Acha husda kakaangu kama kaiba ibayako nawew Allah amemtia hapa duniani na akamjalia elim bora yakumjuwa molawake namtume wake nadini yake Allah ampe kila lakheri kwakuitumia elim yake vyema hivyo basi kama kaiba ibayako wacha maneno hapo🙏🙏🆗Allah akuongoze
Shehe na kuomba uniandikie samahani nikutake radhi, pia namuomba mwenyezi Mungu akujaalie maisha marefu
Asante Rusaganya Barakallafiyk Jazskall Kheriy Shukran Jazillah Allah Akuzidishie Na Akuhifadhi Nakikabaya Yarabiy
Allah akulipe heri shekh wetu
Shukran sana Shekh Mungu akulipe kila la kherii Inshallah. Ameen.
Shukran kwa kutuelimisha
Mungu akupe umri mrefu
Shukran sana Sheikh letu.Allah akulipe kheri kea kutuelimisha.
MashaAllah Mungu akubariki shehe wetu
Allah akupe umli mlefi sheh wetu
Shukran JazakaaAllah kheiry
Shukran shee wetu Allah akulinde na maradh uweze kutuelimisha kila siku
Amiin
MASHA ALLAH
Mashaallah mashaallah tabarak rahman
Allah akujaalie umri wenye kheri na barakaka nyingi ndani yake
mashallah tabarakah Allah. Allah Akbar
Shukran jazakallahu khairan.
Jazakallah kheir
Jazakallah khayra
Shehe na mimi nifanye nini ili mama anihamishe shule ktk siku mbili tu
Jazaakumullaha khaira
Shukran Shekh wetu,
MASHAALLAH... TAKBIR! ALLAHU AKBAR
Shurkan
Jazakhallah
Jazakaallah
Mashaalah shukran sheikh Mungu akupe kheri.
Inshallah
Ngoja tukupige copyright ndiyo utaaca kuiba video Darsa Tv
Jazakallahu kheir
Shukrani shekhe
Mashaallah
Allah_Akulipe
🙏🙏🙏🙏
JAZAKALLAH LKHEIR
shukran
Shukrn mngu akubariki
Allah akujalie afya njema shekh
Eti shekhe me naomba kuuliza ni halali kwa mwanamke kusoma quran wakati akiwa katika period jamani kwa anaejua naomba jibu
Naam dadangu inafaa mwanamke kusoma Qur'an wakati akiwa kwenye hedhi
ila asiukuse ms'hafu
Ni haramu haifai
Hairuhusiwi hatakama haja chukuwa masafu tena ni kharamu
Ngoja tukupige copyright ndiyo utaaca kuiba video Darsa Tv
Kuna ubaya gani akieneza ujumbe wa Allah...
@@cholomsury1548 upo ila mpaka ukae utulia ndiyo utajua na siyo kwa mihamko utojua
Acha husda kakaangu kama kaiba ibayako nawew Allah amemtia hapa duniani na akamjalia elim bora yakumjuwa molawake namtume wake nadini yake Allah ampe kila lakheri kwakuitumia elim yake vyema hivyo basi kama kaiba ibayako wacha maneno hapo🙏🙏🆗Allah akuongoze
@@UkhtyMuslim dada mbona unalopoka kama umekunywa maji ya chooni mimi sijamsema sheikh Rusaganya bali nimemwambia uyo mwenye TH-cam kwamba hii video ambazo anadownload kwetu Darsa Tv bila ya kutuomba wenye tunaweza kupiga copyright ©️ siyo sheikh sasa kama kitu haujui usikimbilie kujibu
@@abuubakariamiri1037 wala sijaropoka nile mtu akiongea ukweli ansonekana ameongea upumbavu ila ningeekuunga mkon ningeonekana wamana so nichukulie unavyotaka hatakama ame darlod kwan kuna ubaya gani yeye kusambaza kheri?hata mimi naeza nikai darlod nikapost yaezekana kwahiyo acha kumsema mwenzako vibaya eti kaiba kaiba nyumban kwako?kakuiba mke? ama