Arch. Bishop Dr Moses Kulola. 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • UJUMBE: "WANANGU" NIMEVIPIGA VITA VILIVYO VIZURI, MWENDO NIMEUMALIZA, IMANI NIMEILINDA.
    (2 Timotheo 4:7)

ความคิดเห็น • 62

  • @maryosward1879
    @maryosward1879 6 ปีที่แล้ว +10

    Mahubiri yatofauti sana ukisikia unajiona huru sana kimwili na kiroho wakiti mwingine hatakama umechoka unanjaa unamwazo yaani vinakwisha mungu akutunze mtumishi endelea kutuletea zaidi

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 6 ปีที่แล้ว +6

    Yesu asante kwa ajili ya mtumishi wako Moses Kulola hakika kaifanya kazi yako vyema.

    • @aulelialeonard1831
      @aulelialeonard1831 6 ปีที่แล้ว

      Ameen

    • @jocktankaka1095
      @jocktankaka1095 4 ปีที่แล้ว

      Nikwamsaada wa mungu aliyafanya yaliyomema na kwakuwa alijikana mungu ni mwema sana.

    • @jocktankaka1095
      @jocktankaka1095 4 ปีที่แล้ว

      Nampenda sana yesu mwana wa mungu.

    • @jocktankaka1095
      @jocktankaka1095 4 ปีที่แล้ว

      Kazi kwetu sisi tiliobaki timejiandaaje?

  • @anithakalist6194
    @anithakalist6194 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamani walobahatika kuonana na Moses kulola live walipata chakula kuzuri sana pumzika Baba yetu shujaa wa imani

  • @josephharri9015
    @josephharri9015 5 ปีที่แล้ว +4

    Nahisi nitaokoka soon , Yesu aniingie.

  • @albertludago7374
    @albertludago7374 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubarik sana kk kwa kutuletea injli ya mzee wetu Kulola hakika mtumishi huyu alifanya kazi ya MUNGU kwa namna ya pekee sana..
    Nampenda sana..nmebarikiwa sana

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 6 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki sana ndugu yangu,uendeleye kutupa mahuburi ya marehemu Moses ,tulibarikiwa sana na mahubiri yake alipokuwa anatutembelea huku Burundi.

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  6 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe pia Mnadhiri wa Mungu Mr Samson

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 6 ปีที่แล้ว +2

    Kamanda, mpiganaji, askari hodari na shujaa wa imani. Naipenda injili yako. We miss you Grandpa...

  • @shalamwanayusuph8008
    @shalamwanayusuph8008 6 ปีที่แล้ว +4

    Ameen asante yesu kwanipa neema ya kuwa mwanao asante kwakunipa neema ya wokovu

  • @esterjuma5682
    @esterjuma5682 6 ปีที่แล้ว +4

    barikiwa sanaa unarusha mahubiri hayaa ya babu etu moses kulola nabarikiwa sana nikisikiliza mahubiri yake . glory to god

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  6 ปีที่แล้ว

      Amina ubarikiwe Ester lakini nikusihi mtumishi wa MUNGU zingatia sana utukufu wake aliye juu
      "Grory to God" write the really letter of our Great God cause you will got wrong meaning

    • @esterjuma5682
      @esterjuma5682 6 ปีที่แล้ว

      +Sadick Said (Boaz) amina mtumishi nitazingatii na mungu akubariki sanaaaa huaa nikisikilizaa haya mahubili nahisi uwepo wa mungu ndani yani mungu akuongozee uendelee kuweka vipindi vya babu etuu hewan wengine wanafunguliwa kupitia mafundisho haya Mungu akubariki sana

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  6 ปีที่แล้ว

      Amina tubarikiwe wote

    • @esterjuma5682
      @esterjuma5682 6 ปีที่แล้ว

      +Sadocky S. Boaz amen

  • @abrahamelias9665
    @abrahamelias9665 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii ni kazi ya Mungu hakika

  • @khairatzinzibar1434
    @khairatzinzibar1434 6 ปีที่แล้ว +4

    Jamani huyu mtumishi kweli melala katika haki natamani mahubiri yasiishe yupo paradise saiv anasubiri kuvikwa taji na ujira ulio mwema

  • @jescamlungwana8158
    @jescamlungwana8158 6 ปีที่แล้ว +3

    Tutakukumbuka daima mtumish

  • @michaelmasola1351
    @michaelmasola1351 6 ปีที่แล้ว +2

    Amen.Mungu atukuzwe katika Kristo Yesu ubarikiwe mtumishi....

  • @bilugwemwanzije
    @bilugwemwanzije ปีที่แล้ว

    Amen !! Amen !!?...kenya...watamu.

  • @tinnassulle2779
    @tinnassulle2779 6 ปีที่แล้ว +5

    Asante mtu wa Mungu

  • @bimazubutejules-kone1789
    @bimazubutejules-kone1789 5 ปีที่แล้ว +3

    Mutumishi wangu kwel

  • @jocktankaka1095
    @jocktankaka1095 4 ปีที่แล้ว

    Haleluyaaa!

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 6 ปีที่แล้ว +1

    free masson wewe hapanaa Baba

  • @mmasabahelanya5471
    @mmasabahelanya5471 6 ปีที่แล้ว

    Amina mbarikiwe ndugu zangu nawatakia kazi njema kazi kamaii.

    • @samuelogolla689
      @samuelogolla689 5 ปีที่แล้ว

      Hakika mungu anafanya kazi yake kupitia kwa watumishi wake wa ukweli kama huyu mze e ambaye sasa yuko paradiso.amen mungu ni mkuu

  • @barakajacobs5485
    @barakajacobs5485 6 ปีที่แล้ว +1

    Glory be unto you God. Amen

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว +1

    Habari bazima mafiye charline mihigo

  • @elishamnazaretikyando834
    @elishamnazaretikyando834 6 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @Cado_TV.
    @Cado_TV.  6 ปีที่แล้ว +22

    Mwanzonii sauti ni ndogo lakini baadaye inakaa vizuri, mniwie radhi kwa hilo tatizo

    • @danielfrank303
      @danielfrank303 6 ปีที่แล้ว +2

      Sadocky S. Boaz ucjal tunashukur sana maana tunajifunza kitu kikubwa

    • @nanutuannet5134
      @nanutuannet5134 5 ปีที่แล้ว

      Okay dear

    • @teddyjoseph2634
      @teddyjoseph2634 4 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana Sadocky s.Boaz

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  4 ปีที่แล้ว

      @@teddyjoseph2634 Amina tubarikiwe wote

  • @halimajuma3077
    @halimajuma3077 6 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeeeen...

    • @frankjonas1094
      @frankjonas1094 6 ปีที่แล้ว

      Halima Mungu akubariki sana!!..

    • @jonhgelevas4717
      @jonhgelevas4717 5 ปีที่แล้ว

      mutumishi lazima tuinge njia zilizo za haki tumuombe mungu yeye ndo kilakitu mutumishI wa mungu umelala katka haki ya mungu nawanadamu tufate muhubilI yako ili yatujenge kiimani tuishi kumutengemea mokoziwetu yesu kiristo

  • @myself4128
    @myself4128 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mapepo yametawala.watu
    Wanaweka Thumbs down pengine hata hawaelewi anachokisema inasikitisha! Ila angeongelea Majini aaah 1.5m views

  • @paulsaimon8750
    @paulsaimon8750 6 ปีที่แล้ว +11

    huyu mzee alikuwa mashine nyngne kabisa

  • @dawhiteschola8847
    @dawhiteschola8847 4 ปีที่แล้ว +1

    Mahubiri mazuri ila katka maombi. Huwa ham.maliziii jamani ili wengine tupone kupitia maombii

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว +1

    Minapeda mahubiri Ohio

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว +1

    Malawi

  • @anglemichael2422
    @anglemichael2422 6 ปีที่แล้ว +1

    Ni Nan Tena aliye Kama huyu baba ,,

  • @myself4128
    @myself4128 4 ปีที่แล้ว

    Enzi za mzee kulikuwa hakuna Usanii wa mitume na Manabii Vurugu izo hazikuwepo sababu mzee alikuwa anawaita vikao na kuwapasha habari nyie acheni kuibia watu!

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว +1

    Pascaline malawi

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  6 ปีที่แล้ว +1

      What do you mean Mr shokano

  • @nsimireshokano6198
    @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว +1

    Simire nshokano

    • @nsimireshokano6198
      @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว

      Mungu akumbariki

    • @nsimireshokano6198
      @nsimireshokano6198 6 ปีที่แล้ว

      Yesu akubariki

    • @yohanajames863
      @yohanajames863 6 ปีที่แล้ว

      Yeyote atakaye amini maneno haya,
      Ataokolewa,
      Bwana awabariki wote mnaofanya kazi ya kusambaza mahubiri haya,
      Tendeni ktk Roho wa Mungu,

    • @evodeardeus8985
      @evodeardeus8985 5 ปีที่แล้ว

      Moses Kulola Amelala Katka Bwana.

  • @sylussdenniss9203
    @sylussdenniss9203 5 ปีที่แล้ว +1

    sadocky naomba unitafute mimi sylass 0742692079

    • @Cado_TV.
      @Cado_TV.  5 ปีที่แล้ว +1

      Call me +255683756333

  • @elishamnazaretikyando834
    @elishamnazaretikyando834 6 ปีที่แล้ว +3

    Amen

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen