Wachezaji hao 10 watoke na viongozi watoke hao 4 Try again, Mangungu, Iman kajula na Suleman Matola Out out Out Out watoke wametosha kuiba mali ya Simba ada za wanachama na wala siyo wana Simba damdam watokeeeeeee
Kibu mchezaji Sana lakin anajisikia san msim mmoja ana linga hat kagele alikuw hiv sembuse yy ana zidiwa kiwango na Banda leo ana linga simba tumemlea ana leta mashauzi out ten hiy ni simba inapesa lakin wapiga madili wengi hap
yani viongozi ndo hawafai sio wachezaji maana posho kama haitoshi mchezaji atajitumalini unauza sako unaleta unyago hi mikson niwakuachwa au kuna unafiki ndaniyake tim yetu inawashusha viwango wachezaj
NA WEWE UNAONGEA MMMNO KAMA ..... PUNGUZA KONGEA NDUGU YANGU. TIMU MBOVU NYAMAZA KWANZA. NA WEWE NI CHANZO CHA TIMU KUSHUKA KIWANGO SHAURI YA KUONGEAONGEA OVYO
Hata msimu uliyopita ulisema hivyo. Wewe ndio kirusi kinachaharibu Simba. Unakuwa na propaganda za kijinga za kusifia wachezaji na kuwajaza mashabiki matumaini ya uongo
Saido ni mchezaji aliyekosa bahati sn Simba ila kwa kweli na kwa kipindi hiki tulichopitia wakati mgumu,alifanya kazi nzr sn.Lkn kwa sbb mda unaongea basi ni vyema akaangalie changamoto nyingine
Waondoke wote tuu tena baado Ngoma na Kanute nao wafagiwe Chama ni mzuri lakini anausumbufu kila dirisha linalofunguliwa ni msaliti nae zama zake zimeisha ndani ya simba hapo kwa kwa wachezaji wa nje wakubaki n Malone ,Ayubu na Kramo tuuuuu waliobaki n mavumba
Wasepe chama ana zalau sana ss ndo simba yy sio simba wasepe 2
Saido mbona anagoli kuliko kb au mzize, punguzeni rohooo mbaya,saido c hivo,
Wachezaji hao 10 watoke na viongozi watoke hao 4 Try again, Mangungu, Iman kajula na Suleman Matola Out out Out Out watoke wametosha kuiba mali ya Simba ada za wanachama na wala siyo wana Simba damdam watokeeeeeee
Kabisa yaani
MO Mangungo Tray again wote wapigaji watatafute timu yao usani huo c anapataga hasara,
Chama anastahili kubaki SSC
Chama na onama wabaki
We shida yako muongo sana hufai
Fredy abaki apewa muda zaidi
Saidoo na Chama ,onana wabaki
Kibu mchezaji Sana lakin anajisikia san msim mmoja ana linga hat kagele alikuw hiv sembuse yy ana zidiwa kiwango na Banda leo ana linga simba tumemlea ana leta mashauzi out ten hiy ni simba inapesa lakin wapiga madili wengi hap
yan uongozi ni vailac inatumaliza sisi wanachama
yani viongozi ndo hawafai sio wachezaji maana posho kama haitoshi mchezaji atajitumalini unauza sako unaleta unyago hi mikson niwakuachwa au kuna unafiki ndaniyake tim yetu inawashusha viwango wachezaj
Acheni saaaaana Mchezea Simba na kuacha vizree Kapombe ni mzuriraji Uwanjani miaka 2 kwa Nini lakini
Eto si aliwaambia hiyo ni cake, na Viongozi sio mwawaonea wachezaji tu,, Kajura, Matola, Try Again, na Mangungu, nanyi mtoke
Handy ALY wakati mwingine ni vyema umwachiege Ahmady ALLY mchongo adadavuage!
Ahmady ALLY mbwembwe zimezidi! Tunajua kuwa ungekuwa unacheza wewe uwanjani huenda ungetufanikishia pakubwa!Kikulacho kinguoni kwako! Huruma yako kea mdogo wako Kabwe ndo imekupita shida
Safisha kikosi chote wabaki wachezaji 6 tu
Kaongo
VIONGOZI WA SIMBA NI MABAHILI SANA WAO NI POROJO TUU
NA WEWE UNAONGEA MMMNO KAMA ..... PUNGUZA KONGEA NDUGU YANGU. TIMU MBOVU NYAMAZA KWANZA. NA WEWE NI CHANZO CHA TIMU KUSHUKA KIWANGO SHAURI YA KUONGEAONGEA OVYO
Hata msimu uliyopita ulisema hivyo. Wewe ndio kirusi kinachaharibu Simba. Unakuwa na propaganda za kijinga za kusifia wachezaji na kuwajaza mashabiki matumaini ya uongo
Viongozi wakina mangungu wanakula pesa 2 hawafai simba hawana uchung ktk kilbun
Simba klbu kubwa tz hat balani afirka leo shilikisho kweli jaman jobe ndo mna 2letea no9 kweli simb mna 2zalilisha jaman
Punguzeni maneno tunataka kazi kuliko mbwembwe
Tatizo lako wewe muongo sana kaka
Saido ni mchezaji aliyekosa bahati sn Simba ila kwa kweli na kwa kipindi hiki tulichopitia wakati mgumu,alifanya kazi nzr sn.Lkn kwa sbb mda unaongea basi ni vyema akaangalie changamoto nyingine
Inonga+manura,hata,chama,wote wapigaji,
Mdomo wako kakangu umechangia. Kila kabla ya mechi umekuwa ukisikika, ukisema "tutawafanya vibayaaa!"
Waondoke wote tuu tena baado Ngoma na Kanute nao wafagiwe Chama ni mzuri lakini anausumbufu kila dirisha linalofunguliwa ni msaliti nae zama zake zimeisha ndani ya simba hapo kwa kwa wachezaji wa nje wakubaki n Malone ,Ayubu na Kramo tuuuuu waliobaki n mavumba
Kweli kabisa yan fagio lipite xixi xo wakucheza xhirikixho jam
Zuber japhar
@zuber japhar