- 567
- 585 272
Sabri Zamil Almendhry
Canada
เข้าร่วมเมื่อ 9 ก.ค. 2015
Kazi yetu ni kukusogezea mafunzo sahihi, kukumbusha na kukuletea majawabu kutoka kwenye vinywa vya masheikh wetu. Hapa ni Elimu kwa dalili القران الكريم والسنة ومنهج الصحيح هي منهج السلف الصالح Subscribe now!
Welcome to our channel dedicated to providing accurate and insightful educational content based on the Quran and Sunnah. Our goal is to remind and provide answers from the teachings of our scholars. Join us for beautiful Quran recitations, Tafsir in Kiswahili, and English translations. Subscribe now for valuable knowledge and guidance.
Welcome to our channel dedicated to providing accurate and insightful educational content based on the Quran and Sunnah. Our goal is to remind and provide answers from the teachings of our scholars. Join us for beautiful Quran recitations, Tafsir in Kiswahili, and English translations. Subscribe now for valuable knowledge and guidance.
𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗣𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗔𝗢
𝗠𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗛𝗔𝗕𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗩𝗜𝗣𝗔𝗝𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗪𝗘𝗭𝗢 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗙𝗦𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗔𝗢
มุมมอง: 62
วีดีโอ
𝗥𝗔𝗗𝗗𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗛𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗝𝗨𝗨𝗥𝗜𝗬 𝗡𝗔 𝗕𝗜𝗗𝗔𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗙𝗔𝗔𝗟𝗜𝗛 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗥𝗕𝗬 𝗛𝗔𝗗𝗔𝗔𝗗𝗜𝗬𝗬𝗔𝗛
มุมมอง 16014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
𝗥𝗔 𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗬𝗔𝗛𝗬𝗔 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗝𝗨𝗨𝗥𝗜𝗬 𝗡𝗔 𝗕𝗜 𝗔𝗔 𝗭𝗔𝗞𝗘 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗭𝗔 𝗙𝗔𝗔𝗟𝗜𝗛 𝗔𝗟𝗛𝗔𝗥𝗕𝗬 𝗛𝗔 𝗔𝗔 𝗜𝗬𝗬𝗔𝗛
𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗥𝗔𝗗𝗗𝗜
มุมมอง 271วันที่ผ่านมา
𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗦𝗘𝗠𝗔 𝗧𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗠𝗜𝗭𝗔𝗡𝗜 𝗧𝗨𝗞𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗥𝗔 𝗜
𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗨𝗗𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗙𝗔𝗪𝗭𝗔𝗔𝗡 𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡𝗗𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗛𝗔𝗝 𝗬𝗔𝗢
มุมมอง 318วันที่ผ่านมา
𝗛𝗜𝗭𝗕𝗨 𝗪𝗔𝗞𝗜𝗘𝗡 𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗦𝗔𝗨 𝗜𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗪𝗔𝗧𝗔𝗝𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗙𝗔𝗪𝗭𝗔𝗔𝗡 𝗜𝗟𝗔 𝗛𝗔𝗪𝗔𝗙𝗨𝗡 𝗜𝗦𝗛𝗜 𝗠𝗔𝗡𝗛𝗔𝗝 𝗬𝗔𝗢
𝗛𝗢𝗝𝗔 𝗗𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗔’𝗔𝗧𝗨 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗜𝗚𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
มุมมอง 664วันที่ผ่านมา
𝗛𝗢𝗝𝗔 𝗛𝗔𝗜𝗙𝗨 𝗬𝗔 𝗔𝗠𝗜𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗔’𝗔𝗧𝗨 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗜𝗚𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔
𝗪𝗔𝗞𝗜𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗪𝗘𝗪𝗘? 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗧𝗨𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗪𝗘 𝗭𝗪𝗔𝗭𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨
มุมมอง 464วันที่ผ่านมา
𝗪𝗔𝗞𝗜𝗜𝗧𝗪𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗘𝗡 𝗔 𝗪𝗘𝗪𝗘? 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗔𝗧𝗨𝗦𝗨𝗠𝗕𝗨𝗔 𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜𝗡𝗜 𝗨𝗦𝗜𝗪𝗘 𝗭𝗪𝗔𝗭𝗪𝗔 𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨𝗠𝗕𝗨
𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗡𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔 #القرآن_الكريم ماشاءالله حفظه الله
มุมมอง 52614 วันที่ผ่านมา
𝗠𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗦𝗔𝗨𝗧𝗜 𝗡𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗦𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔 #القرآن_الكريم ماشاءالله حفظه الله
𝗧𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔𝗡𝗘 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗟𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗔𝗕𝗗𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜𝗗 حفظهم الله 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله
มุมมอง 39914 วันที่ผ่านมา
𝗧𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗔𝗡𝗘 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗛𝗔𝗦𝗦𝗔𝗡 𝗔𝗟𝗦𝗢𝗠𝗔𝗟𝗜 𝗔𝗕 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜 حفظهم الله 𝗡𝗔𝗦𝗦𝗢𝗥 𝗕𝗔𝗖𝗛𝗨 رحمه الله
𝗙𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗔𝗧𝗛𝗜𝗥𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜
มุมมอง 23714 วันที่ผ่านมา
𝗙𝗜𝗞𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗔𝗧𝗛𝗜𝗥𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗝𝗔𝗠𝗜𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗜𝗞𝗔𝗙𝗜𝗥𝗜
𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗭𝗔 𝗣𝗘𝗣𝗢𝗡𝗜 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗔𝗥𝗤𝗔𝗠 𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗨𝗗 حفظه الله
มุมมอง 22914 วันที่ผ่านมา
𝗡𝗬𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗭𝗔 𝗣𝗘𝗣𝗢𝗡𝗜 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗨𝗨 𝗔𝗥𝗤𝗔𝗠 𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗔𝗦𝗢𝗨 حفظه الله
𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗪𝗔𝗟𝗜, 𝗨𝗡𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛? 𝗝𝗘, 𝗡𝗔𝗬𝗘𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗔𝗞𝗨𝗣𝗘𝗡𝗗𝗔?
มุมมอง 15414 วันที่ผ่านมา
𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗦𝗪𝗔𝗟𝗜, 𝗨𝗡𝗔𝗠𝗣𝗘𝗡 𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛? 𝗝𝗘, 𝗡𝗔𝗬𝗘𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗔𝗞𝗨𝗣𝗘𝗡 𝗔?
𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗜𝗗𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗢𝗡𝗜 𝟵𝟬𝟬 𝗨𝗞𝗜𝗠𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗔
มุมมอง 25014 วันที่ผ่านมา
𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗡𝗔 𝗦𝗛𝗜 𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗟𝗜𝗢𝗡𝗜 𝟵𝟬𝟬 𝗨𝗞𝗜𝗠𝗨𝗢𝗠𝗕𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗔
𝗨𝗞𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗜𝗖𝗛𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜? 𝗨𝗡𝗔𝗔𝗡𝗚𝗔𝗟𝗜𝗔 𝗜𝗡𝗚𝗥𝗘𝗗𝗜𝗘𝗡𝗧𝗦? 𝗝𝗨𝗜𝗖𝗘 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗨𝗡𝗨𝗔 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔?
มุมมอง 28014 วันที่ผ่านมา
𝗨𝗞𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗝𝗜𝗨𝗟𝗜𝗭𝗘 𝗜𝗖𝗛𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗡𝗜𝗡𝗜? 𝗨𝗡𝗔𝗔𝗡𝗚𝗔𝗟𝗜𝗔 𝗜𝗡𝗚𝗥𝗘 𝗜𝗘𝗡𝗧𝗦? 𝗝𝗨𝗜𝗖𝗘 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗨𝗡𝗨𝗔 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔?
𝗨𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗩𝗬𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗠𝗞𝗘 𝗡𝗜 𝗠𝗪𝗔𝗥𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗠𝗨𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗜𝗡𝗦𝗛𝗔𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
มุมมอง 29K14 วันที่ผ่านมา
𝗨𝗞𝗜𝗟𝗔 𝗩𝗬𝗔𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗛𝗜𝗩𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗠𝗞𝗘 𝗡𝗜 𝗠𝗪𝗔𝗥𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗠𝗨𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗜𝗡𝗦𝗛𝗔𝗔 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛
𝗔𝗗𝗔𝗕𝗨 𝟰 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗔𝗠𝗕𝗔𝗭𝗢 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗜
มุมมอง 99614 วันที่ผ่านมา
𝗔 𝗔𝗕𝗨 𝟰 𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗢 𝗔𝗠𝗕𝗔𝗭𝗢 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗭𝗜𝗙𝗨𝗔𝗧𝗜
𝗦𝗜𝗢 𝗜𝗠𝗔𝗠 𝗠𝗨𝗝𝗔𝗗𝗜𝗗 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗥𝗔𝗕𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗛𝗔𝗗𝗛𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜𝗗’𝗔𝗔
มุมมอง 40514 วันที่ผ่านมา
𝗦𝗜𝗢 𝗜𝗠𝗔𝗠 𝗠𝗨𝗝𝗔 𝗜 𝗪𝗔𝗟𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗥𝗔𝗕𝗜𝗜 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗡𝗭𝗢 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗛𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜 ’𝗔𝗔
𝗭𝗜𝗧𝗔𝗙𝗜𝗞𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗦𝗔𝗗𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢
มุมมอง 17514 วันที่ผ่านมา
𝗭𝗜𝗧𝗔𝗙𝗜𝗞𝗔 𝗭𝗔𝗠𝗔 𝗪𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗝𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢
𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗗𝗢𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗗𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜
มุมมอง 26814 วันที่ผ่านมา
𝗡𝗝𝗜𝗔 𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗜𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗢𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗞𝗔 𝗠𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗡𝗜𝗔𝗡𝗜
𝗠𝗨𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘 𝗜𝗡𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗔𝗜𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗝𝗜𝗔𝗝𝗜𝗥𝗜
มุมมอง 42314 วันที่ผ่านมา
𝗠𝗨𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗔𝗞𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘 𝗜𝗡𝗔𝗧𝗔𝗞𝗜𝗪𝗔 𝗔𝗜𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗭𝗔𝗜 𝗜 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗝𝗜𝗔𝗝𝗜𝗥𝗜
𝗧𝗔𝗡𝗕𝗜𝗛𝗜 𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨! 𝗝𝗘, 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗨𝗟𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗨𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗔𝗟𝗜 𝗞𝗔𝗕𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗤𝗔𝗠𝗔?
มุมมอง 28514 วันที่ผ่านมา
𝗧𝗔𝗡𝗕𝗜𝗛𝗜 𝗠𝗨𝗛𝗜𝗠𝗨! 𝗝𝗘, 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗔𝗨𝗟𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗨𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗔𝗟𝗜 𝗞𝗔𝗕𝗟𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗤𝗔𝗠𝗔?
𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗚𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗜 𝗛𝗜𝗦𝗧𝗢𝗥𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗚𝗘 𝗨𝗡𝗜𝗩𝗘𝗥𝗦𝗜𝗧𝗬
มุมมอง 47614 วันที่ผ่านมา
𝗠𝗔𝗦𝗪𝗔𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗝𝗜𝗕𝗨 𝗨𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗚𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗜 𝗛𝗜𝗦𝗧𝗢𝗥𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗙𝗨𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗚𝗘 𝗨𝗡𝗜𝗩𝗘𝗥𝗦𝗜𝗧𝗬
𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗙𝗜𝗧𝗡𝗔 ( 𝗞𝗨𝗡𝗗𝗜 ) 𝗟𝗔 𝗨𝗔𝗠𝗦𝗛𝗢 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥
มุมมอง 64014 วันที่ผ่านมา
𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗙𝗜𝗧𝗡𝗔 ( 𝗞𝗨𝗡 𝗜 ) 𝗟𝗔 𝗨𝗔𝗠𝗦𝗛𝗢 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥
𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗡𝗚𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜𝗗’𝗔𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗨𝗔 باب ماجاء 𝗧𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 عالم
มุมมอง 20014 วันที่ผ่านมา
𝗠𝗜𝗦𝗜𝗞𝗜𝗧𝗜 𝗠𝗜𝗡𝗚𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗔 𝗕𝗜 ’𝗔𝗔 𝗨𝗞𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗨𝗔 باب ماجاء 𝗧𝗔𝗬𝗔𝗥𝗜 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗞𝗨𝗪𝗔 عالم
𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗕𝗗𝗨𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗕𝗜𝗡 𝗢𝗠𝗔𝗥 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗠𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔𝗟𝗔 𝗙𝗔𝗗𝗛𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗨
มุมมอง 43721 วันที่ผ่านมา
𝗠𝗔𝗡𝗘𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗠𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗕 𝗨𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗕𝗜𝗡 𝗢𝗠𝗔𝗥 𝗠𝗨 𝗔 𝗠𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔𝗟𝗔 𝗙𝗔 𝗛𝗜𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗜𝗠𝗔𝗠𝗔 𝗨𝗦𝗜𝗞𝗨
𝗦𝗜𝗗𝗛𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗜𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗢𝗠𝗜 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗪𝗔 𝗗𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗨𝗗𝗜𝗔
มุมมอง 59021 วันที่ผ่านมา
𝗦𝗜 𝗛𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗜𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗦𝗢𝗠𝗜 𝗪𝗘𝗡𝗚𝗜 𝗪𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗦𝗔𝗨 𝗜𝗔
𝗬𝗔𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗬𝗔𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗔𝗔𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗧𝗢𝗠𝗔𝗧𝗢 𝗠𝗕𝗢𝗩𝗨 𝗛𝗨𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗜?
มุมมอง 53621 วันที่ผ่านมา
𝗬𝗔𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗭𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗬𝗔𝗟𝗘 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗬𝗔 𝗡𝗔𝗔𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗕𝗢𝗡𝗔 𝗧𝗢𝗠𝗔𝗧𝗢 𝗠𝗕𝗢𝗩𝗨 𝗛𝗨𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗜?
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗗𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜𝗗 حفظه الله 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗧𝗔𝗞𝗪𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗘𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗔
มุมมอง 1K21 วันที่ผ่านมา
𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕 𝗔𝗟𝗟𝗔𝗛 𝗛𝗨𝗠𝗘𝗜 حفظه الله 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗧𝗔𝗞𝗪𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗧𝗔 𝗔𝗟𝗜𝗘𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗢𝗔
𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗬𝗘𝗨𝗦𝗜 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗕𝗔𝗣𝗔 𝗟𝗔 𝗨𝗦𝗢 𝗡𝗜 𝗔𝗧𝗛𝗔𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗠𝗔?
มุมมอง 34021 วันที่ผ่านมา
𝗔𝗟𝗔𝗠𝗔 𝗡𝗬𝗘𝗨𝗦𝗜 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗕𝗔𝗣𝗔 𝗟𝗔 𝗨𝗦𝗢 𝗡𝗜 𝗔𝗧𝗛𝗔𝗥𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗨 𝗪𝗘𝗠𝗔?
𝗔𝗟𝗝𝗨𝗙𝗥𝗜 𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗧𝗜𝗔 𝗧𝗔𝗔𝗦𝗜𝗦𝗜 𝗛𝗜𝗜 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗜𝗞𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗨𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨
มุมมอง 25021 วันที่ผ่านมา
𝗔𝗟𝗝𝗨𝗙𝗥𝗜 𝗡𝗜 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗔𝗥𝗘𝗞𝗔𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗣𝗜𝗧𝗜𝗔 𝗧𝗔𝗔𝗦𝗜𝗦𝗜 𝗛𝗜𝗜 𝗬𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗠𝗜𝗞𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗨𝗛𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨 𝗨𝗜𝗦𝗟𝗔𝗠𝗨
𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕𝗗𝗨𝗟𝗥𝗔𝗭𝗔𝗞 𝗔𝗟-𝗔𝗕𝗕𝗔𝗗 حفظه الله 𝗞𝗨𝗠𝗟𝗔𝗟𝗔𝗠𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗨𝗠𝗘
มุมมอง 61921 วันที่ผ่านมา
𝗠𝗭𝗘𝗘 𝗔𝗟𝗜𝗩𝗬𝗢𝗠𝗙𝗨𝗔𝗧𝗔 𝗦𝗛𝗘𝗜𝗞𝗛 𝗔𝗕 𝗨𝗟𝗥𝗔𝗭𝗔𝗞 𝗔𝗟-𝗔𝗕𝗕𝗔 حفظه الله 𝗞𝗨𝗠𝗟𝗔𝗟𝗔𝗠𝗜𝗞𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗢𝗧𝗢 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗨𝗠𝗘
Ina maana Omar bin khatwab na Abubakar walikuwa na maarifa juu ya uongozi wa uislamu kuliko Mtume maana yy alishindwa kuchagua khalifa mpaka anakufa 😂
Huyu jamaa ni mudallis Mskilizeni ktk radd yake kwa sheikh sameer mudir wa shamsul maarif Kassim Mafuta alidai kuwa : Wakafiri wote wanaakibali tauhid (rububiyya) lspokuwa firauni . Leo kabadilisha : akadae eti Baadhi ya makafiri wanaamini tauhid rububiyya .. Hii inaonesha namna gan uyu jamaa ni mrongo ...
Ishaallah
Baarak Allah fiyk
Jaamaa kibisa ndo nini
Kumbe nyinyi ni ccm damu demokras
Huyu shekk mbon darsa zake nikitafuta sizipati
Anasomesha Markaz Ibnu Qayyim Bomang'ombe Kilimanjaro
Hapa ndo naelew kwanini Watu kama wakina Bachu huwezi kuwasema vizuri hadharani ingawa kwa kiasi fulani amejitahidi kuwakaanga masufi lakini kwakua amepinda hatakiwi kusifiwa katika hilo badala yake ni radd ili arudi katika mstari.
Matabliighi niwatu wa ajabu sana, wanasema eti kutoka siku tatu nibora kuliko mtu kusoma miaka 3. Hawa hawana hata akili, wallaahi.
Yaa Allah nijalia
Amin Baarak Allah fiyk
Elishee
Rasuul asema Uislam uko sehemu nane Uisilamu ni sehemu ya Ilmu, swalaa ni sehemu ya Dini, hajj, zakkah, kuamrishe mema kukataza maovu akasema hana dini ambae hana sehemu ya Ya Dini kwa hivyo ukisilimu ni sehemu ya Ilmu lazima ulinganie wazazi wake akisima wacha niende nikasome kisha ndio niwaalike ukirudi wamakufa ni masuul kwa Allah Tufeil Addausi baada ya kusilmu alienda kwa kabila lake akapatikana Abuu hureira na kundi kubwa sasa Tufael kupewa ruhsa ya kulingania alikuwa na Ilmu kiasi gani?
Kwa vyakula hivyo kiasi awe na nguvu
Kwata la kufa mtu...mzeeeee
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته كيف حالك
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته، الحمدلله. بارك الله فيك
@sabrizamilalmendhry وفيك بارك الله
Sahihi kbx ukijaribu kupima mamb utagundua kuna utofauti mkubwa kati ya tabligh na manhaj salafy.Tabligh hawakataz bidaa kweli
Mashaallah sheikh wetu ALLAH akulinde tunafuata salafi kwasababu wao ndio njia sahihi salafi walikuwa wakifuata quran na sunnah sisi ni wajib wetu kuwafuata alhamdulillahi ALLAH atuongoze sote na atuweke mbali na bidaa.
Amin Baarak Allah fiyk
Na mimi nishaswali nyuma ya tabligh akiwa amehifadh juzuu 30 jee ilo kundi lako wote wanajua kusoma qur an njoo utembelee market ya huku unguja mombasa uone kama kila siku hawasomi na kuhifadh Qur an wakati wa maghrib acha kudanganya watu bana sema tu huwapendi kwa mambo yako binafsi
Kuna kitu kinaitwa aghlabiyyah,usiponielewa na hapo,basi kaa usome
Mimi nimekufaham tokea mwanzo mimi naishi hasa na tabligh hawako hivyo
Tabligh wametutoa mbali sana maana tulikua na hali mbaya sana
Acha uongo we sema wamekutoa mbali wewe siyo wote
Ivi nyinyi jitihada yenu kwa watu wavuta bangi na wasioswali munafanya nini zaid ya kuwapa tu moyo na kusema bora ufanye madhambi kuliko bidaa kauli ya sufiani thaur zambi ni zambi watu wanazidi kufanya mijidhambi na dunia inazidi kiharibika acheni mambo ya kitoto nyinyi jitihada hii ya kusema wasiwaseme vibaya viongozi na bidaa mungefanya katika kuzungumzia madhambi mungekua mbali sana
Wewe umeshakataza maovu mangapi hapo unapoishi?
Nyinyi mulimchukia sh hassan awadh abuu muawiyah bila ya 7bu mimi tabligh naijua na salafi naijua unadanganya sh wangu
Bila Shaka ww una changamoto ya akili Wala sio bure, ww ni zoazoa wa Kila itikadi kwa lugha nyingine ni dampo huwez maana huwez kuujua usalafy baadae utetee tabligh
Ma shaa Allah Allah ibark
Amin Wafiyk baarak Allah
Samahan sheikh eti huyu ibn taymia alisema yeye anajuw mpaka ghaib ni kweli au sikwel
Sikweli
Barakallah fyikah
Amin Wafiyk baarak Allah
anaitwa othmaan al hadaad
Baarak Allah fiyk
Tabaarakallah
Amin Wafiyk baarak Allah
Baarakanllah fiykum wajazakumnllah khairay shekh abul Abbas Anuary Ashaafi
Amin Wafiyk baarak Allah akhiy
Allahulmustaan 😂😂😂😂😂 mzee alikua khatari
Ni qaarii gani اللهم بارك
Amin Wafiyk baarak Allah, amekujibu akhiy kwenye comment
Hahaha Allah ambariki shekh wetu Urasa kwa kutandika hili jitu la bidaa makarate
Amin Wafiyk baarak Allah
Allahumma baarik
Amin Wafiyk baarak Allah
@sabrizamilalmendhry nilikuwa naomba ile video ile uliepost muda kdg tofauti ya watoto wa kisufi na watoto wa kisalafy Maana kila nikiitafuta siipati
@@saydsultan9499mbona siikumbuki hiyo akhiy, naitafuta Inshaa Allah, nikiipata ntakuekea link hapa
@sabrizamilalmendhry ntashkuru sana Ni wanafunzi wa markazi Imamu Shafy kwa sheikh Abdallah Humeid Allaah amuhifadhi Mpaka Abdulrahmaan anasoma surat Huud
@sabrizamilalmendhry Maana jana nilijaribu kuingia kwenye inbox yako kuitafuta lakini sikubahatika kuopata Na ilivotoka tu niliwahi kusave Lkn nashaangaa ikapotea hata katika sehemu niliyoisave Nikasema labda utakuwa umeifuta
Genius IBN taymiyyah
Baarak Allah fiyk
Kabisa!!
Baarak Allah fiyk
Naitaka hii Clip naipataje mwalimu? Mpk Instagram?
No situmii Instagram
Tumia Vidmate
@aliykhamis8104 siwezi
الله أكبر سبحان الله
بارك الله فيك
Nyinyi mbona munasifia nyumba ya jirani wakati jambo la muhimu ni kupigania nyumba zetu zikakaa katika mstari wa sawa kwa 7bu kuisifia saudia haisaidii kitu kitu cha msingi ni kupigana zikakaa sawa nchi zetu nyinyi hamuoni jinsi madada zetu wanavyo tembea uchi na kichwani wakiwa wametia nywele za usumba na wengine weengi wakiwa wamechora matatoo hebu jamani mcheni ALLAH kuisifia saudia kwa sasa haina faida nyinyi mushatembelea saudia au munafika makka na madina tu hebu itembeleeni saudi ni bora afghani stani kwa watu kufuata dini kwa sasa hebu kazitembeleeni hizi nchi tatizo hamujazitembelea munasifu tu
اللهم اجعلنا منهم
آمين بارك الله فيك
Anaempinga shekhe qaasimu akili zake nindogo sana, hii nidhahabu,tuliogewa hapa tanzania, allah amuhifadhi
Hakuna hata shekhe wa kisufi anaeweza kusimama kutoa, historia kama hii, allah amuhifadhi, shekhe wetu.
Amin Baarak Allah fiyk
ALLAH AWABAARIK WALIMU ZETU KWA TUHIMIZA KUSOMA DINI YETU
Amin Wafiyk baarak Allah
Sheikh mselem Aliy aliulizwa na Alhamdulillah akasema hajui kwakua hajuw na tutakuja kwenda kuulizwa kwa Allah kwa hayo masuali yaulizwayo na hayo majibu muyatoayo yeye kakhofia hilo mbele ya Allah nafu pia Alhamdulillah kila watu wanavyo zidi kumbeza Ila Alhamdulillah watu hufaidika nae kwa darsa zake za tafseer Alhamdulillah Allah Atuhifadhi soote
Jazaakallah khyra
Amin Baarak Allah fiyk
شكرااااا
بارك الله فيك
Shukran Sanna Shekh 🤝, MANENO mazuri na Mwenyezimungu sw akuongezee ilmu na ufahamu kwa uwezo wake. 👍
Ami Baarak Allah fiyk
Funga Comment akhy kwa faida tu.
Mimi ninacho ona nyinyi hamuendi kama maneno yenu munayoyasema muko tofauti kabisaaaa
Sema masri kuna balaa sheikh,ila sheikh amesema sijui,kauli yake hajaisema kwa itlaaq,kwa hiyo wala hana makosa,naona kuna watu mishipa inawatoka
😂😂😂hii ni dini aiwezi kusimama bila ya shajaah kassimu mafuta mwenyewe alipo patiwa taarifa na yule kijana alienda kuwashtaki wale jamaa kwa twaahuti 😂😂😂 afu mseme maunze kuweka hukum allah acheni utapeli afu uislamu sio kujua mambo milioni bali ni ukijua moja ukalifanya kwa ubora 😅😅mnachekesha amuishi kutapa tapa humu daru lakin uzuri elimu mnazo matumizi ndio shida
unajichekesha so tunachekesh mn sisi tunaelew unaongea ujng tu ap
@@shaibamran5419 nyie ni wanafiki maake mmejiisi labda mnaelimu zakutafutia ugari mmekamatia hapo nyie ndio nwakwanza kuwachoma masheikh walio na fikra kuwachoma kwa twaahuti hata mkisikia jihadi znazo endelea huko palestine na kadhalika mnakuwa wakwanza kuwaita viongozi ma khawariji maadamu nyie mmesomeshwa na marekani kuja kuitengeneza fitna katka uislamu salafi ya kimalekani iyo mmekuja na elimu kidogo chuki kibao lakini amna lolote ni fitna mmeleta na kujiisi hakuna kama nyie upuuzitu saivi mkowazi allah anawaumbua watu wanawajua salafi yakimarekani salafi ya kimagharibi iyo
Mnapenda kuwafanya watu wajinga nyinyi
Iliosimama ivo dola ya saudia sio ya kiislam
Kumbe ni Istimbat hiyo, mbona sasa kwawenzenu mwakataa mwataka dalili ya moja kwa moja kutoka katika Quruan au Hadithi? hacheni kujiona kama ninyi mpo sawa sana kuliko wenzenu.