Join me at Pocket Broker: clcr.me/fSzwUW Enter promo code KAKOSO100 at registration and get a special bonus from me! Jisajili kwa kuingiza code kakoso100 na uweze kupata bonasi kutoka kwangu
Director kakoso kwanza asante kwa kazi yani hii kazi ina funzo lakutosha ambalo tunasthik kujifunza pia nimefrah una idea ya pke yko ambayo umefkiria kwa sbbu kwanz story ni fupi tu ila imeanza uzur nkumaliza vizur hmna alolalamika kua story haiyeleweki au vip tunkushkur cna vjana wako mngu azid. Kukulinda
Wapi like za 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ndio hizo ❤❤❤
Director kakoso kwanza asante kwa kazi yani hii kazi ina funzo lakutosha ambalo tunasthik kujifunza pia nimefrah una idea ya pke yko ambayo umefkiria kwa sbbu kwanz story ni fupi tu ila imeanza uzur nkumaliza vizur hmna alolalamika kua story haiyeleweki au vip tunkushkur cna vjana wako mngu azid. Kukulinda
Mwasi amenifuraisha sana katika uhigizaji wake,, kwaiyo nipeni namba zake ili nimpe mauwa yake
Kipara nukubali kazi yako sana ,Bik kaka Mbwela ,Dada Mwas unapendeza sana.....Bila kuwasahau ndugu zangu Zumba na Sengo
Mnao mkubali mwakatobe nibeni like zenu
kazi safi sana director, ila kipara na kingereza chako kapeleke huko mstuni
Aliye elewa hii movie inacho maanisha haezi nyimana likes ❤❤❤❤❤ big up sana kakoso❤❤❤❤❤
Wapi uno la sogojo
Wakwaza naombeni like 3
Mwasi ni aina ya wale WAREMBO ambao ni NATURALLY BEAUTIFULL
Hiyo pocket broker haikubali kuunga. Tanzania haipo kwenye hiyo app. Au nakosea kuunga?
Mnipee namba sa mwasi nimcheck mimi
watching from Kenya🎉🎉🎉
Oya mm namtaka uyo mwasi ili aje nungwi
😂😂😂 ila mwakatobe
Kiparaaa 😂😂😂....Kizungu flani cha kinyamwez 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
We kipara unaharibu movie kuongea kizungu kisichoeleweka movie nzr lakin ww sasa unaiharibu
Kipara Wana Man Aweeeeeeee 😂😂 much love bana uko sawa
sikujua kakoso ni kaka ya mwasi ,nawapenda sana
Am not a liar from today onward 🔥🔥🔥🔥🔥
Sarah kubinua mdomo mmmmh
Kipara is it all in all or Oro in oro
Nikimuona mwasi na kakoso naona mwili mmoja
Kipara nakupenda ila unakela ingilshi zanini
Unyama n mwing
Nawapenda sana na movie zenu nazipenda sana
Hawajawah kufer Hawa washkaji
Nice one but that English of kipara 😅😊❤
I love you mshangazi❤❤❤❤❤
DIRECTOR KAKOSO, Subscribed because your videos are so much fun!
Kipaŕa want man🎉😢😢😢
Kiparaàaaa 😂😂😂😂
Road pilots 💪
Mwas nipo single pia naweza kupata tafadhali from Kenya
😂😂😂
Bwana Kipara wachana na kizungu......
Pra mim esse kipara está me rir so😅😅
i love you guys from kenya
Much love🎉🎉🎉 from congo
❤❤❤❤❤❤❤❤
Vizur
Hii group inafanya makubwa movie zenu Kali 😅😅
kibara hajana na kiingereza, tumia kiswahili. Ila kazi nzuri
Kipara acha kuharibu movie na kingereza chako
Kazi safi sana lakini kipara unaharibu
Director ntafanyaje nijiunge na nyinyi hamuoni kama ni vizuri sana mkiwa kabira mingi kwa mchezo ndo ikuwe tamu mm ni mkisii kutoka kenya
Nice one
Kiparaaaaa 😃😃😃😃
Nampenda
Mwakatobe safi sana
Kipara wana man kipara jaiva aweee
Olo in olo ,,hii kizungu ya kipara ndo inanibamba 😁🤣😂
Mm nampena chifu wa snek boy
Jamani nampenda mwasi ata mm npo single 🇰🇪 🇰🇪
hahaaaa😂😂 zumba eti ninamyaka28😂😂😂
Mwakatobe sifa zimemzidi mpka anakera
Mwass nakupenda sana
Kakoso ujawah kukualbu ww n nouma🎉
Iyo kali kabisa
Ila mwasi mzur jaman manshallah❤
Kipara Wana man aweeee😂😂😂
Kipara anaharibu na kizungu chake
Oooh 1love mwasi😅😅
Alafu mtaalamu eti uno lasogojo
Kipara anaudhi na kingereza chake sana
From naija! Xafi xana !
Uno la sogojo😂😂
But olo in olo 😂
Tunahitaji snek boy
Kipara hicho kizungu jamani😂😂
Which is which 😅
Uno la sogozo.
Namkubali kipala wanamani
Jamani mshangazi ni Crush wangu🥰
😂😂😂😂😂it ok nice les go to your home 😂😂😂ongea kishwaili
Kipara nimependa unavyo omba msamaa kwa kakayako mh.. mwasi uganga unaendakufa sasa😂😂😂
Sema nyie wamba mnajua mnajua tena 🎉😂 bravo and more congratulations
😂🎉sawadi yake
kazi saf kaka❤🎉
Mmmmmmm Kipara am Dar your street ndo nn😂😂😂
Kizungu is typing
from kenya big up kakoso alf kipara amenifurahisha anaongea kizungu
Kipara bona kingereza kikali
Good job
Wa tz kiboko yao
Ila Mwasi ni bonge la toto❤❤❤
kazi nzuri sanaa
Kipara unabo
❤❤Mnapendeza sana...Hapo behind the Scenes...
Kipara all the way❤
Sema mwasi mzuriu
😂😂😂hicho kizungu cha kipara aah😅
Haaaah hâta mimi nakishuku
😂😂😂😂𝒎𝒅𝒐𝒎𝒐 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒑𝒐𝒄𝒉𝒊