Msisahau majirani zetu hawana Roho nzuri kwani wakisikia tunafanya vizuri zidi Yao watazua mambo ya unafiki KUSEMA kuwa Marinda yetu Yana magonjwa msisahau yalio times Awali kule A/Kusibu wenzetu hawatutakii Mena sio Siri wakenya sio watu Bora Hawa Aminiki
Ahsante mkulima naomba ya simu yako nipate kikuuliza
Uko vizuri kiongoz nimekubali
Nimekuelewa👍💯
Nashukuru kwa Elimu nzuri.
Elim ninzr ahasante
Hongereni sana
Mwalimu wangu huyu👏👏
Namkubali sana huyo mwamba Mlimbila
Naomba kujuzwa hiyo mbolea ya fahari farm inatumika wakati gani? Je unaweza kuitumia ila kuchanganya samadi
Kazi nzuri.JayMedia.kuna tatizo la root rot kwenye parachichi.Tutafutie mtaalamu tumsikilize na kujifunza
Sawa
Asante kwa somo zuri. Je hiyo miche mizuri tutaipataje. Mimi niko Dar
Inapatikana kwa nemes njombe
Na mashamba pia yapo
Mashamba yanauzwaje heka 1
Mashallah natamani ingekua Kenya nami nkafanya hicho kilimo
Kaka Nemesi hiyo miche inauzwa bei gani?
Naomba kujifunza pia
Naomba namba za huyo mkulima tafadhali 🙏
Hongeren Sana huo mche shingap,
Kwenye video yako weka namba ya simu inayoonekana
Nakupataje nipo njombe pia
Tunaomba namba zemu.
Bwana Nemes unasema utapata laki NNE kwa mti he mti huo utatoa parachichi ngapi?
Wekeni namba za mwl nemes green garden
Miche inapatikana wapi?
Naomba namba ya simu tafadhali
Na hiyo miche inapatikana wapi?
Kama unasoma weka namba Miche tunaipataje?
Shamba liwe eka ngapi
Waishio nje ya njombe tunapaje Miche ?
Tunapataje hiyo Miche sisi watu wa mikoani?
Msisahau majirani zetu hawana Roho nzuri kwani wakisikia tunafanya vizuri zidi Yao watazua mambo ya unafiki KUSEMA kuwa Marinda yetu Yana magonjwa msisahau yalio times Awali kule A/Kusibu wenzetu hawatutakii Mena sio Siri wakenya sio watu Bora Hawa Aminiki
Ardhi ya kichuguu naweza panda mipara chichi
good job
The Green Gold
Miche inapatikanaje mikoani?
Bwana nemesi weka namba ya simu kwenye video yako mimi ni mkulima kiziwi!
Naomba mawasiliano
Barafu unaizibiti kwa njia ipi?
Mikoa ya joto je yanafanya vizur au mbona kila mtu njombe mbeya
Tarehe 1 mwezi wa 9 mwka 2022 mbna sijaelewa hapa
Kidogo umetuchanganya,imepandwa mwezi wa tisa mwaka elfu ishilini na mbili.!
Kidogo umetuchanganya,imepandwa mwezi wa tisa mwaka elfu ishilini na mbili.!
Yaani hata Mimi nilichanganyikiwa mbona miti imevuka miez sisi tuko nyuma au wenzetu Wana karenda Yao ahaahaaaaaahhh!
Naomba no ya simu
Bei gani kwa kilo
Naomba no yako ya simu tafadhali
Naomba wahusika wanipigie nataka parachichi
WAUZA niche mnapiga hela,wenye matunda yanaoza
Hiyo chokaa inauzwaje na inawekwa msimu gani?
Naomba namba ya cm
0753125998
Nahitaji parachichi
Miche nahitaj