nabarikiwa sana na mafundisho haya pastor ni somo kubwa kwa kila mwanafamilia hasa wakristo wanao mpenda MUNGU I WISH TO MEET ONE DAY WITH YOU I HAVE A LOT TO LEARN
Pastor nifanyeje nikupate face to face?yaani mungu kakuumba jamani nakakupea akili yote pia mimi naomba nipate ata kipande moja,Mungu awe nawe dear pastor
tangia nimeanza kukusikiliza hakuna sikuumehubiri tafauti na maisha yangu ilaleo imenigusazaidi mana nilikua na mawazo sana mpaka nilifikia hatua yakukimbia nyumbani kwangu
Mchungaj ubarikiwe sana ilaa naomba namba yako naitaj unishauri na ninaitaj msaada wako najua mbal na kuhubir we ni mshaur, tafadhal nipatie nambaa yako
Asante kwa somo makini.wengi wetu tumezama kwenye ndoa
nabarikiwa sana na mafundisho haya pastor ni somo kubwa kwa kila mwanafamilia hasa wakristo wanao mpenda MUNGU I WISH TO MEET ONE DAY WITH YOU I HAVE A LOT TO LEARN
Mungu akubariki sana
Nakukubali na Mungu aendelee kukutumia swsw na mapenzi yake jina la Bwana libarikiwe
Mungu akubariki baba mchungaji kwa Kungu nishawishi
Asante sana mwalimu
Nimependa sana ili somo Bwana akubarki sana
Naomba muendelezo wa somo hili mchungaji
Mchungaji naomba nipatie ushauri. Lakini sijui nitakupata mkoagani katika sabato ya tarehe 30. Nahitaji kukuona.
njoo instagram andika pastor david mmbaga
Barikiwa sana
Weee, Mbaga, yaani wewe noma jamani, yaani umeniacha hoi.
MUNGU akuongezeye kbs
Sema kile ambaco baba amekupa ndowa zipone
Amina
Unaendelea kuponya ndoa pasor barikiwa
Amina
kwelii hapo umegusa penyewe kk
Amen
Sifa na utukufu unayeye aliye juu
amina
Pastor nifanyeje nikupate face to face?yaani mungu kakuumba jamani nakakupea akili yote pia mimi naomba nipate ata kipande moja,Mungu awe nawe dear pastor
Judith Cheroto Mungu atukuzwe. Uko wapi
The Gospel kenya but naishi Dubai
Yaani somo hiyo lina nifundsha sana mambo zaidi ya sana mungu hakubaraki sana
tangia nimeanza kukusikiliza hakuna sikuumehubiri tafauti na maisha yangu ilaleo imenigusazaidi mana nilikua na mawazo sana mpaka nilifikia hatua yakukimbia nyumbani kwangu
Mchungaj ubarikiwe sana ilaa naomba namba yako naitaj unishauri na ninaitaj msaada wako najua mbal na kuhubir we ni mshaur, tafadhal nipatie nambaa yako
Joseph Shiduki seni Karibu Instagram andika pastor david mmbaga
@@thegospel17 asante sanaa ntafurah kupataa msaada
pastor mmbaga mungu akubariki sana sababu y hii neno.
Amen