Wasanii wanahangaika na performance na watu wa sound wanawa angusha. Si Clouds na si Wasafi. Msiwekeze tu kwenye maukumbi na vyombo na matangazo...muwe mnajali sound quality pia. Fungua live za wenzetu na wanatumia vifaa hivi hivi lakini utadhani uko studio. Tuwapongeze wasanii lakini media houses acha kufurahia sound mbaya. Ma Engineer wapo lakini mnaridhika na sauti mbaya na mnatufanya Watanzania kuridhikia na sound hiyo kama vile ni ya kiwango cha juu na kutosha.
Umeongea ukweli kaka ...lkn napingana na ww kuwatupia lawama wasafi kwenye hili bila kuwa na details kamili....inasadikika sound set up system haikufanywa na wasafi,wasafi walikuwa wanarusha matangazo...ila kitu ambacho ningekuunga mkono...ungesema wasafi wangecheck kama sound system ni ya kiwango cha kutosha....halafu suala la kulinganisha wenzetu wa nje na sound zao sio sawa...sababu wenzetu vyombo vyao ni vya kiwango cha kimataifa na ma engineer ni walioenda chuo kikuu Sio kujifunzia kwa kaka au mjomba...kiujumla sound engineers kwa bongo ni tatizo bado ..ingawa wanajitahidi...but all in all sauti ya Christina shushu kwa live ilikuwa amazing ila back up sound ilikuwa mbaya Angewaweka wanawake wote Ingekuwa much better
@@vincentmushi1247 asante kwa ufafanuzi, na pia wa @muntueric-oy1ty kwamba sound ilikuwa sio ya Wasafi. Kulinganisha na wenzetu ni muhimu kwa kuwa hatuna sababu ya kudai vyombo ni vya hali ya juu na hatuna elimu. Mimi naongea kama Engineer, ndo maana nasema hivyo. Taratibu za live stream kwa Wasafi zilikuwa ni kuleta splitter box na kuchukua line zote za sauti na kuzichanganya wenyewe kwenye chumba cha tofauti yenye monitor ili kuhakikisha sauti inayokwenda kwenye stream yao ni bora, hata kama kule ukumbini ilikuwa sio ya kiwango. kukubali kufanya vinginevyo ni juu yao. Pili kwa waandaaji kulipa mamilioni kukodisha hiyo LEd wall, taa na kadhalika halafu una amua kwamba usiwekeze kwenye shughuli yako kwenye sound eti msaada ni maamuzi ambayo hayaleti picha nzuri. Ila tusiache kuwashukuru katika udhamini na msaada huu mkubwa.
Ubora wa wakitwa muimbaji kipimo chake ni kuimba live shusho unaweza sana👏👏👏👏👌👌👌👌
What a performance! Special talent from God. Mungu akubariki
Shusho umaimba mama hongera sana
Nyie nyie nyie nyie nyie huyu Dada ni Mzuri Jamani !!! Kaolewa kweli huyu ??? Plus Vocal Mungu aliyompa ndo kabisaaaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌 Inanimaliza kiukweli yani !!!
But Anajua Sanaaaaa
Ameolewa na ana watoto wako chuo
Hii vocal ya christina ni nomaaa ni noumaaa khaaa🔥🔥🔥
Back Vocal wanamuangusha Sauti zinahama Kabisaaaaaaa
Yaan wamehàma key
Nilipenda mnoo na kubarikiwa 🇹🇿🇷🇼🇧🇮🇨🇩🇺🇬🇰🇪🙌🔥
Yessss...nabarikiwa sana na cristina shusho🙏... you have one among the unique voices that can move oeoole heart and soul❤️
What a sweet voice God bless you woman of God🙏🏽🙏🏽
Finally nimepata hii show ikiwa na good Sound quality 👏👌👌🔥🇹🇿❤️🇰🇪. Asante wasafi MEDIA
Vocal nzuri sana, confidence kubwa, ametisha sana
Umeanza na wimbo bora kwangu
Wasanii wanahangaika na performance na watu wa sound wanawa angusha. Si Clouds na si Wasafi. Msiwekeze tu kwenye maukumbi na vyombo na matangazo...muwe mnajali sound quality pia. Fungua live za wenzetu na wanatumia vifaa hivi hivi lakini utadhani uko studio. Tuwapongeze wasanii lakini media houses acha kufurahia sound mbaya. Ma Engineer wapo lakini mnaridhika na sauti mbaya na mnatufanya Watanzania kuridhikia na sound hiyo kama vile ni ya kiwango cha juu na kutosha.
Factos
Hili jambo pia Jana kwenye tamasha la msama John lisu alihangaika sana na Kuna msanii wa congo aliamua tu kuimba na CD
Hiyo sound system sio ya WASAFI ni ya kanisa wamesaidia..
Umeongea ukweli kaka ...lkn napingana na ww kuwatupia lawama wasafi kwenye hili bila kuwa na details kamili....inasadikika sound set up system haikufanywa na wasafi,wasafi walikuwa wanarusha matangazo...ila kitu ambacho ningekuunga mkono...ungesema wasafi wangecheck kama sound system ni ya kiwango cha kutosha....halafu suala la kulinganisha wenzetu wa nje na sound zao sio sawa...sababu wenzetu vyombo vyao ni vya kiwango cha kimataifa na ma engineer ni walioenda chuo kikuu
Sio kujifunzia kwa kaka au mjomba...kiujumla sound engineers kwa bongo ni tatizo bado ..ingawa wanajitahidi...but all in all sauti ya Christina shushu kwa live ilikuwa amazing ila back up sound ilikuwa mbaya
Angewaweka wanawake wote
Ingekuwa much better
@@vincentmushi1247 asante kwa ufafanuzi, na pia wa @muntueric-oy1ty kwamba sound ilikuwa sio ya Wasafi. Kulinganisha na wenzetu ni muhimu kwa kuwa hatuna sababu ya kudai vyombo ni vya hali ya juu na hatuna elimu. Mimi naongea kama Engineer, ndo maana nasema hivyo. Taratibu za live stream kwa Wasafi zilikuwa ni kuleta splitter box na kuchukua line zote za sauti na kuzichanganya wenyewe kwenye chumba cha tofauti yenye monitor ili kuhakikisha sauti inayokwenda kwenye stream yao ni bora, hata kama kule ukumbini ilikuwa sio ya kiwango. kukubali kufanya vinginevyo ni juu yao. Pili kwa waandaaji kulipa mamilioni kukodisha hiyo LEd wall, taa na kadhalika halafu una amua kwamba usiwekeze kwenye shughuli yako kwenye sound eti msaada ni maamuzi ambayo hayaleti picha nzuri. Ila tusiache kuwashukuru katika udhamini na msaada huu mkubwa.
Very nice performance ❤ Christina upo Vizuri sana Mungu akusaidie kufikia kurudi la Mungu katika mstari wa Mungu na sio mstari wa wanadamu
Ukwel usemwe jamani mama anajua sana live yake imekaa sana jaman❤❤
Mwe mwe christina nimependa hii vocal yako
Ameeen Nzuri Sana,.
Wasafi wanashindwa kuweka SOUND vizuri wanashindwa hadi na makongamano ya mtaani
Vocal ya maana, narudia tena vocal ya maana sijapata ona....anaimba mpaka unahisi uwepo wa Mungu
Performance Nzuri sana... Hongera unatubariki wengi
Nyie christina shusho anaimba jamaniii🙌
Sanaaaa❤❤❤
big up big up christian shusho🔥🔥🔥
Tumuogope mungu jamani tusimfanye kama mjomba wetu jamani waimbaiji mnakwenda wapi mlikuwa mnategewa sana
Ila wasafi TV mlinikera yani picha zilikuwa zinagandaganda alafu ni kila tamasha tukiangalia ktk TV tuna boreka
wengii hamjasifia wanamusic kwa mpangilio mzuri wa music na upigajii
Za kale hazipoi ❤❤❤
Mungu mwema kwali
❤❤🔥🔥
Wasafi mungu awabariki
hongera dada
Hapo Sasa may mpango wakando
😄😄😄Dada yangu unaimba Ila Jitahidi Sana kutobadilisha Muonekano wako zamani hukuwa hivi😄😄🙌 nguo imekubana Yan MTU anabaki anakuangalia ulivyo vaa badala yakuzingatia ujumbe ❤️🙌hizo kopee duuuuuu 😂😂😂
We angalia performance achana na nguo
Shusho is more beautiful without this excessive make up. She has a natural black Beauty which is messing up eti awe mweupe
Kawaida
Nuru na Giza havikai pamoja
Yesu hakujia wazuli,hao wa Giza ndio tunafaa kuwavua waje kwenye mwanga...anawanyeshea mvua wema na waovu....Don't judge u shall be judged
❤
Emungu Mina Sana
❤❤❤🎉🎉🇰🇪
Dressing code 😂🤣🤣🤣 Shusho unapotea, no organization at all. U are forcing yourself 😂😂😂
Unafki tuache jamani sio nzur sana
Amejitahidi bhana ana vocal ya hatari ameangushwa na viombo na hao back v
Poor souds
Mimi inanikeraga kwanini sound zinakuwa hivi sauti haxijabalance huyo sauti ya 3 anasikika mnoo juu peke yake
@@elizabethaineah8861yaan kaharibu
Upako wa kishetani upako wa yesu ulimtoka kitambo
🔥🔥🙏