Allaah ametupa wewe sheikh qaasim ni hoja kwetu sisi watanzania unafundisha vitu ambavyo hawakuwahi kufundishwa waisilamu kutoka huko nyuma wewe ndio waweka wazi
@@azizisulay6005 Mm siyo Sufi ila masufi wameitawala Dunia, Dola ya kiislamu ya Spain ilotawala miaka 800 ni ya kisufi, Dola ya ottoman ilotawala miaka 600 ni ya kisufi
Wallah siku ya kwanza nilipomuona huyu sheikh nilijisikia furaha sana Allah amlinde na ampe umri mrefu wenye manufaa tufaidike zaidi.
Amin Baarak Allah fiyk
Amiin Amiin Amiin
Alla ampe umri mrefu sheikh una tupa elmu na maarifa mengi Mashallah
Baarak Allah fiyk
Genius!, Full truth, keep continuing
Baarak Allah fiyk
Allaah akulipe sheikh wetu na akujaalie umri mrefu wenye kher kwenye dunia na akhera
Amin Baarak Allah fiyk
The truth will always persist
Allaah ajaalie kwenye dini hii waendelee kuwepo watu wa mfano wa mfano wa Omar huyo wanayemtukana Mashia
Saivi Nchi za kiislamu hazina uwezo wa kuwa pamoja na kuipiga Israel,Inastaajabisha.
Allaah ametupa wewe sheikh qaasim ni hoja kwetu sisi watanzania unafundisha vitu ambavyo hawakuwahi kufundishwa waisilamu kutoka huko nyuma wewe ndio waweka wazi
Baarak Allah fiyk
Kwa masufi mambo kama haya huwez pata, isipokuwa utasikia mwenge umekuwepo wakati wa Mtume bas
@@azizisulay6005 Mm siyo Sufi ila masufi wameitawala Dunia, Dola ya kiislamu ya Spain ilotawala miaka 800 ni ya kisufi, Dola ya ottoman ilotawala miaka 600 ni ya kisufi
Iliporwa tena akaja akairudisha Taabiyna mmoja nimemsahau jina
Hapa leo umesema kitu, ila sikuingine kusematu wenzako
Kwani umeitwa hapa?