Wajumbe wakubali Wilaya ya Nyamagana ibadilishwe jina, kuongeza Tarafa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Unaweza kufuatilia habari kupitia mitandao ya BMG Media
Tovuti www.bmgblog.co...
Facebook / bmghabari
Twitter/ X / bmghabari
Instagram / bmghabari
#BMGOnlineTV #BMGMedia #BMGOnlineMedia
BMG Media +255 757 43 26 94 Pamoja Daima!
Badala ya kujadili wapi paitwe nini na habari za migawanyo ya maeneo, jadilini mambo yatakayoboresha maisha yetu wananchi.
@@dennisbarongo2411 safi, unatoa ushauri gani mdau?
Hata wewe unaweza kujadli maendeleo, kajiunge
Whether tarafa moja au tatu na kubadili Jina haitakuwa na maana kama barabara za nyamagana hazitakuwa nzuri. Wenzetu ilemela ndo mwanza. Na ningeshauri ilemela ndo iwe mwanza kwa Jina kuliko nyamagana
@@zakarialuhemeja444 hahahaaa unaishia Ilemela ama unafanya kazi Nyamagana na kulala Ilemela?
Shinikizeni Serikali ijenge Barabara ya Kenyata kwa njia nne, na pale Nata Papanuliwe na ijenge fly over. Mabus ya Allys, Nyehunge na waote wanaopaki pale waondoke ijengwe stand ndogo ya Natta. Ndoto za Magu hizo
@@geey7893 soon ujenzi unaanza
@BMGOnlineTV Soon wapi mzee, hii awamu siasa nyingi tukubali tu. Hapo Natta na hiyo barabara ya Pamba mpk Buhongwa imekuwa keroo. Serikali ipo tu inaangalia. Jiji la Mwanza limekuwa bila kupanua miundombinu ya Barabara tutakosa credibility. Niko Zanzibar lakin nmejenga Kisesa ndyo kwngu
Kuna tatizo gani na jina Nyamagana?
Kikubwa hapa ianzishwe manispaa nyingine kama ilivyopendekezwa wakati wa serikali ya awamu ya 5.
Kuna hoja wametaja kwenye video
Nyamagana hakuna maji ya uhakika maeneo mengi sana hasa buhongwa,mkolani n.k
Nyamagana haina barabara za hadhi kuanzia barabara kuu mpaka barabara za mitaa
Kiukweli Ilemela iko mbele sana upande wa maendeleo ya miundombinu ambavyo ndio vinamuathiri mtanzania wa kawaida moja kwa moja.
@@emjay1016 tuwashauri Nyamagana (Jiji) wafanye nini wawe kama Ilemela (Manispaa).
@BMGOnlineTV wafanye wanayotakiwa kufanya yenye tija kwa wananchi,haya mambo ya kujadili majina ya maeneo,ni ujinga wa hali ya juu,
@emjay1016 sawa
Pale nyegezi stand ticket ya kiingilio msukuma anauziwa akiingia mgambo anazikusanya zinauzwa Tena....alaf mtSema mapato hakuna
@@jeremiaaugustino7187 hili linafanyiwa kazi na uongozi wa Halmashauri
@@BMGOnlineTV ntashukuru...linauma sana...naangaliaga sana....waweke Kila kitu electronic pale
Yani badala wawaze wanajengaje barabara...maji yawe Kila sehemu...wanapoteza muda na majina ngoja TRUMP asikie hizi aibu
@@jeremiaaugustino7187 hahahaaa Trump tena
Kwa masirai ya kisiasa nisawa kabisa
@@frankcharles4130 hahaaaa
Uchawa mtupu
@@kiumbesambo6958 kwa nani?
Nenda kwenye hoja ya msingi. Kusema uchawa ndo nn