Dr Arch Bishop Moses kulola akihubiri 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 76

  • @rehemaperis9896
    @rehemaperis9896 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wangu nkumbuke na unihurumie mm mwanao unisamehe🙏🙏

  • @fatmafa1896
    @fatmafa1896 5 ปีที่แล้ว +4

    Amen kweli hii ndio injili ya kweli kabisa na MUNGU BABA yetu wa mbinguni aendelee kuku rehemu mahali uliko BABA na Amani ya BWANA I endelee kuwa nawe daima

  • @mabulahiari135
    @mabulahiari135 5 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe sana mtumishi wa mungu pumzika kwa amani 👏👏

  • @barakajuma2085
    @barakajuma2085 5 ปีที่แล้ว +4

    Shujaa wa IMANI ,mwendo umeumaliza .IMANI umeilinda.

  • @mashakamyali6987
    @mashakamyali6987 5 ปีที่แล้ว +13

    Asante mungu akubarik unae lusha maubrir haya mungu akutie nguvu uendele kuyalusha jaman

  • @LilianJulius-o7m
    @LilianJulius-o7m 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu nisaidie niishi maisha ya utakatifu ,siku moja nifike mbinguni

  • @upryzeregiion5813
    @upryzeregiion5813 5 ปีที่แล้ว +6

    He was appointed by God he was soo anointed!

  • @israelishilla1458
    @israelishilla1458 5 ปีที่แล้ว +9

    Injili isiogoshiwa haichoshi hata ungeisikia tena na tena ni tamu Mungu akubariki uliko

  • @sarahsulle286
    @sarahsulle286 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika ulikuwa mtumishi wa mungu aliehai

  • @elyonnatv9300
    @elyonnatv9300 5 ปีที่แล้ว +4

    Yesu ni muzima

  • @yohanayohanamwashinani1461
    @yohanayohanamwashinani1461 4 ปีที่แล้ว

    Asanet mungu akubaliki

  • @lamecklameck8921
    @lamecklameck8921 5 ปีที่แล้ว +5

    sina la kuongeza zaidi nikuzid kujtafakar zid ya maisha yangu na kuirudia toka ilyo kamil. hakka huyu alkua ni paulo wa pil ktk kpnd cha kzaz chetu hakka nyota yako itazid ku'gala milele na milele

  • @anithakalist6194
    @anithakalist6194 5 ปีที่แล้ว +6

    Pumzika Kwa amani tutaonana Kwa Baba

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika sitachok kumwinua Mungu. 🙏🙏

  • @Cado_TV.
    @Cado_TV.  5 ปีที่แล้ว +9

    Mbarikiwe watu wa Mungu Tufanye wokovu na kiroho chetu kuwa na ubora kila inapoitwa Leo. Stay tuned by Holy Spirit

    • @sadickkihaga1265
      @sadickkihaga1265 5 ปีที่แล้ว +1

      Samahani naomba kuuliza,ask mkuu moses kulola alikuwa nq vitabu vya neno lq Mungu?kama ndy vinapatikana wapi?nipo iringa vijijini

    • @sadickkihaga1265
      @sadickkihaga1265 5 ปีที่แล้ว +1

      Na namba zangu ni 0763032461 WhatsApp no,0655750225.

    • @ayubusamwel5256
      @ayubusamwel5256 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakika tutakukumbuka shujaa wa injili. Tutaonana kwa Baba yetu mbinguni.

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  4 ปีที่แล้ว +1

      @@sadickkihaga1265 hapana mkuu hakuwahi kuandika kitabu ila kuna Mtumishi wa Mungu amendika kitabu kinachohusu maisha ya Hayati Moses Kulola tangu utoto hadi kufariki kwake. Mungu akinisaidia nitakiweka Kwenye mfumo wa Audio ili watu wengi wasikie na kutiwa moyo kwa ajili ya safari yetu hii.

    • @sadickkihaga1265
      @sadickkihaga1265 4 ปีที่แล้ว +1

      @@Cado_TV. Sawa kinapatikana wapi saizi kitabu

  • @marwachacha8283
    @marwachacha8283 3 ปีที่แล้ว

    Nimemjua Dr Moses Kulola Leo 23 may 2021. Nimemhisi mzee huyu ambae ashapumzika, sauti yake imebeba ujumbe na maneno yaliyo na uhai. Kweli mungu yupo na hunena nasi kila Mara. Eeeh Mungu wangu irehemu roho yangu nisamehe dhambi zangu nikumbuke kwa kile kitabu cha uzima wa milele. Guza maisha yangu ili niwe na kiu cha kukuishia milele na milele hata kazi ya mikono yangu ikupendeze. Asante Yesu

  • @michealseleman8013
    @michealseleman8013 5 ปีที่แล้ว +6

    komandoo wa iman

  • @ladosanja3079
    @ladosanja3079 5 ปีที่แล้ว +4

    Glory be the Most High God, injili iletayo uzima.

  • @mussabenjamin1362
    @mussabenjamin1362 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @wenderoserie1538
    @wenderoserie1538 4 ปีที่แล้ว +2

    Man of God. Awesome.

  • @joselawy6556
    @joselawy6556 5 ปีที่แล้ว +3

    Eeeee mungu tuurumie ss wenye zambi tuokowe baba yetu tunakukumbuka?

  • @mecktildatushabe7898
    @mecktildatushabe7898 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe Sana unae rusha huu ujumbe

  • @benardesikuri3247
    @benardesikuri3247 4 ปีที่แล้ว +1

    Mhubiri na mungu azidi kukubariki sana.Nakumbuka ukihubiri hapa Nairobi miaka za nyuma

  • @hellenamasinjisa5448
    @hellenamasinjisa5448 3 ปีที่แล้ว +2

    2020 naangalia Tena kulola Mungu akupumzishe kwa amani,

  • @stephennguli4330
    @stephennguli4330 5 ปีที่แล้ว +2

    Msifuni bwana kwa maana fadhili zake na za milele

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 5 ปีที่แล้ว +4

    Miss u dady,Your work was so good and now it's so good.

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      Back comment zingine mnafuta mwaveja sana

    • @benardesikuri3247
      @benardesikuri3247 4 ปีที่แล้ว

      Sina habari muhubiri katuacha .Hata hivyo hajatuacha yatima imetuacha na habari njema iletayo furaha mioyoni mwetu...

  • @gozibertdeogratias5986
    @gozibertdeogratias5986 3 ปีที่แล้ว

    Jembe la Bwana Yesu, tutakukumbuka milele

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzigere noella zibanda

  • @myself4128
    @myself4128 3 ปีที่แล้ว

    Jemedari wa injili
    Huyu mzee abarikiwe sana alipiga kazi..nilikuwa nikiisikia tu sauti yake nasikia kabisa Uwepo wa Malaika! Watu walikuwa walifunguliwa kweli

  • @rehemakaijage1364
    @rehemakaijage1364 3 ปีที่แล้ว

    HiILI ndio haswaaa NENO LA MUNGU TUNALOKUHITAJI

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 ปีที่แล้ว

    Huyu Baba yuko paradise

  • @wilisonongolo7294
    @wilisonongolo7294 4 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU AKURIKI sana mtumishi wa MUNGU

  • @chrisschriss3821
    @chrisschriss3821 5 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe sana

  • @kamhongusi4513
    @kamhongusi4513 3 ปีที่แล้ว

    YESU NISAIDIE MM NIKUONE

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 5 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe huu ni uwokovu na taa kwa wakristo na Mungu akulaze mahali pema peponi.

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika mtu huyu yu nasi hata sasa

  • @mosesanosa9956
    @mosesanosa9956 5 ปีที่แล้ว +3

    Sijui kama kunaatakae ziba pengorako mtumishiwamungu

  • @agnesdeonatus9231
    @agnesdeonatus9231 5 ปีที่แล้ว +2

    Endelea kupumzika kwa Amani Baba🙏🏻

  • @emmanuelmlembe7874
    @emmanuelmlembe7874 5 ปีที่แล้ว +2

    Hallelujah

  • @teddyludgery9305
    @teddyludgery9305 5 ปีที่แล้ว +1

    baba wa imani hakika wewe ulikua shujaa

  • @danielfrank303
    @danielfrank303 5 ปีที่แล้ว +4

    Kazi yako haikuwa bure mbele za MUNGU wetu pumzika Kwa Aman baba

    • @ibrahimuzakayo8592
      @ibrahimuzakayo8592 5 ปีที่แล้ว +1

      Daniel Frank naamini mzee kolola bwana amempumzisha mahali patakatifu paamani

    • @danielfrank303
      @danielfrank303 5 ปีที่แล้ว

      Kwel kabsa kk

  • @calvinabihud4920
    @calvinabihud4920 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @yusufugeorge6782
    @yusufugeorge6782 5 ปีที่แล้ว +2

    Fresh gospel

  • @deborahjustinerwambogo8490
    @deborahjustinerwambogo8490 5 ปีที่แล้ว +1

    nakaona kafulora Mbasha enzi enzi kasafiiiiiiiiiiii kiroho

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      Wengi tu Sikh zile walikuwa wanang'aaangalia Leo .Bb Yang uliwekea mikono pale mwanjelwa 1983

  • @jonhvascojavelin9164
    @jonhvascojavelin9164 5 ปีที่แล้ว +1

    Amina

  • @pastor.kanunikayombo7864
    @pastor.kanunikayombo7864 5 ปีที่แล้ว +1

    Frola mbasa Leo mzee Kulola akiludi utamwambia nini

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 5 ปีที่แล้ว +1

    Simire zibanda

  • @Hillaryedith7
    @Hillaryedith7 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante Yesu ulitupa zawadi ya mtumishi wa kweli. Hakika tunammiss

  • @japhasonsumari1800
    @japhasonsumari1800 3 ปีที่แล้ว

    Ima inayoishi

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 ปีที่แล้ว +2

    Sahivi mjukuu wako shida tupu,flora babu yako akifufuka sijui utajibu nn!
    Mungu akurehema

    • @davidedward7281
      @davidedward7281 4 ปีที่แล้ว

      Ila jamani shetani kampitia naye kaonngozana naye ona salsa kanisa kama chama cha siasa ,nguvuya mungu mpaka labda kwa kalumanzila

    • @yusuphmoses8491
      @yusuphmoses8491 4 ปีที่แล้ว

      Jaman mzee alitimiza wajibu wake

  • @davidfabian5625
    @davidfabian5625 3 ปีที่แล้ว

    22-01-2021

  • @mwinjilistisinwaobadia2736
    @mwinjilistisinwaobadia2736 4 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/32Zi8Sdj-yM/w-d-xo.html

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 5 ปีที่แล้ว +1

    We lost the Gold that we never knew.

  • @albertludago7374
    @albertludago7374 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi kutuletea injili humu

    • @wiliammshora4744
      @wiliammshora4744 4 ปีที่แล้ว

      Ee mungu mpe wepesi apate furaha ya mbinguni

    • @catyurassa3894
      @catyurassa3894 3 ปีที่แล้ว

      Yesu ni moto urao Moto wa uponyaji