Uzur anachukua alivyo nunua yeye kwapesa yake maana kunamaisha baada yahapo mtu uanze kununua pas jko frij wakati ushanunua ayo nimatumiz mabovu yapesa
Q mama ake heeee chezen na wanyonge vyumba vingne inatoka maiti au damu zinamwagika.yan we mtangazaji unasema mtu kaja kashtak kwak we nani polisi au mahakama unatafuta atar sana tena sio ndogo
Ndo shda ya kudate na mwanasheria anajua kuwa kudate miezi 3 unakuwa ushakuwa wakwake ila ss manurse hayo mambo hatujui😂😂shda ye2 ss tunakatabia kakupimapima2 ety😅😅😅🙈🙈🙌
Kubabake, yani kama ni mimi hamgusi kitu mzee tena mngejuta kuja😅😅😅 , sheria?? Sheria mnazijua lakn? Labda angekuja kistaarabu mwanamke pekeyake nikaongea nae, siyo kuniletea manyumbu kwangu😅😅.
Mnawakutaga wangese tuh mtashtakiwa weh unajua ndoa Sheria ya ndoa inasema hili watu watambulike Kuna ndoa baina Yao nilazima wakae miaka miwili na majirani wajue so unapokuja sema ety wamekaa miezi kumi Kuna ndoa....mmmh mmezungua mtafungwa nyie jueni kama maigizo mnavamia watu mtakuja wamia watu mdate mnaweza ata itiwa wezi
Wamezoea unakaa na mtu miaka mungu halafu mkiachana anakufukuza bila chochote manyangau na huyo dada wa yatamkuta wanaume si watu wakuwaamini hawachelewi kubdilika
Binafsi nimependa,katika siku mlizonifurahisha leo mmenifurahisha,,ye anabadisha wanawake kama chupi..yaani unaacha bila sababu nyambafuu..mko wapi niwape bia
Aaaaah hiii sijapentaaaa... 😂😂😂, mbona km gender imbalance haijatumika .. Mmemsikiliza mdada tuu peke yake wkt ilibidi kila mtu azungumze na wawepo mashaidi wa penzi lao pande zote mbili
Wanaocheka kama mimi tujuanee😂😂😂😂wanaume wa bongo njaaaaa kali😂😂😂😂😂😂
Kwahio jaydann yy ndo hakimu kashaamua kesi na hukumu imepita 😁😁😁 kmbe kna watu wanadhurumiwa kizembe hvyo😂😂
Dah si umedate nae zaidi ya miez 3 uyu ni km mke wako hahaha muandishi asante sn kwa kumsapot dada ❤
mtangazaji pia comedian😂😂😂
😂😂😂
Uzur anachukua alivyo nunua yeye kwapesa yake maana kunamaisha baada yahapo mtu uanze kununua pas jko frij wakati ushanunua ayo nimatumiz mabovu yapesa
Ex ana njaa huyo😁😁😁
Bodyguard wa mchongo, yaan huyu bodyguard😊. Ila huyo Dada ndani ya nyumba yuko humble nimempenda❤. Uchumba una dai haki yako, lol😂😮
Huyu mlinzi mbona anajiachia sana mpaka anachekeshaaaaa😂😂😂😂😂😂
Aaaah bodyguard anachekeshaa😂😂😂
Waliocheka kama mimi 😮😮😮😮
Aiseeee 😂😂 huy mwandishii noma san
😅😅😅😅safi
Cjapenda ndo babu yang mmupnyeshe🤷♀️🤣🤣je mm pia babu nikiachwa naye hana akili😂😂🙌
Aka nako ndo maan kakaachwa ni ndimu2 yaan😏🤣🤣huoni huyo wa pili mpole2 ety😢❤❤🎉🎉😅
Kaka hongera sana Hawa wanaume unakaa nae mda mlefu mnanunua na vitu halafu anakuacha tu bila sababu
Wew ulinunua au yeye
Hapo kwenye kugawana hizo mali za chumba kimoja ndo pananichekeshaa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂yani nyie tz sihami 😂😂😂😂
😅😅😅Sheria ganiiiiiii
Nimependaa hii
Nimefurahi sana sana jay unafanya vizur sana
Hahahaha friji linaondoka ,, 😂😂😂😂😂😂kila kitu kinabebwa friji linaondoka 😂😂😂😂
Kaka hongera 😅😅😅kazi nzuri
Mtangazj nimempnda 😅😅😅😅😅 alaaaaah ametok kwenye utangzj ghfra akawa anamsaidia hyo dada kubeba friji
😂😂😂😂
😂😂ndy maan unadumbukizwa kwenye maji
Hongereni sana sana
Nice work 😂😂😂
😂😂😂😂😂naona pamechangamka sasa🔥🔥🔥
Angalia usije rushed kwenye beseni la maji tena😂😅😢😂
ʟᴜᴄʏ ᴜᴋᴏ ᴘᴇᴀᴄᴇ🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂yaniniyi nimecheka mpaka😂😂😂
Mungu awalipe wewe na kiredio kwakazi hizo kbx
Safi sana ungechukua kitanda walale chini na hilo joto la daa hakuna kukaa ndani maanina 😏😡
Yani mje kwangu alafu mfanye hivyo aaaah kmmke 🤣 labda mje kumi
Inategemea kama ivyo vitu walinunua wote, kama hakununua yy bs hamuwezi kuchukua chchte
Washkaji ni wasenge sana... Ivyo ningekuw mimi ningemuuwa mtu umo umo ndani
😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka nyie
Hapo jamaaa kaamua kuwasitiri tu mjichanganye mje kwangu mtajua hamjui yani haaa!!!..
Anataka mirathi😂😂😂😂😂😂
😂😂😂yaan nimecheka loooh
Iyo safi ubaya ubwelaaa😂😂
Ety kamanda muachie😂😂kuna watu hawajawah kupigwa nyie😂😂amna Cha kamanda Wala wenye media wote mnakula kichapo😂😂
Bodgad mwilin mdogo anavyojitanua sasa hee Tanzania ni nchi huru
Hizo ni njaaaa 😂😂😂😂
Broo wafany kazi nzr sana nkupenda ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Miaka2 family zote zikijua mko pamoja dari 1 ndoinauhalali km wataishi ht miaka 10 anakuja anaondoka huyo ni hawara tu sio mke wala mme wanagurahisha
Q mama ake heeee chezen na wanyonge vyumba vingne inatoka maiti au damu zinamwagika.yan we mtangazaji unasema mtu kaja kashtak kwak we nani polisi au mahakama unatafuta atar sana tena sio ndogo
Mbona kama move amja nishawishi kabisaaaah niamini kweli,ngoja niwaongezee viwaz na koment afu niishie apa🫡
Ah w jamaa umezingua yan from nowhere unamuamin mwanamke unaenda kuchukua v2 uo n usnichi mzeee
😂😂😂😂😂😂😂 bora kila mtu anachukua chake
Hamasheria inayo sema ukideti namtu ata miaka kumi bila ndoa sio mke uyo acha usenge yani ingekua mimi wote ningewafanya mbayaaaa
Inachekesha😂😂😂😂
😂😂😂kwishaa
Uyu nae wa motoooo
😮ukisema mke wake unakosea kwasbb hajamuoa
Kisheria ni mke
Nyie amjakutana na vichwa maji ww na Bodyguard wako amtoe kit chang mm ndan kwang mmemkuta mnyonge huyo hahaahahahahahaha
Ubaya ubwela😂😂😂
Waigizaji 2 wasikuumize kichwa😂😂
usiumizwe kichwa bro hayo ni maigizo tu
Yani weee mkorofi
Kupoteza muda wa watu wa kwanza kuchukuliwa vitu unapayuka 🤐🤐
Kaz yako nzuriii mdg wang bahat mbaya sina mtu ambae nimewah shere nae kama hv na siji kuwez 😅😅
Yani nyie nawatafta sana mmefanya mm na mchumba wangu tuanze kula mgahawani nawakati mwanzo tulikua tunapika😢
😅😅😅😅
Pole mwaya
😂😂😂 ety miez mitatu nyie sheria ngumu ni miaka miwili mfululizo
Hata ningekuwa mm ningekaacha hako kadada kafupi 😅 maana sio kwa upole na uzuri wa mpenzi mpya wa 7
yaani baunsa anafanya kazi nzuri, mtangazaji nae haelewi somo
Kubabekii😂😂😂 jiko linaondoka
Ndo shda ya kudate na mwanasheria anajua kuwa kudate miezi 3 unakuwa ushakuwa wakwake ila ss manurse hayo mambo hatujui😂😂shda ye2 ss tunakatabia kakupimapima2 ety😅😅😅🙈🙈🙌
wew huyo n mwanasheria wa uongo mpaka kugawana vitu lazima iwe miaka miwil mfululizo😂😂 tena majirani wahakiki
@@gladnessbelonda5005 🤣🤣mi naelewa bac niuliĺize kumPV mgonjwa kumcanulate hvo😂😂🙌
Sauti hapo mwissho iliendanga aje😂😂
Heee kumbe miezi mitatu ni mkee😂😂
Safii sana
Jamni sjui nammi niwaite nkabebe vtu va.......😅😅😅😅😅
Kwahiyo bodgad lazima umvae miwani na utembee hivyo haha 😂 Hawa ndo huwa wanapigwa vibaya😢😅
Yani ww jay ningekuwa mm aisee ww jamaa ningeanza na ww then uyo mgambo ndo ungejua kuwa kuwa kitovu changu kilizikwa wap huko mara fala we
hahaha we jichanganye Au humuoni Body guard wangu
Uyu ni body mlinzi😂😂😂😂
@@starwatatubu utakula kpgo kama mavi ya wafungwa
Kwahyo hyo media imekuwa mahakama? Yaaani maamuzi hapo hapo na uyo body gadi 😊😊
😂😂 Bodigard
uwi had rah 😂😂😂
Kumbe mausiano yako hv sasa na mm naitaji kupndua husiano wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpaka kieleweke...muendlz please🎉🎉🎉
Mnaingiaje Kwa mtu hakuna mjumbe Wala seeikali ya mtaa mnaanza kuonesha vitu ndani bila ruksa yake akisema nyie waizi kumamae tunauana
Mkija kwangu na bodyguard wako na wafira kabisa,,mtu ushaachana nae af yaani sema hajui sheria huyo bro
Jaydan 😂 kaka endelezaaa matukioo
Kubabake, yani kama ni mimi hamgusi kitu mzee tena mngejuta kuja😅😅😅 , sheria?? Sheria mnazijua lakn? Labda angekuja kistaarabu mwanamke pekeyake nikaongea nae, siyo kuniletea manyumbu kwangu😅😅.
Uyu dada n me kbsa uwa siachi hata kijiko 😂😂😂😂
Mnawakutaga wangese tuh mtashtakiwa weh unajua ndoa Sheria ya ndoa inasema hili watu watambulike Kuna ndoa baina Yao nilazima wakae miaka miwili na majirani wajue so unapokuja sema ety wamekaa miezi kumi Kuna ndoa....mmmh mmezungua mtafungwa nyie jueni kama maigizo mnavamia watu mtakuja wamia watu mdate mnaweza ata itiwa wezi
Huyo baunsa 😂😂😂😂😂
Wamezoea unakaa na mtu miaka mungu halafu mkiachana anakufukuza bila chochote manyangau na huyo dada wa yatamkuta wanaume si watu wakuwaamini hawachelewi kubdilika
Hizi vitu hata nchi za wenzetu wanafanya,ila wanazingatia privacy na taratibu zingine vinginevyo mtakuja kusababisha majanga.
Kabisa
Hii nayo kali ya mwaka 😂😂😂 duh
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Sio ex wako sema ukwwli😂😂😂😂
Binafsi nimependa,katika siku mlizonifurahisha leo mmenifurahisha,,ye anabadisha wanawake kama chupi..yaani unaacha bila sababu nyambafuu..mko wapi niwape bia
😅😅😅😅 uwiiiii
Mm huyo body gad tuu😂😂😂 mbavu sina
Watagawa a vipi wakati hawajaoana pengine uyo dada alimkuta bwana anavitu vyake weee j litakukuta jambo
Nyie niwasenge wote
Aaaaah hiii sijapentaaaa... 😂😂😂, mbona km gender imbalance haijatumika .. Mmemsikiliza mdada tuu peke yake wkt ilibidi kila mtu azungumze na wawepo mashaidi wa penzi lao pande zote mbili
🥱🥱🥱😱😱😱😱🦾💪💪💪💪💪💪💪 Bodyguard FROM beijinG
Amebeba vt vya bei kubwakbwa😂😂😂😂
Kujeni na Burundi 🇧🇮 jmn tunateswa kwa mapenz .
Namna hiyooo vitu vyangu uje ujimwambafy na mtu wako nitabebaa Hadi kijiko, mbona wao wanatudhalilishaga saaaana?
Hahahah😂😂😂
Ww ni msenge uje kwang nawakt pang ww na uyo mlnz
11:28
Nora nae akinuna anakuwa mbaya mno
Mbona bodgard mwenyewe hana afya 😂
😂😮😮
❤❤❤😂😂😂😂😂