UTASAMEHEWA,ILA GHARAMA UTAILIPA // kataa uovu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 56

  • @christinestemi1684
    @christinestemi1684 ปีที่แล้ว +2

    Eeh mungu wangu nisamehe dhambi zangu unirehemu nifungue macho zandani nielewe neno lako

  • @sammiechoppah9104
    @sammiechoppah9104 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu atusaidie kwa kweli...
    😭😭😭😭

  • @mondiseif6705
    @mondiseif6705 ปีที่แล้ว +1

    AMEEEN barikiwa sana mtumishi wa MUNGU

  • @maorinebarongo7789
    @maorinebarongo7789 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen

  • @sammiechoppah9104
    @sammiechoppah9104 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi was Mungu kwa kweli Mungu akutunze na akulinde kwa ajili yetu...mafundisho ya Mungu kupitia kwako yananitoa hatua kwenda hatua nyingine.
    Mungu anipe neema kwa kweli kupanda yakiyo mema

  • @felistawambua5615
    @felistawambua5615 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @neymabahat3502
    @neymabahat3502 ปีที่แล้ว +1

    Ameen ameen

  • @wahidakisingo3588
    @wahidakisingo3588 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu ni Mwema,,,Hata kufika leo hii ni kwa Neema yake🙏 Tumtegemee yeye Peke ake kuna Ushindi

  • @AgnesHillary-js4hd
    @AgnesHillary-js4hd ปีที่แล้ว +1

    Mungu tusaidie

  • @furahamsigala2515
    @furahamsigala2515 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeni àmeni

  • @florencekwekwe1993
    @florencekwekwe1993 ปีที่แล้ว +1

    AMEN 🙏 asante sana kwa mafundisho mazuri

  • @aimerinamugisho5182
    @aimerinamugisho5182 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏

  • @ayubumgeyekwa2554
    @ayubumgeyekwa2554 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana na mafundisho haya. Mungu anisaidie

  • @kabangomatete6101
    @kabangomatete6101 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🏽 Asante sana neno hili lime nigusa

  • @bihamasoantoinette80
    @bihamasoantoinette80 ปีที่แล้ว +1

    Eee Mungu nikumbuke nami uniwokowe unishike mukono

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x ปีที่แล้ว +1

    Tumezarauliwa sana ila yupo musemaji wa mwisho 👏

  • @MasaiTanzania-c3x
    @MasaiTanzania-c3x ปีที่แล้ว +1

    ameeeeeeeeen

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 ปีที่แล้ว +5

    Amen Ameeeen, Mungu ni mwema kila wakati, na tena ni mwaminifu, tukisimama naye vizuri anatenda. 🙏🙏

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 ปีที่แล้ว +1

    Mung u atusamee tuaje thambi 😇😇😇😇❤❤❤

  • @sanillah7093
    @sanillah7093 ปีที่แล้ว +1

    Asante nashukululu

  • @merymarwa2253
    @merymarwa2253 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa mafundisho mazur 🙏🙏

  • @OmanOman-yn2zj
    @OmanOman-yn2zj ปีที่แล้ว +5

    Ameeen ameeen and ameeen 🙏🙏🙏 😢😢EE MUNGU naomba nisaidie nijuwe zaidi njia ya okovu wako ❤❤ MUNGU AKUBARIKI MNO MTUMISHI.🙏🙏🙏🙏

  • @anesansibert2968
    @anesansibert2968 ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa sana

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 3 หลายเดือนก่อน

    Ameni ni mengi ambayo nimekosea kwa wanadamu na kwa MUNGU OLE WANGU MM ASANTE KWA UJUMBE MZURI

  • @AnnOpondo-tf3uf
    @AnnOpondo-tf3uf ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mazuri , yameninguza mahali naomba toba kwa mola

  • @barikimatbishi4193
    @barikimatbishi4193 ปีที่แล้ว +1

  • @OresterKaguo
    @OresterKaguo 5 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi hata mimi baada ya kuumwa sana nilienda kwa doctor wa miti shamba lakin nilichokiona kule Mungu anisamehe ule ni uganga harasi mpaka nikajuta sana kuwa haya yote ni ugonjwa na maumivu makali mpaka nilipokosea roho iliniuma sana imani ikaanza kushuka mpaka sasa kuomba imekuwa shida kwangu

  • @Akinyisafi
    @Akinyisafi ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen 🙏 🙌 MUNGU NISAIDIE 🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️

  • @yonamwakyusa
    @yonamwakyusa ปีที่แล้ว +2

    Zaburi'103:3:14 >2nyakati:7:14:15 Yoel:2:12:19 matendo:2:37:39 sio na tetea dhambia bali naweka somo vizuri kiujumla dhambi ni mbaya na kama isipotubiwa huleta madhara makukubwa lakini Bwana Yesu alikusamehe na wewe ukidhamuria moyoni kutokutenda maovu wala dhambi tena basi ujue hakuna kinachobakia kwako Bwana Yesu huondoa vyote kikubwa tusirudie dhambi pia fuliza kutenda mema baada yakusamehewa nawewe pia samehe wengine

  • @AnastaziaVicentMatogoro
    @AnastaziaVicentMatogoro ปีที่แล้ว +1

    Amen nikweli kabisa

  • @emilypatrick5509
    @emilypatrick5509 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen 🙏🙏MUNGU naomba ROHO ya upendano ikae ndani yangu nifanye mapenzi yako

  • @LovenessLucas-tc9eo
    @LovenessLucas-tc9eo ปีที่แล้ว +1

    Amen Dady, MUNGU hadhihakiwi ee MUNGU nirehemu.

  • @liddydeSalt4773
    @liddydeSalt4773 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🎉and Amen 🙏

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 ปีที่แล้ว +1

    Emeeeen Asante sana mtumishi nimependa hayo mahubiri

  • @aminakesi3740
    @aminakesi3740 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen.mungu tusaidie ukatuepushe Na uovu,maana binadamu hatuko kamili Ila ww tu baba wambinguni.

  • @dorothychilembo-py7bo
    @dorothychilembo-py7bo ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumishi Asante kwa somo zuri mengi sikuyajua🙏

  • @pilishabani6928
    @pilishabani6928 ปีที่แล้ว +2

    Amen barikiwa Mtumishi wa mungu kwakuendelea kutufunza neno la mungu ❤️❤️🙏

  • @DianaDiaaa-w9o
    @DianaDiaaa-w9o ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️👍👍

  • @mweshmwesh1841
    @mweshmwesh1841 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE KWA MAFUDISHO MAZURI MAY GOD BLESS YOU 🙏🙏

  • @jenniferpallangyo6123
    @jenniferpallangyo6123 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen ameen

  • @Jastus100
    @Jastus100 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi tunalipaje tena gharama wakat Mungu anasema akisamehe anasahau kabisa tunawakuwa watoto wake sasa hizo gharama tena zinakujaje/ au usipoomba msamaha ndo utalipa?
    Naomba kueleweshwa hapo

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  ปีที่แล้ว +1

      kama hujapata msamaha, hujaomba msamaha..lakini pia kuna mavuno mengine utayapata tu kutokana na tabia zetu, mfano unashiriki mahusiano kabla na ukipata ujauzito au magonjwa ni lazima japo Mungu atakuwa amekusamehe ila kuna vitu utavuna tu

    • @Jastus100
      @Jastus100 ปีที่แล้ว

      @@sirizabiblia5276 ahsante nimeelewa

  • @marykisiangani2470
    @marykisiangani2470 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @WilliamNamende-pc9ku
    @WilliamNamende-pc9ku ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @shanihamisi4215
    @shanihamisi4215 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🙏

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @vanmohd9614
    @vanmohd9614 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @SoosanOman
    @SoosanOman หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @jacklinemusau4744
    @jacklinemusau4744 ปีที่แล้ว +1

    Amen

    • @rasheliediwelo6232
      @rasheliediwelo6232 ปีที่แล้ว +1

      Amen MUNGU anisaidie kushinda na kulinda kile nilicho pewa

  • @Lya-pl3vk
    @Lya-pl3vk ปีที่แล้ว

    Amen amen