SHEKH OTHMAN MAIKO NA JAFARI WALIVYOENDA POLINI KUUCHUMA MTI MKUU KWA AJILI YA UCHAWI NA HUSDA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ค. 2023
- Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Mashallah sheikh mimi nasumbuliwq miaka na sihr naomba msaada sheikh
Duu mungu awa saidie huko mliko😊
Vp io dawa ya mti mkuu uku Kenya jameni, jaazaka Allah, wengine Hatulali uku Malindi kwa sababu ya wanga uku , ata wengine waliachishwa Kazi na ndo wategemezi katka familia, Sheikh twahitaji io dawa
Hatuoni vizuri jina jengine unaitwa vp
Hamuombi mizimu Kwa kuchuma dawa
Shekh mbona hujauonyesha mti umefanya kinyemela hiyo ni sawabu kwa Alla onyesheni hata mara moja wacha Mungu wetu
Ho mti mkuu makristo watautumia kanisani kwa kudanganya watu, waseme kuwa ni yesu apoza kumbe ni ho mti mkuu
YAANI UCHAWI UNAFUNZWA HADHARANI. HUU NI MTIHANI.
Uchawi au dawa za miti 😂😂
Usile mbinga basi utaumwa
Huu mti unaitwaje jina lingine
SASA MNAVYO KANDIA UGANGA NANYI MNA FANYA NIN HAPO ?????????