Soccer data tunaomba utuchambulie tetesi za makocha ambao wanahitajika simba kama vile kocha ibenge na wengineo ili uweze kuwashaur uongoz wa simba ni kocha yupi anafaa kuja kuifundisha simba.
Kwa uchambuz huu unahitaji viongozi wenye kufanya maamuz magum kweli kweli lakn kwa viongoz wetu hawa wa simba sidhan kama wataweza kuwaacha wachezaji kama chama, fredi na babakar sarr na kuwaleta wengine wenye uwezo zaid ya hao.
Vipi mbona unamsahau kanote Hana ata assist Moja sambamba na mwenzake Ngoma hawawezi ata kupiga chenga Wala kusogea na mpira pia hawana tofauti na beki Kennedy Hawa ndio anguko la timu kwa kiasi kikubwa wachezaji wa mbele wanategemea viungo
Viongozi wa Simba cy wana michezo ndy maana timu inashuka wao ni wafanya biashara tuu na MO asipokaa sawa timu itaendelea kushuka daraja. Ceo kajula kwann hamuigi kwenye uongozi wa Yanga? jifunzeni kwa wenzenu
KWA koblani umefeli huyo ni bonge la MCHEZAJI APEWE MUDA kaja dirisha dogo magoli Saba kacheza dk chache kwingine nakubaliana. LAKINI sio koblani YUKO VIZURI
Chama aondoke hapo Simba. Huyu chama seio tena chama sababu anajuwa umri wake umesha enda. Na anaweza ku achwa. Sasa Ana waza kutegneza pessa. Ligi hii tume ona alivyo.cheza hana moyo wakucheza ange ondoka ama achwe Simba.
Simba hii ina matatizo makubwa sana
Simba naipenda sana tz simba damu damu
Chama karibu Young
Ayoub ni kipa mzuri sana abaki ameonysha kwenye CAF Champions League
Hennock Inonga aende huko FAR Rabat wanakomhitaji hususan kocha Nabi
Chama abaki ila ulio wataja wote waondoke hongera kwa uchambuzi mzuri
Mimi naikubali scout ya simba kwa kuvaa mabaibui na kukaa pale uwanja wa ndege tayari kwa kutorosha mchezaji ni nzuri sana haina garama
Hapo big up 👊
Kennedy Juma, Shomari Kapombe, Matola,
Hapo Kwa matola mbavu Sina mkuu! Simba tumechafukwa!
Jamani chama asije kutoka Simba Wana simba
Yaani upo sawa wee nenda kwa Moo dewj umshauri
Inonga hata aondoke tu atuna shida nae,,, mchezaji anakuwa na mawenge sana anapokuwa mchezoni
Sasa Bro mbona kimya saana
Uliowataja HALALI kuondoka kwao Ila Konde na WENGINE waangaliwe vizuri
Mikison hapewi namba why?
Mim young lakin cham ni mzuri sana
MZEE MBONA KIMYA VP
Hao waende ila watuletee maitaji ya tiny sio wakukaa benchi
Simba nguvu moja
Sy kidg
Duh hata Mimi nakubaliana na uchambuzi.. especially Kwa Chama inatosha sasa
Mchambuzi umesema kweli viongozi wafanyemaamuzi magumu
Koma mama
Soccer data tunaomba utuchambulie tetesi za makocha ambao wanahitajika simba kama vile kocha ibenge na wengineo ili uweze kuwashaur uongoz wa simba ni kocha yupi anafaa kuja kuifundisha simba.
Kwa uchambuz huu unahitaji viongozi wenye kufanya maamuz magum kweli kweli lakn kwa viongoz wetu hawa wa simba sidhan kama wataweza kuwaacha wachezaji kama chama, fredi na babakar sarr na kuwaleta wengine wenye uwezo zaid ya hao.
Chama bado yupo saana
Matangazo mengi yanatupotezea vifurushi muda wetu
Tatizo ni viongozi wanatazama sana skills za mchezaji,
😶🌫️uchambu wako huko vizuli sana soccerdata❤
Kwanini simba ya wanaume inazidiwa maarifa na simba kins
Koma
Ktk hao wote ongeza Shomali kapombe
Huyu mchambuzi asilingsnishe Yanga na Al Ahly au Mamelodi.
karabaka ni bora yanga wakimchukua huyu utaona makali yake kuliko hata okrah karabaka ni direct complete akitimia kila kitu
Moo na viongozi Simba acheni ukanjanja na ubabaishaji
Hao wore sawa lakin manula na njobe AAA wachwe tuu
Me kwa ushur wangu abak 1.ayoub, 2. Che Malone 3. Ngoma 4. Fred 5. Chama na kramo basi hao wengine wakigen waondoke tu
Ila jamani katika magolikipa wote wasmba Ayubu tumuache ushauri wangu bomba magolikipa asimwambie mtu
Mchambuzi kuhusu CHAMA umeongea pumba Tuachie mwamba wetu ''Alikosa mafundi wenzie bhana /Kumbukeni kikosi Cha Nyuma Chama Alikua akina nanii
Kumbe Ayoub Lakred Naye ni Mtanzania?
Vipi mbona unamsahau kanote Hana ata assist Moja sambamba na mwenzake Ngoma hawawezi ata kupiga chenga Wala kusogea na mpira pia hawana tofauti na beki Kennedy Hawa ndio anguko la timu kwa kiasi kikubwa wachezaji wa mbele wanategemea viungo
Karabaka abaki ni mtu
Kennedy juma as3pee
Umesahau ONANA 😂😂
Hao wote hata waachwe wote tatzo ni scaut tuu hata zaznzibar wanadaka
Simba mbovu japo mie ni mwanachama
Viongozi wa Simba cy wana michezo ndy maana timu inashuka wao ni wafanya biashara tuu na MO asipokaa sawa timu itaendelea kushuka daraja. Ceo kajula kwann hamuigi kwenye uongozi wa Yanga? jifunzeni kwa wenzenu
Simba hatuna wa shambiliaji fuledi jobe hamuna kitu
Atuna
Ata fred achwe tu
Simba nguvu Moja 🇹🇿❤❤
Kalabaka saido chama kibu chasambi chemalon shabalala shomali fred lakred . Ao ndo wabaki tu
Kramo mtu sana
Umuondoe chama ubaki na mzamiru na manula utakuwa na akili au mavi
Koublan abaki
Kenedy
We leooo Una bangiiiii mpuuuziiii tuh karabakaaaa unamtoa nampeleka wapiiii Acha bangiii
KWA koblani umefeli huyo ni bonge la MCHEZAJI APEWE MUDA kaja dirisha dogo magoli Saba kacheza dk chache kwingine nakubaliana. LAKINI sio koblani YUKO VIZURI
Uko sahihi
CHAMAA mmh sawa
Chama aondoke hapo Simba. Huyu chama seio tena chama sababu anajuwa umri wake umesha enda. Na anaweza ku achwa. Sasa Ana waza kutegneza pessa. Ligi hii tume ona alivyo.cheza hana moyo wakucheza ange ondoka ama achwe Simba.
@@mohammedgulamali8849 sisi tunataka aondoke ila huwez amini jamaa anabaki tz
Wachezaji wote wa kigeni waende abaki che MALONE
Kanute abaki
😮chama,kramo kanute wabaki kipa 0:00
Hakuna golkipa hapo. Na hata kocha wa golkipa hamna.
Kakojowe ukalale
Vp nicksoni
Uko sahihi kabisa
Uchambuzi wa makipa umefeli kiazi wewe,
Get to the point faster
Get to the point fast than wasting time
Jamaangu umeenza kupoteq sjui ume bez wap skui kaka
Koma
Soka data eneo la goal keeper lipo sw bhn