- 1 758
- 1 857 182
Al Shifaa Media Kenya
Kenya
เข้าร่วมเมื่อ 22 มิ.ย. 2020
🎥 Welcome to Al Shifaa Media Kenya - Your hub for captivating storytelling, impactful visuals, and inspiring content from Kenya and beyond! 🌍
We specialize in:
🎬 Creative video production
📷 Professional photography
📡 Digital storytelling & media solutions
🎙️ Compelling documentaries and features
Join us as we showcase Kenya’s beauty, culture, innovation, and vibrant communities. From breathtaking landscapes to untold stories, we bring you content that educates, entertains, and inspires.
🔔 Subscribe now to stay updated with our latest projects and journeys!
📧 For collaborations, inquiries, or bookings, contact us: [info@alshifaamedia.co.ke] Call us: 0721699587/0731699587
Let’s create magic together! ✨
#AlShifaaMediaKenya #KenyanStories #CreativeMedia #Inspiration #VideoProduction

Mbunge wa Likoni Ataka Uchunguzi Ufanyike kuhusu mauaji ya mwanamke aliyefariki kwa kupigwa risasi
Mbunge wa Likoni Ataka Uchunguzi Ufanyike kuhusu mauaji ya mwanamke aliyefariki kwa kupigwa risasi
มุมมอง: 176
วีดีโอ
MOMBASA- Polisi eneo la Likoni Wapata Zaidi ya Simu 60 Zilizoibiwa, Wamkamata Mshukiwa Mmoja
มุมมอง 19415 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MOMBASA- Polisi eneo la Likoni Wapata Zaidi ya Simu 60 Zilizoibiwa, Wamkamata Mshukiwa Mmoja
SHULE YA UPILI YA AL MIRAJ YAFANYA VIZURI KWENYE MITIHANI YA KITAIFA
มุมมอง 9016 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHULE YA UPILI YA AL MIRAJ YAFANYA VIZURI KWENYE MITIHANI YA KITAIFA
WAKAAZI WA PUNGU VILLA WATAKA KURUDISHIWA TRANSFOMA
มุมมอง 13328 วันที่ผ่านมา
WAKAAZI WA PUNGU VILLA WATAKA KURUDISHIWA TRANSFOMA
UMOJA WA AFRIKA MASHARIKI KUPITIA MICHEZO YA WABUNGE
มุมมอง 55หลายเดือนก่อน
UMOJA WA AFRIKA MASHARIKI KUPITIA MICHEZO YA WABUNGE
JUHUDI ZA KUIMARISHA ELIMU YA KIUFUNDI MASHINANI
มุมมอง 46หลายเดือนก่อน
JUHUDI ZA KUIMARISHA ELIMU YA KIUFUNDI MASHINANI
KAMPENI YA KUDHIBITI DHULUMA ZA KIJINSIA
มุมมอง 82หลายเดือนก่อน
KAMPENI YA KUDHIBITI DHULUMA ZA KIJINSIA
VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI VYAWAPA FAIDA VIJANA
มุมมอง 167หลายเดือนก่อน
VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI VYAWAPA FAIDA VIJANA
ZOEZI LA KUONDOA PLASTIKI KATIKA UFUKWE WA BAHARI HINDI NYALI
มุมมอง 148หลายเดือนก่อน
ZOEZI LA KUONDOA PLASTIKI KATIKA UFUKWE WA BAHARI HINDI NYALI
MWALIMU ADAI KULAGHAIWA KSH 750,000 NA RAFIKIYE
มุมมอง 395หลายเดือนก่อน
MWALIMU ADAI KULAGHAIWA KSH 750,000 NA RAFIKIYE
CHAMA CHA ODM KWALE CHAPATA NGAO YA KUKIKINGA
มุมมอง 623หลายเดือนก่อน
CHAMA CHA ODM KWALE CHAPATA NGAO YA KUKIKINGA
WAKILI AACHILIWA KWA DHAMANA YA SHILINGI MILIONI 5
มุมมอง 98หลายเดือนก่อน
WAKILI AACHILIWA KWA DHAMANA YA SHILINGI MILIONI 5
WAKILI ASHTAKIWA KWA KUDHULUMU MTEJA SHILINGI MILIONI 17.5
มุมมอง 415หลายเดือนก่อน
WAKILI ASHTAKIWA KWA KUDHULUMU MTEJA SHILINGI MILIONI 17.5
KONGAMANO LA WAVUVI KUHUSU MABADILIKO YA MAPATO YA SAMAKI NA GHARAMA YA MAISHA
มุมมอง 219หลายเดือนก่อน
KONGAMANO LA WAVUVI KUHUSU MABADILIKO YA MAPATO YA SAMAKI NA GHARAMA YA MAISHA
Kenya Magazetini || Bi Darmi Jattani kutoka Transparency International.
มุมมอง 662 หลายเดือนก่อน
Kenya Magazetini || Bi Darmi Jattani kutoka Transparency International.
WANABODABODA NA TUKTUK KUNUFAIKA ZAIDI LIKONI
มุมมอง 1452 หลายเดือนก่อน
WANABODABODA NA TUKTUK KUNUFAIKA ZAIDI LIKONI
VIONGOZI WAPYA WA TUK TUK WAAPISHWA MOMBASA
มุมมอง 1K2 หลายเดือนก่อน
VIONGOZI WAPYA WA TUK TUK WAAPISHWA MOMBASA
VIONGOZI WA DINI PWANI WAPONGEZA UTEUZI WA KINDIKI
มุมมอง 1202 หลายเดือนก่อน
VIONGOZI WA DINI PWANI WAPONGEZA UTEUZI WA KINDIKI
MIKAKATI YA KUPUNGUZA MIGOGORO KATIKA JAMII
มุมมอง 692 หลายเดือนก่อน
MIKAKATI YA KUPUNGUZA MIGOGORO KATIKA JAMII
The Swearing in Of Prof. Kindiki at KICC Nairobi
มุมมอง 5262 หลายเดือนก่อน
The Swearing in Of Prof. Kindiki at KICC Nairobi
WAKAZI WA SENTI KUMI LIKONI WALALAMIKIA UNYAKUZI WA ARDHI NA MABWENYENYE
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
WAKAZI WA SENTI KUMI LIKONI WALALAMIKIA UNYAKUZI WA ARDHI NA MABWENYENYE
MAGAVANA WATETEA FEDHA ZA MBOLEA KUACHIWA KAUNTI
มุมมอง 322 หลายเดือนก่อน
MAGAVANA WATETEA FEDHA ZA MBOLEA KUACHIWA KAUNTI
WAZIRI CHIRCHIR AZUNGUMZIA KISA CHA JENGO KUPOROMOKA NAIROBI
มุมมอง 1372 หลายเดือนก่อน
WAZIRI CHIRCHIR AZUNGUMZIA KISA CHA JENGO KUPOROMOKA NAIROBI
Police in Likoni Mombasa Nab 560 Litres of Illicit Brew in a Chang'aa Manufacturing Den, 3 Arrested.
มุมมอง 2.4K2 หลายเดือนก่อน
Police in Likoni Mombasa Nab 560 Litres of Illicit Brew in a Chang'aa Manufacturing Den, 3 Arrested.
MFUMO MPYA WA MALIPO YA UZEENI KULENGA GEN Zs
มุมมอง 4322 หลายเดือนก่อน
MFUMO MPYA WA MALIPO YA UZEENI KULENGA GEN Zs
MAFUNZO YA AFYA KWA VIJANA MOMBASA | MRADI WA PWANI YOUTH NETWORK
มุมมอง 872 หลายเดือนก่อน
MAFUNZO YA AFYA KWA VIJANA MOMBASA | MRADI WA PWANI YOUTH NETWORK
MATAIFA 12 YAHUDHURIA KONGAMANO YA KUIMARISHA UTUMISHI WA UMMA
มุมมอง 842 หลายเดือนก่อน
MATAIFA 12 YAHUDHURIA KONGAMANO YA KUIMARISHA UTUMISHI WA UMMA
So sad
Sasa muliua huyo mtu ama bado ako hai akiwa hai hemu tupe sisi 15 minutes tumalize hio mtu
Kazi nzuri Sana officer ,hawa vijana hawatupatii Amani kabisa especially sehemu ya Viemani
Chemsheni mahindi mlete ferri.na wale mlipora mpaka niwaombe msamaha ni haramu kumwaga damu ya mtu bila kosa.
You take land for you to beuld or give it back to kenyans mali ya wakeny ni ya wakeny
Govt should cancel the plot deed totally
Initialy Sikutambua hili tatizo, lakini leo nimelitambua. County Government WACHENI BULLING. Hakika hichi kipande ni Cha huyu Ayub IT IS by chance kwamba Creek Kuanzia Fort Jesus hakuna pahali pako na Beach isIpokuwa hapo kwake, so ni haki yake na the best way out is to seat and agree on mutual benefit to all.Japo tuekuwa tukioga na kufanya vikazi vyetu hapo, THAT IS NOT A PUBLIC PLACE. Public ni hiyo barabara from Alidina mpaka baharini au mkono wa kushoto Coast General, Mkono wa Kulia NI YAAAO MUPENDE MUSIPENDE
Allah awaongoze😢😢😢😢awaelekeze kuliko kwema
th-cam.com/video/YtxBrQ5NZYo/w-d-xo.htmlsi=IohFq4Raa2K_nQGK
th-cam.com/video/YtxBrQ5NZYo/w-d-xo.htmlsi=IohFq4Raa2K_nQGK
nawaelea chafuu wangu from likoni
Mkiambiwa msome hamtaki,sasa kazi mtapataje🤷
Nawaambia mungu atawalipa na kutomjali huyo mzee wa watu ni wajeuri lakini mungu hashuki wallahi watalia machozi!!!!
Hii iletwe na burundi
Alhamdulilah and many thanks jazakumullah for covering our event
Mbwa wewe kumbe ulitaka
Itene citizen pian KTN mupate usaidizi waharaka
Mashaallah
Kenya needs an engineers,doctors, lawyers etc and not business men(Smugglers)
Tumejiona.wana traditional
Samaki hula plastiki na hueneza cancers kwa wakulaji wa samaki licha ya ngombe ama mbuzi
Poleni.. Yakikufika utayafahamu...watu wanapitia sana huku nje..
Wah!😢😢😢😢polisi wajinga sana
Nyinyi mapolizsi mtakuja kuyajimbo mbele ya mung?
Wajaluo endeni ruto awapee kazi
Katika hi karne majamaa hawa aminiki na huyu mzee ame amini rafiki
He convinced you to give money for an investment he was making now if he tells you his investment failed what can you do to him surely according to the law of Kenya if he is willing to pay you but has no money.. No 2 ribaa is haraaam mwalimu
Juma Ngao alokuambia Abdul swamad ni mwarabu ni nani 😂
Ngao best for Odm Kwale
Hooligans, criminals and their lier lawyers, advocates and proscuters must be though lessons
Why killing your own fishes while foreign fishes are traveling to your countries?
Welcome USA and an Australian fishes to the Coast of Kenya's Fisheries
Haba na haba hujaza vibaba
Tuombhe kwambha Afcon itakayo fwata ichezwe Mombasa baada ya Morocco
Nyinyi wenyewe munataka kufanya Kenya iharibike kama vile Sri Lanka kisha baadaye munalalamika
Stop charging the tuk tuk owners the late fee for county stickers..
Mwanzo wavae uniforms 😂
Hahahaha tuktuk and boda bodas are freedom figters of Kenya
Hahahaha trade war between Ubber vs TukTuk and Boda Boda
Nairobi inapikwa hadharani nahaimwagwii
Mashaallah
Are they refugees ?
Helb loans yenye ijatoka ruto ambia watu wako waachilie pesa yetu 😢
KAZI safi vinara
Great work
Pombe halali
Next will be Kipevu oil drilling crimes
When judiciary isn't puppet of MPs
thanks for the updates
Saa zile wanafiki wanapanga vita za kidini