75% WAMERPOTI SHULE KATA YA KELEMA MAZIWANI WILAYANI CHEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ม.ค. 2024
  • Kaimu Afisa Elimu Mkoa Mwl.Jane Mangowi amesema hali ya mahudhurio ya wanafuzi Shuleni na uandikishaji wa wanafunzi awali katika muhula mpya wa masomo kwa Kata Kelema Maziwani na Mrijo unaridhisha ambao umefika asilimia 75 hivyo amewahimiza wazazi na walezi kuwapeleka Shule

ความคิดเห็น •