YESU DINI YAKE IPI? KIJANA ASILIMU MBELE YA WALIMU WAKE LIVE.... Sheikh yahya Issa &Dr Odare

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2018
  • MDAHALO JE IPI DINI YA MITUME?
    ASKOFU MWANGI LEO NITAWATHIBITISHIA UKRISTO DINI YA KWELI.
    SWALI;
    WAPI ANDIKO UKRISTO DINI?
    ASKOFU MWANGI UKRISTO NIKUMUAMINI YESU NA KUWA ALIMWAGA DAMU YAKE KWAAJLI YETU.
    DR GERISHON UKRISTO NI UPAGANI, NA HIYO JINA IMELETWA NA WAABIDIO WA SANAMU WA ANTOKIA.
    SWALI;
    MUSA ALIKUA DINI GANI?
    ASKOFU MWANGI MUSA HATUWEZI SEMA ANA DINI.
    SWALI;
    YESU ALIKUA DINI GANI?
    ASKOFU MWANGI YESU HANA DINI.
    SWALI KAMA YESU HANA DINI NYINYI MLITOWA WAPI DINI?
    ASKOFU EBU PLZ TUWACHE MAMBO YA DINI, SISI TUMEJENGWA JUU YA IMANI TU WALA SIO DINI.
    PASTOR GERISHON SISI WAMESAYA HATUNA DINI NA KUKOSA DINI HAITUFANYI KUWA MAKAFIRI.
    PASTOR GERISHON YESU HATAMBUI KANISA ALIKUA AKIABUDU MILIMANI.
    ASKOFU MWANGI JE UNAKUBALIANA NA PASTOR GERISHON KUWA YESU WAKATI YAKE KULIKUA HAKUNA JENGO KANISA?
    ASKOFU MWANGI NDIO KWA MJIBU WA VITABU YESU HAJAWAHI INGIA KANISA.
    SWALI;
    MBONA YESU ALIKUA ANAINGIA MSIKITINI NA NYINYI MNAPINGA?
    ASKOFU MWANGI YESU ALIKUA AKIINGIA MSIKITI HAO MFARISAYO WANAMPIGA.
    PASTOR GERISHON YESU ALIKUA AKIINGIA KWA SINAGIGI KUNATOKEA VIRUGU MECHII KWASABABU SIO WATU WA MUNGU.
    ILI UPATE RAHA USIKOSE KUTIZAMA VIDIO HII.
    LIKE NA SHARE KWAAJLI YA ALLAH.

ความคิดเห็น • 501

  • @ukhtyhalima6342
    @ukhtyhalima6342 5 ปีที่แล้ว +23

    Sheikh yahya Allah akuvuke vazi la afya na akupe maisha marefu Na Akhera akulipe janatul firdaus pamoja na mtume s,aw. Kama unamkubali sheikh yahya piga like hapa.

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +21

    Shekhe upo vzul sana Yahaya
    Uislam nidin kubwa tena
    Ya mwenyez mungu

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 4 ปีที่แล้ว +8

    Alhamdulillah proud 2 be a Muslim

    • @walkermiller3684
      @walkermiller3684 2 ปีที่แล้ว

      Sorry to be off topic but does anyone know of a trick to log back into an instagram account?
      I was stupid lost the login password. I would appreciate any tricks you can offer me.

  • @drsaidihasaniwwunajuwaubal379
    @drsaidihasaniwwunajuwaubal379 4 ปีที่แล้ว +11

    Allah karimu.mngu akulinde shekh wngu

  • @mamymdogo4161
    @mamymdogo4161 5 ปีที่แล้ว +18

    Alahmdulillah kwa kuzaliwa kuwa musilam

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 ปีที่แล้ว +25

    Akufunulie maandiko ya Qur,an hongera sana

  • @princessafrash8757
    @princessafrash8757 3 ปีที่แล้ว +2

    I love Allah
    I love Muhammad (s.a.w)
    I love Qur'an
    I love Islam
    I love Muslims, I proud to be Muslim الحمد لله

    • @sheemaryam
      @sheemaryam ปีที่แล้ว +1

      U can say that again

    • @ElizaNjeri-zn2nb
      @ElizaNjeri-zn2nb ปีที่แล้ว

      Innalillahi wainnailahi rojiun.msiba kweli

    • @princessafrash8757
      @princessafrash8757 ปีที่แล้ว

      @@sheemaryam why not??

    • @princessafrash8757
      @princessafrash8757 ปีที่แล้ว

      @@ElizaNjeri-zn2nb msiba gani kuupenda uislam au upi umemaanisha

  • @jainaboman8952
    @jainaboman8952 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah shekhe allah akuzidishie kipaji zaidi wakristo pole sana asikofu wen anapiga Kelele tu utasema kameza memoricad

  • @ahmedsharif7089
    @ahmedsharif7089 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah! I realy appreciate u highly 4 doing dz Dawah as leisure. I urge u to keep going ahead en neva give up esp. with dz bishops,congrats sheikh Yahaya حفظك الله

  • @hassanmradi153
    @hassanmradi153 4 ปีที่แล้ว +17

    Alihamdulillah nashukuru kuzaliwa katika nehema hii ya uslam

  • @mammymim3909
    @mammymim3909 4 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah kipindi kizuri ningeshauri mkaboresha mfumo Wa sauti upo chini

  • @salummsusa5254
    @salummsusa5254 4 ปีที่แล้ว +19

    They wll never believe until they get back to death, I am proudly to be Muslim.

  • @shamimnkungu8771
    @shamimnkungu8771 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah, mungu akulipe kila l khery shekh Yahya

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว +4

    Mimi nasema shekhe yahya endelea kuwa mpole ivyoivyo ili uwanase ndege tunduni kwani nimtu mwenye hekima sana Allah akulinde daima

    • @Awatee
      @Awatee 3 ปีที่แล้ว

      Amiin

  • @ibrarito2116
    @ibrarito2116 5 ปีที่แล้ว +13

    Alhamdulilah nimezaliwa uislamu

  • @mshambawamjini2671
    @mshambawamjini2671 4 ปีที่แล้ว +4

    ALLAH AIHUDUMIE HII REDIO KWANI NI WENGI TUNA FAIDIKA SHEIKH TUWAOMBEE DUA WAKRISTO ALLAH AWAZINDUE KATIKA KWELI NA ALLAH ATAWAFAHAMISHA MIMI NAWAPATA TZ

  • @hamastien5439
    @hamastien5439 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah ya shekh din ya kwel.ni ya kislam honger san kijan kwakujua din ya haq niip mbel ya mwenzimung allah akulipe.kher fiduniy waliakher kamal inshaallah

  • @shadyaadam8919
    @shadyaadam8919 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu sana ktk dini ya Allah ewe kijana uliyosilimu. Allah akuongoze uijue dini ya haqi

  • @maryanomar5443
    @maryanomar5443 5 ปีที่แล้ว +14

    Mash allah my brother ,may Allah make it easy for them to see

  • @fatumaabdullahi7689
    @fatumaabdullahi7689 ปีที่แล้ว +1

    Asc sheikh, mungu akuzidishiye imani, na akupe subra kwa kuendeleza kalima ya mwenyezi mungu baarakallahu fiik.

  • @truckerally1358
    @truckerally1358 5 ปีที่แล้ว +6

    sheikh nakushuru jinsi unavyo introduces wenzako kwa debate .. InshaAllah Allah akupe Jannatul firdos

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว

    Allah awalipekher mashekhe wetu kwakazi mnayo ifanya

  • @ramadhankiponza6730
    @ramadhankiponza6730 5 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh YAHYA Kazi Unayoifanya Mwenyezi Mungu Akuwekee Katika Mizani Yako Ya Kheri IN SHA ALLAH.

  • @sumahtanzania4991
    @sumahtanzania4991 5 ปีที่แล้ว +7

    Din ya haki ni wisilamu namushukuru allah subhana wataghala niko mwisilam

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah mdahala umeenda kirafiki kabisa. Karibu kaka yetu ktk dini ya kiisilam, Dini ya haq. Allah akuhuishe akufishe na akufufue hali ya kua ni muisilam, Amiin.

  • @simonkaggwanjala9597
    @simonkaggwanjala9597 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah shekh nilikua nasubiria sana jibu la kuhusu shahada kwa mitume waliopita kabla ya Muhammad (S A W)🙏ila hukulitoa naomba unielimishe

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo hawana hoja ao dini hawana ni makafir. Shekh yahya Allah atakupa malipo yako amin

  • @rechelmtemekelr1044
    @rechelmtemekelr1044 4 ปีที่แล้ว +2

    namshukulu mungu kuzaliwa kwenye ukiristo,na naomba nife nikiwa kwenye ukiristo,maana sioni wakunipenda zaidi ya yesukiristoo

    • @neemaisaya
      @neemaisaya 4 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe

    • @jenifajulius7814
      @jenifajulius7814 4 ปีที่แล้ว +1

      Rechel Mtemekelr. ameni ubarkiwe mtemekelr

    • @jenifajulius7814
      @jenifajulius7814 4 ปีที่แล้ว +1

      Rechel Mtemekelr tuwa same he bure watu hawa maana awajui wanacho kisema

    • @rechelmtemekelr1044
      @rechelmtemekelr1044 4 ปีที่แล้ว +1

      amina wapedwa

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu yesu hakupendi usijipe moyo na kasema watu hawa huniabudu bureee. Pia katumwa kwa waizraili tu na nyie wamataifa anakuchukieni kakuiteni Mbwa. Weye mbwa kwa yesu. Pia yesu kasema ni mnyenyekevu tumfuate. Anaemfuata anaakili asiemfuata mpumbavu. Sasa yesu kaingia msikitini je kwanini unaingia kanisani?

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 ปีที่แล้ว +27

    Kijana mungu akuongoze duniani na akhera kwa kuujua ukweli akunulie maandiko uyajue nakuombea kila cku

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh yahya ManshaAllah yaani ile suali uliuliza muhimu saxa. Imagine hadi saizi mm nangoja andiko inasema ukristo diini waache kutapatapa n kuongea lugha haileweki. Askofu alikiri kwmb yesu n musa hawakua n diini n hvo ndio anakujua kikuwli. Alf hyu mwngine anasema hatuna diini

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 ปีที่แล้ว

    Mola akuzidishie maisha marefu shekhe

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sheikh yahya Allah akupe umri mrefu akuzidishie elimu, kwa kweli hao waskofu wapo na imani potovu hawajielewi wapo Nje ya mada, najivunia kua muisilamu neema kubwa walahi.

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 5 ปีที่แล้ว +16

    Allah akupe iman thabit kwenye moyo wako karibu ktk dini ya haki

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว +1

      Allahuma Amin, tayari yuko Madrasa

    • @peteraugustino8281
      @peteraugustino8281 5 ปีที่แล้ว

      Mchungaji.uko.sawa.kabisa.imani.nndio.kilakitu

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 5 ปีที่แล้ว +1

    Din ya hakkh pekee Islamic
    ..ALHAMDHULILLAH....MASHALLAH kazi nnzuri na alie slim Allah amfanyie wepesi katka dini njia hii yahakh INSHALLAH karibu sana ya ibrahm aleih salam

  • @shadyaadam8919
    @shadyaadam8919 3 ปีที่แล้ว

    Mashasllah Allah akupe umri mrefu Na malipo yako ukayakute mbele ya Allah sheikh Yahya

  • @abdullahoman568
    @abdullahoman568 5 ปีที่แล้ว +3

    Assalaam alaykum warahmatulillah wabarakatuh nafrahia saana sheikh yahya Issa na Yusuf wambogo na suleimani mazinge na msomaji mzuuuur saana Saidi mwaligi Allah awape pepo kabra hamjafa Insha Allah kutokana na kazi mnazo zifanya Mimi Niko omani muskat nafrahia saana mhadhala yenu Allah awape nguvu zaidi ili hao maaskofu waweze kua waislam bi idhi llah

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว

      Waalykum Salam WarahmatuLLAH Wabarakatuh Alhabib,Allahuma Amin shukran kwa dua.

  • @Heroes122
    @Heroes122 3 ปีที่แล้ว

    Napenda sana mahubiri yenu. Naomba niwakaribishe Tanzania. Ntakupa wageni wangu. Tuendeleza kisomo

  • @ahmedsharif7089
    @ahmedsharif7089 4 ปีที่แล้ว

    I realy liked da venue bcz it is cool 4 dem 2 understand dem clearly en ur method z realy best so Sheikh Yahya may Allah (sw) ease 4 u Dawaah.

  • @salmajuma4015
    @salmajuma4015 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallaah nashukur kijana Allah akujaalie nkeri

    • @petermpunga2843
      @petermpunga2843 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ndio njia na kweli na uzima

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalamu alekum shk yahya nakuomba umualike na Alhabib mazinge muwe pamoja katika hii mijadala

  • @othmanhajj636
    @othmanhajj636 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah shehe Yahaya Mwenyezi Mungu akuongoze

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 ปีที่แล้ว +5

    Bishop uke wenza mzuri sana natamani niolewe na mwenye ako na Bibi

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว

      Ya salam nakuambia katika hilo hata madada zetu wamefeli mtihani Rabii awape moyo kama wako.

    • @salmatz1tz731
      @salmatz1tz731 5 ปีที่แล้ว

      hviii haya mambo mpaka lini?mtabishana hd kiama kifke nanitacimama mbele yakit chaenz nakusema mm nikua dini flani kila mtu ashike alichonacho haikutetei dini bali matendo yako pole san waislam

    • @rehemaahamadiahmadi566
      @rehemaahamadiahmadi566 5 ปีที่แล้ว +1

      @@salmatz1tz731 unamaanisha nini sielewi

    • @abdulabass5808
      @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว

      @@kenyadawahtv90 naitaji kujua namna yakujibu hoja na kujenga hoja kama ww ,naomba msaada wako

    • @abdulabass5808
      @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว

      @@salmatz1tz731 hunaelim bibi

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah tabarakallah Nimetokwa na machozi hongera kaka Allah akuongoze hil na jengine na awaongoze waliokua bado hawajaukubali uislam Alhamdulillah alaa niimatil-islam si ujanja wetu bal nimapenzi yake Allah subhanawwataala Allah atujaalie tufe hali yakua ni waislam Ammin ammin ammin

  • @learnonline8033
    @learnonline8033 4 ปีที่แล้ว +3

    Hawa makafiri tatizo wanakuwa wakaidi na ukweli washaujua. Jamani yesu si mungu, mungu hawezi kuwa mtu kama weye. Namshukuru Allah kwa kunijaalia kuzaliwa katika neema ya uislamu

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 ปีที่แล้ว

    Jazakah Allah sheikh Mungu akupe umri uzidi kuelimisha

  • @yussuphmwiwindi9445
    @yussuphmwiwindi9445 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mie nimecheka sana kwa kweli hivipindi nivizuri na amazing wallah nawapenda bure

  • @mariamum350
    @mariamum350 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah jazaka Allah kheir

  • @rbagha5280
    @rbagha5280 2 ปีที่แล้ว

    Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.

  • @mamasamihamama2127
    @mamasamihamama2127 5 ปีที่แล้ว +4

    Inshallah Allah atawaongoza kwenye njia ya haki. Msichoke kuwafahamisha iko siku watafahamu ukweli wa dini ya khaki.

  • @nasraelmi6970
    @nasraelmi6970 5 ปีที่แล้ว +3

    masha Allah! Allah akubariki sheikh.

  • @astridkids4252
    @astridkids4252 5 ปีที่แล้ว

    Insh'allah Mwenyezi Mungu nimkubwa jameni makanisa elfu na muskiti moja awaone mshangao kunasiku watakubali ukweli

  • @mtindially96
    @mtindially96 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani hawa watu hawana akili kiufupi iyo dini yao iko kibiashara zaidi so ukristo ni duni yakibiashara so nawaonea huruma wale wafuasi wao, naomba mungu awajalie waujue ukweli na mungu awajalie kila lakher nakuaepushia kila lashari mashekhe zetu Amin

  • @jashisham6280
    @jashisham6280 5 ปีที่แล้ว +2

    Subhanaallah Allah swt tu ndie Mola wa kweli Alhamdulillah biniimal Islam

  • @ramadhanabdullahi6650
    @ramadhanabdullahi6650 3 ปีที่แล้ว

    barakallahu lak ya sheik yahyah...may Allah continue to give you life so wasilimu wengi nasi usitusahau kwa dua..🙏🙏🙏

    • @juliasalifredi4092
      @juliasalifredi4092 3 ปีที่แล้ว

      Wote watumishi wa mungu ila Sasa Apo kwenye din sio kwenda mbinguni matendo yako ndio yatakayo kupeleka na atakae fumilia mpaka mwisho

    • @juliasalifredi4092
      @juliasalifredi4092 3 ปีที่แล้ว

      Nilisikiliza shehk mmoja akisema alienda Congo akaulizwa na wanajeshi wa huko kuuwa ni alali akasema ni alali naomba msilam anipe andiko linalo ruhusu

  • @mashallhashekhemohamedi327
    @mashallhashekhemohamedi327 5 ปีที่แล้ว

    Mashallha Shekhe Yahaya

  • @haskayulempole3358
    @haskayulempole3358 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah sheikh wangu

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 ปีที่แล้ว

    Shekh yahya inshallah Mungu anijalie nikuone nanihudhurie mjadala wako

  • @didohassan9932
    @didohassan9932 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah sheyk yahya Allah akuhifadhi

  • @ruu6592
    @ruu6592 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu awajaze na awaoneshe njia wenzetu inshallah

  • @mohamedmohamed-fs1tl
    @mohamedmohamed-fs1tl 2 ปีที่แล้ว

    mashaallah Allah bariik my brothers

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 ปีที่แล้ว +3

    mashaAllah

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 ปีที่แล้ว

    Kazi KUBWA unaifanya Sheikh mungu akujaalie

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana kijana ,Allahakbar.

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 5 ปีที่แล้ว +3

    Ma shaa Allah

  • @chuchulampa9324
    @chuchulampa9324 5 ปีที่แล้ว +2

    MASHA ALLAH

  • @zuberiabdurahmani499
    @zuberiabdurahmani499 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh Yahya Allah akupe umri mrefu uzidi kuutetea na kuunyanyua uislamu na iwe sababu ya kuingia peponi.

  • @mselemhaji1969
    @mselemhaji1969 5 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @user-pz8cb9cj3i
    @user-pz8cb9cj3i 5 ปีที่แล้ว +1

    masha llah allah awaogoze masheikhi wetu ila huyu mwegine ameogea lugha gani ama ndio maombi ya dini yake yarabi

  • @chapadenge4085
    @chapadenge4085 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali San shekh yahya Allah akuzdishie kher ktk kaz unoifanya unatufurahosha waislam kwn unaongea kwa point nzur

  • @janetjackson9586
    @janetjackson9586 4 ปีที่แล้ว +3

    Yesu hakua mfia dini, Bali alikufa msalabani kwa ajili ya waliopotea kama waislamu

    • @janetjackson9586
      @janetjackson9586 4 ปีที่แล้ว +1

      Kuruhani ni samary ya biblia pinga usipinge mungu hana dini, dini yake ni moyo wako ukiwa safi, na ukitenda mema kwa jirani yako nakusihi warabu walikuletea kuruhani ili wakupoteze? Kwanini kitu chochote kilicho kitakatifu kisiletwe na mwafrika kila kitu mzungu au mwarabu?

    • @mohamedkitalima7546
      @mohamedkitalima7546 4 ปีที่แล้ว

      Pole umepotea

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว

      @@janetjackson9586 yes

    • @sulealim7336
      @sulealim7336 4 ปีที่แล้ว

      @@janetjackson9586 hakuna kitabu cha waislam kinachoitwa jina hilo na wala hakuna kitabu cha mungu kinaitwa bibilia

    • @sulealim7336
      @sulealim7336 4 ปีที่แล้ว

      @@janetjackson9586 tuamin vp yes aliwekwa msalaban kwajili ya dhambi zetu ama kila mtu atakuga kwa dhambi yake ?

  • @yaedlifemedia3203
    @yaedlifemedia3203 3 ปีที่แล้ว

    nashkulu mungu kwa kuniletea izi clip yan nimekuta imekuja tu na naona kuna faida kubwa sana.islamic is the real religion

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 5 ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru kuwa mwisilam Alhmdhuliallh

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว

      Alhmndulilah thuma Alhmndulilah

    • @salmatz1tz731
      @salmatz1tz731 5 ปีที่แล้ว

      sis tunachojua yesu nijia yakwal nauzima mtu hij kwa baba kupata kwa yesu amina

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah

  • @hopekahamba2571
    @hopekahamba2571 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mchungaji hajielew hata ,,,,hata anachokiongea hakijui,,,,,, namshukur Allah kwa kua muislam..

  • @mamymdogo4161
    @mamymdogo4161 5 ปีที่แล้ว +6

    Mm nkisoma hizi community za hawa wakiristo wallah usikia kichevuchevu

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA 10 หลายเดือนก่อน

    MASHA ALLAH...

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah, Allahu Akbar,

  • @safiakara1868
    @safiakara1868 2 ปีที่แล้ว

    MashaAllah..TaqbaAllah

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 ปีที่แล้ว

    Uislam raha walah... Mungu atuzidishie imani

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 4 ปีที่แล้ว

    Allahu Akbar Kabira Walhamdulillahi Kathira Allah akupe umri mrefu na akupe afya njema ili uzidi kuitangaza dini ya haki.

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 ปีที่แล้ว +4

    Kwakweli maajabu makubwa! Kwamba hata viongozi waao hawana wanachojua, wamejikaririsha uongo mtupu! Msiba huu

  • @sanuramakame5122
    @sanuramakame5122 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika uislamu ni njia ya haki. Amin

  • @ummyathumani9995
    @ummyathumani9995 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @ibnseyf5724
    @ibnseyf5724 4 ปีที่แล้ว

    Ma sha Allah

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh hutaki mke mashalah 😂😂😂😂mi nimekupenda kwa uislam

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 ปีที่แล้ว +7

    nimechekaaa wallahi unatoa Kibano mpaka mtu anavurungwa Povu linamwisha mchungaji kapatikana yesu Hana dini

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 ปีที่แล้ว +1

      Naam ana ushuhuda mwingi zaidi ya ushahidi ndio maana najaribu kimiweka sawa ili aeleweke na watazamaji.

    • @hamzafadhili5800
      @hamzafadhili5800 4 ปีที่แล้ว

      Ajatoa andiko shekh

  • @allymaster7524
    @allymaster7524 5 ปีที่แล้ว +2

    Takbir waislam

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 ปีที่แล้ว

    Allah akulipekher ustadhi

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 4 ปีที่แล้ว

    Shekhe yahay maashaalla h Taibe nungu akuondolee husda

  • @suleimantsanje8904
    @suleimantsanje8904 3 ปีที่แล้ว

    Happy to be born Muslim , kutoka Ibrahim mpaka yesu dini zao gani ...

  • @nahoranenimanadaudi4374
    @nahoranenimanadaudi4374 4 ปีที่แล้ว +1

    Takbir

  • @fakifaki2546
    @fakifaki2546 ปีที่แล้ว

    Wewe unaeuliza shahada Kila mtume anaulinganiaji wake umuelekee mungu safali ya kwenda kwa mungu

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 4 ปีที่แล้ว +3

    Uyu bishop fala kweli
    Yaani nimecheka hadi basi

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 5 ปีที่แล้ว +5

    Allah Akbar

  • @aminaamulavu1338
    @aminaamulavu1338 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH WAKBAR!!

  • @obedilizer3412
    @obedilizer3412 4 ปีที่แล้ว +3

    Hajui chochote haelewi hata Kama Yesu alikua na dini wala hajui Kama Musa alikua na dini Kweli MUNGU amsamehe hajui hata amri zilitolewa za nini

  • @sierabravo848
    @sierabravo848 4 ปีที่แล้ว +2

    مشا الله

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kuwa mkiristo

    • @samirahassan3212
      @samirahassan3212 3 ปีที่แล้ว

      towa andko wapi kwenyebibilia imeandikwa kuwa ukiristo ni dini? sema unashukuru kuwa kafiri dinihuna

  • @knifensharper2725
    @knifensharper2725 4 ปีที่แล้ว

    Takbiiiii Allah wakbarii

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 4 ปีที่แล้ว

    Allah awaoneshe njia sahihi