Nikiondoka hapa bila kukupongeza kwa ujasiri wako, nitakuwa ninamkosea Mwenyezi Mungu, Asante sana kwa hekima uliyonayo, unafaa hata kuwa kiongozi katika nchi. Nshindwa hata nisemeje yaani, lakini mwenyezi Mungu akupe baraka tele mzee wetu.
Umetema nyongo kwa busara sana mzee wangu! Changamoto iliyopo, ukisema ukweli tu maisha yako yanakuwa hatarini. Mungu akubariki na akulinde daima na milele. Amina🙏🙏
👏👏👏👏👏 Kweli kabisa wamemsahau mnoo ataji angalia anasifiwa yeye miladi yote yeye tu mbaka mm mwenyewe najiuliza mbona mzee wetu magufuli atajwi 😭😭 mzee wetu asante sana kuliongelea hili MUNGU akubariki sana
Mzee unahikima mwenyenzi mungu akupe umri na afya na akuzidishie hikima ni yule fisadi kikwete na kundi lake ndio wenye lampeni ya kulifuta jina la magufuli cha kusikitisha eti samia anaumia roho kusikia jina la magufuli likitajwa kwa maaendeleo haya Anataka yeye ndio awe ndio kinara wa haya lakini hakuna atakaelifuta jina la pombe magufuli midomoni na mioyoni mwa waTanzania RIP HYT JOHN POMBE MAGAFULI
This old man has a lot of brain! Rais Mwinyi bila kutafuna maneno alisema mambo yaliwashinda kutekeleza kwa miaka 60 iliyopita, JPM aliyatekeleza kwa miaka 5. Tunafahamu kuna watu wanataka kufuta mazuri aliyofanya JPM. Wanajidanganya Magufuli ameandikwa kwenye MIOYO ya Watanzania wanyonge kwa kalamu ya chuma ambayo haifutiki!
NAMUOMBA MUNGU MIAKA IJAYO ATULETE CHUMA MWAMBA USIOTIKISIKA LIKE MAGUFULI alafu amuweke miaka 10 na zaidi ee MWENYEZI MUNGU TUSIKIE KWA NIABA YA SAUTI ZA WANYONGE WA TANZANIA TULETE BABA KIONGOZI BORA WAKUSIMAMIA HIZI RASILIMALI UIZOTUPA NYINGI ALAFU AZIWAFAIDISHI WANANCHI WA TANZANIA
Mkapa na Kikwete aliuza nchi hii kwenye madini na kuua tembo wote...Magufuli ndio alikuja kusimamisha wezi wa madini yetu na leo hii CCM inaona aibu kutaja Jina la Shujaa wetu Magufuli...CCM inaabudu wezi na mafisadi...Samia Mungu anakuona na bila Magu tusingekujua...Mpeni Heshima yake Magufuli maskini ndio Raisi wetu mpaka kufa
Samia ndie anaearibu alama za Magufuli alizo acha,hizo tren zote kazi pea jina lake ili adanganye umma na vizazi vijacho kuwa ni kazi yake. Tren zimeandikwa Samia express mie mwenyewe nimeshindwa kushangaa 😢
Mzee Una helima kubwa mungu akubaliki kwani unatakiwa kusema ukweli japo Raisi Samia kafanya makubwa na mungu huwa anapenda MTU mkweli sio mnafiki akiona moyo wako ana kuweka
UMEONGEA POINTS SANA MZEE WANGU 😢 ILA KWA NCHI HII ILIVYOKUWA YA KIPUMBAVU UTASIKIA WASIOJULIKANA WAMEKUTEKA KWAAJILI YA ROHO ZAO MBAYA, ILA MUNGU AKUPE ULINZI BABA 😢😢😢
Miradi ya kawe ya NHC pia amepea jina lake wakati ni miradi aliyoifanya Magufuli na hata viwanja vipya vya mipira ni miradi ya Magufuli lakini Samia na jop lake wanaificha na kujiweka wao kifua mbele
CCM wenyewe ndio wanafiki na hao viongozi wa CCM ni washenzi Kwa Sisi tuliokula samaki iko siku damu Magufuri itawatafuna one day the True son of Bachwezi will rise Again.
Comment baba yangu hakuna tanzania ingine ni hiyo tu mradi inatembea polepole samia mradi yake nigani mbona ni ya magufuli tu yeye ndiyo mchawi kabisa usiongope kuambia kikwete ni mchawi amemloga magufuli lakini hata yeye atakufa tu
Mzee wangu shikamooo Sana umeongea Mambo ya ndani kabisa mzee wangu unahekima kubwa Sana , Hadi Leo mioyo yetu inalia kwa ajili ya Mzee Wetu Magufuli
Nikiondoka hapa bila kukupongeza kwa ujasiri wako, nitakuwa ninamkosea Mwenyezi Mungu, Asante sana kwa hekima uliyonayo, unafaa hata kuwa kiongozi katika nchi. Nshindwa hata nisemeje yaani, lakini mwenyezi Mungu akupe baraka tele mzee wetu.
👍👍safi sana mzee wangu
Mzee mungu akulinde we sio mnafik na hatutamsahau mungu ampumzishe
Umetema nyongo kwa busara sana mzee wangu! Changamoto iliyopo, ukisema ukweli tu maisha yako yanakuwa hatarini. Mungu akubariki na akulinde daima na milele. Amina🙏🙏
Mzee wangu nimekupenda sana
👏👏👏👏👏 Kweli kabisa wamemsahau mnoo ataji angalia anasifiwa yeye miladi yote yeye tu mbaka mm mwenyewe najiuliza mbona mzee wetu magufuli atajwi 😭😭 mzee wetu asante sana kuliongelea hili MUNGU akubariki sana
Mzee Mungu akubariki sana, straight to the point. Magufuri tunamkumbuka sana tena sana,yeye ni kipenzi cha watanzania wengi sana
Huyo alikuwa jemedari mwamba wa Tanzania mwana wa Africa mzalendo JPM 🇹🇿
Asante sana mzee kutusemea leo hii maguful hata hakumbukwi ,,hata tu kutajwa asante kumtaja mwasisi wetu
Mafisadi walioko kwenye utumishi ndio hawataki asifiwe/ aenziwe kwa kuwa alikata mirija yao haramu! Mungu akutunze mzee wetu!
Safi sana Mzee wangu ni uungwana kukumbuka mema yaliyofanywa na Marehemu Magufuli na wengine waliotangulia mbele ya haki
Kumbe wazee kama hawa wapo wanojua uzalendo . Mzee wangu mimi ukigombea nakupa kura yangu. Believe me ! Naapa kwa mungu.
Mzee unahikima mwenyenzi mungu akupe umri na afya na akuzidishie hikima ni yule fisadi kikwete na kundi lake ndio wenye lampeni ya kulifuta jina la magufuli cha kusikitisha eti samia anaumia roho kusikia jina la magufuli likitajwa kwa maaendeleo haya Anataka yeye ndio awe ndio kinara wa haya lakini hakuna atakaelifuta jina la pombe magufuli midomoni na mioyoni mwa waTanzania RIP HYT JOHN POMBE MAGAFULI
Upo sahihi sana mzee wangu!!
Mungu akulinde mzee tunawahitaji wazee kwma nyinyi katka nchi
This old man has a lot of brain! Rais Mwinyi bila kutafuna maneno alisema mambo yaliwashinda kutekeleza kwa miaka 60 iliyopita, JPM aliyatekeleza kwa miaka 5. Tunafahamu kuna watu wanataka kufuta mazuri aliyofanya JPM. Wanajidanganya Magufuli ameandikwa kwenye MIOYO ya Watanzania wanyonge kwa kalamu ya chuma ambayo haifutiki!
Upo sahihi mungu akuhifadhi
Mzee Mungu akutunze
Tanzania na afrika kwa ujmla tulipoteza jasiri, mwamba. Hao viongozi akiwemo uyo mama ni wanafiki.
Mzee mungu akubaliki sana tunajua wataanza kukupiga vita ila tupo wanainchi hatuelewi ichi inako kwenda
Kweli Mzee wangu!!?
Hongera sana mzee wetu kwa kutuelewesha🎉🎉
Mimi mwenyewe nilijiuliza sana kusema wachawi wamekufa na iliniuma sana ila mwisho wao unakaribia wewe subili baba
Hekima ni zaidi ya elimu.🌹🌹🌹
Ubarikiwe Sana Mungu akutunze
Mungu mwema, inapendeza kama viongozi wanakumbuka mazuri ya forever president magufuli 🙏🙏
Mungu akubaliki
Mungu akutunze Mzee
Safi sana wow mzee wakumbushe hao
Naofia nafsi yangu mbere yamwenyezimngu aisee uyu mzee nimcha mngu sn sn Ubu angalia mkutano wajuzi wa CCM akutajwa kbs
Kwa kweli umeongea vizuri.
NAMUOMBA MUNGU MIAKA IJAYO ATULETE CHUMA MWAMBA USIOTIKISIKA LIKE MAGUFULI alafu amuweke miaka 10 na zaidi ee MWENYEZI MUNGU TUSIKIE KWA NIABA YA SAUTI ZA WANYONGE WA TANZANIA TULETE BABA KIONGOZI BORA WAKUSIMAMIA HIZI RASILIMALI UIZOTUPA NYINGI ALAFU AZIWAFAIDISHI WANANCHI WA TANZANIA
Dahh mzee wangu kuanzia leo nakuunga mkono nakukubali, we una maono ya mbali na taifa hili.
Upo sahihi mzee
MWENYEZI MUNGU asimame nawe mzee unatukumbusha upendo kwa mpendwa wetu jpm,
Yaani Mzee unastaili pongezi kubwa saaana klwa kuliona hilo. Japo najua kuna watu watakuwa wamekununia japo ukweli utabaki kuwa ukweli tu
Ni kweli kabisa,,huyu mama anatumaliza watanganyika, RIP JPM
Mzee huyu abarikiwe yangu Mzee ametia udini pembeni hanasimamia haki!
ongela sana mzee kwawazo lako
Ahsante sana baba🙏🙏
Mzarendo WAKWELI mungu Akupe uhai wa kweli
Uyu mzee nimwanapani Africa 🌍 uyu mzee nimwanapani Africa
Mkapa na Kikwete aliuza nchi hii kwenye madini na kuua tembo wote...Magufuli ndio alikuja kusimamisha wezi wa madini yetu na leo hii CCM inaona aibu kutaja Jina la Shujaa wetu Magufuli...CCM inaabudu wezi na mafisadi...Samia Mungu anakuona na bila Magu tusingekujua...Mpeni Heshima yake Magufuli maskini ndio Raisi wetu mpaka kufa
umenena mpendwa yani umegusia point
Msema ukweli ni mpenzi wa Mwenyezi Mungu.. Ubarikiwe Mzee wetu.
R.I.P JPM
na wao watakufa acha walete jeuri
Samia yupo vizur tu kafanya vizuri
Musimuonee
Uko saw mzee
Why jana kwenye mkutano wa CCM akutajwa magufuri kbs Tena kasemwa et mchawi kashakufa et
Uyu ni mzee kati ya wazaee nitakao waeshimu Mungu akuweke sana
SHIKA MOO BABA
Asante kwa kusema ukweli
Mungu akubariki
Mzee una hofu ya mwenyez mungu ubarikiwe sana
Mzee uko vizuri, sasa hivi watu wanatimiza ndoto za kuweka sahihi kwenye fedha na kuondoa fedha kwenye mzunguko kwasababu ya sahihi
Samia ndie anaearibu alama za Magufuli alizo acha,hizo tren zote kazi pea jina lake ili adanganye umma na vizazi vijacho kuwa ni kazi yake. Tren zimeandikwa Samia express mie mwenyewe nimeshindwa kushangaa 😢
MUNGU akubariki mzeee
MUNGU akubariki mzee!akupe kitichako peponi! Akulipe kwa kulisemea hili! Wanafiki watakupinga tu?
HIZO TRAINI KAMA C JPM NDOTO TANZANIA
Kweli kabisa
Mzee Una helima kubwa mungu akubaliki kwani unatakiwa kusema ukweli japo Raisi Samia kafanya makubwa na mungu huwa anapenda MTU mkweli sio mnafiki akiona moyo wako ana kuweka
Mzee tusaidieni
CCM wengi wabinafsi
Shikamoo baba wa maono
Tunashangaa sana kuona haya, tunjuwa kuwa hataki kusema haya ni ya Magufuli.
Mzee nakupongeza kwa kuwasemea Watanzania
Kweri kabisa
Kikwete ni mtu hatari sana...
Wivu ulimjaa sana kwa yale aliyokuwa anayafanya JPM kwa kuwa yeye alichemka ...
Mzee uko sahihi kabissa
bro uko sahihi kbs,kikwete amechangia sana kumuua mpendwa wetu JPM!
Umeona eee @@JeanMuzaliwa-bs6qh
Mzee nimekukubali upo sahihi
BABA UMELIONA HILI AHSANTE
UMEONGEA POINTS SANA MZEE WANGU 😢 ILA KWA NCHI HII ILIVYOKUWA YA KIPUMBAVU UTASIKIA WASIOJULIKANA WAMEKUTEKA KWAAJILI YA ROHO ZAO MBAYA, ILA MUNGU AKUPE ULINZI BABA 😢😢😢
Hakuna wakumteka kwan wao hawaoni
😂
Mbona namuona mwinyi yupo vizur tu
Mzee anafaa kuwa Rais wetu wa awamu ya saba Ana ekima ya uongzi sio utawala kama samia😊
Yamkini naiusia nafsi yangu mbere yamwenyezimn uyu mzee nimchamngu amesema ukwer kwani mbere yamwenyezimngu kila mtu ataulizwa
Mungu atuletee raise Kama magufuli mzalendo wakweli
True mzee
Kila kitu sahivi ni kumsifia mama Samia lakini hakuna kitu chochote anachofanya zaidi ya wizi Tu yeye na wenzake
WATANZANIA SHIRIKA LA NDEGE KAMA C JPM AKUNANDEGE ATA MOJA
Yes Sir.
Ilikuwa aibu Sana staff 235 ndege moja Tena ya kukodi hii ni sawa?
Tuanze na hili kwa 2025 kwa nguvu zote ili tuondoe takataka kwa manufaa ya taifa
kikwete hasipo uliwa nchi ya tanzania itoende fasi kbs!
Good
Mzee unafaa kuwa rais shikamoo kwanza wewe ni mzee sahihi ktk uzee wako na atakaekunyooshea mkono ulio mbaya na asiwe na furaha maisha yake yote.
Yamkini uyu mzee mim namuunga mkono uyu nimchamngu uyu mzee kaiofia nafsi yake kwani Kaona ana chakupoteza kasema ukwer unawowatowa watu wengi machozi
Watu washavurugwa.
Hahahahaha nakubali mwenyekiti
Why jana kwenye mkutano wa CCM akutajwa magufuri kbs Tena kasemwa et mchawi kashakufa kunakiongozi kasema wachawi tiali wameshakufa
Mimi nashangaa huyu samia shetani anajisifia ujinga badala wamsifu magufuli aliyefanya kazi kubwa sana
Miradi ya kawe ya NHC pia amepea jina lake wakati ni miradi aliyoifanya Magufuli na hata viwanja vipya vya mipira ni miradi ya Magufuli lakini Samia na jop lake wanaificha na kujiweka wao kifua mbele
Kweli magufuli alikua ni rais wa kweli
Umeongea ukweli
YANI MAENDEREO YOTE YA SASA JPM NA ALIKUWA KASHARIPIA KILA KITU
Kwa ufupi samia ana kipya alicho kifanya na hana maono zaidi, labda tozo tu ndo alichofanya pekee akuna kengine
Asant
Mwendo kasi ulianzishwa toka wakati wa Jaķaya
Magufuli kafanya ni jadili lkn samia pia hajavunja ya mahufuli ndomana kasema kaziniendelee
Hujui baba kikwete alimanisha magufuli maana alizuia mali kutolewa kirahis na kugaiwa wakubwa
Samia kaleta mikopo
Kwa I jpm hakuleta mikopo?
Acha ujinga
CCM wenyewe ndio wanafiki na hao viongozi wa CCM ni washenzi Kwa Sisi tuliokula samaki iko siku damu Magufuri itawatafuna one day the True son of Bachwezi will rise Again.
Tunawahitaji wazee wenye busara
Ata mimi alinichangaza sana huyo kikwete kusema aty wachawi wamekufa. Nami nikajiuliza hao wachawi ni akina nani?
Wasukuma kazi kupiga makofi tu huku tunatukanwa kazi kumsifia Kikwete Mpina ndio msukuma pekee mwenye utashi
Comment baba yangu hakuna tanzania ingine ni hiyo tu mradi inatembea polepole samia mradi yake nigani mbona ni ya magufuli tu yeye ndiyo mchawi kabisa usiongope kuambia kikwete ni mchawi amemloga magufuli lakini hata yeye atakufa tu
❤❤❤❤
Postive +++
Utu uzima dawa
Tunataka kujua mchwi nani huyo aliekufa hasan mwinyi au maghfuli?????????