CDF CUP 2024 | Meja Jenerali Mhona akisikitishwa utofauti Yanga, Simba, Azam na klabu zingine

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • “Jeshi tunatakiwa kuwa pale juu” maneno ya Meja Jenerali Ibrahim Mhona akionesha masikitiko yake juu ya utofauti uliopo kwenye soka kati Yanga, Simba, Azam FC na timu zingine ikiwemo timu za jeshi ambazo ni JKT Tanzania na Mashujaa FC.
    Meja Jenerali Mhona amezungumza leo kwenye sherehe za ufunguzi wa michezo ya #CDFCup2024 leo katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

ความคิดเห็น • 4