ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

NAMNA RAIS SAMIA ALIVYO VUTIWA NA HOSPITAL HII MPYA YA LUMUMBA ZANZIBAR | AGUSIA BIMA YA AFYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ส.ค. 2024
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 717 619 834
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Omar (OJ)
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

ความคิดเห็น • 13

  • @ZanzibarOrchestra
    @ZanzibarOrchestra 6 หลายเดือนก่อน +2

    kazi ni nzuri lakini background music haikuhitajika kabisa kwenye hotuba. i hope muta improve video za mbele

  • @zakariakhamis3269
    @zakariakhamis3269 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mama yetu mama wanchi mwenye kutujengea nchi yetu love mama samia

  • @bilalkhamis_
    @bilalkhamis_ 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mama nakupenda ❤❤❤..... Yani acha tu..... Ahsante mama kwa kutujali wazanzibar..... Ss km wazanzibar wenzio tunasema tunakupenda sana mama

  • @abumussaproduction2680
    @abumussaproduction2680 6 หลายเดือนก่อน

    Picha ya Rais haionekani nzuri na io background music kwa Rais inakuwaje😢

  • @mohamedjuma5820
    @mohamedjuma5820 6 หลายเดือนก่อน

    Chowelya mh Rais

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 6 หลายเดือนก่อน

    tatizo jee madaktari wenye viwango wapo?

  • @seif3401
    @seif3401 6 หลายเดือนก่อน

    Asante mama Kwa kuijenga zanzibari

  • @raniy0262
    @raniy0262 6 หลายเดือนก่อน +1

    Why mnaweka background music???wat for yaani??mxeeew

    • @ktvtzonline
      @ktvtzonline  6 หลายเดือนก่อน +1

      Pole kwa usumbufu, Tutafanyia kazi hatutoweka ili tuepushe usumbufu ambao umeupata,
      Asante kwa maoni yako!!

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 6 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @yuwsufali6356
    @yuwsufali6356 6 หลายเดือนก่อน

    Vitu havifunguliwi had mapinduz