WANUNUZI WA PARACHICHI NJOMBE WAELEZA SABABU ZA SOKO KUPOROMOKA MPAKA SH 200 KILO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
- Kufuatia malalamiko ya wakulima wa parachichi juu ya bei kushuka na kufikia mpaka shilingi 200 kutoka shilingi 1700 kwa msimu wa mavuno wa mwaka 2024 wanunuzi wa parachichi wameeleza kwa wazi sababu za zao hilo kushuka bei.
NAJIB KAZI NZURI ❤
Nawashauli nendeni Kenya mjifunze juu ya kilimo cha usalama na afya, madawa yanatuumiza selekari sana sana wizala ya afya.
Huyu jamaa ameongea vizuri sana shida sisi waswahili tunajua kulalamika tu
safi Erasto ngole
Na nyie wanunuzi mnatuangusha, sumu inaenda kugunduliwa kule nyie huku hamkupima sample ? Mnasafirisha mzigo wa mabilion bila kuupima kwanza ? Unakosaje kula loss apo, shamba la mtu mmoja linaharib kila kitu, eb pelekeni mambo kitaalam bas mkifilisika nyie kwa kuendesha mambo kienyeji tunafeli wote uku.
Wazungu ni waangarifu sana.Hayo madawa yanawekwa kwenye matunda na bamia.nyanya acheni.Ni sumu.wazungu wanapima ujanja huo haufai😢
Watanzania tusiwe wabishi tujifunze,, Kwa wenzetu,,, huyo Muhindi ameongea Kwa uchungu,, tupende ukweri ili tufanikiwe.
Matajiri wa tanzania ni waarabu na wahindi. Kulikoni
Tuletee wazungu
Bila kuzingatia ubora ndg zangu hiki kilimo kitatushinda,tusilimie mazoea
Hakuna Cha soko kuporomoka hao ni wapiga Dili tu
Dawa ya parachichi pigilia misumali kwenye miti hayadondoki wala hayafubai yanatokea parachichi makubwa na mazuri. Msitumie kemikal mnapoteza ladha ya parachichi.
Pigilia misumali hii ni kweli wadau!? Bwana Azza tupe maelezo zaidi
@@bavonwatson7360 nikweli kabisa hata kwangu ninayo miparachichi. Subiri mche ukuwe vizuri.chukuwa misumari mikubwa miwili piga juu ya mti hakikisha misumali imeingia mpaka ndani ya mti
Basi hapo subiri majibu. Utakula parachichi mwaka mzima. Ila tu uwe mvumilivu kwani miparachichi hukawia kutoa matunda.
Hivyo ni kweli kwa matunda ya aina nyingi kupigilia msimari
Ni dawa gani ya kupuriza