Furaha yangu ni siku Moja nione maajabu wema Yuko na mtoto wake ya rabbi kwa kweli nakumbuka interview zake ... ❤❤❤❤❤pole sana wema sepetu .... I love you so much hadi na feel vibaya natamani kulia 😭😭😭😭 wema sepetu wangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mama alimtendea unyama Samira, ila mwisho wa siku anaiona Dunia chungu, Samira ywaishi kwa furaha , mama sai anajutia kwa kile alichokifanya,, msamaha ndio suluhisho
Anae itazama hii 2024 agonge like apa❤
Furaha yangu ni siku Moja nione maajabu wema Yuko na mtoto wake ya rabbi kwa kweli nakumbuka interview zake ... ❤❤❤❤❤pole sana wema sepetu .... I love you so much hadi na feel vibaya natamani kulia 😭😭😭😭 wema sepetu wangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mi nimelia jmn alivotok kutoa mimba😭 very sad
So sad bt at last life had a reason to be called life,so wonderful movies
Amin Inshaallah ❤
Ila anaeangalia moves hii 2024 agonge like so akuna mkamilifu😢😢😢😢😢😢😢😢
Bro gambo zigamba natami siku moja nikuone kaka ninahamu sana hata yakushika mkono wako King of se filamu bongo moves ilike brother gambo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Pongezi sana kwa kutuletea filamu yenye mafunzo katika jamii Mungu awabariki sana❤❤❤
Kusema kweli wema ulikuwa mzuri sana jmn❤❤❤❤
Mov hii imenitoa machaz san juu ya ukatili 😂😂😂😂😂😂😂 gabo au baba olivia hongera san napend san kaz zako hazin longolong
Hongera Gabu yni napenda Sana kazi zako
Maskini wema hii movie aliteseka Sana jmn mpaka namhurumia😢
Huyu mamake Samira ana roho mbaya Hadi hamtakii mwanae kuishi katika furaha daah
Jaman mliwezaje kumliza hii movie maan mm nguo imeloa 7bu ya machoz 😭😭
Asante kwa movie hiyi Wema Sepetu nakupenda sana tena sana Mungu akubaliki uendelee kusonga mbele movie hiyi imenipa mafunzo mengi sana.thx again
Shukran sana Mr Gabo zigamba, kwa kumsaidia wema sepetu, be blessed
November 2024,, nipen like zang
Ila Aya sio maisha jaman duuuh😢😢
Mungu ata mjaliya ishaallh mapacha tena amina
Wow movie imeniliza jaman inamafunzo meng mengi ahsante da zuuh
Move n kma hizi sio dakika kumi imeisha n utam pia hongera sna kk gmbo n wenzio pokeen 🎉🎉🎉🎉🎉yenu
Bonge la movie na inafunzo kubwa sana 2nashukur sana dada zuuh Mungu akupe nguvu na tuko pamoja na ww ❤❤❤
Yaani hata siamini kama mama Samira umezikwa Leo jamani nimeamini kweli duniani tunapita😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 ewe mungu tupe mumwisho mwema🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Inshaallah
❤❤❤❤❤❤ tunamuombea saanaa huyo dada siku moja mungu ampe mtoto warahi nimziri
Movie tamu mpka sitaki ishe jmni 😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉 zuuh ww noma sana
Hata mimi 😅
Nkwambia nakuunga mkono
Hello Salim or Gabo and Wema mko vizuri katika uigizaji
Daah! Movie hii inatia uruma kabisa we zuuh unatisha😘😘😘
Wema sauti yako jamani 😊 natamani one Day uwe na mtoto wakwako nakumbuka interview zako 😢
Mimi na penda i muvi sana dada wema sepetu na fanya vizuri sana
Binafsi nimemuonea sana huruma Wema anatendewa ubaya kila mahali maskini ya Mungu😢😢
Gabo huigiza kwa kutulia hana papala😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Nampendasana gabo zigamba flm zakezote nimtulivu nampendasa❤
Congratulations keep it up good job 👏👍
Jaman narudia kuangalia tena hii move ...machozi yanitoka aki..mama grace endelea kupumzika kwa amani
❤😂❤unampenda mwaba gabo kwa userious wake wenye hisia kali apewe maua yakee🎉🎉
🎉🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sema. Wema hii kawa mpole sana
Uyu kaka 😊 mnapendaka sana movie dhicho langu
Yes, umenikosh jmn, nilikuwa nikilala naiyota jmn,🎉🎉🎉❤❤❤❤nakupa mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hadi me nilikua naichugulia naona bd naskia kitu yn
Mwisho wa ubaya niaibu,,aya mama Samira pesa zote hizo ulizokuwa ukimuuza mwanao lkn ata nyumba hukujenga maskini,,aibu kweli
Jamani wema alikuwa mzuri khaaa,ila saizi hapaana dear
Naku kuku bali sana gani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani hawa binadamu hawana hata mshipa wa aibu kumbe pamoja na hayo yote waliomfanyia Samira, Dada Samira una 💓💓
😂😂movie tamu naomba part 3😂😂mnielewe jamani
Siwezi kusamehe, afadhali hiwe mbaya😮 movie yenye mafundisho kweli😢😢
Ukme mama mpuuzi.san wewe unaakili angalia kilicho kukuta aibu tupu
Kak gambo umetish nkupendg sn
Kuwa na mama kama huu bora afe kwa kweli mama shetani
Wema wew muzur dad ngu duuu❤❤❤❤❤❤
Kama mimi Samira nakimbia hapo petu na sirudi 😢😢😢
Yaan inagusa moyo na inafunzaa
ilazamani we ulikuwa mzuri
Nmetoka kulia kwenye dj ben nmekuja kulia huku wema anajua jamanii nampenda sana
Mov nzur kweli inamafunzo
Tuletee kisogo dada nakama unakubaliana na mimi gonga like
Nyio😢nalia ukuuuuu
Nimelia sana jamani
Zuuh movie nilikuwa naomba movie hivi moja ilicheza huyo dada mamu inaitwa utamu wangu please naomba🙏🙏
Inauma sana pole sana Da Samila❤❤❤❤❤
Mimi i feel vibaya kumuona Samila kateseka hivo yani nataka hata kulia hiyi movie inanifanya nijue binadamu tuko wabaya hivo kwli
Wazaai kama hawa wanafaa watupwe kwenye shimo la simba
Kiukweli nimelia hii mov inaiza nimeangalia lanyig sana nyie kwan muliwaz nn ila mapunda
😢😢mpaka nmelia nmemkumbuka hata mm nmepitia😢
SubhannaAllah pole sana
Watching from Kenya
Jamani huyu dada ni mzuri❤❤❤
Yaani zuu. Unanipa furaha sana❤❤❤
Grace mapunda na mum kwa hii movie walaniwe❤❤❤❤
Movie nzuri sna,,ila jmni maneno yanaumba tuwe makini..wema na kuzaa yalijiumba😢
Zuu movie ya red cross ya yusuph mlela na hemed suleiman tunaweza kuipata
Huyu dada sijui yupo wapi nampenda hajawai kucheza move awe mpole yeye michambo ukorofi😂😂😂😂😂😂😂
Yeye n huyo somo yangu Grace Mwaponda
😂😂😂😂
😂😂wamoto
Meneja wake wema
@@sharifabahar9905 Huyu meneja wake wema??? Huyu dada alio ekti wema dada yake ??
Kuna mwendelezo❤
Alafu nawauliza,,hii mi kiss mingi haitii mtu nyege jamani😮
😂😂😂
😂😂 umeona eee
😅😅😅jamn
Jamani mama samila kaniliza sana jamani
Katika movie zangu pendwa za wema sepet hii huwa naipenda sanaa Tena zaidi ya sanaa wema unajua bna❤🔥
Hawa Huwa wananyonyana kiukweli na Mimi nije ama😂
Umeniwai
Eeh maana uyu jamaa hapigi mate anafanya balaaa😂😂😂
Mbona nimesubiri kumuona gabo simuoni
Hii imenifanya nilie saaana
Hii movie kiukweli inauzushasana Yani huyondowema ya😊ni🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Rest in peace mama samira [Grace mapunda😢😢 ]forever in our hearts
Sema kuma la mama ake dada ake wema katombwe mbele ya safari😂😂😂😂😂ukooooooooo
Utuletee na chaupele jamani
People are in love. I'm in pain😅😅. Thank u Lord
Yan iyi flm sichok kuitazam kbs duuu😢😢😢😢😢😢
Wema namkubali sana huyu dada
Daahh imetoa machozi hiii movie aisee 😢
Nimeipenda hyoo,patakucha na msondo,,ahhh hii movie inakosha moyoo
Movie imeisha vema nimefarijika na nimejifunza mengi🙏🙏🙏❤❤❤
🎉mafunz makubwaa sana
Move imeniliza hiii❤❤❤❤
Wamama kma hawa mungu anawaonq 😢
ninzuri lkn nimelia sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤sana
Kumbe walimtoa kizaz kwenye hii move ndy maana azai
Duh wa mma wengine ka machiz
Asante daa zuu chukua maua yako❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Movie nzur san ❤️❤️
Aky nimelia nikasahau kumbe ni move
😂😂hunishindi mimi.
Kuna wengine wa maman wakukataliwa, kabisa tena bila uvumilivu kama huyu biti amemuuwa mamae kabisa🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mmh jamani adi nimelia
Mama alimtendea unyama Samira, ila mwisho wa siku anaiona Dunia chungu, Samira ywaishi kwa furaha , mama sai anajutia kwa kile alichokifanya,, msamaha ndio suluhisho
Nakupenda ww dada tupe vitu♥️
Dada tuekee more than woman
Mjomba kam mjomba 😅
Mjomba ni mama
Love so much Wema💕💕💕 Amen
Asante sana dada❤❤❤
Mtuwekee na sehem ya download inapendeza zaid