RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2019
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali waliomsubiri njiani akilekea Mako makuu ya Nchi Jijini Dodoma .

ความคิดเห็น • 37

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 4 ปีที่แล้ว +21

    Naomba like zenu mm ni mtu wa mwanzo kukoment Leo magufuli ni mchapakazi sana anaeamini hili agonge like hapa chini 🙏

  • @jumayahaya4910
    @jumayahaya4910 4 ปีที่แล้ว +8

    Kam unamkubar jpm gong like za nguvu

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 4 ปีที่แล้ว +9

    Asante sana mheshimiwa baba yetu mpendwa

  • @onesmoakwilini6254
    @onesmoakwilini6254 4 ปีที่แล้ว +7

    AMRI JESHI WA MAJESHI

  • @enockcharles6835
    @enockcharles6835 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana Mheshimiwa rais, penye ukweli sema ukweli baba. Wengine wanafanya kazi ya wizi, vibaka na shughuli za uvunjifu wa amani wanategemea ukipata watumie fursa hiyo kuonekana hawana makosa.
    Wakati wa kubembelezana haupo tena.
    Piga kazi

  • @wilsonjohn1919
    @wilsonjohn1919 4 ปีที่แล้ว +8

    Ndani ya kombat president

  • @masukahima3676
    @masukahima3676 4 ปีที่แล้ว +3

    Salute kwako mkuu...

  • @mhandoabasi9968
    @mhandoabasi9968 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu.akujalie.rais.wetu.tunaona.kz.nzur.taifa.lako.laenda.mbele.uchumi..saf.sana

  • @agneomasonda2462
    @agneomasonda2462 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapa kazi tu. Piga kazi baba JPM

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 ปีที่แล้ว +4

    Wananchi bwana UKIWA UNAONGOPA WANAKUZOMEA 😀😀hawataki UJINGA

  • @jamessanga5453
    @jamessanga5453 4 ปีที่แล้ว +7

    mzee wa zeke halilali

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 4 ปีที่แล้ว +1

    asante sana rais wetu mpendwa Magufuli mtetezi wa wanyonge

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapa kiukweli umenimaliza MH:RAISI MAGUFULI WEWE NI RAISI WA PEKEE USIONDOKE MADARAKANI WALA HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI.

  • @manyotaskipper5765
    @manyotaskipper5765 4 ปีที่แล้ว +6

    Mzee KAVAA COMBAT SASA TAREHE 24 wewe jifanye MBUBU UANDAMANE KISA ZITO KAKWAMBIA AU MBOWE

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 4 ปีที่แล้ว +7

    Kila lakheri Mungu akutangulie safari hiyo

    • @mosesmzakwe7774
      @mosesmzakwe7774 4 ปีที่แล้ว

      JPM
      NAKUPONGEZA SANA
      HUKUUMBWA KUWA MNAFIKI KWA WALE UNAOWAONGOZA
      KATIKA ZIARA ZAKO
      USIKOSEEE KWENDA KIJIJINI MZAKWE
      TUMEZURUMIWA KIJIJI CHETU.

  • @isackcsimba1436
    @isackcsimba1436 4 ปีที่แล้ว +3

    Yan Uyo Salange Mjinga Kwel Kaambiwa Una Shida Gan Yeye Kajitetea Baada Akubal . Mweshimiwa Ujue Alikua Anataka Amwachie Mpunga Mrefu tu . Lakin Sio Mbaya Kajisemea Ukwel

  • @batulimwasisime5601
    @batulimwasisime5601 4 ปีที่แล้ว

    Hapo ndiyo huwa nakukubari ukiona Bei juu kalime yakwako

  • @travsscott6603
    @travsscott6603 4 ปีที่แล้ว +1

    Afande C.I.C U Get our saLute

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu leo suti iko wap??? Hahahahaaa ahhh natania tu. Kiukweli mimi huwa nafurahi sana punde tu napokuona. Huwa najisikia raha sana. Comando uko juu milele.

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

      Mica Mathew huyu niamir jeshi mkuu.

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

    Piga kazi baba

  • @babaelisha6620
    @babaelisha6620 4 ปีที่แล้ว

    Hongera,Mh,Rais kwa kuwasikiliza wapiga kila wako, yaani nafikiria ukomo wa uongozi wako ifikapo 2025 Rais ajae atafuata nyayo Zako? Mungu atujulie atupe uzima tuifke 2025.

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 4 ปีที่แล้ว

    NAAMINI UNA UWEZO WA KUIREKEBISHA ZANZIBAR MIEZI SITAA TU. MAENDELEO MAZITO YATAKUWA YASHAPATIKANWA.

  • @majaliwagibson7295
    @majaliwagibson7295 4 ปีที่แล้ว

    Piga Kazi Mkuu Tupo Nyuma yako

  • @batulimwasisime5601
    @batulimwasisime5601 4 ปีที่แล้ว

    BABA KILA UNAKO KWENDA WATU WANAPENDA KUZUNGUMZA NA WEWE MBARALI TULIKOSA NAFASI HII NJOO TENA BABA KIFUKU KIMESOGEA MAMBO NI MENGI

  • @solomonrein5440
    @solomonrein5440 4 ปีที่แล้ว

    shetani ashindwee na alegee haswaa

  • @mhojamsafiri2273
    @mhojamsafiri2273 4 ปีที่แล้ว

    Madebe yakiisha utapiga nn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @flightclubtanzania1638
    @flightclubtanzania1638 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwa anayeona wapiga debe ni wazururaji wezi nipe like.

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy 4 ปีที่แล้ว

    Raïsi anaye tosha haya ku mafrika kabisa

  • @J4UPro
    @J4UPro 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anafaaa miaka 1000