Lisuu ni Mtovu wa Nizamu huwezi kugombea uenyekiti Wakati wewe ni makamo Hadi mwenyekiti wakee Ajiuzulu pia lissu Anatakiwa Ajiuzulu Unaibu mwenyekiti ndipo Agombee uendekiti Afanye hivyo kwa hashima yake na chama chaki Asijifanjie mambo kihuni inaonekana Ana jazba na Asipende kuwashutumu wenzake kwa kutaka kiki huo sio uongozi
mitandao ya kijamiii hata magazeti watafanya kila cost kumchafua lissu kwa sababu ni mtu anayeweza kusimamia haki.
Ipo siku nchi hii itaongozwa na chiiiiiiiii Dah lisu Anagombea uenyekiti😂😊😅
ameshakunya dawa za usingizi au bado! mnaweka machizi kama huyu dogo tunawahaguwaje
Mwisho wa ubabaishaji
demokrasia izingatiwe
Muweke mawakala wa wagombea😎
Kusema ukweli wanachama wanao mshinikiza Mbowe agombee Kwa Sasa wanampotosha, Kwa Sasa Mchango wa mbowe unatosha tunamshukuru sana
Wekeni uwazi
Lisuu ni Mtovu wa Nizamu huwezi kugombea uenyekiti Wakati wewe ni makamo Hadi mwenyekiti wakee Ajiuzulu pia lissu Anatakiwa Ajiuzulu Unaibu mwenyekiti ndipo Agombee uendekiti Afanye hivyo kwa hashima yake na chama chaki Asijifanjie mambo kihuni inaonekana Ana jazba na Asipende kuwashutumu wenzake kwa kutaka kiki huo sio uongozi
Pia anauraia pacha
Kichwa habari mhmm.
Lisu anajua katiba yoyote vizur, ndyo uzur was elimu c Kama machawa wengne Kama born yai
Lisu hajui Sheria anazijua zile tu zinazo mbeba tu BAC,Sheria zinazotoa haki upande wapili hazijui