SWALI MOJA TU MTOTO WA BACHU MBIO AIBU MAWAHABI CHALIIIII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 99

  • @HabibaIsaack
    @HabibaIsaack หลายเดือนก่อน +2

    Maulidi si bidaa ,sisi twasema yafaa

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wenye akili tumemuelewa vizuri mtoto wa Bachu,,,na harudi mtu kwenye Bidaa!!

  • @KhadijaShauri
    @KhadijaShauri ปีที่แล้ว +2

    Asante sheikh saidi ماشاء الله mungu akusidishie Kaka yangu saidi

  • @muhyidinalinoor6249
    @muhyidinalinoor6249 ปีที่แล้ว +2

    WAZUSHI MASUFI WASHIRIKINA..MAHAYAWANI

  • @zuheirtammam5532
    @zuheirtammam5532 ปีที่แล้ว +5

    Mutakufa Kwa chukizenu Juu ya mtoto wa Bachu.
    Watu wa twariqa wameshindwa kuitetea barzanji.
    Bal wameweza kudhihirisha chuki,ghil Na kifundo Juu ya mtoto wa bachu.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Unapozungumza uwe unajitambua jpo kidgo alafu jengine ww unaewambia watu watakufa Kwa bachu ni kitu gni kikubwa alicho nacho mtt mdg tu huyo anashindwa ata kutofautisha swaad na siin kweny matamshi ata mashekh wenzake wanamshangaa, huyo nyny majahil tu ndio mnamuona wa maana? Mtto wa madrsa tu huyo sisi km kweli wtu wanaumia km unavyodai wangeumia Kwa masheikh wakubwa wanajitambua wenye nidhamu sio huyo ata adabu tu haijui.
      Na ushahidi ni muongo
      Sifa nyengine ni muongo na anabadilisha maneno hatari alafu mtu aumie Kwa bachu?
      Ni majahil km ww tu ndio unamuona wa maana.....
      Sisi wengine Hadi ajirekebishe kuropoka.
      Binafsi mm kiupande wangu hafai kuwa role model kitabia
      Ni muongo, muhuni, kigeugeu, majisifu, kiburi nk.
      haingii kwenye orodha ya masheikh mkuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rajabmembe6695
    @rajabmembe6695 ปีที่แล้ว +5

    MOHAMAS BACHU, MAA SHAA ALLAH KUMBE MAULID NI UONGO TUMESHABAINI HILO

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      ww ni mnafiki na muongo, una mapnzi yko ya moyoni Kwa bachu unajifanya kujizima data, hata uwezo wako wa akili ni mdogo sana, mm nataka nikuulize suali alafu ukiona Ili suali unijibu alafu uone km ww SI mnafiki. Suali langu
      Ulijuaje km maulidi ni uongo wakati muda wa kujibiwa hoja za haukufika ili kujibiwa hoja zake? Yy alipaswa kujibu kwanza alafu ajibiwe hapo ndipo tungejua km nana mkweli? Sasa eti ww na unafiki eti umethibitisha wakati maswali yke kauliza kabla ya wkt, km huwezi kuach unafiki bc punguza ata kidgo

    • @saidihaji3739
      @saidihaji3739 10 หลายเดือนก่อน

      Kama umeshalibaini hilo ulikuwa umwambie na bacho maana yeye ameshindwa kuuthibitisha huo anaodai kuwa ni uwongo kidalili ...
      Suali : Jee kutumia hadithi munkar huzungatiwa ni uongo ??? Au jee huzingatiwa yule mtumiaji ni muongo ??
      Tutajieni ittifaqi ya wanachuoni wa hadithi kwenye hilo .
      HAKUNA MUWAHABI YEYOTE ANAWEZA KULITHIBITISHA HILO, MPAKA KITASIMAMA QIAMA .

  • @AminaDodios-ml2lv
    @AminaDodios-ml2lv ปีที่แล้ว +4

    Acheni ujanja lengo lenunyie aikuwa mjadala! Akuwahi kushinda mjinga kwa hoja bali mjinga ushinda kwa ujinga wake.mwenye aKili timamu ameelewa.

    • @HafswaIsmail
      @HafswaIsmail 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 msaidie wewe kujibu?

  • @Safinatulshifaa
    @Safinatulshifaa ปีที่แล้ว +1

    Mbona mumekatisha maneno Al akh
    Na nivyema using wa support maana walumsema al akh sheikh Sabas Leo unawasupport

  • @Safinatulshifaa
    @Safinatulshifaa ปีที่แล้ว +2

    Sheikh bachu yupo Sawa hamna majibu ni bora mungejibu je ni kweli maneno yanayosemwa katika kitabu cha barzanji

  • @ibrahimubakarisuhuzwa4737
    @ibrahimubakarisuhuzwa4737 ปีที่แล้ว +3

    Watu wamaulidi niwabishi saana wameshindwa kutetea uzushi wao

  • @ibrahimubakarisuhuzwa4737
    @ibrahimubakarisuhuzwa4737 ปีที่แล้ว +3

    Masufi wameanguka vibaya kwakumkaririsha hadithi dhaifu

    • @saidimurisa4600
      @saidimurisa4600 7 หลายเดือนก่อน

      Wahabi wako ameshindwa kujibu swali

  • @mbanomrage604
    @mbanomrage604 ปีที่แล้ว +4

    Tumefuatilia kwauzur mtoto wa bachu hajakimbia swali analazimiswa kujibu saali lisilokua na jibu. Endeleen kutetea mpunga wa maulidi.

    • @muddybreezy4595
      @muddybreezy4595 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @latifaayoub6126
      @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว +1

      Angesema sijui akapewa majibu ... akajifunze adabu ya ilimu kusema hujui sio udhalilifu

    • @babusalumu5226
      @babusalumu5226 ปีที่แล้ว

      Kwa tarifa yako mpunga wa maulid mtamu sana, tena ni dawa , bako n'a msimamo wako

    • @khadijamohammed3973
      @khadijamohammed3973 ปีที่แล้ว

      ​@@latifaayoub6126 for real Allah akubarikie

  • @MenejaDhaa
    @MenejaDhaa ปีที่แล้ว +2

    Wewe yusuf diwani tujibie wanyama walitamka lugha ya kiarabu ni kweli ama ni urongo.......huyu ameshindwa Kama alivo shindwa ndugi yako sabas

  • @amirimchekwa6757
    @amirimchekwa6757 ปีที่แล้ว +2

    Angemfundisha sasa, allah atuepushe na uzushi ktk dini

    • @latifaayoub6126
      @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว +1

      Aseme hajui aoe kma hatosomeshwa ..

    • @khadijamohammed3973
      @khadijamohammed3973 ปีที่แล้ว

      ​@@latifaayoub6126 aje kwetu mambrui tumfunze

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว +3

    Dj saidi chaliiiiiiiii kaona auzonge munaqash .dj saidi uwounao ujinga

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv ปีที่แล้ว +2

    USTADH SIBANDUKI HANA HUJA WALA DALILI HATA MOJA ALIOTOA KUTETEA MAULID AMETUONYESHA SARAKASI TUPU LEO HUBANDUKl NA KUBANDULIWA ANAPOBANDIKWA... MASKINI ZUZU HALINA ELMU TAIRA NUMBER MOJA

  • @latifaayoub6126
    @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว +1

    HEBU MI NIULIZE KILICHO MFANYA BACHU KUINUKA NI NN😂😂😂... ALAFU HIVI HAYA MNAYOYAONGEA HAPA KWANI BACHU HAKUYAJUA NA BADO AKAKUBALI MUNAQASHA .. MARA DJ MARA MPIGA VINANDA HUYO HUYO MUMSEMAE HIVO NDO KABAKI KAKAA JAMAA MBIOOOO AMA ALIKUA ANATAKA KWENDA KHALAA AKAOGOPA KUSEMA 😂😂😂😂

  • @mgazamhina840
    @mgazamhina840 ปีที่แล้ว +4

    Yaani kiukweli Yusuf Diwani hupaswi kuufurahia huu Munaqasha kwakua hawa watu wa leo walimkataa Shekhe Sabas kuwa hajui kitu je wewe wakubaliana nao,huo ni unafiki wa wazi

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Kumkataa vipi sheikh ungebainisha au umekosa la kusema?

    • @mgazamhina840
      @mgazamhina840 ปีที่แล้ว

      @@HemedSerious wewe hujui munaqasha wa Tanga ulivyofanyika,hawa wa Mombasa wakasema Shekhe Sabas hajui hata irabu kwahiyo Shekhe Sabas sio mtu wa Twariqa wakasema Shekhe Sabas ni Shekhe wa TikTok,mimi mwenyewe sikupenda kwa hawa kumkataa Sabas leo hii Diwani anawaunga mko wakati wao walimkataa hii sio Hakhi.

    • @Habib_Swaleh
      @Habib_Swaleh ปีที่แล้ว

      ​​@@mgazamhina840unaishi wap ?
      Niko na zawadi zako maana diwani ni km halimo halimo ndio maana ana act filamu msanii tu kueka wanawake kwenye film ili apate unga wake. Hawez muunga sabab kwa ajili ya account yke ya TH-cam apate viewers shukran.

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 ปีที่แล้ว +6

    Mm kama kadiria nimegundua kuwa kwenye kitabu cha maulidi kuna maeno ya uongo na saaidy ameshindwa kutetea hayo maneno basi bora kuacha na uongo huu😂😂😂😂

    • @aliykijangwa4447
      @aliykijangwa4447 ปีที่แล้ว +1

      Acha uongo ww mhabi mkubwa ww

    • @latifaayoub6126
      @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว

      Ama kweli hawa mawahabi sifa yao kubwa ni warongo ana mnajua mtume kamsifu vipi mtu muongo .. mnacoment wenyewe mkibandika sifa ya utwafiqah alafu mnasema mmetubia mara sijui mmegundua hili na lile nyote ni wale wale hakuna hata twariqa mmoja kwa hoja hio akaacha maulid na utwariqa wake labda kama alikua kaingia kwa twariqa kwa malengo ila twariqa wa kweli twasema swali halijajibiwa na bachu kakimbia arudi kma ni kidume kweli na majawabu ya wanachuoni sio yake ... toa video ukisema ww ulikua qadiria ama apia waijua qadiria ww waiskia ... Allah akusamehe urongo unaiusema ila usipoacha utakuja kufedheheka

  • @muddybreezy4595
    @muddybreezy4595 ปีที่แล้ว +2

    Mpiga vinanda wapi n wapi n elimu

  • @abuuamourmuhamed1934
    @abuuamourmuhamed1934 ปีที่แล้ว +1

    Shekh sabas anaedeleaje 😂😂😂

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 9 หลายเดือนก่อน +2

    Diwani wewe na wazushi wenzio mmekaa kama wanawake malaya, hamuoni aibu wala nyuso zenu hazina hayaa.
    Sasa Shekh Bachu kashindwa vipi hapa!
    Kaulizwa kabainisha ubovu wa swali lililo jengwa, na kathibitisha kua swali hilo hakuna, pia kalazimika kujibu kua yeye hajawahi ona kwenye vitabu vya wanawavyuoni.
    Sasa mpaka hapa hajajibu?😅😅
    Visirani nyinyi, jaribuni tena mara nyengine muone kitacho wakuta.

  • @zanzibarst2205
    @zanzibarst2205 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nimeona ivi kwamba barazanji sio muongo bali kitabu chake kina maneno ya uongo basi nikitu chepesi sana kueleweka

    • @latifaayoub6126
      @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว +1

      Leta khabar ya wanazuoni kua hadith munkar ina hukmu ya urongooo

    • @khadijamohammed3973
      @khadijamohammed3973 ปีที่แล้ว

      ​@@latifaayoub6126wakisema masheikh zao wanaowategemea watawaangusha

  • @salum5598
    @salum5598 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa apiga mpaka beat za ngoma dini gan imekuamrisha hayo sufi ww upumbavu mtupu

  • @ibrahimubakarisuhuzwa4737
    @ibrahimubakarisuhuzwa4737 ปีที่แล้ว +5

    Bachu endelea kumsafisha mtume Muhammad s a w masufi wanampa sifa ambazo hana

  • @zuhurahmuhammed5934
    @zuhurahmuhammed5934 ปีที่แล้ว +3

    Maulid ni bid'a. Ukweli usemwe..ekeni full video sio vipande vipande

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 ปีที่แล้ว +3

    Nyinyi watu waongo sana masufu

  • @seifabdi9248
    @seifabdi9248 ปีที่แล้ว +3

    Kumbe siku zote hizi sisi watu wa Maulidi tunategemea HADITH MUNKAR

    • @hassanmambomambo8442
      @hassanmambomambo8442 ปีที่แล้ว

      kasome tena ata hao mashekh zako kwenye vitabu vyao kuna hadithi dhaifu swali alioulizwa jee MTU AKITUMIA HADITHI MUNKAR AU DHAIFU HUITWA MUONGO ? KAMA YEYE ANAVYO MUITA MUONGO IMAMU BARAZANJE?

    • @seifabdi9248
      @seifabdi9248 ปีที่แล้ว

      @@hassanmambomambo8442 wanaandika kueleza kama vile Jana ulisikia vizuri pia imam Ibn Kathir, Al mufasir wa QUR'AN na wengin e wengi wamesema Hivyo hadith ni Geni na mpya na haina masiko kulingana na musnad wake,na wanakwambia vizuri hii hadith ni DHAIF na wanasisitiza kuwa fuata SUNNA YA MTUME na QUR'AN,

    • @latifaayoub6126
      @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว +1

      We seif weweee .tu wa maulid waaaapo hebu tupostie ukisoma mlango wa kwanza bas

    • @khadijamohammed3973
      @khadijamohammed3973 ปีที่แล้ว

      ​@@latifaayoub6126 wana inadi hawa.....waje kwetu mambrui tuwasomeshe.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว +2

    Masufi wote wapotoji uislamu aliyokujanayo mtume wetu

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว +1

    Dj saidi kazikimbia hoja za sheikh Muhammad bachu asiulizwe.

  • @DiudaKozi-qu8sl
    @DiudaKozi-qu8sl ปีที่แล้ว +2

    Dj saidi kuwa mjinga umekimbia hoja.

  • @MuhammadMuhammad-gr2qv
    @MuhammadMuhammad-gr2qv ปีที่แล้ว +1

    USTADH BACHU KAWANYOOSHA WATU WA MAULID WAMEAZIRIKA WANAONA HAYA WAMEJUTA KUITISHA MUNAKAQASH..... HAWATARUDIA TENA UJINGA WAO NA UZUSHI WAO UMEBAINIKA LEO HADHARANI

  • @ibnuidrisa3996
    @ibnuidrisa3996 ปีที่แล้ว +2

    Bachu kajinyea 😂😂😂😂

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw ปีที่แล้ว

    Mwalimu anasema hajawai. Ona mtihani. Wa bachu 😂😂😂😂😂

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 ปีที่แล้ว +2

    Mwisho kabisa kuna salam za shekhe sabas al kubra

  • @Mswahili-12
    @Mswahili-12 ปีที่แล้ว +2

    KWA TULIOFUATILIA FULL TUNAJUA KILICHOTOKEA NA MLIPOSHIKILIA MASUFI,
    ENYI WATU WA BIDA'A MCHENI ALLAH,
    FUATENI SUNNAH.

  • @akramkhamis-sg2iu
    @akramkhamis-sg2iu ปีที่แล้ว +1

    Bachu rudi madrassa usomeshwe

  • @faridasaleh4982
    @faridasaleh4982 ปีที่แล้ว +3

    Mtoto wa bhachu chaliiii 😂😂😂😂😂

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว +1

    Kichwa cha habari ni kama muandishi muhuni flani hivi. Ni kama mjadala wa kichwa cha habari hakihusu Uislam. Ilhali waislam tumekaa tunangoja ukweli halisi kwa ushahidi wa Aya za Qur'an na Hadith za Mtume(S.A.W.). M
    Huyo muandishi kuweka kichwa cha habari aina hiyo hajui kama anaudhalilisha Uislam mbele ya Maadui wa Uislam? Hata kama anamchukia Sheikh aliye mtaja. Au muadishi huyo ni miongoni mwa maadui wa Uislam?

  • @badmeetsevil7643
    @badmeetsevil7643 ปีที่แล้ว +1

    Allah hajataja maulid hao wengine ni nani

  • @jamallmwalim6629
    @jamallmwalim6629 ปีที่แล้ว +1

    Ebu mcheni allah ilo ni suali Gani haliko kwa qur an Wala kwa hadithi Wala kwa maneno ya wanachuoni lakini munalazimiaha mujibiwe na Hawa na matamanio na kutumia akili zetu sio dini haiko hivo kwani ni mtume Gani alawafunza maulidi nyinyi makhurafi?

    • @latifaayoub6126
      @latifaayoub6126 ปีที่แล้ว +1

      Mrongo mwingine ni huyu .. kwa wanachuoni halipo vipi na ni fani yao sema hamjuii au hamjasomaa

    • @khadijamohammed3973
      @khadijamohammed3973 ปีที่แล้ว

      ​@@latifaayoub6126 hawana lugha mantwiq balagha swarfa na fanni nyenginezo ..... wataeza kushindana na sisi

  • @BILALKASSIM-ol6kk
    @BILALKASSIM-ol6kk ปีที่แล้ว

    Bchu kenya wanatish hata kishi mwenyew anaogop kny ww umeponzwa😀😯😯😯😯😯

  • @salum5598
    @salum5598 ปีที่แล้ว +1

    Masufi wengine wajinga wameshindwa Tanga wamemaliziwa mombasa

  • @abubakarbakari7042
    @abubakarbakari7042 ปีที่แล้ว +1

    HAHAHAHA BACHU SEMA SIJUI WACHA KICHWA KIGUMU VIP WEWE

  • @eng.aliali8187
    @eng.aliali8187 ปีที่แล้ว

    😂😂 Mohamed Bachu kumbe ni Fujo tu mingi na PR ,sasa itabidi urudi usome, mashekhe zako Tanzania 🇹🇿 wamekwambia chimbuko la elimu ya dini imetoka kenya Mombasa na Lamu

  • @jumaciza461
    @jumaciza461 ปีที่แล้ว

    Yani sijuwi ilikuwa ngumu kama cuma 😂😂😂

  • @Marjeby
    @Marjeby ปีที่แล้ว

    Mohammed Bachu kwa macho tu bila kipimo chochote uanona matatizo yake ya akili😅

    • @G.r.e.a.t.I.Q
      @G.r.e.a.t.I.Q ปีที่แล้ว +1

      Unamaanisha hiyo profile photo yako? Maana ndo inaonekana kichizichizi!
      Vyenginevyo, udaku waachie wanawake. Au ni "Mama Fathma!?"

  • @zeitunMohammed
    @zeitunMohammed ปีที่แล้ว

    Bhachu atafuta hoja ati atutetea handle zetu zaisha,tulijipanga kibandle kitambooooo.tafuta njia ngine

  • @Dr-ubaida965
    @Dr-ubaida965 ปีที่แล้ว

    Kamaa bachu hajawahi kuona kama mwanawazuoni akitumia hadithi munkari huitwa muongo, si angekubali kuwa hayo maneno ametoa kichwani mwake😅
    KWANI KUNA UBAYA JAMANI.....

  • @BILALKASSIM-ol6kk
    @BILALKASSIM-ol6kk ปีที่แล้ว

    😀t😀😀😀 bchu chaliiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @wastarayusuf93
    @wastarayusuf93 ปีที่แล้ว

    Ustadh said wewe ni chuma haswaa bachu akimbiya munaqasha

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 ปีที่แล้ว

    Chali cha mende

  • @khamismwalim5604
    @khamismwalim5604 ปีที่แล้ว

    Alie na macho haambiw tazam,
    Kw makubaliano ya niqash hii hoja lazim ijibiwe ndio iletwe hoja nyengine, kilichotokea nihichi 1-0
    😂😂😂😂

    • @OmarAlly-iz8ot
      @OmarAlly-iz8ot 9 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani alie anza kuuliza swali na majibu yake hadi leo hayaja toka ni nani?😂😂😂

  • @HusseynSingano
    @HusseynSingano หลายเดือนก่อน

    Bachu hatakufasiri hawez

  • @coolpara8192
    @coolpara8192 11 หลายเดือนก่อน

    Wacheni upofu wenu wa mabishano yasio na faida

  • @adamaliali2206
    @adamaliali2206 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tumefuwtilia mpaka mwisho

  • @husseinkazungu5101
    @husseinkazungu5101 ปีที่แล้ว

    swali moja bachu amechukua masaa matatu hakujibu kisha ametoka mbio

  • @KamisSalim
    @KamisSalim ปีที่แล้ว

    Leo ndio nilipo jua kua bacho balibala

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 ปีที่แล้ว +3

    TANGA 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,13,14,15,16,17,18,19
    MOMBASA KUNA 1 BAY ON
    BACHU HAMUWEZI SHEKH SAID
    BACHU KAWA KAMA MANDONGA AKIPIGWA KASHINDA NA AKISHINDA KASHINDA
    LAKINI HAPO 1 NDIYO STEP YA 2 HUCHOMOI
    UISLAM SIYO KAMA MPIRA WA YANGA NA SIMBA KUBISHANA JIBU SWALI WATU WASONGE MBELE HUWEZI KIRI SIJUWI BASS

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah ปีที่แล้ว +1

    Enyi mawahabi Mtume anapewa sifa ambazo si zake au muna kijicho na husda juu ya mtume, mbona wazee wenu serikali zenu jamii yenu munaisifia, muna historia zenu munasimuliana, mambo yenu mazuri na mabaya munaambiana, lakini kwa Mtume kukaa tukasoma Quraan tukamsifu mtume kwa sifa zake tukapeana mawaidha, tukaamrishana mema na kukatazana mabaya,imekuwa shida, kati ya haya na nyie mawahabi ambao mumeanzisha kitu ambacho enzi ya mtume hakikuwepo bora nani, hivi kusema kuna Tauhid 3 mumetowa wapi, kusema Allah Ana mwili yaani Ana mikono kichwa miguu mumetowa wapi, kusema Allah anachoka mumetowa wapi jee mtume alifundisha haya, ikiwa sikufru ni nini nyie mawahabi

    • @HemedSerious
      @HemedSerious ปีที่แล้ว

      Hawa jamaa, wanajifanya wanapenda Sunna lkn km unawajua hawakusumbui, wao wanajifanya kupiga makelele bdaa, kwenye mambo wasiotaka wao. Lkn hapo hapo wao Wana ma bidaa chungu mzima, Tena makubwa mm sioni km wao wanatetea Sunna zaidi ya unafiki tu

    • @sumailiusseneussenebonomar2249
      @sumailiusseneussenebonomar2249 11 หลายเดือนก่อน

      Fgfaffffffsfgffaffgffgffgfdffaffdgffdgfffdffafffasgafffffgddffffgffffgfgffaffffdafafsfffddfgdffadfffffgfdsfaffffffffffffggagfgffffsfffsgsfffdfaffffdfdgffffffdfdfdffffsffgagffgffgffddffffddfddgfffdsdfffffsffffadff dr dffffgdddffdfaaadafdsfafdgdffdffdffffaffggfffdffdfadffgfdadgdsfffsfafggffdsffffffasaagffffffaffdaffaffsfgfg FF f de te as f FF f FGF dr f ser de dsfafa dr dffdf dffffgdddffdfaaadafdsfafdgdffdffdffffaffggfffdffdfadffgfdadgdsfffsfafggffdsffffffasaagffffffaffdaffaffsfgfg f fd de d fgfaffffffsfgffaffgffgffgfdffaffdgffdgfffdffafffasgafffffgddffffgffffgfgffaffffdafafsfffddfgdffadfffffgfdsfaffffffffffffggagfgffffsfffsgsfffdfaffffdfdgffffffdfdfdffffsffgagffgffgffddffffddfddgfffdsdfffffsffffadff ffsfffffa dffdf fffaffffffffg f f dffdf te a fd dffdf fffda de dr fa dffdf add da afffa da fa dffdf te FF FF FF FF free fa fg get f get fff dff fd fa afaadfffs dff ffdf dffdf afffaaffaf try afafddfdaffafdffffagffffdfffafffa fd fffaff

  • @allymahaba3425
    @allymahaba3425 ปีที่แล้ว

    Sheikh Sabas Al-Kubra alishampiga chini huyo mtoto wa Bachu. ALLAH Amjaze Sheikh Sabas. Hayo ni marudio tu. Huyo mtoto mtapata nae shida bure. Kichwani sio sawasawa huyo. Hapo lazima yeye na Mawahhabi wenzake watasema wameshinda. Mtihani kweli.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 ปีที่แล้ว

    Yaani nyie huo mpira au dini mbona mnafanya kama mpira kila mtu anajisifia yeye kashinda nini lengo lenu kwa waislam?

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 ปีที่แล้ว

    Bachu chaliiiii😂😂😂😂

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa bachu kwisha khabar yake

  • @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY
    @USTAZZAGHAWIYUSTAZZAGHAWIY ปีที่แล้ว

    الله أكبر 😂

  • @khamismwalim5604
    @khamismwalim5604 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂 1-0