Toka nicheki kijana muuza maji yani Hadi now mmenifanya nisikauke online big up team donta nawish siku Moja ningepata nafasi kuwa miongoni mwa team yenu asee
😢Acha kwnza nianze na kuwatakia happy new year naona huyu mwaka vitu nivikali sana mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya hizo na mzidi kutufurahish na kutupa mafunzo tofauti mbalIkiwe nawapenda sana lakini kelvi na love nawapend sana mnajua kunifurahisha snaa mbalikiw kw huu mwaka mpya
kamaunamkubal Kelvin weka like hapa
Kwanza kazi nzuri sana haya nipeni likes kwa ajili ya kelvin ❤
Kelvin brown mnafanya kazi nzuri sana nawaombea mwendo wa kasi kwa subscribers 1M Amen
Nilikuwa nimeshamkumbuka victoria jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nann
@@user-nk6cy1ye7z Alikuwa ahonekani siku hizi
Toka nicheki kijana muuza maji yani Hadi now mmenifanya nisikauke online big up team donta nawish siku Moja ningepata nafasi kuwa miongoni mwa team yenu asee
Naomba unijuze kijana muuza maji imeisha mimi mwendelezo cjauona kila cku natafuta ebo
Yani huyu loveness anamchango mkubwa sana kunifanya nimfatilie donta tv ❤
Nawapenda xna mwanzo luvness na kelvin mmependezana wallahi
Wawooo kazi nzuli inaonesha ni nzuli mfano wa kijana muuza maji hongereni sana tunasubuli part 2
Moto Umewakaaaa ❤❤❤
Kabixaaaa Yan mumeweza aky nyie mtanimalazie pexa kwa kulipia umeme ili itumie Wi-Fi daily
Leo tumeiyanza session yetu pendwa ❤
atafazali mutiye suite yake naipenda sana bwana Kelvin
All the best kaka kelvin c tunamaliza bundle zetu kwa ajili yenu!! So ❤❤❤to all, ila loveness kwa madeko tu kama katoto ka mwisho😂😂😂
Kweli kabisa😂😂
we acha😅😅😅😅😅
Donta tv to the world love from Kenya 🇰🇪 to Tanzania 🇹🇿
More blessings to you donta tv team we always be happy for your films there are good messages
Safi sana ndugu zangu mnazidi kuleta vitu vikubwa kuliko vilivyopita 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 mwenyezi mungu awape Zaid na zaidi
Kali sana kama unakubali DONTA Tv likes hapa🎉🎉🎉
nzr kulko hyo jamn nimeipendaa❤🎉
Mumetisha wanangu mungu awaongoze ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wakwanza nipeni like zangu
Asante
We safi
😂
@@Dontatv255blother nimekufollow ad intsaa na lovennes antumiaaa jin gan
asante tumekupa❤
Much love wana donta tv
Much love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤
Kwanza sinuliz hazichoshii hongereni mno❤❤❤
Asante sana
❤❤love it team donta tunawapenda sana,from kenya
Jamani Kelvin nimecelewa lakini naona mambo ni 🔥 Kelvin khan hanaga mbambamba kazi kwenda mbele pokea mauwa 🎉🎉🎉🎉yako
😢Acha kwnza nianze na kuwatakia happy new year naona huyu mwaka vitu nivikali sana mungu aendelee kuwapa nguvu zaidi ya hizo na mzidi kutufurahish na kutupa mafunzo tofauti mbalIkiwe nawapenda sana lakini kelvi na love nawapend sana mnajua kunifurahisha snaa mbalikiw kw huu mwaka mpya
Aamiyn aaamiyn ❤
Jamani donta Tv hongereni sana kwenu❤❤❤❤❤Maaana kama ni filamu mmetowa KBX 🌹🌹🤲 alafu tunawaomba sana msiwe mnakawia kutowa Ep inayo fata please ❤❤❤
Mumeanza na mwanzo mzuri nakubali hii movie yenu
Niliisubili kwa ham Sana jmn asanten sana❤
Donta tv kaz nzuri sana from pemb🎉🎉🎉🎉
Team strong bila kuachwa nyumba tukutane kwa comment team 2024 😂😂😂😂yaani lazma tutolee ukwiru apa nani ya TH-cam 😂wapi like zangu
😂😂😂😂😂😂tutulie
Endeleea kutoleewa ukwiru
Good quality, good production ,voice mastering and everything in this video is better ever congrats to Donta team 🎉🎉🔥🔥💥
Ila Victoria ungekuwa unavaa vigauni vifupi vya kumwaga au surual na blauzi pana sio kishati cha kubana ungebamba sanaaa
❤❤❤ndugu yenu nipo kenya nawapenda🎉🎉🎉🎉🎉 aswa kelvin na loveness nawapenda sanammmmmmmmwwwwwwwaaaaaa
Kudos team donta family hii movie noma kw kweli imeua
Naombeni like zenu mashabiki wa donta family
Waaah congratulations 👏👏❤❤❤❤
Alafu kingine mtuogezee dakika mweke kma 40mins ivi itakua sawa
Waaaaaah wa2 wote majini mpaka kelvin makubwa
Hiii watu mko fasta Donta tv mnajuwa sana mashallah❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana
Kazi mzuri sana Kaká funguwa mwaka
Mwendo mpya,safi sana kz nzuri sana kka kelvin hongera zko pokea🎉🎉🎉
Vampire basi wazuri ila munavaa vizuri sana 😂😂😂
Daaah bonge la movie 🎥
Jamani eeeh japokua kila siku wa mwixho ila uxiku ndio muda mzur wa kutazama tamthilia kama iiih tamu ila tupo sambamba
Kelvin, Loveness Ndio mmevaa sare Maa Shaa Allah,,,, Kelvin Nelly ,, Brown ,mko Juu sna Mpo kama Mapacha
Much love from zambia rusaka
Nawpenda sana❤❤❤❤
Asante sana
Yani kwanza mlipendeza sana halafu mmeweza sana sarut kwenu
God bless you people,, you always make us happy I love team Donta❤❤❤
Asante
Kaka Kelvin kazeni sana mbn nyie ni wasafi sana vampire
Katika picha nzuri hii mmeuwa Ni Kali balaa kikubwa tu Ni seme mungu as wabariki katika kazi zenu
Donta tv for life ❤❤🔥
Loveness pammoja na kelven hawo watu wananifurahisha dontatv
Ikiletwa kila siku itakuwa vizur zaid😊
I think its high time you keep your series with subtitles kindly
I like it 🇭🇷🇹🇿
Daah kweli mnaweza aisee mmenifanya na data tuu wakali sana nyinyi
Nipeni like zangu jmn nimewai kdg
Kazi nzuri jaman naomba hata like 10 jamani
Bas Mimi mwenzenu nawapenda mweeeh ❤💓💖❣️🥰💋💋💋💋
Mimi ni mkenya but i love your vedios more than expected ❤❤pongezi bwana kelvin
Ila nampenda kelvin jaman
Donta tv. Mmekua wa moto,
Hii naiona ya moto sana
Move zenu akiwepo laveness ina noga kwa kweli🥰🥰
Umenenaa jmanii loveness ana Radha akee
Nzuri mashaallah ❤️
Nice Kelvin nnmeipenda
Waziii napenda sana hii aki😂😂❤❤❤❤❤
wakenyaa 🇰🇪tukutane kwa likes Aaah jamani mbona tamu hii movie❤🎉🎉much love from kenya🎉
Loveness and Kelvin jaman I swear to God mnapendezana
Kazi nzuri sana iyi nomoto
Much respect 🔥🔥
🔥🔥🔥 much love from 🇰🇪 mnafanya kazi zuri
Vampire love sasa muongeze masaa jmn ❤❤❤❤❤
Wapongeza sana hamtuachi tukaboeka kazi nzuri donta family🎉
Sema hii team itafika mbali sana ina fanya kazi nzuri 🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂 ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote
Waaaw nice work,,,much love from Kenya napenda sana kazi enyu❤️❤️❤️❤️
Ila bloo hongeren 🎉🎉🎉 kwa hii move n metisha hatal yaan kama mbele vile . God bless your job
Donta Tv much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Mwaka mupya kwa team nziza ya donta tv, ila naomba iyi movie iwe ndefu tuzidi ku enjoy
Uku pand za zanzibar tunawakubar Mnatuerimisha kwakwer ❤❤❤
Congratulations 🎉🎉🎉🎉
much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥✊
Thanks
@@Dontatv255 anytime ✊
Big up wazee DONTA TV and DONTA FAMILY
Good job ❤❤❤
Nakupenda sana kivini ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nakubaliiii Sana kalvin❤
imeanza tuu tamu jamn itoweni kila siku
Congrations❤❤❤🎉🎉🎉
Love you so much wana donta❤❤from kenya 🇰🇪
Kelvin Ana huruma sana so hawez kuwa na roho mbya
Waah hiyo moto😅❤
Hii kazi nzuri kuliko zilizopita
Wa mwisho jomon nipeni like zangu
Napenda sauti ya dada loveness❤
Kelvin hapendez kuw na loo mbaya
Hapa nchine kwetu 🇧🇮 sizani kama mko na shabiki kuliko mimi nipeni like zangu wa Bongo
Wakwanza jamani like zangu
mwenyez mungu azidi kukuza vipaji vyenu
❤❤❤🎉nice
Much love from 🇧🇮🇧🇮
Yeah hii dio nilikua naigoja sana😂😂😂💪💪💪💪