NEEMA GEORGE -SAFARI (Official 4K Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @MkingireOposs
    @MkingireOposs ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda sana dada neema unaimba vizur

  • @EmmanuelMasalu-gt7vh
    @EmmanuelMasalu-gt7vh 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukutunza Dada neema unanibariki sana binti wa kuhani mussa

  • @deboraagrey2390
    @deboraagrey2390 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera San kipnz chang ney wa my stutus mbarikiwa mungu akutunze daim dereva YESU akawe ndie dereva wa maisha yote ameni ❤❤💯🙏🙏🙏

  • @masawamwikwabe7005
    @masawamwikwabe7005 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sanaa hakina mungu ni mwemaa nyimbo zako hakina zimejaa upako wa yesu

  • @robertmwita6570
    @robertmwita6570 ปีที่แล้ว +1

    Hakika tutafika salama,Kama Dereva atakua Yesu.

  • @watendekambi
    @watendekambi ปีที่แล้ว +1

    Bwana yesu atukuzwe nzur sana ❤❤

  • @gishigrace97
    @gishigrace97 2 หลายเดือนก่อน

    Amen ney May Almighty God take to the highest position.

  • @emmakilawekilawe1141
    @emmakilawekilawe1141 ปีที่แล้ว +1

    Neema mungu akupe maisha marefu na nyimbo nzuri sana

  • @nadhifamrisho5582
    @nadhifamrisho5582 2 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana yesu azidi kukuza kipaji chako

  • @MaryamFrank-l8m
    @MaryamFrank-l8m ปีที่แล้ว +1

    Kazi nnzuri sana dada angu

  • @emmakilawekilawe1141
    @emmakilawekilawe1141 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli tumtegemee mungu tutafika salama

  • @Happy-y2r3q
    @Happy-y2r3q หลายเดือนก่อน

    Hongera mungu akuzidishie uimbaji wako kufika mbali uko vzr

  • @rahmakikoti
    @rahmakikoti 11 หลายเดือนก่อน

    Hongera saaaaaana hii nyimbo nzuri saaaana

  • @cosmaswilliam2042
    @cosmaswilliam2042 2 ปีที่แล้ว

    Hongera xana mtumishi wa Mungu
    Katika jicho la 3
    Nakuona dunia nyingine
    Ni suala la muda tu

  • @julianajaphet8864
    @julianajaphet8864 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Dereva ni Yesu... Tutafika salama... Hongera kwa wimbo mzuri sana Neema binti wa ngome ya Yesu....

  • @evelynechuwa5832
    @evelynechuwa5832 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana Da Ney hakika Yesu ni Dereva wetu wimbo mzuri sana

  • @rahabuhelmesy2101
    @rahabuhelmesy2101 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaaa nakupenda san mungu akubaliki wwe na family yko awakumbuk daimaa 🙏🙏💕

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeupata kwa wakati ambao nadhani ni sahihi kwakuwa moyo wangu umechoka sana,naona ugumu sana, jamani MUNGU simama unitetee

  • @emmynyama3471
    @emmynyama3471 10 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana kweli dereva yesu

  • @BenithaDominick-mi9lf
    @BenithaDominick-mi9lf ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kuinuwa huduma yako neema

  • @edithmwansasu4186
    @edithmwansasu4186 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKUZIDSHIE NEEMA UPO JUU SANA NA UTAFIKA MBALI SNA

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 ปีที่แล้ว +1

    Hii ngoma nimeikubali vibaya sana…

  • @FelistaliandaFelistalianda
    @FelistaliandaFelistalianda 8 หลายเดือนก่อน

    Hongela sana mungu akulinde wakatiwotee❤❤❤

  • @logoBoss-kd1yu
    @logoBoss-kd1yu 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe deleva no yesu

  • @ellnedewtz879
    @ellnedewtz879 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi zuri sana neema

  • @WardaKaddihan-lu1zd
    @WardaKaddihan-lu1zd 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤yesu kristo wa ngomeni akuinue my❤

  • @beatricebarbara3712
    @beatricebarbara3712 2 ปีที่แล้ว +2

    Congratulation bby yesu aendelee kuinua viwango vingine sweet eeh

  • @adamvicent6855
    @adamvicent6855 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥 waoooh kazi nzur sanaa mtumishi wa MUNGU ####dereva yesu hakika tutafika safar salama🙏🙏🙏

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri ndgu! Uzidi sana

  • @petertemba5976
    @petertemba5976 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana Mtumishi Wa MUNGU Tutavuka Tu Kwake Yeye Atupaye Kushinda!

  • @WardaKaddihan-lu1zd
    @WardaKaddihan-lu1zd 6 หลายเดือนก่อน

    Kristo wa mbinguni akusimamie my sister ❤️💝💖💗💜

  • @jimmykaaya387
    @jimmykaaya387 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo hatar snaaaa

  • @claragoodluck7923
    @claragoodluck7923 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kukuinua 🙏🙏

  • @hazelsoko1594
    @hazelsoko1594 2 ปีที่แล้ว

    Uinuliwe kwa viwango vya juu kuliko unavyofikiria Neema

  • @nyemomkota6290
    @nyemomkota6290 ปีที่แล้ว +1

    Ongera neema kwa uduma mama george jeshi la yesu

  • @speshoman833
    @speshoman833 ปีที่แล้ว

    WOW wimbo mzuri wakutiya moyo Sana balikiwa mtumishi ameen 👏👏👏

  • @ArodiaKashushuru
    @ArodiaKashushuru ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

  • @agnellamrope3704
    @agnellamrope3704 2 ปีที่แล้ว

    🥰😇nyimbo nzuri sana

  • @magrethwilliam1436
    @magrethwilliam1436 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dear, Mungu aongeze mafunuo zaidi katika huduma yako, Amen

  • @geraldkoshuma5840
    @geraldkoshuma5840 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo ni mzuri sana

  • @groriarichard8562
    @groriarichard8562 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongeraaaaaaaa Sana Mpenzi

  • @augustinemsengi5867
    @augustinemsengi5867 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen 🙏 Barikiwa mno Neema

  • @officialyustinauliza1305
    @officialyustinauliza1305 2 ปีที่แล้ว

    Unajua mungu azidi kukuinua

  • @rozaliamagige2109
    @rozaliamagige2109 2 ปีที่แล้ว

    Hakika tutafika salama
    Barikiwa

  • @sophiadouglas1713
    @sophiadouglas1713 2 ปีที่แล้ว +1

    Wooow nice song nyimbo nzuri San 🙏 ubarikiwe woman of God

  • @denispeter1520
    @denispeter1520 2 ปีที่แล้ว

    Kazi Nzuri sana Neema 😘

  • @beatricemapunda8801
    @beatricemapunda8801 ปีที่แล้ว

    Hongeraaa sanaaaa dada

  • @benedictamrema7637
    @benedictamrema7637 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up mtumishi... hongera sana sana .keep going

  • @allainmrema1071
    @allainmrema1071 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuinue

  • @brendaally5926
    @brendaally5926 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dear lazima tutafika tu

  • @praisestudio1218
    @praisestudio1218 2 ปีที่แล้ว

    Waooo hongera sana Neema I'm so proud of you, nice Song.
    Mungu akuinue zaidi, dumu katika unyenyevu na uaminifu.

  • @petermwalukama615
    @petermwalukama615 2 ปีที่แล้ว

    Wooow!
    Tufafika safari salama kwa Jina la Yesu Kristo Baada ya kuvuka kupitia Daraja la Jaribu .Nakukubal sana Kuhani wa Yesu Kristo
    Keep on blessings always 🙏 ✨

  • @ignosanderson4618
    @ignosanderson4618 2 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri sana nimependa

  • @ShakaJohn-ji2qz
    @ShakaJohn-ji2qz ปีที่แล้ว +1

    Nice my frnd the sng

  • @ajuwaeonesmo9493
    @ajuwaeonesmo9493 2 ปีที่แล้ว

    Safi dada kazi njema sana

  • @meshackdaudi5635
    @meshackdaudi5635 ปีที่แล้ว +1

    Tutashinda kwa yeye alie umba mbingu na nchi

  • @michaelmwedimage5515
    @michaelmwedimage5515 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana

  • @mariamathew9325
    @mariamathew9325 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzur

  • @nellyatieno6709
    @nellyatieno6709 2 ปีที่แล้ว

    Amen dereva yesu am blessed daughter.

  • @Estherbongo
    @Estherbongo 2 ปีที่แล้ว

    U no how much i love U my sister , YESU NI DEREVA MZURI KATIK MAISHA YETU UBARIKIWE SANA

  • @odaseston
    @odaseston 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana dear video nzuri

  • @rosenamtangi
    @rosenamtangi 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana my dear,
    Mungu azidi kukuinua,ninaamini tutafika Safari salama kwani dereva wetu Ni Yesu.

  • @aika3024
    @aika3024 2 หลายเดือนก่อน

    Nimeshindwa kkutambua, Yani mnavaa vile vitambaa hata cjakutambua😀

  • @officialyustinauliza1305
    @officialyustinauliza1305 2 ปีที่แล้ว

    Unaweza

  • @evanmutegoa3408
    @evanmutegoa3408 2 ปีที่แล้ว

    What a marvelous Hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿

  • @dausonmusic9174
    @dausonmusic9174 2 ปีที่แล้ว

    Yesu eeh

  • @rebecamwakakonyole6979
    @rebecamwakakonyole6979 ปีที่แล้ว

    Ongera Sana

  • @Danny_belteshaza
    @Danny_belteshaza 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @bigdadonlinetv3954
    @bigdadonlinetv3954 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri

  • @rukiajohn180
    @rukiajohn180 2 ปีที่แล้ว

    Stay blessed Neema..wimbo mzuri sana🥰🙏

  • @groriarichard8562
    @groriarichard8562 2 ปีที่แล้ว +1

    Waaaawoooooo Nzuli

  • @mussaandrew2083
    @mussaandrew2083 2 ปีที่แล้ว +1

    UBIRIKIWE SANA 👏👏👏

  • @LucyMkimala
    @LucyMkimala 4 หลายเดือนก่อน

    Glory to God 🙏

  • @barnabazawadi9433
    @barnabazawadi9433 ปีที่แล้ว +1

    You are awesome 👏

  • @marthaally7969
    @marthaally7969 2 ปีที่แล้ว

    Hongera mama

  • @victoriajacob4919
    @victoriajacob4919 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe

  • @mariamkilyenyi277
    @mariamkilyenyi277 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleluyahhhhhhhhh

  • @GeorgeRuisi
    @GeorgeRuisi หลายเดือนก่อน

    ❤ongera sana dda

  • @dreamswitch_creations4567
    @dreamswitch_creations4567 2 ปีที่แล้ว

    Utukufu juu yako

  • @christopherernest7817
    @christopherernest7817 2 ปีที่แล้ว

    You did it

  • @joshuabm
    @joshuabm 2 ปีที่แล้ว

    Hongera saana my sister

  • @florencemackenzi268
    @florencemackenzi268 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen dereva Yesu

  • @tekash6921
    @tekash6921 2 ปีที่แล้ว

    Umetish 🤩🤩

  • @EstherTriphon
    @EstherTriphon 7 หลายเดือนก่อน

    Aminaaaa

  • @FortunataErasmos
    @FortunataErasmos ปีที่แล้ว +1

    Mung ni mkuu sana naupenda sana huu wimbo ila nikitaka kuupata audio naletew audio tupu nifanyeje nipate audio ??

  • @bigdadonlinetv3954
    @bigdadonlinetv3954 2 ปีที่แล้ว

    Queen gospel Tanzania

  • @2012SporahVenance
    @2012SporahVenance 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @neemajoashtv6464
    @neemajoashtv6464 2 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @evanmutegoa3408
    @evanmutegoa3408 2 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joshuasitta293
    @joshuasitta293 2 ปีที่แล้ว +2

    Blessings song 🙌

  • @johnshayo8259
    @johnshayo8259 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina

    • @chagababy8679
      @chagababy8679 2 ปีที่แล้ว

      Hallelujah

    • @happysaid6560
      @happysaid6560 2 ปีที่แล้ว

      👏👏👏👏👏 MUNGU akufikishe mbali Zaid ile cku atakaporudi upate neema ya kwenda nae!

    • @cleitunylyoto7503
      @cleitunylyoto7503 2 ปีที่แล้ว

      Dereva yesu

  • @PapaaMasai-if2hj
    @PapaaMasai-if2hj ปีที่แล้ว +1

  • @rahabuhelmesy2101
    @rahabuhelmesy2101 2 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoj mdog wangu

  • @EmanuelTatay
    @EmanuelTatay 20 วันที่ผ่านมา

    👏👏👏🙏🙏🙏🙏

  • @clejo6273
    @clejo6273 2 ปีที่แล้ว +2

    Very awosome song 😊🙏

    • @rebekaomary5609
      @rebekaomary5609 ปีที่แล้ว

      Amina nea mapenda kusikia nyimbo zakoo

  • @Danny_belteshaza
    @Danny_belteshaza 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe umefika Mama mchungaji

  • @2012SporahVenance
    @2012SporahVenance 2 ปีที่แล้ว +2

    Nime subscribe tayari na ww pitia kwangu

  • @3danniel_
    @3danniel_ 2 ปีที่แล้ว +1

    Ebwanaweeeee chupa nanusuuuuu

  • @mchomembaruku9124
    @mchomembaruku9124 2 ปีที่แล้ว

    Good song

  • @katotokyando-b8k
    @katotokyando-b8k หลายเดือนก่อน

    😊😊😊