenye uhalisia wako huuu uchezaji hapana hapana hapana utatupoteza tuliokuwa tunabarikiwa na nyimbo ambazo rohomtakatifu alikuwa anakupa kwaajili ya kutuinua kiroho

  • @ebbykwamboka26
    @ebbykwamboka26 ปีที่แล้ว +1

    Ablessng to me,,, keep the spirit of glorifying God

  • @marymakumbi6008
    @marymakumbi6008 4 ปีที่แล้ว +4

    Yan na mimi ndio napendaga***hata Yesu alipigwa mawe,,mgogo n nan asipgwe mawe,keep it up my brother****NA MIMI NAPENDAGA***

    • @neybashu4351
      @neybashu4351 4 ปีที่แล้ว

      Mmmh I'mma unaanza kuchemsha sasa staili gani hizo? Na mavazi gani hayo?

    • @estherwilliam5125
      @estherwilliam5125 4 ปีที่แล้ว

      wala sio kumpiga mawe Emmanuel mwimbaji wetu wa Tanzania na tunampenda sana lkn pia ukweli usemwe kwa nia njema, imeboa kweli haviendani kucheza na wimbo wenyewe

    • @prophetnghosha3584
      @prophetnghosha3584 3 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri

  • @ZambeNanga
    @ZambeNanga 4 ปีที่แล้ว +14

    Kaka umepoteya sanaaa. Upako wazamani hauko tena. Unakuwa kimwili zaaidii. Kujulikana nako kuna shidaaa...

  • @danoMusic254
    @danoMusic254 2 ปีที่แล้ว

    Hujambo Mtumishi wa Mungu aliye Hai. Bwana Yesu asifiwe. Naomba kwa unyenyekevu ikiwa Mungu amependezwa niwaailiane na wewe kwa ajili ya huduma ya uimbaji, nabarikiwa sana na huduma yako. Sijui nitawezaje kukufikia tuwasiliane nawe

    • @mgogosinger
      @mgogosinger  2 ปีที่แล้ว

      Piga simu: +255769 50 55 37

  • @doreme6956
    @doreme6956 4 ปีที่แล้ว

    Si mungu anipe upako Kama wako Emanuel hili ni ombi langu kwa bwana

  • @theresiangunda2298
    @theresiangunda2298 4 ปีที่แล้ว +6

    Pesa hizo zitapeleka wengi sana kuzimu hasa waimbaji na manabii na mitume wa uwongo
    Mgogo unapptea huku nakuona

    • @madamleah852
      @madamleah852 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweliiiii

    • @frankmasembo
      @frankmasembo 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa. Mgogo take Care!

    • @deborahlucas3751
      @deborahlucas3751 4 ปีที่แล้ว +1

      Sikiliza ujumbe ukombolewe

    • @neemanahayo456
      @neemanahayo456 4 ปีที่แล้ว

      @@deborahlucas3751 jamani haukua ivyo umekuaje itakuwa Mke alio owa ndio kamlubuni maana yeye kawa mwepesi kucheza ivyo angalieni tu upako upo kabisa ao walivyo cheza ndio wamekualibia

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 4 ปีที่แล้ว +8

    Watu bwana,,,,,,,Emmanuel piga kaz Music wa gospel uinuke,,,,,,Kama mna taka mtu afate stepu za mbingun niza kuinama nakuinuka tuuu!!!!!!

  • @barakakajange7335
    @barakakajange7335 3 ปีที่แล้ว

    Upumbavu upo umu yaani mnachsza stepu kama nyimbo za daimoni acheni kumchezea mungu

  • @selestinfrancis5904
    @selestinfrancis5904 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe Afya Njema Kaka Mkubwa, kiukweli nyimbo zako zinaniimarisha na kunijenga kiimani Kaka 🎉🎉

  • @petermwalongo9848
    @petermwalongo9848 3 ปีที่แล้ว +8

    Wimbo mzuri, Ujumbe mzuri ila uchezaji wa hiyo gospel song una ukakasi!!!

  • @agathamwakalundwa7553
    @agathamwakalundwa7553 4 ปีที่แล้ว +52

    Hapana ndugu yangu mgogo umecheza kidunia kabsa.huku umepotea kama wachezaji wa daimond

    • @yusuphsalumu3703
      @yusuphsalumu3703 4 ปีที่แล้ว +1

      Agatha Mwakalundwa kabisa Emmanuel ameniangusha uchexaji gn huu jmn

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 4 ปีที่แล้ว +1

      Wachezaji wote hakuna mwenye hofu ya Mungu hapo na hata maombi hawana hapo nia yao wauze

    • @agneschigunda3139
      @agneschigunda3139 4 ปีที่แล้ว +1

      duuh Emmanuel hofu ya Mungu ikowapi? lkn Mungu ndiye ajuae

    • @zakayokalinga7838
      @zakayokalinga7838 4 ปีที่แล้ว +1

      Agatha Mwakalundwa acha kucheza sikiliza ujumbe mama kucheza ni kuufurahisha mwili ila ujumbe unaelewakaaaa

    • @marrychomola1828
      @marrychomola1828 4 ปีที่แล้ว +1

      Msihukumu kucheza kama daimondi ukiwa ndani ya yesu hakuna kosa mungu haangalii kucheza kwetu ana angalia ndani ya miyoyo yetu wapendwa acheni kudanganyana

  • @dropperbitz9323
    @dropperbitz9323 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapendwa wa siku izi ni miyeyusho sana ivi hizi style usipozitumia kumwimbia mungu mnazitumia wapiiii.. Muwe mnaonesha na hizo style za kimbinguni mnaboaaaaaa

  • @haniphahanipha4814
    @haniphahanipha4814 ปีที่แล้ว +2

    God bless you bro huu wimbo atakama ninahuzun nikiusikiliza napata nguvu sana

    • @mgogosinger
      @mgogosinger  ปีที่แล้ว

      Amen, uzidi kubarikiwa na kutiwa nguvu zaidi na zaidi

  • @WalterChilambo
    @WalterChilambo 4 ปีที่แล้ว +11

    Wimbo mzuriii sana. "Bwana napenda niwe karibu nawe"

    • @gabrielmushi2813
      @gabrielmushi2813 4 ปีที่แล้ว

      Walter Chilambo th-cam.com/video/rQYU3D8Hsho/w-d-xo.html
      th-cam.com/video/CfPPHP3MNDU/w-d-xo.html
      karibu usikilize nyimbo zangu broh...

    • @nelsonyandilo3797
      @nelsonyandilo3797 4 ปีที่แล้ว

      Naomba collabo nawe nipe utaratibu 0658180894

    • @gabrielmushi2813
      @gabrielmushi2813 4 ปีที่แล้ว

      Nelson Yandilo mimi au walter chilambo

    • @nelsonyandilo3797
      @nelsonyandilo3797 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gabrielmushi2813 Walter Chilambo Mr Gabi

  • @eldanashon9948
    @eldanashon9948 4 ปีที่แล้ว +14

    Ww ni mtumishi MKUBWA ktk Huduma ya uimbaji, usijishushe kwa vitu vidogo, vingine viache vipite. Uchezaji haubariki kabisa

    • @geofreytweve6699
      @geofreytweve6699 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akusaidie mgogo siamini ninacho kiona kwako uko siko unako elekea

    • @eldanashon9948
      @eldanashon9948 4 ปีที่แล้ว

      Yaani Mungu amsaidie kweli na amrudishe kabla hajazamia huko, maana hio Huduma anamwimbi Mungu, na kupitia hio nasi pia ndipo tunapobariki, lkn kwa staili hii atatupoteza

    • @lusegamnyiri7851
      @lusegamnyiri7851 4 ปีที่แล้ว

      message nzuri sana ila uchezaji utakujima kibali kwa Mungu hata kwa wanadamu rudi ulikotoka

  • @annngina4400
    @annngina4400 3 ปีที่แล้ว

    Daudi alimwimbia mungu hdi nguo zake zikatoka xo cioni shda na huu wimbo just praise God in any way

  • @jescamarandu2381
    @jescamarandu2381 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Mungu akuhurumie. Rudi kwenye Upendo wa Mungu wa mwanzo. Hii ni kama disco kabisa.. Haibariki tena

  • @elizabethmahenge9188
    @elizabethmahenge9188 4 ปีที่แล้ว +98

    Duh kaka iko wapi njia ile ya zamani.iko njia ionekanayo njema machoni pa mtu lakini.......wimbo mzuri uchezaji na uvaaji kipagani rudi njia kuu kaka

    • @wilsonmwabusila6735
      @wilsonmwabusila6735 4 ปีที่แล้ว +3

      Kwali uchezaji ameharibu kbsa

    • @nemaodhiambo7274
      @nemaodhiambo7274 4 ปีที่แล้ว +1

      wow this is endtime sign

    • @yohanapeter4357
      @yohanapeter4357 4 ปีที่แล้ว +3

      Elizabeth Mahenge kiuchezaji kaharibu

    • @graceedward9165
      @graceedward9165 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakika

    • @jacksonngoma7191
      @jacksonngoma7191 4 ปีที่แล้ว +6

      Hivi andiko gani linasema ukicheza stail hiyo ni ya kidunia au wapi andiko linasema kidini marufuku kucheza hiyo stail?

  • @mhubirisamuel5245
    @mhubirisamuel5245 4 ปีที่แล้ว +25

    Mgogo huwa anaimba nyimbo nzuri sana, ila sasa hii style ya kucheza haijakaa vizuri kabisa, Diamondi Platnumz ataokokaje ikiwa unaiga anachokifanya yeye,

  • @samwelmollel1963
    @samwelmollel1963 2 ปีที่แล้ว

    Kwaya saf sana na inaujumbe moyoni watumishi wa mungu

  • @alfayosauli-ls8uv
    @alfayosauli-ls8uv ปีที่แล้ว +2

    Bwana ASIFIWE sana mtumishi wa MUNGU ubarikiwe sana kwa ujumbe na dhamira njema unaikusudia kipekee napenda kusema kwamba MUNGU akubariki sana.usikate TAMAA Songa mbele kataa kukwama hatakama Mazingira hayakupi KUSHINDA .( Wafilipi 4 13) by ALFAYO SAULI MKUTI kutoka Arusha

  • @joelsamwelngimba6398
    @joelsamwelngimba6398 4 ปีที่แล้ว +4

    Ama kweli zama zinabadilika, kaka wimbo mzuri sana tena sana ila uchezaji huo sio wa njia kuu, $usipotelee mwisho$

  • @suzanwaitara2959
    @suzanwaitara2959 4 ปีที่แล้ว +5

    Sijui iweje hata kesho tu huu wimbo usiwe unaonekana kaka ang dah!! Mpaka nmeogopa kiukweliii!!!😱😱😱

  • @nijabyamungu3763
    @nijabyamungu3763 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe kijana kwa wimbo huu hiyi wimbo mimi kwangu inanibariki sana

  • @user-jk8cg7bj9e
    @user-jk8cg7bj9e ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki katika uwimbaji wako napenda sana nyimbo zako

  • @mathiaskapalali9801
    @mathiaskapalali9801 4 ปีที่แล้ว +10

    Ushauri Wangu huo wimbo futa kabisa kwenye mtandao maana unakuchora vibaya kama ulivoanza vyema labda kama unatafuta pesa tu endelea tofauti na hivo apana.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Mgogo this time umetuletea video nzuri dancers wamependeza pia wamejua kucheza vizuri.
    Barikiwa

  • @mrthaombili4220
    @mrthaombili4220 2 ปีที่แล้ว

    wow my brother this song is very creatiful4

  • @claraombay8581
    @claraombay8581 2 ปีที่แล้ว

    Sichoki kusikiliza huu wimbo unanibariki sana na imani juu ubarikiwe same

  • @EmmanuelSanga-ts8fk
    @EmmanuelSanga-ts8fk 5 หลายเดือนก่อน +4

    Alianza kwa roho na kumaliza kwa mwili

  • @masterngao5538
    @masterngao5538 4 ปีที่แล้ว +25

    Yan we mgogo ndio wakucheza ivo kweli huendani broo sijapenda

    • @rehemachaula8621
      @rehemachaula8621 4 ปีที่แล้ว +1

      IMA hapana baba wewe haupo ivo Lucia wokovu haris

    • @eldanashon9948
      @eldanashon9948 4 ปีที่แล้ว

      Hata mm hizo staili hazinibariki. Mungu amsaidie mtumishi wake

    • @rosengowi4962
      @rosengowi4962 4 ปีที่แล้ว

      Mbona una wivu

    • @rosengowi4962
      @rosengowi4962 4 ปีที่แล้ว

      Mwimbo mzuri

    • @balikpaul127
      @balikpaul127 4 ปีที่แล้ว

      Njoo ucheze wewe bas

  • @beatricekimaro3885
    @beatricekimaro3885 3 ปีที่แล้ว

    Kaka imma barikiwa sana unajua kunifanya nizid kumtafuta Mungu,

  • @stellaromanus9251
    @stellaromanus9251 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako hasa hii na uso wang

  • @mtegaya2118
    @mtegaya2118 4 ปีที่แล้ว +19

    daah YESU anajitosheleza sana,hii changanya changanya watumishi mnatufunza nn?Dunia haipaswi kuingia kwetu,utajiri wa KIMUNGU udumuo wafaa kuliko!Mgogo nionavyo mm hii si sawa

  • @lameckadamu1198
    @lameckadamu1198 4 ปีที่แล้ว +7

    mfalme Daudi alicheza mpaka nguo zikamvuka lkn bwana alipata utukufu nimependa mtumishi barikiwa Sana na mama

    • @balikpaul127
      @balikpaul127 4 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @pastorzakariatv1786
      @pastorzakariatv1786 3 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo kanisani tucheze Kama daud tuvue na nguo hatutaitwa wachawi? ANDIKO la daudi siyo agizo kwetu ila NI history ya daudi HAKUNA panaagiza kwamba tucheze Kama daud YESU na WANAFUNZI wake waliimba lkn hawakucheza Kama daudi na Yesu hasemi tumfuate daudi Wala hasemi tujifunze kwa daudi Bali ANASEMA Yesu "jitieni nila yangu MJIFUNZE KWANGU" PAULO ANASEMA "KRISTO ALITESWA KWAAJILI YENU AKAWAACHIA KIELELEZO MFUATE NYAYO ZAKE MUNGU BABA AKASEMA HUYU NDIYE MWANANGU MPENDWA NINAYE PENDEZWA NAE MSIKIENI YEYE SASA WAPI MOKOZI WETU ALICHEZA KAMA DAUD AU WAPI ALITUAMBIA TUCHEZE KAMA DAUD?

  • @user-op9cv5md8u
    @user-op9cv5md8u 10 หลายเดือนก่อน

    Natam na mim niwe miongon mwenu mubarkiwe sana

  • @kisiimilka2063
    @kisiimilka2063 2 ปีที่แล้ว

    Emanuel barikiwa sana na huu wimbo good 👍 maandiko barikiwa

  • @charleswilliam327
    @charleswilliam327 4 ปีที่แล้ว +17

    Mtumish kwa huu wimbo umeanza kuvuruga Huduma yako nzur, sio kwa kucheza huko Kama watu wadunia!!!

    • @eldanashon9948
      @eldanashon9948 4 ปีที่แล้ว +3

      Yaani ameenda nje ya mada kabisa, huo uchezaji haubariki kabisa

    • @robertrobart7371
      @robertrobart7371 4 ปีที่แล้ว +2

      watumishi Mungu akiwanua tu mnaanza kuboronga hao dansa vp

    • @mocranaburugi3486
      @mocranaburugi3486 4 ปีที่แล้ว +2

      Shida na wadada wanakata viuno unajua kuna watu huwa wanazini moyoni kwa kuangalia viuno vinavyozungushwa na neno linasema amtazamaye mwanamke kwa kumtamani ameskiwsja zini naye, sasa wewe ulifanya mwenzio azini kwa kusudi na wewe unakosa

    • @laurianogerold9457
      @laurianogerold9457 4 ปีที่แล้ว +1

      mgogo Nani kamuharibu mgogo hakuwa hivi da

    • @madamleah852
      @madamleah852 4 ปีที่แล้ว

      Saana hta mm nilikuwa namkubaligi Sana huyu ila nimeshangaa kucheza Huku tu

  • @noelmbani1028
    @noelmbani1028 4 ปีที่แล้ว +6

    Jaman mgogo umemuangusha yesu tubu haraka pamoja na Huyo mkeo maana anavyokatika mpaka aibu, na huyo mch wenu hajakushauli kaka? Tubu tena Kwa machozi usihalalishe dhambi

  • @eugeniefrancine5038
    @eugeniefrancine5038 7 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina miminapenda niwe nawewe univute niwe karibu nawewe

  • @merryathanas3782
    @merryathanas3782 4 ปีที่แล้ว

    Style izo znatisha wimbo mzur sana badilisha mtumis
    hi mungu abadilishe

  • @papaajozee3861
    @papaajozee3861 4 ปีที่แล้ว +5

    Wimbo mzuri mtumishi wa Mungu ila attendee kazi wanayoyasema wapenzi wa nyimbo zako
    Amen

    • @frankezekiel7446
      @frankezekiel7446 4 ปีที่แล้ว

      Umeanza kuiga stail za kidunia duuuu. Sijui nani kakuloga. Badirikaaaaaaaaaa

  • @vicentjoseph6888
    @vicentjoseph6888 4 ปีที่แล้ว +16

    Kaka Mgogo ulianza vizuri lakini unataka kupotelea mwisho,, uvaaji na uchezaji hauna tofauti na kina diamond, pole sana Mungu aseme na wewe,

    • @deborahlucas3751
      @deborahlucas3751 4 ปีที่แล้ว +2

      Ujumbe wa Mungu ni wa Mungu tu ww nenda kasikilize baba lao

    • @childofgod4412
      @childofgod4412 3 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akitane naye kama anakosea

  • @lydiachembe9376
    @lydiachembe9376 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sn sn wimbo mzuri sn ila sasa iwo uchezaji wa kukata miuno avijanibariki

  • @jennifermuthonimwaniki4722
    @jennifermuthonimwaniki4722 2 ปีที่แล้ว

    Kubalikiwa no wele walio na kiu na mungu ,watashibishwa.

  • @mokwelucas840
    @mokwelucas840 4 ปีที่แล้ว +20

    Wimbo mzuri sana, Bwanaeakubariki sana, napenda nisikilize tu, ila nisiangalie, rudi kama hapo mwanzo, achana na ukisasa

  • @marynoni7498
    @marynoni7498 4 ปีที่แล้ว +21

    mgogo wakati unautoa huu wimbo hukuona makosa yake au ulitoa bila kuangalia napenda sana nyimbo zako ila madasa wako umechemsha kabisa

  • @neemakasawanga1259
    @neemakasawanga1259 2 ปีที่แล้ว

    Azaniaye kuwa amecmama aangalie ache akaanguka
    Dance hizo na uvaaji kwa wanawake haumpi MUNGU utukufu hata kidogo
    Kuwa makini Sana mtumishi na umjue unaemtumikia
    Auwatumikii wanadamu, karibu kuiga mfano mzuri kwa ambwene mwasongwe na Jackson bent

  • @tumainimbogo5412
    @tumainimbogo5412 2 ปีที่แล้ว +4

    Kaka Mgogo nyimbo zako nyingi zinabariki hasa ukiimba ktk hali ya utulivu kaka yng🙏ni ushauri tuu ungebk na style ya kuimba taratibu,unagusa mioyo ya wengi🙏❤️

    • @MwanduJiganga-pf8uu
      @MwanduJiganga-pf8uu 7 หลายเดือนก่อน

      Sawakuimba unaimbasafikabisa ilakwauchezajiuo Mimi sijapenda

  • @evpetersamweliofficial2425
    @evpetersamweliofficial2425 4 ปีที่แล้ว +9

    Unachokiimba na vitendo ni tofauti kabisa

  • @rahmaally9159
    @rahmaally9159 2 ปีที่แล้ว +2

    Maana hapa nilipo na kiu nawewe .napenda kuwa Karibu na wewe 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @undulemwakibabala8119
    @undulemwakibabala8119 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo nimesikiliza masikio ya rohoni, Ila style ya uchezaji hainibariki

  • @yohanapeter4357
    @yohanapeter4357 4 ปีที่แล้ว +4

    Mtumish wa Mungu mgongo nyimbo zako ni nzuri sana uponyaji kabisaa ,tatzo hawa madansers aisee wameharibu mtumishi uchezaji wa kiduniaaa kabisaa

  • @jackieemnl6468
    @jackieemnl6468 4 ปีที่แล้ว +4

    Bro Mgogo nyimbo zako uwa zanibariki xnaa ,endelea na uchezaji ule wa zamani , ujumbe ni mzuri ,sema mavazi yaliyomo ndani ya wimbo

  • @JoshuaOwidi
    @JoshuaOwidi หลายเดือนก่อน

    Love the song,Kisima cha uwepo wa bwana❤

  • @elizabethminja9347
    @elizabethminja9347 3 ปีที่แล้ว

    Umekosea sana sijapenda uchezaji Wala mavaxi ya kike roho mtakatifu akufundishe upya

  • @gracemichael8948
    @gracemichael8948 4 ปีที่แล้ว +17

    Kwa kwel umeingiliwa mtumshi siyo bure Mungu akutie nguvu wimbo mzuri Ila wachezaji ndo wameharibu

  • @tunukiwamahenge1549
    @tunukiwamahenge1549 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbona umeanza wewe kupotelea mwisho ,Mungu akurudishe kaka yangu bado unayo nafasi

  • @SmilingCruiseShip-tr9hi
    @SmilingCruiseShip-tr9hi 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa mbinguni akubariki zaid mgogo mwenzetu❤.

  • @sumamwampulo7787
    @sumamwampulo7787 3 ปีที่แล้ว

    Mzikiiii mzuriii mnoooo kupita uzuriiiii

  • @maryosward1879
    @maryosward1879 4 ปีที่แล้ว +18

    Jamani kaka Mgogo kulikoni tena hiyo cheza pia misuluari kwa wadada hapo hapo huwezi sema nipotofauti na wa dunia kabisa

  • @amansayu9753
    @amansayu9753 4 ปีที่แล้ว +5

    Nilikuwa napenda nyimbo zako zinanibarik saaana lakn sasa dance kama mzki wadunia hii

  • @brendanamalwa
    @brendanamalwa ปีที่แล้ว

    I love this.asante kwa njema hata na pst.tumaini naipenda sana.

  • @zakialaizer-xo1qm
    @zakialaizer-xo1qm ปีที่แล้ว +1

    Achana na dancing tazama message❤

  • @elizabethjames7295
    @elizabethjames7295 4 ปีที่แล้ว +27

    Kaka unajua sana kuimba ila huo uchezaji wako sio rekebisha nimbaya huo ni uchezaji wa daimond

    • @mathazyunga839
      @mathazyunga839 3 ปีที่แล้ว

      Mmmm jamani daudi alipocheza mavazi yakamvuka alichezaje kwa kutikisika tu ama?sio tu mambo ya kucheza yako duniani tu hapana yalianzia mbinguni shetani rusifa amekopi mbinguni na ndo anatumia huko duniani je tuendelee kuibiwa furaha yetu na shetani ndo maana watu wengi hawataki hata kuokoka na kumfuata yesu maana wanajua huku kwa yesu hakuna ngoma safi kama hizi kumbe ndo kuna vitu vizuri,Mimi nikifungua hii ngoma nacheza mpaka nasikia furaha zaidi maana anaimba neno L a mungu kwa mistari ya biblia hebu sikiliza vizuri hii ngoma na mpaka mtumishi wa mungu ameitoa ni roho wa bwana alimvuvia ili watu kama Mimi tuicheche

    • @elizabethjames7295
      @elizabethjames7295 3 ปีที่แล้ว

      @@mathazyunga839 Hata kama daudi alicheza sawa ila kwahuo uchezaji hapana anaimba vizuri sana mpka raha lakini hapo kwenye kucheza ndoshida ndugu yangu ila Mungu atusaidie

  • @alexmpanda2987
    @alexmpanda2987 4 ปีที่แล้ว +17

    Tumwombee emmanueli maana ameanza mwanzo wa utukufu ila kadri anavyoendelea anabadlika,tusijempoteza kama akina Bahati bukuku na akina jenifa mbasha na wengine.

    • @monitanatanzania7169
      @monitanatanzania7169 3 ปีที่แล้ว

      Apana kaka IMA uko pwa sana waache ao amutaki ubunifu mpwa

    • @isackmnazi539
      @isackmnazi539 3 ปีที่แล้ว

      Ndivyo waanzavyo Kisha hupotelea mwisho kwani hutafuta namna ya kuwafurahisha wanadamu na c Mungu. Oo Jehovah
      have pity on your people.

  • @fatumamimbi3126
    @fatumamimbi3126 3 ปีที่แล้ว

    Ninaogopa kuhukumu maana nami nitahukumiwa ninasikiliza ujumbe huu na unanibariki sana.

    • @millicentasha8191
      @millicentasha8191 ปีที่แล้ว

      Ndio unaujumbe mzuri sana na sio kuwa watu wanahukumu but wanajaribu kutofautisha injili na ya dunia coz kama makosa yako in heri aambiwe ili injili isikashifiwe

  • @equippingcommunity147
    @equippingcommunity147 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi achana nao hao wanakubeza hawajui dance ni ya Bwana sio ya wadunia wao ndio walituibia sisi.Big up i need to dance for my Lord.

  • @selahmpigauzi328
    @selahmpigauzi328 3 ปีที่แล้ว +3

    Wimbo mzuri Sana, Ila staili ya uchezaji inaharibu ushuhuda, tafathali Sana Kaka mgogo usitukwaze

    • @lavianaalbert9006
      @lavianaalbert9006 3 ปีที่แล้ว

      Jaman nini kiricho haribu ushuhuda hapo huyu kaka namkubali sana maisha haya kaririwi akitokea mfalme daud sasa