MTI MKUU KIBOKO YA WACHAWI NA MAJINI UMEKUA GUMZO | WASHIRIKINA WAMEANZA KULIA UST.JAFARI ABDURHAMAN
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- #MtiMkuu #masjid_mtoro_online_tv
MTI MKUU KIBOKO YA WACHAWI NA MAJINI UMEKUA GUMZO
WASHIRIKINA WAMEANZA KUPIGA KELELE
MTI ULIOPEWA BARAKA NA NGUVU YA AJABU
KWA MAZUNGUMZO ZAIDI NJOO OFFISINI MAGOMENI MIKUMI MTAA WA MIKUMI
UST.JAFARI ABDURHAMAN
Shukran jazaaka Allah their,
Sahllam alekum ustadh ni mekumia massage naomba unijibu inshahlla kwauzo wa Allah
Shukran jazaaka Allah kheir , kwasisi tupo oman tutapata vip iyo dawa ,? maana tunasumbuliwa na hao masheitwan ,haswa aashqi, na uchawi wakutupiwa kila siku , hatuna Amani kwenye kazi, usiku wala mchana hatulali ata, na kila tunacho kifanya hakifaanikiwi , vile vile kwenye nyumba hizi zimejaa masheitwan hawo wanatusumbua sana haswa kwa sisi wafanyakazi apa oman , nimtihan mkubwa tunawo ,tunaomba utuelekeze gisi tunaweza kupata iyo dawa , Allah atawalipa kwakila kheri inshaallah.
Tijuana jamani tulipo oman mkifikiwa na dawahii mtupe na sisi conection
@@azizaaziza5453 PIGA HIZO NAMBA ZILIZOPO KWENYE VIDEO.....DAWA TUNATUMA POPOTE DUNIA
Samahani shkh nimekutumia jumbe whatssap naitaji Dawa Niko kenya
Nipo kibaha ni Bei Gani hiyo sheghe dawa
Bei gain?Arusha tunaipata wapi?au Dar Mko wapi?Shukran
Asalam Alekum warahmatulahi wabarakatuh
Mimi niko kenya naipatà vipi hiyo dawa?
Mimi ndio nimetumia hakika mti mkuu wa jafari Kibwana nidawa ya uhakika nikitumia shetwani hanigusi nimeamini nidawa hakika
Mm nko kenya nitapata vp ust
Assalam alaikum mimi nipo pemba mtaipata je hiyo dawa?
Kwanini kwanini hamtaji jina linaloeleweka lahuo mti mkuu
Dawa ya mti mkuu nitapata aje
Huu mti mkuu hauna jina lengine
Mti Mkuu ni mbaaazi sizani kama kuna mwingine zaidi yauo nakama upo autaje basi tujue
Ili kutusaidia nikututajia tukatafuta wenyewe
Mimi nataka uo mti mkuu ni jawa na kisirani kingi
Huu mti jinajengin jinagan ss wengin hatujaufahamu
Mti mkuu ndo cinnamon ama
Tapata ajee
naomba mawasiliano nitapataje
PIGA NAMBA UNAZIONA KWENYE VIDEO