MZEE MAGOMA Apandisha mashetani baada ya KUSHINDWA KESI TENA/ Auwasha Moto NAENDA FIFA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe TH-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

ความคิดเห็น • 103

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 6 วันที่ผ่านมา +2

    Amtowe nani kwenye Reli fala huyo magoma Chizy waheed njaa kali.

  • @saidhamad3313
    @saidhamad3313 วันที่ผ่านมา

    Watu wa namna hii wapo kila Mahali.

  • @paulmasunga1754
    @paulmasunga1754 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kama Rungu linakuja linaanzia kwako Mzee wangu😂😂😂

  • @ramadhanikuchuna5410
    @ramadhanikuchuna5410 4 วันที่ผ่านมา

    Kwendra kule nenda sasa mbona maneno mengi?

  • @etufaniakahemela5879
    @etufaniakahemela5879 6 วันที่ผ่านมา

    Umeshakwama mzee magoma

  • @TumbweneLwesya
    @TumbweneLwesya 7 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee unafilisika akili na kiuchumi ila asiefunzwa na mzazi ufunzwa na dunia ko subilia uone

    • @maarifatv4160
      @maarifatv4160 7 วันที่ผ่านมา

      Ww kijana wa hovyooo kbsa, acha muhemuko kijana tafakar vizuri,, hakna kitu kinachtokea bila sababu,jingaaa ww

    • @ErnestJosephat
      @ErnestJosephat 6 วันที่ผ่านมา

      @@maarifatv4160 Wewe na akili zako unamuona huyu mzee yuko sawa!?Mzee njaa inamtesa !!wewe umejibu kuleta usimba hapa!!SUBIRIENI MUONE MZEE ANAKOKWENDA!!SHIDA MNAMUACHA MFUATENI MUE PAMOJA

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mzee Yupo Tayari Kuuza Ng'ombe Kwa Kesi Ya Kuku.🤣😱😱😱

  • @RajabuSikabwe-rp1lj
    @RajabuSikabwe-rp1lj 6 วันที่ผ่านมา

    Karibu ufe

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 5 วันที่ผ่านมา

    Hivi mwenye Mzazi wake siaongee nae huyu

  • @user-gn8vu3tb4h
    @user-gn8vu3tb4h 6 วันที่ผ่านมา

    Ulitaka azizi aondoke?

  • @amosynyarosa5077
    @amosynyarosa5077 7 วันที่ผ่านมา +2

    Nenda kalime , kwani wewe nani

  • @dicksonbenedict9005
    @dicksonbenedict9005 5 วันที่ผ่านมา

    Waandishi wa siku hizi 😂😂😂😂😂

  • @Kusag-i9z
    @Kusag-i9z 4 วันที่ผ่านมา

    Tukiwa na watu kama hawa wenye akili sio watu njaaa

  • @ladislausriwa7768
    @ladislausriwa7768 7 วันที่ผ่านมา

    Chizi kweli. Wewe una haki ya kufungua kesi ukijibiwa waliokujibu wamekosea wafungiwe na CAS

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 4 วันที่ผ่านมา

    Waacheni waende wahuni wakubwa hawa . Hawa ni matapeli wa mjini na dili lao limebumbuluka. Lengo lao ilikuwa wabembelezwe kwa maokoto sasa wamekutana na watoto wa mjini na wamemtolea nje.

  • @user-eq6fk5hw4p
    @user-eq6fk5hw4p 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee hayuko sawa anachanganya mchrli

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 5 วันที่ผ่านมา

    Tutafute Hela tusipate aibu uzeeni kama huyu mzeee kinachosumbua ni hela

  • @user-dn1lm4gb7m
    @user-dn1lm4gb7m 6 วันที่ผ่านมา

    Mtu mmoja mjinga tu

  • @joaquimmasengwa1283
    @joaquimmasengwa1283 7 วันที่ผ่านมา +1

    Ama kweli huyu ni mgonjwa wa akili!!

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 5 วันที่ผ่านมา

    Saf san mzee wet

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 5 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni pasua kichwa

  • @AnnoyedDove-oo3kk
    @AnnoyedDove-oo3kk 6 วันที่ผ่านมา

    Nenda fifa mzee ndo watajua

  • @papaaNdama
    @papaaNdama 6 วันที่ผ่านมา

    Ulishindwa kuutumia vyema ujana wako sasa umekwama uzeeni unahaha kacheze unakochezaga msengelema mmomoja

  • @faqueabdala4099
    @faqueabdala4099 7 วันที่ผ่านมา

    Umeyatimba Mzee Magoma

  • @khalifasultan2677
    @khalifasultan2677 6 วันที่ผ่านมา

    NJAA KAAALII!!

  • @ALLYBULULA
    @ALLYBULULA 6 วันที่ผ่านมา

    Cjajua kama hawa waandishi wana uweled unapomuuliza tathmin magoma yy nikocha au mwanachama?

  • @saidhamad3313
    @saidhamad3313 วันที่ผ่านมา

    Watoto mkemeeni baba yenu.

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 6 วันที่ผ่านมา

    SERIKALI IINGILIE KATI,ANATAKA TANZANIA IFUNGIWE KAMA NCHI

  • @papaaNdama
    @papaaNdama 6 วันที่ผ่านมา

    Kama unajeuri hiyo kashitaki wewe msengelema mmoja unataka ukae mezank na nani hiyo meza kakae mwenyewe yanga haiwezi kukakaa na mtu ambae anausingizi hajanawa hata uso

  • @cuthbertzillale6136
    @cuthbertzillale6136 7 วันที่ผ่านมา

    Nenda ofisini pale yanga kaite waandishi wa habari mbona unaongelea porini huko mzee wangu...

  • @jacobnyosole1774
    @jacobnyosole1774 7 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa hawa wazee wawatunze wazee wao , njaa mbaya sana

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 7 วันที่ผ่านมา

    Yamewafika shingo😂😂😂😂😂😂😂

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 7 วันที่ผ่านมา

    We semaa mpaka litakukuta jambo hao unaowaelezea hakuna wa kukusaidia kama mahakama wameisha toa uamuzi hunalakufanya we huwajui vizuri mawakili ngoja wakutie pacha utie akili

  • @youngyayoo2805
    @youngyayoo2805 7 วันที่ผ่านมา

    Sisi Wana Yanga tuko nyuma yako mzee,hadi wakupe timu,kama bwai bwai

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kichaa uanza polepole kama hivi😂

  • @EdwardPaul-bd2fx
    @EdwardPaul-bd2fx 6 วันที่ผ่านมา

    Mzee nenda kalime mbaazi

  • @josephchuwa1206
    @josephchuwa1206 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mzee kurjuan imemrudia mwenyewe😂😂😂bado hajasema

  • @DesertTears
    @DesertTears 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa wazee ni wachawi 😂😂😂😂

  • @user-fr2op2ss6v
    @user-fr2op2ss6v 6 วันที่ผ่านมา

    mzungumze na nani ninyi njaa kali?

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 6 วันที่ผ่านมา

    HIVI waandishi mnakuwa na ELIMU GANI MAANA MASWALI YENU HAYAENDANI NA HATA MTU ALIYE NA ELIMU YA NGAZI YA CHETI ?

  • @Vedsastomutalemwa1980
    @Vedsastomutalemwa1980 7 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo magoma kinachokuuma ni kubaki au

  • @user-gn8vu3tb4h
    @user-gn8vu3tb4h 6 วันที่ผ่านมา

    Magomaa huna nguvu huna hela huna akili ukizeeka maarifa yanapungua kafungue kilinge maisha yaende usitumwe kibwege

  • @ramadhanimrungu5806
    @ramadhanimrungu5806 4 วันที่ผ่านมา

    Ili zee njaa itamponza

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 7 วันที่ผ่านมา

    We mzee unafikiri kila mwanachama akija na madai yake kitakuwa nini??

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 7 วันที่ผ่านมา

    Tutakusaidia kukulipia mwanasheria mwengine ili wasaidiane wenzako wana wanasheria 6 tunaomba jibu kutoka kwako

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 7 วันที่ผ่านมา

    Mkae na nani? ile million 70 iwe ni million 140

  • @Vedsastomutalemwa1980
    @Vedsastomutalemwa1980 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli njaa haina baunsa Kama uselemara umekushinda kalime

  • @SelemaniMarko
    @SelemaniMarko 6 วันที่ผ่านมา

    Tatizo munanuka mdomo akuna mutakaeongea nae

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 7 วันที่ผ่านมา

    Nani akae azungumze na wehu!, bado kesi moja ya kugushi!.

  • @amosidamian7273
    @amosidamian7273 7 วันที่ผ่านมา

    Cas hivi anaenda mchezaji ambae anachezea yanga na magoma nimchezaji

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 6 วันที่ผ่านมา

    Kurjuan imeshakuramba kalipe milioni 75

  • @ramadhanseif4178
    @ramadhanseif4178 6 วันที่ผ่านมา

    Ww mzee unamtihani ww kwenye maasha yako

  • @Kibudu
    @Kibudu 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu bora afungwe jela japo mwezi tu

  • @AshaMwamba-g3l
    @AshaMwamba-g3l 7 วันที่ผ่านมา

    Uyu baba nimjasiri

  • @kibiritizuberi9361
    @kibiritizuberi9361 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee chizi huyo

  • @ErnestJosephat
    @ErnestJosephat 6 วันที่ผ่านมา

    MWAIPOPO UNAONGELEA MGONGONI MWA MWENZIO TUTAWANYOOSHA😂😂😂

  • @abubakarsaid3860
    @abubakarsaid3860 7 วันที่ผ่านมา

    njaa mbaya sana angalia wazee wanaoidai yanga walivyo ahaaa,hatari wamechezea ujana uzeeni wanasumbua watu

  • @jamessimba749
    @jamessimba749 7 วันที่ผ่านมา

    Wanaohoji akili ndogo sana kuhoji mambo ya msingi

  • @KhamissMchaa
    @KhamissMchaa 7 วันที่ผ่านมา

    Wew mzee unataka kupotee acha hio kitu

  • @PaulTango-he8qo
    @PaulTango-he8qo 7 วันที่ผ่านมา

    Nyie bado mnajitia mnajua asa acha mfundishwe nn maana ya taasisi saiv mnajishusha akat timu ishatumia hela ngoja mfunzwe

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 6 วันที่ผ่านมา

    Hivi magoma unataka nini hasa 😂

  • @barakamwakapimba2826
    @barakamwakapimba2826 7 วันที่ผ่านมา

    Kafie mbele

  • @Vedsastomutalemwa1980
    @Vedsastomutalemwa1980 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee amelewa hana jipya

  • @admirabisikiduduye1516
    @admirabisikiduduye1516 7 วันที่ผ่านมา

    Akapigengomatu

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 7 วันที่ผ่านมา

    Hamna kukaa mezan nyie nenden FIFA rudishen kwanza gharama...Eti leo tukae million 70 si kitoto na hawa wawe funzo

  • @andrewmagelewanya5124
    @andrewmagelewanya5124 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee mwaipopo anaonekana hii kesi inampalia, hayupo sawa

  • @isihakambalawa
    @isihakambalawa 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂bado Kuna kesi nyingine inakusubir

  • @OMARYMBOGOOmmy
    @OMARYMBOGOOmmy 7 วันที่ผ่านมา

    Kule fifa utaenda kushikwa Tako ngoja uwone boya

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 6 วันที่ผ่านมา

    FIFA HAIPOKEI KESI TOKA KWA MTU AMBAYE SIO MWANACHAMA WA FIFA

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 7 วันที่ผ่านมา

    Sisi wana yanga tuko nyuma yako mzee magoma,wana yanga wote tunakusapoti

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂

  • @PaulTango-he8qo
    @PaulTango-he8qo 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee acha kutujaza mashabiki kwenye mfumo ww pambana na kesi upewe timu mengne aya tuachieni timu yetu atutakuelewa

  • @AshaMwamba-g3l
    @AshaMwamba-g3l 7 วันที่ผ่านมา

    Haaaaaaaaaw😅😅😅😅😅😅

  • @eddsonjeremiah6669
    @eddsonjeremiah6669 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee anakula skanka sana😂😂😂😂

    • @youngyayoo2805
      @youngyayoo2805 7 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 7 วันที่ผ่านมา

    Hapa sielewi mzee magoma lengo lako nini?unqdai unaipenda yanga huku unasema yanga wafungiwe tena unaongea kw furaha kabsa mze omba tu msamqha yaishe tu

  • @monicaogeno2993
    @monicaogeno2993 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu mzee kumaq

  • @mukhsinkiobya6289
    @mukhsinkiobya6289 6 วันที่ผ่านมา

    Mzee unapotea lugha ya kisheria ngumu, tafuta mwanasheria aliyenyooka akusaidie

  • @HASSANMKUYASALUM-wu4ey
    @HASSANMKUYASALUM-wu4ey 4 วันที่ผ่านมา

    WEWE MWENYEWE UNAUJUWA VYEMA UPUNBAVU WAKO GOGO LIMEKUGANDA HUCHOMOI
    UTALIPA MILIONI 75 JIELEWE WEWE MZEE OMBA RADHI HAO WAANDISHI MEISHO WAO NI MLANGONI NDANI KWAKO WEWE MWENYEWE UNAUJUWA VYEMA MPUNBAVU AMKA BADO MUDA UNAO BUSARA INAHITAJIKA

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 วันที่ผ่านมา

    Tukifungiwa yanga wewe uhame TANZANIA mbwa ,kumbe unatutishia kumbe we Mzee hutujui eti jaribu uone.mjukuu wa mwanamalundi

  • @RizikiMbembela-b6h
    @RizikiMbembela-b6h 7 วันที่ผ่านมา

    Wapumbavu ninyi wazee

  • @isihakambalawa
    @isihakambalawa 7 วันที่ผ่านมา

    Hawa wazee mazuzu kumbe

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 6 วันที่ผ่านมา

    HUYU MZEE MPELEKENI FIFA AFUNGIWE MILELE

  • @chikizamifupa5786
    @chikizamifupa5786 7 วันที่ผ่านมา

    Utafungwa wewe mzee na mwenzio. Yanga ni kubwa kuliko ninyi

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 6 วันที่ผ่านมา +1

    Waandishi wa siku hzi hata kuhoji mtu mtihani wanashindwa uliza maswali facts

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 7 วันที่ผ่านมา

    MZEE ANATAFUTA MWISHO MBAYA!

  • @user-fr2op2ss6v
    @user-fr2op2ss6v 6 วันที่ผ่านมา

    wee magoma ni.taahira una ugonjwa wa akili

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 7 วันที่ผ่านมา

    Utalia sikumoja magoma

  • @LucasKasanya
    @LucasKasanya 7 วันที่ผ่านมา

    Hv huyu mzeee anajielewa kwel

    • @mpwamtaa
      @mpwamtaa 7 วันที่ผ่านมา

      Wajinga pia wanazeeka

  • @papaaNdama
    @papaaNdama 6 วันที่ผ่านมา

    Umasikini unakusumbua wewe ni mtoto mdogo kuliko yanga sasa kama unataka kushindana na taasisi kubwa kama yanga endelea kupambana ukichoka utaweka makalio yako chini

  • @mpwamtaa
    @mpwamtaa 7 วันที่ผ่านมา +1

    Hata wajinga wanazeeka

  • @user-fr2op2ss6v
    @user-fr2op2ss6v 6 วันที่ผ่านมา

    wewe chonga mdomo tu, njaa itakupeleka pabaya wee mzee hiyo ni yanga ya.wasomi hakuna mbumbumbu kama wewe.

  • @hassankumba6938
    @hassankumba6938 7 วันที่ผ่านมา

    Ninyi mnaomhoji huyu mnampa kichwa. Hana lolote.
    Kisutu kashindwa. Mahakama Kuu kashindwa, Mahakama ya Rufaa atashindwa na FIFA atashindwa na Mkutano Mkuu, atafukuzwa Uanachama.

  • @saidhamad3313
    @saidhamad3313 วันที่ผ่านมา

    Umetuchosha wewe.

  • @EVALINAJames
    @EVALINAJames 7 วันที่ผ่านมา

    Mzee magoma upo sahihi

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona hujafika FIFA hadi sasa hivi magoma ni mbwa tu

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 7 วันที่ผ่านมา

    Mzeee mm Niko na wewe nenda fifa kule hakuna rushwa,hz mahakama zote ni rushwa tupu

  • @MosesKamba-tk3lp
    @MosesKamba-tk3lp 4 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi anaoji utumbo,unaoji unazi