VIDEO HII INATISHA SANA KULIKO VIDEO ZOTE INAWEZEKANA UNA ABUDU MUNGU JUA ITAKUHARIBIA PASAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • VIDEO HII INATISHA SANA KULIKO VIDEO ZOTE INAWEZEKANA UNA ABUDU MUNGU JUA ITAKUHARIBIA PASAKA
    Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE www.youtube.com...

    FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
    / tricodmedia
    LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
    / tricod-skills-11524157...
    FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
    / tricodskills
    #Pasaka
    #upagani
    #freemason

ความคิดเห็น • 113

  • @nestoryjohn9425
    @nestoryjohn9425 4 ปีที่แล้ว +14

    Cha msingi mwamini Yesu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Na zaidi Mungu anaabudiwa kila siku

    • @peterobiri2509
      @peterobiri2509 3 ปีที่แล้ว

      Na Waislamu pia wapewe nafasi yao juu wote tuko pamoja katika Imani

  • @SimonLiwawa-u6w
    @SimonLiwawa-u6w 22 วันที่ผ่านมา

    Nikweli hawatuambii ukweli toa elimu baba,naomba like zangu

  • @gracejulius1914
    @gracejulius1914 4 ปีที่แล้ว +3

    Nyie wanadam mwogopeni Mungu jaman. Msimfanye Mungu mchomba yenu na kuongezeka chochote mnachojiskia. Jifunzeni kupitia Corona maana hapo tu panatosha kujua Mungu Ni nani

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 4 ปีที่แล้ว +10

    Kuna star inaitwa Corona kama umeona gonga hapa like.👇

    • @CaballeroTV
      @CaballeroTV 4 ปีที่แล้ว +1

      wameanza kitambo sana na haya madudu yao.... magonjwa biashara na imani za kichawi tu...ndio maana ni wachawi tu ndio wanaweza kukutupia ugonjwa kasoro Mkristo tu.

    • @alvinsafi2733
      @alvinsafi2733 4 ปีที่แล้ว +2

      @@CaballeroTV Kweli kabisa hii dunia iko Twisted sana..Kuna siri nyingi sana zilizo wazi na zilizo fichwa

  • @agnessima5033
    @agnessima5033 4 ปีที่แล้ว

    Yesu nakupenda Yesu nakutumainia!! Najivunia kuwa mkatoliki!!!!

  • @fredrenatus5355
    @fredrenatus5355 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu atusamehee maana haya mambo nimakubwa sana. Tumegeuka kuwa wafuasi wa mazehebu na cyo wafuasi wa yesu

  • @dominamukarutesi580
    @dominamukarutesi580 4 ปีที่แล้ว +2

    Endelea kutangaza ukweli big up sana

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 4 ปีที่แล้ว +9

    Wa kwanza kucoment japo inaogopesha wacha niendlee kuangalia

  • @peterobiri2509
    @peterobiri2509 3 ปีที่แล้ว

    You are right only when I hear speak of Mohamed and Issa.
    I love Muslims but am xtin. Hahaha..,. I love your documentary

  • @jogoogayo7104
    @jogoogayo7104 4 ปีที่แล้ว +1

    Safi una2pa mwangaza

  • @peterobiri2509
    @peterobiri2509 3 ปีที่แล้ว

    Marafiki🙏huyu jamaa ako na lengo tofauti please tusipigane

    • @peterobiri2509
      @peterobiri2509 3 ปีที่แล้ว

      Please am only listening to the word of God

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 4 ปีที่แล้ว +7

    Mzee umeeleza vitu vingi sana....hongera japo umepindisha pindisha vitu vingi umeficha......lakin ki ukweri kuhusu elimu ya kiroho yamefichwa kama ulivyosema na baadh ya wachache waliobahatika kuipata hiyo elimu leo hii wanaifaidi dunia... Kuna elimu ya namba hizi hizi namba ambazo ni 123...... watu wanazitumia vzuri sana na wanaelimu nazo mpaka raha ukikaa nao tatzo lililopo hapa watu wengi tumepunguziwa uwezo wa kufkri kupita hizi dini zetu na hata leo mtu umwambie dini flan ni taasisi ya watu atakuona kama chizi flan lakin ndio ukweri...angalia leo vitu vingi vimefichwa fichwa kwa hakri ya kawaida huwez kuona....point ni kujitambua tu baasi vingine vitakuja automatically

    • @Neymarjr2013
      @Neymarjr2013 4 ปีที่แล้ว +3

      Majabu kabisa

    • @mgenirasimi7771
      @mgenirasimi7771 4 ปีที่แล้ว +3

      @@Neymarjr2013 Na historia ya binadamu inaanzia pale misiri Luna sehem inaitwa Kermit land....na hao wenye uwezo wote unaowaona wanajifanya wanaiendesha dunia nguvu zao zote wameziiba Misiri..........mambo ni mengi

    • @piligeorge8278
      @piligeorge8278 4 ปีที่แล้ว +1

      Bila Chenga,tupe somo kaka

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaaaaa

    • @shigazuelias4896
      @shigazuelias4896 4 ปีที่แล้ว

      @@mgenirasimi7771 tujuze bro

  • @habibayahaya3012
    @habibayahaya3012 4 ปีที่แล้ว +4

    Hee mungu tuokoe wanao

  • @lesamuzaliwa1909
    @lesamuzaliwa1909 4 ปีที่แล้ว

    Hivi kweli hayo hunayo yassma ni Kweli. Yesu ni Mwana wa Mungu kubali husikubali

  • @afisakigongo2511
    @afisakigongo2511 4 ปีที่แล้ว +1

    Sioni rakutisha hapo ila ni ujinga mtupu watu nyie amna heshima ndo maana mnaturetea matatizi dunian Mungu awasamehe kwa ujinga wenu ndo maana arijificha.

  • @kanaanieunicerobert8742
    @kanaanieunicerobert8742 3 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo sema Watu wanasema mungu yupo

  • @simonjohn2784
    @simonjohn2784 3 ปีที่แล้ว

    Yesu sio mzungu

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmh!kweli inatisha sana!tumefumbwa mno!ni watu wachache ndo wanimiliki dunia kiroho,jamani inahuzunusha sana,lkn naamini ipo siku !

  • @tygatograww3817
    @tygatograww3817 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini waabudu jua kuna wengine wanaabudu sanamu kuna wengine wanaabudu moto kuna wengine wanaabudu sheitwani hebu waache ujinga kabisa wamwabudu mungu mungu ndiye anayetukumbusha vitu vingi sheitwani mshenzi kazi kusahaulisha watu akili anataka kuwapeleka motoni tungekuwa binadamu tungekuwa tumesamehewa dhambi lingeenda motoni peke yake

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 ปีที่แล้ว +1

      Juma Juma: umesahau kutaja na wanaoabudu jiwe jeusi

  • @fortunataangelo5575
    @fortunataangelo5575 4 ปีที่แล้ว +5

    Kitu tunajua wakatoliki Yesu ndio jua la haki,, maana amesema , yeye ni NURU ya ulimwengu

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 4 ปีที่แล้ว

      Hawa jamaa kila siku kutukandia wa Roman catholic, ila jua mti wenye matunda ndo hupigwa mawe. Wakati Biblia iko wazi kabisa

  • @cosmasymaseko4153
    @cosmasymaseko4153 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa na kumuabudu mwenyez munguu

  • @mustafayahyarunigangwakani6037
    @mustafayahyarunigangwakani6037 4 ปีที่แล้ว +1

    amani ya Mungu iwe nanyi!!!hakika hili ni channel yangu ya kwanza kwa mambo ya kiroho !! nawakubari sana!! ila jose nakushauri njoo umsome yesu ( isaa) kwenye waisilamu hakika utajifunza kitu kizuri sana!! kuanzia kuzaliwa hadi kupaishwa mbinguni!! kwani sisi( waislamu) tunaamini hakusurubiwa wala hakuuawa!!! na atarudi kupambana na mpinga kristo!!! karibusana!!! najivunia kuwa mwafrika najivunia kuwa muislamu!! asante!!!

    • @erastomasaba4154
      @erastomasaba4154 4 ปีที่แล้ว

      Wewe kasome vizuri Quran huijui sasa tutajifunza nini wakati uislamu ni ucatholic waliompa Mohammad utume ni wacatholic

    • @mustafayahyarunigangwakani6037
      @mustafayahyarunigangwakani6037 4 ปีที่แล้ว +2

      khabari ndugu!! nifahamishe!! ukatoliki uko sehemu gani kwenye quran tukufu!!!? punguza jaziba!!! mambo ya kiimani hayataki hasira!!! ni vyema kijifunza!!! huenda mmoja kati ya mimi na wewe mmoja wetu yuko kwenye upotofu!!!

    • @norbertlilungulu5018
      @norbertlilungulu5018 4 ปีที่แล้ว

      Mafundisho ya kiyaudi yamewapotosha

    • @norbertlilungulu5018
      @norbertlilungulu5018 4 ปีที่แล้ว

      @@mustafayahyarunigangwakani6037 wayaudi ndio wamepotosha kuogopa kufeli kama walivyofeli. Juu ya ufufuko wa yesu na mateso yake alishasema mwenyewe! Kasome luka

    • @millionairejeffreysunofbez3766
      @millionairejeffreysunofbez3766 4 ปีที่แล้ว

      Naomba kujua kwanini mpinga kristo.. na sio mpinga Mungu..? Yesu kristo yy km nani..??

  • @jophmarley3007
    @jophmarley3007 4 ปีที่แล้ว +1

    Watu wachache wenye mamlaka wanatuchezea kiimaniii 100% Ndio maana Rais wetu corona ilivyoingia akakumbuka Nyumbanii kabisa nina imani alidumisha mila Mpaka sasa hakuna cha wagonjwa wala nn

  • @reginaldswai2611
    @reginaldswai2611 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂 upuuzi huu

  • @devothafrank5792
    @devothafrank5792 4 ปีที่แล้ว +10

    watatu kucomment piga like yako hapa kama unawakubal tricod media

  • @tadeusimlimakifi4676
    @tadeusimlimakifi4676 2 ปีที่แล้ว

    Aixe

  • @peterobiri2509
    @peterobiri2509 3 ปีที่แล้ว

    I beg to comment again please my dear brothers and sisters

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 3 ปีที่แล้ว +1

    Video za hovyo kabisa,

    • @SharifJohn-q3m
      @SharifJohn-q3m 7 หลายเดือนก่อน

      wewe unaesema video za hovyo utaangamia kwa kukosa maarifa badala ya kufanya utafiti juu ya haya masuala wewe umechagua kua mtumwa wa kupokea na kuamini dini yako inachokwambia bila kutumia akili.kuongozwa kiimani bila kutumia akili ni kazi bure

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli tuendeelee kumtafuta,na kuitafuta kweli...

  • @khalfanallbusaid2035
    @khalfanallbusaid2035 4 ปีที่แล้ว +1

    Good broo kwanini usikisome kiarabu cha Quran ili ikufunue zaidi

  • @lesamuzaliwa1909
    @lesamuzaliwa1909 4 ปีที่แล้ว

    Weye aukusoma scéance ? Towa hulofa Bwana. Hunasema husilolijua. Mwongo sna weye.

  • @jumajonh22
    @jumajonh22 4 ปีที่แล้ว +6

    UKITAKA USITAKE QUR_ AN NDO MUONGOZO WA KILA KITU HAIJALISHI UNA MAZEHEBU GAN

    • @sekelawilliam3057
      @sekelawilliam3057 4 ปีที่แล้ว

      Na Yesu kristo ndo kila kitu chini ya jua, weather you like or not. Bila kumkiri Yesu huwezi fika mbinguni

    • @khalos3224
      @khalos3224 4 ปีที่แล้ว

      Na mbingun n wap

    • @wilsonlugutu5747
      @wilsonlugutu5747 2 ปีที่แล้ว

      Acha uongo Que-an ni muongozo wa uchawi kwa hilo siipingi make iliufunua uchawi bila chega na ndo utakuta kuna kisomo cha uchawi kinatwa arubadili!

  • @winstonkiprotich5023
    @winstonkiprotich5023 ปีที่แล้ว

    "Lakini pia,,,lakini pia,,,lakini pia,,,lakini pia,,," mbona kurudiarudia haya maneno?? Inaudhi mno!!!!

  • @hamiskagaye7531
    @hamiskagaye7531 4 ปีที่แล้ว

    Nawakubr sanaa

  • @mkombozimstaff4830
    @mkombozimstaff4830 4 ปีที่แล้ว

    Sio kweli bro

  • @tygatograww3817
    @tygatograww3817 4 ปีที่แล้ว +1

    Jesusi is king forever devil is a woman forever

  • @bethkimani92
    @bethkimani92 ปีที่แล้ว

    Kweli watu hawanji ninani wanamuomba.

  • @kudrathadey1874
    @kudrathadey1874 4 ปีที่แล้ว +1

    🙄

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว +3

    Watu wa Pasaka wanaabudu chochote hawajali ni nini mradi Paulo kasema

    • @dowethalabani7748
      @dowethalabani7748 4 ปีที่แล้ว

      God is great acha uwongo

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

      @@dowethalabani7748 uongo wa nini na ukweli ndio huo mnatanguliza imani akili mnaziacha nyumbani sasa mtajua imani ya kweli

    • @ivanf.lekule5618
      @ivanf.lekule5618 4 ปีที่แล้ว

      Sherehe ya pasaka ipo hata kwenye Biblia

  • @spiritualman_7
    @spiritualman_7 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah ila wazungu ni watu wabaya saaana!

    • @TricodMedia
      @TricodMedia  4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa

    • @utajirihalisi1011
      @utajirihalisi1011 4 ปีที่แล้ว

      Hii NI majira MoJA ya MUNGU BABA KILA KITU HADHALANI

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 4 ปีที่แล้ว

    Hapa kuhusu pasaka sorry siwe akukuamin narudizangu🏃🏃🏃🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @richq8678
    @richq8678 4 ปีที่แล้ว

    Icho kitabu kinapatikanaje

  • @bboyblackfire
    @bboyblackfire 4 ปีที่แล้ว +1

    kuabudu jua sio tatizo, kwasababu ameliumba MUNGU, tatizo ni kuliita jua MUNGU.😀
    Hapo hujakosea kabisa kaka ibada ni utaratibu unaotengenezwa na mwanadamu mwenyewe na kila jamii ina njia zake.

  • @maxwellmakanya8140
    @maxwellmakanya8140 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni muongo,jua huwa halizunguki bhana Ila sayari nyingine zote ndo znazunguka jua na ndo maana tunapata usiku na mchana

    • @khalos3224
      @khalos3224 4 ปีที่แล้ว

      Info za mzungu izo hahaha

    • @hassanmbaga575
      @hassanmbaga575 2 ปีที่แล้ว

      Jua linazunguka ndg yng , jrb kutafuta info tena kwa haohao wanasayansi au kasoma Qur'an.

  • @benjaminmmbughu1693
    @benjaminmmbughu1693 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha kumalizia watu MB zao , unatafuta pesa ww

    • @khalos3224
      @khalos3224 4 ปีที่แล้ว

      Amna aja ya kukoment we pita ivi usirud kwa Chanel yetu hahaha

  • @lesamuzaliwa1909
    @lesamuzaliwa1909 4 ปีที่แล้ว

    Hiko mwongo saaana. Tena musikuwe mnachukuwa ma Histoire ambazo amjui ni kosa nikama kukufuru. Sababu hunasema husichokijua sio poa kk. Husicheze n'a Mungu cheza n'a wengine wooote Ila N'a yesu ni Mwana wa Mungu.

  • @josephkuta7244
    @josephkuta7244 4 ปีที่แล้ว +2

    Heeeeee wzungu wanatutsa snaa n mambo zao na technology wanatutengnezea fifo tuu yesu atuwezeshe kwa hii dunia

  • @joelpeter1815
    @joelpeter1815 4 ปีที่แล้ว +1

    ngoja nikomae nayo

  • @moseschacha684
    @moseschacha684 4 ปีที่แล้ว +1

    Acha uongo unataka kuchanganya watu nabii wa uongo ww

    • @khalos3224
      @khalos3224 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha kwan katoa unabii upi

  • @mariamlohhay538
    @mariamlohhay538 4 ปีที่แล้ว

    Acha kudanganya watu chunga maneno ya kinywa chako..kila neno tutalitolea hesabu

  • @bimazubuteatibu9357
    @bimazubuteatibu9357 4 ปีที่แล้ว

    Sasa hakuna injilia Thomas ikiwa mkiswahili ? Mbona pakoya kingeleza tuuu

  • @jkaremi8335
    @jkaremi8335 4 ปีที่แล้ว

    Si vyenye nlitarajia👎

  • @sudihammad7387
    @sudihammad7387 4 ปีที่แล้ว +1

    Embu acha kuwakatilia italy waliabudia mungu jua na jupita toka kale

  • @josephbizzy1813
    @josephbizzy1813 4 ปีที่แล้ว

    Acha uzushi hakuna aliyekufa akashinda mauti na Yesu hakuzaliwa tarehe 25 huo ni upotoshaji wa hali ya juu.

    • @celestinshayo7295
      @celestinshayo7295 4 ปีที่แล้ว

      Joseph: kwani Yesu alizaliwa lini?

    • @josephbizzy1813
      @josephbizzy1813 4 ปีที่แล้ว

      @@celestinshayo7295 tarehe rasmi ya kuzaliwa kwa Yesu wala mwezi haijulikani.