AJALI YAUA WATU 11 TANGA, KAMANDA ASIMULIA "TUNAMSAKA DEREVA ALIYESABABISHA AJALI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @DianaMush
    @DianaMush 13 วันที่ผ่านมา +2

    Nlivyoskia ignatusi pita shayo naisi kusisimka jamani

  • @VictorKivuyo
    @VictorKivuyo 13 วันที่ผ่านมา

    DUU POLENI SANA SANA KWA WAFIWA WOTE, POLE MKUU WA MKOA MH, BATILDA BURIANI,, EEEEEMUNGU ZILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI🙏 AMEEEEEEEN, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 12 วันที่ผ่านมา

    Ignatus Pumzika kwa aman ndugu yangu

  • @barutiboniphace4335
    @barutiboniphace4335 13 วันที่ผ่านมา +1

    ✖️☠️☠️Barabarani ni hatari hasa nyakati za usiku usishangae barabarani ata gari yako ikipata brakedown haraka 🏃‍♀🏃‍♀sana weka alama⚠️⚠️ kuashilia tatizo harafu ondoka barabarani na kama kuna mtu kwenye gari mtoe coz usipo fanya hivyo itakuja gari ingine kuwasomba hapo. Na ajali.kama.hizi ni nyingi sana hazina tofauti na ajali za magari ya mafuta kuwaka moto watu wakiwa wanaiba mafuta. Kaa mbali na gari iliyo pata ajali coz sifa ya highway ni magari kukimbia🚛🚛🛣Usichukue ata dakika moja kubaki eneo la tukio mbaka ukihakikisha alama za tahadhali zimewekwa na magari yamesimama🔴

  • @AlexMkwama
    @AlexMkwama 13 วันที่ผ่านมา

    Mungu ponya majeruhi

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN 13 วันที่ผ่านมา

    POLENI SANA NDUGU zangu

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 13 วันที่ผ่านมา

    inalihi wainailaihi rajiuni 😭💔

  • @LuluAquai
    @LuluAquai 14 วันที่ผ่านมา

    Inna lillahi wainna ilaihi raajiun

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 13 วันที่ผ่านมา +1

    BARABARA NYEMBAMBA

    • @MUSSA-r8j
      @MUSSA-r8j 13 วันที่ผ่านมา

      kweli barabara ni nyembamba

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 13 วันที่ผ่านมา

      @MUSSA-r8j mussa mimi kk nipo south wenzetu balabala Pana alafu wanasem kwamba Gali ikialibika kunasem unapaki Ata wiki uwezi kusikia Gali nyengine imekugonga wala kupotea njia na kunasem unalusiwa kuwovateki bilashaka sisi tanzania tunajinyima balabala kwasabau vyongozi awatumii balabala au akitumia vig,olavigi sana awezi kujuwa tatizo lipo wapi

  • @Masekohope
    @Masekohope 13 วันที่ผ่านมา

    Shida ni police kwanini magari anakimbia nyinyi munakuwa wapi?

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 13 วันที่ผ่านมา

      @@Masekohope sio police balabala nyembamba na amna balabala lizevu tatizo ndio ilo deleva ana tatizo Sema kwatanzania anakwenda jela ungekuwa na Namba yangu ngekuwonyesha balabala za wenzetu ungeona mimi nipo south apa usikii upumbavu kama uwo wanao fanya selekali kuhuwa watu kilasiku